Shaikh Othuman maalim yupo vizuri katika kufafanua Qur'an na Hadith za mtume s.a.w mungu akupe maisha marefu shaikh wetu tuzidi kufaidika na iilmu yako shaikh
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo ❤❤❤❤❤
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo
Masheikh ambao hawana elimu ya majini wakubali na kujitokeza mbele ya Dr sullez kabila umauti umechukue ,wanyoshe Jambo hili,sio kupiga makelele mtandaoni.kenya kulikuwa na sheikh aboud rogo ,alikuwa akipenda kuzungumzia jihad na kuhumiza waisilamu wasiwe wanyonge mbele ya makafiri ,wako masheikh ambao walimpinga ingawa walikosa hoja za msingi ,wakazua uzushi kitu kilicho sababisha umauti WA sheikh aboud rogo.tusiwe wanafiki Kwa minajili ya dunia .mwenye anapinga Dr sullez aende kumuona ili kuzidi kupambanua hili swala la majini.
MIMI NASHANGAA, BADALA YA KUSHUGHULIKIA MAADILI YA TUNAHUBIRI KUHUSU MAJINI SISI MAJINI HAYATUHUSU. VIJANA WANAHARIBIKA VIONGOZI MMEKALIA KUHUBIRI MAJINI!!!!
Unajuwa kuongea ila hauna elimu Wala ufahamu kw unacho ongea.... Mungu ALIUMBA majini na watu.... Ila hakuna mahali Mungu ALIUMBA sheitwan ama iblis kama tunavyo muita ... Bali sheitwan au Iblis ni jini aliye muasi Allah .. Na ndio maana Masheitwan ni majini na watu(Quran: suratul Nas)
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo ❤❤❤❤❤
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo ❤❤❤❤❤
Shaikh Othuman maalim yupo vizuri katika kufafanua Qur'an na Hadith za mtume s.a.w mungu akupe maisha marefu shaikh wetu tuzidi kufaidika na iilmu yako shaikh
Amin
Kwa kweli anajua. Nafwatiya sana Mawaidha yake kbs
Elimu kubwa ....Allah awafanye wengine waipate kupitia hii clip ya Shk Othman
Mansha alha GOd bless all Muslim ❤❤
Mollah akupe maisha marefu ili tupate mafunzo na yatokayo katika hadhi za mtumie wetu inshaallah
Shukran Allah akuhifadhi ustadh wetu
Ma shaa allah Tabarakallah napenda sana unavyo ichambua Qur'an Sheikh Othman Maalim Shukran sana sheikh wangu ❤❤❤❤
Masha Allah
Au’udhu billah sami’i a’aliim, aamantu billah a’adhiim, wakafartu biljibitwy waltwaangut wastamsaktu bil u’urwat wudhkaa namfisw a’amalahaa, wahuwa samiu a’aliim
MIE NAKUELEWA SANA SHEIKH WANGU...ALLAH AKUBARIQ SANA
ALLAH amjaalie Pepo
ALLAH AKBAR
Alhamdulillah ,jazaka Allah Kheur
Mashallah
Jazaaka Allah
Mashaala mungu akufungulie milango pepon
Amen 🙏🙏🙏
Mimi Kiukweli Uyu Shee Napenda Sana Mawaidha Yake Mana Anajua Kufafanua Kwa Umakini Sana Kwa Mujibu Wa Vitabu Vya Imani
😢JAZAKA LLAHU KHEIYRU SHEIK MOLA AKULINDE ZAID NA MAADUI WKO ISHAALLAH
mashaallah
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo ❤❤❤❤❤
Tunashukuru kwa darasa Alla akulipe
Kama wewe unawaogopa Majin ebu jaribu kumuifathi mwenyezi mungu ndani ya moyo wako alafu utaona uwezi kuogopa majini na wachawi
Waisilamu hatuwaogope majini ila tumuogope mwenyez mungu ametakasika subuhanaka
Sheikh wet u Allah akuhifadhi.
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo
Mung ampe upright kudanya daawa
Somo zuri Sana ,Dr sullez ako Sawa Kwa mafundisho yake .
Sema tu ilmu yake ya ufafanuzi haimfikii Sheikh Othman
Taybu taybu ❤🎉mufti Athuman
Allah akupe afia ma umri sheik Othman
Jazaakallahu khair
AMEEN YAA RABAL ALAMEEN ❤❤❤❤
Waalykum Salam warahmatulah wabaraktuh
Shukran yaaah shekhe Othman maalim
Mungu akujaaliye barak na akujaalie mwisho mwema
بركه الله فيك شيخنا الله يحضيك ماشاء الله تبارك الله
❤Mashaallah
mashaAllah
Mashaallah Mashaallah sauti nzuri sana unapoisoma quran
Wallahi narudiarudia vipande anaposoma ❤
I enjoy this Sheikh's darsa. However, this video is noisy and very disturbing for the sick like myself.
Jazakallah khayran
Jazakallah khaira
❤
مشأ الله
❤❤❤❤
😊
Masheikh ambao hawana elimu ya majini wakubali na kujitokeza mbele ya Dr sullez kabila umauti umechukue ,wanyoshe Jambo hili,sio kupiga makelele mtandaoni.kenya kulikuwa na sheikh aboud rogo ,alikuwa akipenda kuzungumzia jihad na kuhumiza waisilamu wasiwe wanyonge mbele ya makafiri ,wako masheikh ambao walimpinga ingawa walikosa hoja za msingi ,wakazua uzushi kitu kilicho sababisha umauti WA sheikh aboud rogo.tusiwe wanafiki Kwa minajili ya dunia .mwenye anapinga Dr sullez aende kumuona ili kuzidi kupambanua hili swala la majini.
Allah amurehemu shekhe wetu
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
Waalykumussalaam warahmatullah'hi wabarakaatuh ❤
MIMI NASHANGAA, BADALA YA KUSHUGHULIKIA MAADILI YA TUNAHUBIRI KUHUSU MAJINI SISI MAJINI HAYATUHUSU. VIJANA WANAHARIBIKA VIONGOZI MMEKALIA KUHUBIRI MAJINI!!!!
Pole kwa kukosa kuelewa elimu ni nini.
Duh
Bora umesema jini na sshetani kitu kimoja nimeukelewa
Lakini lazima pia uwelewe wanapo kosea ndio wanaitwa mashetani yaani shetani nisifa ya tendo
Hakika majini ni viumbe km sisi tofauti yake ni kuwa wao wameumbwa kwa moto na wao sisi hatuwaoni
Kuna watu hawana akili kwakwel hiv hujui afya ndo kila kitu lakin?hao vijana ndo wanaharibika na mashetan walioasi
Majini walifukuzwa mbinguni kwa ajili ya kuasi,nyinyi waislam mumejiunga nao katika ibaada, Je! mna uhakika sala yenu inaenda mbinguni?
Unajuwa kuongea ila hauna elimu Wala ufahamu kw unacho ongea....
Mungu ALIUMBA majini na watu....
Ila hakuna mahali Mungu ALIUMBA sheitwan ama iblis kama tunavyo muita ...
Bali sheitwan au Iblis ni jini aliye muasi Allah ..
Na ndio maana Masheitwan ni majini na watu(Quran: suratul Nas)
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo ❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