KILA MTU ANAULIZA BUSTANI YA EDENI IKO WAPI? LAKINI HAWATAKI UKWELI HUU.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 105

  • @lwangasharle9997
    @lwangasharle9997 Рік тому +13

    Ninawezasema Eden ilikuwa Congo,ndio kilakitu inapatikana ❤❤❤❤❤❤

  • @Axvagjkqoqnsh
    @Axvagjkqoqnsh Рік тому +57

    Ewaah nmekuwa wakwanza kuangalia video hii ya bustani ya Eden naomben likes zangu wadau💪🏽💪🏽🔥🔥😎😎

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  Рік тому +5

      Pamoja sana Arafaty

    • @Axvagjkqoqnsh
      @Axvagjkqoqnsh Рік тому +3

      @@BONGOFASTA kak ombil langu nililo tuma Instagram vip kak?

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 Рік тому +2

      Toa maoni yako juu ya video husika na sio kuomba likes

    • @yahyasuleiman8806
      @yahyasuleiman8806 Рік тому

      Mwamba kasome Adam na Hawa alikua juu alipofanya makosa kula tunda ndo akashushwa na bustani ya Adam na Hawa ilikua juu lakini sio peponi lakini walie kwa katika bustani nzuri uko juu lakini pia sio peponi maana peponi hakuwai kukunyaga mtu Sasa walipofanya makosa yakula tunda mungu ndo akawashusha ardhini ili watubu zambi zao na vizazi kuzidi mpaka sasa kwa mujibu wa dini ya kislam nainaingia kichwani maana haiwezekani Adam alikua anaishi bustanini akiwa yupo Duniani iyo haingi kwenye kichwa na walio shushwa Duniani kwa mujibu wa uislam kila mmoja walishushwa sehem tafauti Adam alishushwa maeneo ya Iraq lakini Hawa alishushwa maeneo ya India na ilipita mda Kuja kuonana wa moja ao ili waishi Tena lakini wakaja kuonana na wakaishi kama walivokua wakiishi ktk bustani ya juu nawalipo shuka Duniani ndo wakaanza kuzaa na vizazi kuzaliana mpaka Leo tumia akili na tafautisha maandishi yote ya dini upande wote miwili upi unaingia kichwani Soma Kaka taarifa zako nyingi unapumbaza watu na unakosea Sana.

    • @selebala9673
      @selebala9673 Рік тому

      Ili Nini xaxa

  • @catherinendasi780
    @catherinendasi780 Рік тому +8

    UmebarikiwA sauti na mola mungu akubariki uishi maisha malrfu

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 Рік тому +7

    Ukweli utabaki Africa 🇹🇿 maana vitu vingi tumefichwa,kisa kila kilichotokea kushi hakitangazwi wala kutambuliwa

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 Рік тому

      Binadam wa kwanza alikuwa mtu mweusi ukitaka elimu niulize

  • @teddymaliatabu2039
    @teddymaliatabu2039 Рік тому +2

    Ni Africa, ambapo n Tanzania, kenya na Uganda... Asili ya binadam DNA inapatikana Uganda na mlima Kilimanjaro ndo milima wa most high god... Amri kumi zlshushwa pale... Na asili ya wanyama wote n kati ya nchi izo tatu... Center. Hivyo bas wanyama wiliokua nchi nyingne walsafirishwa kutokea tz, ke, ug ambako awali hakukua na nchi Bali n uwanda m1

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 Рік тому +3

    Frome Uganda 🇺🇬🇺🇬 to Tanzania Justin she'd

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 Рік тому +6

    Nakukubali Sana, mtangazaji

  • @andrecorte3681
    @andrecorte3681 Рік тому +8

    Na penda tuwa siliane ni kufahamishe
    Nilivyo fanya uchunguzi wangu kwa muda mrefu

  • @abihudintabhagi
    @abihudintabhagi Рік тому +2

    Nashukulu Sana kwa hisitori ya bustani ya bustani ya enden

  • @omarysalim6876
    @omarysalim6876 Рік тому +7

    Naomba kufahamu kuhusu Mariana trench sehemu yenyekina kirefu baharini

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu Рік тому +5

    Naona bustani ya edeni ilikuwa pale makete mkoani njombe, sababu kule ndio uwanda wa juu sana,! Na gharika ya nuhu ilipo kuja kujaza maji Dunia hivo maji yalishuka na mabaki ya kale Hadi ngorongoro kreta. Na ninahisi itakua pale hifadhi ya kituro mkoani njombe.

