PART1:UTAJIRI WA KICHAWI ULIVYOMTESA RAJABU/KABURIN SIKU3/MISUKULE YANGU/ALINIPA UCHAWI NIMUUE MAMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 2 роки тому +6

    Hakuna sehemu biblia inasema jilinde na Mungu akulinde,

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 2 роки тому +4

    Mida umefika WATU WOTE TUOKOKE TU HAKUNA PONA PONA YA MWANADAMU BILA YESU,NARUDIA TENA HAKUNA JAMANI

  • @kelvindaud3461
    @kelvindaud3461 2 роки тому +1

    Pamoja kaka

  • @wahidaabubakar9332
    @wahidaabubakar9332 2 роки тому +1

    Leo balaaa 😂😂😂

  • @lisajonsony9246
    @lisajonsony9246 2 роки тому

    Aujui kusimulia unaboa

  • @macamezungu7031
    @macamezungu7031 2 роки тому +1

    Pamoja saana Mr sheby Kijana wa dhahabu 🔥 na mi Nina dada yangu hana mkasa

  • @ahmadabdallah6641
    @ahmadabdallah6641 2 роки тому +2

    Safi

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 роки тому +1

    Story nzuri

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 2 роки тому +2

    Humalizi Story, yule Jamaa wa Freemasons kaishia wapi???

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 2 роки тому

    Twende Kazi Mr................

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 2 роки тому

    Uyu aeleweki bhana,ajui kujieleza

  • @suzanadeimamo7726
    @suzanadeimamo7726 2 роки тому

    Ahsante

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 роки тому +2

    Hapo kwenye Saguto kimasai nimekuelewa, ila inaitwa EMOONGO, AMA ESAKUTO

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 роки тому +2

    Noma sana ka mkubwa Tanga uko atari sana

  • @benedictmhina8940
    @benedictmhina8940 2 роки тому

    Mwamba namjua huyo

  • @suzaynnekenyagah1438
    @suzaynnekenyagah1438 2 роки тому

    Mbona jamaa Yuko sawa tu anaeleweka tu

  • @kanyawanamachel5369
    @kanyawanamachel5369 2 роки тому

    Hatar sana

  • @rastarastamabuki1933
    @rastarastamabuki1933 2 роки тому +1

    Akaniambia nimtafutie damu ya mm ya Ng,ombe hapo hapo nimegudua huyu mwamba story yake mchongo mm nashukia hapahapa sehem ya kwanza kwahelini jamani

  • @samueljohn4569
    @samueljohn4569 2 роки тому +1

    Unmber 1

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 роки тому

      Haya jmn mzigo mpyaaa upo kwa shebi alawi🤳team hammamu mukuje sasa mzigo ndio uwo up0 hewan

  • @hamadyerinesty329
    @hamadyerinesty329 2 роки тому

    Ushuwbada2 sheby unazingua sana

  • @shabanmakoye4410
    @shabanmakoye4410 2 роки тому

    Hata samia anajua lamli

  • @saadahiddy8789
    @saadahiddy8789 2 роки тому

    Nipooò

  • @wahidaabubakar9332
    @wahidaabubakar9332 2 роки тому

    Kwani sheby leo vipiii??!!! 😂😂😂

  • @josephmaganga1931
    @josephmaganga1931 2 роки тому

    Et wasenge 🤣🤣🤣🤣

  • @godelivamuswahili2988
    @godelivamuswahili2988 2 роки тому

    Jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shabanmakoye4410
    @shabanmakoye4410 2 роки тому

    Huyo chizi eti kazaliwa hapo hapo kwenye mti

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 2 роки тому

    Manjegeka

  • @reisezone4574
    @reisezone4574 2 роки тому +1

    stori ya yule dada mama mwanae alyeliwa na joka la mchungaji wake wa kike tabata mbona haiendelei imeishia wapi Pia stori ya yule wale wanawake wambao mmoja alibakwa na baba yao ili awe tajirinayo mmeikatisha, pia stori ya yule dada aliyeolewa na mme wake ambaye ni freemason pamoja namchungaji na kanisa lao na kule zanzibar pia imeishia wapi mbona haiendelei tena kabisa

  • @jacklineakoth1016
    @jacklineakoth1016 2 роки тому

    Alawi yule muuza mskule ilishia wapi jamani

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 2 роки тому

    Wewe Sheby tuletee yule Muuza misukule bhana mbona Unazingua sana sikuhizi😡😡😡😡😡

  • @davidochieng7055
    @davidochieng7055 2 роки тому

    pozi la kimamtoni limekaa kinyama zaidi

  • @josephmaganga1931
    @josephmaganga1931 2 роки тому +1

    Embu twende nae taratibu yetu masikio msimuliaji ni yeye tumpe masikio tutamuelewa kama huja muelewa achana nayo story zipo nyingi angalia zingine

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 роки тому

    Shetani kashatuchukua akili watu wengi tunataka KUWA na maisha mazuri na majina makubwa na heshima KUBWA mmmmh Ni HATARI Sana KWA mihela hii iliyoletwa na shetani Ni shida

  • @tututz100
    @tututz100 2 роки тому +1

    KICHA

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 роки тому +1

    MUNGU ANATULINDA SS WANADAMU SIO SS KUJILINDA

  • @shabanmakoye4410
    @shabanmakoye4410 2 роки тому

    Wasenge wa simba mnamsikia jamaa kasemaje

  • @isdorysmart9461
    @isdorysmart9461 2 роки тому

    Hapo hakuna kitu huyo anatakiwa awasimulie hadith watoto wa shule ya chekechea ukimuoji mtu kama huyo unaweza kufafana naye akiri

  • @theblackandrew4119
    @theblackandrew4119 2 роки тому +2

    Mbona jamaa anaeleweka tu nyie na bando zenu za kuungaunga ndo mna shida yenu.Sikilizeni story acheni mawenge

    • @godlovem7139
      @godlovem7139 2 роки тому

      Wape hao wezidi na bando lao la songesha😀😀😀

  • @smakas7391
    @smakas7391 2 роки тому

    Sasa huko Tanga umekuwa mchunga ng'ombe sheby

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 роки тому

    😂

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 2 роки тому

    Tuletee story ya maana hi story inaboa

  • @alexandraasukulu6864
    @alexandraasukulu6864 Рік тому

    L b p)

  • @Qaswararafashion5041
    @Qaswararafashion5041 2 роки тому

    Sema mjomba unakamba🤣 kuna mda mwanzoni kule ulisema kazi ya butcher ilikuwa unalipwa laki tatu sasa hiv unasema mtaji ulikata weee🤪🤪

  • @hamadyerinesty329
    @hamadyerinesty329 2 роки тому

    Huna lolote mshamba2

  • @kelvindaud3461
    @kelvindaud3461 2 роки тому

    Pamoja kaka