PART4:ALIECHUKULIWA MSUKULE MIAKA 11 ARUDI/MAMA ALINIZIKA AKIJUA NIMEKUFA/TAJIR WA MABASI ALININUNUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 Рік тому +2

    Hadithi nzuri. Itanoga zaidi kama mtatuonyesha hilo kaburi na kufanya interview na baadhi ya wahusika. Well done Davista!
    Davista hoyeee!!

  • @rebound2179
    @rebound2179 Рік тому

    Ajabu jinsi Mungu huwa amepanga hatima maalumu ya baadhi ya watu. Mungu alimwokoa huyu jamaa akiwa katikati ya wenzake.🙏🙏🙏

  • @camillekitimukulu1094
    @camillekitimukulu1094 Рік тому +3

    🔥 Bwana YESU asifiwe !mulokole usikate tama! PRAY WITHOUT CEASING ! 🔥Sala yetu ina aribu kweli kazi za shetani ! Wapigweeee 🔥!Siku izi za mwinsho Mungu wetu anatuongezeya ufaamu , Sila💃 , ana fichuwa siri zote ya aduwi ! aksanti mutumishi Davista 😍.🤔Nina swali ; kwenu tanzania munazika pale pale manyumba kwenu ?

    • @rosemarry2020
      @rosemarry2020 Рік тому

      Ndiyo lkn vijijini

    • @camillekitimukulu1094
      @camillekitimukulu1094 Рік тому

      @@rosemarry2020 🙂 aksanti kwa jibu lako ! Una maanisha there is no cemetery ! 🤔Sasa ile shuuda ya wachawi kufanya mambo zao makaburini 😲inafanyika nyuma ya manyumba tu 😲🤔kwa wale wasiona Christu lakini🤔

  • @gabriellusinde9263
    @gabriellusinde9263 Рік тому +2

    Hakuna lisilowezekana kwa Mungu lihimidiwej na la yesu

  • @anneadrienne6055
    @anneadrienne6055 Рік тому +2

    Yesu ni bwana

  • @annamulenda6652
    @annamulenda6652 Рік тому

    Shalom.. nina swali.. Mtumishi wa Mungu.. Asante kwaushuhuda..... Nimaombi yaaina Gani mtu anaweza kuomba kukemea misukule . Asante

  • @geez5076
    @geez5076 Рік тому +1

    Kwanini hajarudi kushusha maombi kwenye ile nyumba ya wale misukule alipokua ana ishi awakombe? Au wale ilikuaje

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 Рік тому

    Amen amen amen

  • @fredichaki3497
    @fredichaki3497 Рік тому

    Huyo tajiri ni Sumry mwarabu ndiyo mwenye kampuni ya mabasi na ndiyo aliye fariki na ndiyo mwenye mashamba makubwa ya maindi mashwaatani hao wanatesa sana watu hao

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 Рік тому

    Hio ndio dawa ya mchawi arudi kuzimu coz Kila mtaa hatakikani kabisa

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 Рік тому

    Sasa mbona Davista hujauliza km walipofukua kaburi waliona nini mle kaburini?

  • @reisezone4574
    @reisezone4574 Рік тому

    Mbona VIDEO ya dakika 10 Fupi sana inakuaje ina nani kuna nini