    • @Awatee
      @Awatee 7 місяців тому

      😂😂😂😂

  • @Kanacomedian
    @Kanacomedian Рік тому +5

    Big up my brother

  • @zabroningusa
    @zabroningusa Рік тому +5

    Nakubali Kaka,,

  • @abdigiro7701
    @abdigiro7701 Рік тому +6

    Only our Almighty Allah now the truth kaka

  • @damasmayanja2930
    @damasmayanja2930 Рік тому

    Eden ni Mahali pa KIROHO huwezi kusema ilikuwa pale au huku, mashariki au Magharibi, Kaskazini au kusini. Hivyo hivyo kama ilivyo Mbinguni, Kuzimu au Jehanamu ni Mahali pa KIROHO pia huwezi kusema ni kule juu, au huku chini au kulia au kushoto au nyuma au mbele.

  • @samludo5435
    @samludo5435 Рік тому +3

    Tuleetee simulizi ya Nabii Daniel

  • @usumanezana1775
    @usumanezana1775 Рік тому

    Nakubali ipo TZ

  • @phillipolucas597
    @phillipolucas597 Рік тому +7

    Habar justin she'd ... Naomba historia ya lugha ya kiswahili, je hii lugha imetokea wapi!!? Ni hapa tanzania au imetoka wapi

  • @aliceramadhani199
    @aliceramadhani199 Рік тому +2

    Eden ni Tanzania kila kitu kinapatikana apa

  • @polycarptarimo5141
    @polycarptarimo5141 Рік тому +2

    Duuh hii bustani mimi bado nahis ni huko Irap

  • @elvamasherano8122
    @elvamasherano8122 Рік тому +3

    Good

  • @medival_reign420
    @medival_reign420 Рік тому +1

    ai Leo umetunganya Eden Iko middle east pale umefika unatundanganya sana

  • @bethkimani92
    @bethkimani92 6 місяців тому

    Hio ni kweli Eden iko Africa.

  • @frankjumanne7946
    @frankjumanne7946 Рік тому +3

    Mm naamini kuwa IPO dunia hapa hiyo bustani

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Рік тому

    Edeni maana ake ni uweponi mwa Mungu shetan kitu ambacho hakutaki ni kumuona MTU anakaa ktk uweponi mwa Mungu . kwa sababu ukiwa MTU akifanikiwa kuishi ktk uweponi mwa Mungu asilimia mia moja hakuna kitu kwake kitacho shindikana.
    Kwa kusema edeni ilikuwa nch fulan huko ni kujidanganya kwa sababu uwepo wa Mungu unaweza kuwa kila sehemu au kila nchi au kwa kila MTU atakaye taka

    • @josephevaristi8923
      @josephevaristi8923 Рік тому

      Huo ni mtazamo wako2,lakini sayansi inathibitisha chimbuko la mtu ni Africa,kulingana na tafiti mbalimbali,Kwa hyo kama kweli hyo bustani ilikuwepo,upo uwezekano mkubwa xana ikawa Africa sehemu binadamu alipotokea kuliko kuwa Iraq walipokwenda kutafuta makazi,,,Wala hauhitaji nguvu nyingi kukubaliana na hlo

  • @clavankalinga734
    @clavankalinga734 Рік тому +1

    Huku songwe momba kuna arama ya wayo wa binadamu kwenye jiwe mje kufanya utafiti

  • @cclaudeshilling957
    @cclaudeshilling957 Рік тому +1

    Sasa twende kaz 🤣🤣🤣🤣bless kaka

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 Рік тому +4

    Edeni ya bongo iyoo ahahaha yote poa edeni ya mchongo iyoo

  • @zahrahappybirthday9979
    @zahrahappybirthday9979 Рік тому +2

    Mapemaa

  • @andrecorte3681
    @andrecorte3681 Рік тому +3

    Mimi nafikiri hivyo hivyo kama usemavyo
    Mwana adamu wa kwanza ametokea hapo bongo.
    Najiuliza tangu zamani kwa nini sisi tunangao ya adamu na hawa.
    Wewe umesha jiuliza swala hilo.

