VIUNGO VYA KUPIKIA / MAPISHI
Вставка
- Опубліковано 21 сер 2024
- VIUNGO NINAVYOTUMIA KUPIKIA
socials
Instagram @Ika Malle
Tiktok Ika Malle
Email: phenomenalika@gmail.com
BITES ZENYE NYAMA NDAN
-MIKATE YENYE NYAMA NDANI
• MIKATE YA NYAMA NDANI/...
-SAMBUSA
• JINSI YA KUPIKA SAMBUS...
-CHAPATI YENYE NYAMA NDANI
www.youtube.co...
-SWAHILI PIZZA
• SWAHILI PIZZA😋ZANZIBAR...
MCHEMSHO WENYE NAZI WA SAMAKI
• Wali wa Nazi + Kuku wa...
TAMBI ZA MAYAI
• KUPIKA TAMBI ZA MAYAI ...
Asante Kwa Kuangalia, - Навчання та стиль
Congulaturation sis, mi napendelea video amboazo unakua unaongea kama utojali tuelezee kila spices na kazi zake
Yes please Part2
Nakupenda sana
Video request. Viungo vya chai kwa next video 😍😘😋😋😋
Aisee asante sana nikikua nataman kujua iviviungo asante
Nice. Thanks for the info.
Karibu
❤❤uko vizuri Ika
Vizur dad umeniongzea ujz mie pia mpish
Nimekuona leo kwa mara ya kwanza dear😙😙
I love u napenda video za mapishi yako najifunza sana kupitia video zako
Ur as simple as ur cookns dear,awesome!
Ika, curry powder ya kopo ni nzuri sana. Unaweza kuhamishia kwenye container ya plastic.
Me sio mgeni ila ndo mara ya kwanza kuona sura yako
Karibu sanaaa
Hahahhahaaaaa....reaction imenichekesha😂😂😂😂😂.huigizi napenda uhalisia.
nakupenda mdada
Hongera sana Dada huwa mapishi yako ukifundisha yanakuwa simple sana ubarikiwe
Hongera mrembo
Plz do part 2
Hahaha nimecheka hapo ulivyoweka uso ulipodondosha hicho kiungo
Kumbe nawe umeona
Kwenye makande ni tamu sana
Saafi niunge
Maashallwah mungu akupe umri
I love you
Uko simple 💝💝💝
Mambo mazuri dada
Nakuomba unifundishe kuchanganya kutengeneza viungo vya kuku wa sekela
Mashaallah
Asante wajina uko vizur
Nimependa nannazidi kujifunza asantee mdada
Asante
Asante
Thanks dear
Sasa dear ungeviorodhesha vyotee kwenye description box
Mm napenda Xan mapixh yk jamn natamn hat nije kwako nione live
Nimependa sana
Shukurani
Ika miye Nakupenda
Yan mpaka nimeshindwa kusikiliza somo la viungo nakuangalia tuu wewe
Naomba brand name ya hyo Galic powder mmy
Three star
Hii video tam' quality nzuur ika umeng'aaa izo chen hapo kifuani duuuh 👌👌👌
Madini jamani madini 😂😂😂😂
@@ikamalle daaah umejua kupendeza kwenye hii video 😁😁
Bizali manjano inatumika kwenye nyama?
Asante dada
Kat
Dah kumbe we ndo haika🥰🥰🥰🤍🤍🤍🤍🔥
Ungetuambia na brand
NAOMBA KUJUA HUYO MZEE ANAETENGENEZA VIUNGO ANAPATIKANA WAPI? AU NAMBA YAKE NAOMBA NAMBA DEAR WANGU
Shukran
Nipe matumiz ya vinegar
What brand is the garlic powder? Kindly.
ThreeStar
Fanya vingine my
Sawa
Ajina moto
Dear hapo kwenye tandoor masala nahitaji kujua ni soko gani specific ulienda kuulizia kwa huyo babu😃
Part 2 ikuje
Subiria sooon
Tunawait no mbili plz😘
Jamani mi naomba utuoneshe hiyo kabati yako ya jikoni ya juu na ya chini maana ninahitaji kabati simple like yours Haika please
Ukopoa
Asante
Nakupenda😭😩😩💫💜
Ile meat tenderiser inasaidia nyama kuwa laini kabisa. Sikuwa naamini kwamba inafanya kazi pia hadi nilipoijaribu
Mie naomba utuletee video ya mpangilio na usafi wa nyumba nzima
Part 2
plz niambieni bizaari ndo turmeric powder??ao?
Binzari ya manjano ni Tumeric Powder
Kuwa makini
Me naomb kuhafahm viungo vya pilau
Tuambie na bei
Hio garlic ni brand gani?
Inaitwa “ThreeStar”
Naweka pia curry powder kwenye kande 😁😁
mambo vp naomba kujua matumizi yake
😍😍
Lov yuuu😍
Mrembo
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wooow
Pesa/bei ni za Kenya au Tanzania?
Tanzania
Mimi sio mgeni dear ila naomba kujua ile frampen yako ya umbo la mraba umenunua wap mpenz
Kwenye vyombo vya mtumba, nilibahatisha
Naeka ile ya simba mbili Makande yanakua matamu mnoooooo
ddfd
Habari nimependa video yako mie Niko.dar tunaweza wasiliana ana kwa ana namba zangu 0655479900