NAMNA YA KUFANYA KAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO ( I ) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 41

  • @irenejerome111
    @irenejerome111 Рік тому +1

    Ahimidiwe Jehovah aliyenileta madhabahu hii🙌

  • @everlineeva594
    @everlineeva594 3 роки тому +3

    Ameeen kuna siku nilionyeshwa katika ulimwengu wa kiroho mwarabu ametega dawa kwa kona (nimika 1week nika zipata mahali nilikuwa nimeonyeshwa na mungu but niliombea hilo ndoto hakuna uchawi ulishika be blessed kwa ufunuo mzuri umenijenfa sana mimi huwa siogopi lofoten bcse natumikia mungu alie hai 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MiriamNasambu-r7u
    @MiriamNasambu-r7u Рік тому

    Naamini roho wa mungu alikufulunia kwa ajili yangu mungu akubariki

  • @liliankeyabaraka8195
    @liliankeyabaraka8195 Рік тому

    Amen pastor nimebarikiwa sana wacha MUNGU akubariki 🙏🙏

  • @MagdaleneMagdalene-rz1sp
    @MagdaleneMagdalene-rz1sp Рік тому

    Amen mtumishi wa mungu nimebarikiwa sn

  • @everlineeva594
    @everlineeva594 3 роки тому +2

    Hi fundisho limenitia nguvu ya kuomba sana

  • @SamuelOkoyio-cy2hj
    @SamuelOkoyio-cy2hj 5 місяців тому

    Wow amen mtumishi

  • @marynyanaro8661
    @marynyanaro8661 Рік тому

    Amen. Assnte sana mtumishi wa Mungu funzo nzuri kweli. Asante nimepata kurlewa ulimwengu wa Rohoni vizuri kabisa. MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @veronikaaugustino2258
    @veronikaaugustino2258 3 роки тому +1

    Nakupata vizur baba Toka Tbr Nimejiunganmisha ktkt MADHABAU Nile chakula Cha bwana nikiwa naamina baada ya kula Neno sitabaki nilivyo AMINA

  • @jamesmhagale8794
    @jamesmhagale8794 3 роки тому +1

    Mungu ni mwema sana, Mtumishi wa Mungu Sunbela ubarikiwe na maarifa zaidi yakuongezeke ili kanisa lipate kumjua Mungu na kuishi maisha ya ushindi

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 3 роки тому +1

    Yaani huu ni ufunuo mkubwa sana kwangu. Barikiwa sana mtumishi jwa somo zuri.

  • @juliethchavala3314
    @juliethchavala3314 3 роки тому

    Mtumishi nakuelewa sana mungu akupandishe ktk viwango vikubwa sana ktk JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI ktk kujua siri za ufalme wa MUNGU.

  • @neemasaidisaid1791
    @neemasaidisaid1791 3 роки тому

    Mungu akubariki.nami namtakaa huyo mungu wako.niko SAUDIA RABIA nakufatilia.mungu wako ni mzuri sana.niombee nami namtaka.

  • @hamisirugai2528
    @hamisirugai2528 2 роки тому +1

    Shalom! Nabarikiwa sana na mafundisho, mnapatikana wapi hapa Dar? Naitwa HAMISI RUGAI

  • @salomekyomo2307
    @salomekyomo2307 2 роки тому

    Asante kwa kutujenga

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 2 роки тому

    Ameeeeeeeen

  • @friedamkiramweni9500
    @friedamkiramweni9500 2 роки тому

    Asante Yesu kwa mafundisho haya. Naomba tufunguliwe. Amen.

  • @tevymgalla4360
    @tevymgalla4360 3 роки тому +1

    Powerful teachings.... nimebarikiwa sana baba.

  • @johnmwagi9350
    @johnmwagi9350 2 роки тому

    Ubarikiwe mtumishi

  • @everlineeva594
    @everlineeva594 3 роки тому

    Ameeen kwa mafundisho mema ya kiroho hapo ndio me napenda sana (be blessed paster am watching yu in 973 (nimejengeka sana kihimani 🙏🙏💪💪💪💪👏👏👏

  • @mwaumark4372
    @mwaumark4372 2 роки тому

    Maneno ya hakika na amina, ubarikiwe sana babangu wa kiroho

  • @givenmichael8885
    @givenmichael8885 3 роки тому +1

    Nabarikiwa sana. Mungu wa mbinguni akubariki sana

    • @highonebalo8289
      @highonebalo8289 3 роки тому

      Napenda hiyo neema kubwa sana ya ufunuo wa ki-Mungu ndani yako.
      Wewe ni mwalimu mzuri sana kwangu.
      Bless u man of God

  • @graciousjoy1055
    @graciousjoy1055 3 роки тому +1

    Asante sana Mtumishi kwa mafundisho mazuri, umenibariki

  • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
    @salmakiyabosiriyamachoziha8756 3 роки тому

    Amen Ameni mtumish ubarikiwe kwa somo zuur san

  • @danstonecool1734
    @danstonecool1734 2 роки тому

    tuned

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 3 роки тому

    Nabarikiwa sana mtu wa MUNGU

  • @philemonakko6139
    @philemonakko6139 3 роки тому

    Amen Mungu ni mweza wakati wote

  • @floraaloyce6442
    @floraaloyce6442 Рік тому

    Amen

  • @mwaumark4372
    @mwaumark4372 2 роки тому

    Mimi bado sijamaliza kazi hapa duniani, sijatimiza kusudi la Mungu hapa duniani

  • @janethandrew6267
    @janethandrew6267 3 роки тому

    Mungu akazidi kukuinua

  • @sheshem5453
    @sheshem5453 3 роки тому

    Asante sana Mtumishi, Mungu azidi kukubariki!

  • @drmaryjohnmponda3484
    @drmaryjohnmponda3484 Рік тому

    AMEN

  • @tumainimutatembwa4343
    @tumainimutatembwa4343 3 роки тому

    Amina

  • @Jastus100
    @Jastus100 2 роки тому

    Shalom mtumishi Naomba kuuliza, kama sisi tunaweza kuagiza malaika na wakafanya inamaana sisi ni wakubwa katika ulimwengu wa roho kuliko malaika??

  • @happinessakim2889
    @happinessakim2889 3 роки тому

    🔥🔥🔥🙏🙌🙌

  • @happinessmtitu4485
    @happinessmtitu4485 3 роки тому

    Najifunza

  • @givenmichael8885
    @givenmichael8885 3 роки тому +1

    Najua ipo siku na mimi nitakua hapo

  • @florencendatila9183
    @florencendatila9183 3 роки тому

    AMEEN