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 Рік тому +4

    ❣️❣️👏👏

  • @teophilletus8969
    @teophilletus8969 Рік тому

    Tupende San kusom vitabu vya Siri na sikuskiliza tu na kusomew na wengn kiufup hap dunian hapakuwai kua na kitu kinachoitwa bustan ya Eden kwakua hapo mwanzo Adam na hawa hawakuishi hap dunian hap dunian walishushwa kilA mtu kwa njia yake baada ya madhambi kutokea kiupufi Ni meng yamejificha kwa maandishi ukiwa mvivu utajazwa mengi

  • @mohamedriziki1985
    @mohamedriziki1985 Рік тому +1

    Wewe umekosa mada zakuonhea sio

  • @merycianavedasto6012
    @merycianavedasto6012 Рік тому

    kwa kwel mengne tunadanganywa 2 wenzetu hko wanadai wameenda kwenye kabur la yesu wamekuta kitambaa chenye sura ya yesu khe

  • @sharpaliofficial7455
    @sharpaliofficial7455 Рік тому +1

    Nipo na swali hawa wanyama wakali wa sasa je walikuwa wakiwala wenzao kama sasa ama na kama jibu ni no kipi kilitokeya hadi wakaaza kukulana na kukimbizana kama simba na Swara vile

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 Рік тому +2

    Tunaomba utuletee story ya wanajimu/watabili wa mambo ya jayo "NOSTADAMUS" NA MWANA MAMA "BABA VANGA" na yale yote waliyo yatabiri

  • @samwelshenyagwa.184
    @samwelshenyagwa.184 Рік тому

    binafsi bustani ya edeni ipo Tanzania ukilinganisha na vito vya thaman na vyatofauti vinavyopatikana Tanzania na kuipa upekee mana nchi hii imejaliwa ule uzuri wa asili sio uzuri wa poda kama nchi za Dubai,marekani na nchi zenye uzuri wa kujengeka.

  • @icclcharters3389
    @icclcharters3389 Рік тому

    Hakuna anaejua mimi naona hizi dini zinatuchanganya tu,Kama haziweki bayana mambo yaliopita kuna haja gani kufuata au kujua yaliopita?🏌🏿‍♂️In my opinion knowing is different from believing✍️Here and now is much more important.

  • @siporajemes773
    @siporajemes773 Рік тому

    Sio uongo ni kwl Edeni ilikua Afrika ilikua hapa Tanzania na wa Israel walioongelewa walikua Wamasai na Nchi ya Ashuru ilikua Mwanza ya sasa

  • @AdventTVOnline777
    @AdventTVOnline777 Рік тому +2

    *Sasa twende kazi💪💪💪*

  • @Zanzibar.11
    @Zanzibar.11 Рік тому +1

    Jamani mimi niandikie jina lako ngumu silijuwi mm 🤔

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.

  • @marymichael8111
    @marymichael8111 Рік тому

    Edeni iko mbalali mbeya ushaidi ninao

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 Рік тому +2

    Sio Tanzania labda mgelisema yali kuwa hapo Drcongo🇨🇩🇨🇩 kwasababu ndipo kuna vitu vingi pia vizuri

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 Рік тому

    Eden itakua ilikua africa kweli mana kuna wanyama wote ila uko mashariki ya kat wanyama hamna hivyo aslimia kubwa huenda eden ipo tz

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 Рік тому

    Ni dhahiri Eden ilikua barani Africa hasa Burundi.

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 Рік тому

    Napenda sana unachokifanya Justin lakini hii ya mwaka mtu akuambie ufanye utafiti juu ya video fulani sioni kama ni kitu poa. Nyie as a bongo fasta team mnatakiwa kua wabunifu na sio kwambia na mashabiki zenu nini cha kufanya hio mimi naona kama weak side yenu kabisa.

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Рік тому

    Ipo irak

  • @citovunjabeilimitedcompany4455

    Kwendraaaa msituchezeye sasa nakuanzia hapa sito amini izi video zenu tena kwanza naji infollow

  • @ezrasamueli2203
    @ezrasamueli2203 Рік тому

    Labida Ethiopian

  • @shijajohn5404
    @shijajohn5404 Рік тому +1

    Nirudishie MB zangu uongo2 bro😠😠😠

  • @joely58
    @joely58 Рік тому

    Hadithi ya kitabu cha mwanzo ni ya king tahuti mtawala wa nasubiti kwa sasa ni misiri na iliposema nchi ya havila anazungumzia Kongo ya sasa na mito minne kwa majina ya sasa ni Zambezi malagalasi kagela na mala

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 Рік тому +2

    Hakuna mtu wala hatawahi kuwepo mtu atakayeweza kujua mahali ilipo hiyo bustani ya edeni, sanduku la agano, na kaburi ya Musa.

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 Рік тому +1

      Eden ilikuwa ktk nchi ya Iraq ya Sasa kwa mujibu wa biblia,na ile mito inayotajwa ktk biblia ndiyo hiyo ipo pale iraq

  • @siporajemes773
    @siporajemes773 Рік тому

    Mziki wa nn sasa!!

  • @kajinjirashid5590
    @kajinjirashid5590 Рік тому

    Eden iko iraq..matukio yote ya vitabu vya ukweli na vyakikora ...wazungu waligeuza majina kupotosha wasio soma vitabu vya taurat,zaburi,injil na quran..lakini eden iko iraq..matukio mengi yalitokea nchi za kiarabu

    • @josephevaristi8923
      @josephevaristi8923 Рік тому

      Unategemea maoni gani kutoka Kwa mtu anayeitwa rashidi zaidi ya kutoa yale aliyolishwa Kwa wale watu wenye ukoma wa rangi,,I hate that mindset☹️☹️

  • @robertmbonile9426
    @robertmbonile9426 Рік тому

    No 4

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 Рік тому

    Iyo bustani haikuwa duniani ni mbinguni walipofanya kosa wakatupwa duniani na shida zikaanza duniani

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 Рік тому

      Acha uongo Eden ilikuwa Iraq ya sasa

    • @nelsonzephaniah
      @nelsonzephaniah Рік тому

      Soma maandiko kaka Mungu aliumba mbingu na nchi Kwanza na baada ya kuipendezesha dunia ndipo akawaweka adamu na hawajaipata
      Edeni ilikuwa duniani

    • @nelsonzephaniah
      @nelsonzephaniah Рік тому

      Haikuwa Africa !!!😀

  • @frankmbawala3115
    @frankmbawala3115 Рік тому

    Iraq babiloon fly

  • @calibare3159
    @calibare3159 Рік тому

    Sasa hio uwongo wako imeziidi hata sitakua na angalia tena posti zako nikuharibu mb zangu

  • @dj06tz06
    @dj06tz06 Рік тому

    Tulete vedio ya solomoni kalushi malango

  • @BennyMtwevetz
    @BennyMtwevetz Рік тому

    Eden ilikua bongo😂😂😂

  • @muichorekishagani1751
    @muichorekishagani1751 Рік тому

    ilikuwa mbinguni msihangaike

  • @farajiabdallah7438
    @farajiabdallah7438 Рік тому

    Bac ulkuw ngorongoroo

  • @scholahmwelange1406
    @scholahmwelange1406 Рік тому

    No3

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 Рік тому +1

    KICHAAA KWEL WEW

  • @vanessarobyn4584
    @vanessarobyn4584 Рік тому

    Huu ni ukweli tu japo hawataki hawa wainguru kila kitu wanataka kiwe chao. Ukifuatilia hata swala la yesu alikuwa ni black ila sasa wazungu wanataka kujifanya kila kitu ni wao

  • @VerseHQTZ
    @VerseHQTZ Рік тому

    Hd

  • @mohamedriziki1985
    @mohamedriziki1985 Рік тому +2

    Wacha urongo w.w... wadanganya watu

  • @mereybajrey8418
    @mereybajrey8418 Рік тому

    😂😂😂

  • @mohamedriziki1985
    @mohamedriziki1985 Рік тому +1

    Kama hauna mada yakuongea ka kimya

  • @ezrasamueli2203
    @ezrasamueli2203 Рік тому

    Labida Ethiopian