LIFE WISDOM : USHINDI KATIKA VITA - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 32

  • @AngelMassawe-nz9sk
    @AngelMassawe-nz9sk 2 місяці тому +7

    Taifa limekupata Joel umekomboa wananchi wengi mwelekeo ulikua ni vurugu hata kwa wasomi hii ni maarifa fichika imezinduliwa kwako ukaamua kusaidia wengi Asante kiongozi binafsi nimekua mshindi zaidi kupitia Elimu zako Mungu atukuzwe kwa ajili yako

  • @sebastiansinka4005
    @sebastiansinka4005 2 місяці тому +5

    Bro kila siku lazima nikusikilize ndonianze na shughuli zingne

  • @user-lj4pz4pv8o
    @user-lj4pz4pv8o 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana mental wang

  • @grace-neemabuninange-bujik9117
    @grace-neemabuninange-bujik9117 Місяць тому

    Nimejifunza

  • @josephtesha872
    @josephtesha872 2 місяці тому +1

    Hii ya leo ni yangu asantee sana umekua sehem ya kuepuka matatizo kweny maisha yangu asante

  • @davidfrancis7775
    @davidfrancis7775 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana Mwl wew ni hazina Mungu azidi kukutunza

  • @thegoldenmindtz
    @thegoldenmindtz 2 місяці тому +2

    Ohoooo! Nimezipata hizo sababu za wao kunianzisha vita... Wanataka ni LOOSW FOCUS waharibu RASILIMALI ZANGU.
    Ahsante sana MY MENTOR.

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 місяці тому +1

    Kweli kaka ningetamani kuhuduria semina yako bahati mbaya nipo nchee ya nchii

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 2 місяці тому

    🎉🎉💪🙏

  • @Madam255
    @Madam255 2 місяці тому

    Kaka Joel asante sana kwa hekima hizi mimi saivi nimekuwa katka maendeo mbalimbali mindset mtazamo chanya kujiona wa thamani kuajiamini japo hapo bado najifanyia kaz ili nijiamini zaidi

  • @FarajaMkumbo-pc3ft
    @FarajaMkumbo-pc3ft 2 місяці тому

    Hakika nimejifunza kitu kikubwa sana mungu azid kukubariki zaidi

  • @user-ge4rf9rf9c
    @user-ge4rf9rf9c 2 місяці тому

    Bro bro bro Nanauka thanks kwa maarifa unayotupatia Mungu akuzidishiye nguvuu ...💯

  • @mahambagislain9618
    @mahambagislain9618 2 місяці тому

    Mungu aku tie nguvu, 🎉🎉🎉🇨🇩

  • @DenisTarimo-bf4zq
    @DenisTarimo-bf4zq 2 місяці тому

    Uko vizuri kaka umeturudisha kwenye reli wote tuliotaka kupoteza tumain

  • @user-ys2wk4rj6f
    @user-ys2wk4rj6f 2 місяці тому

    Tupo pamoja mbaka tufanikiwe wote

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana kaka ❤❤

  • @GerrardKizwolo
    @GerrardKizwolo 2 місяці тому

    Kaka mungu akutunze

  • @user-oq4fv5ed7u
    @user-oq4fv5ed7u 2 місяці тому

    Barikiwa sana

  • @HalimaAmadi
    @HalimaAmadi 2 місяці тому

    Ubarikiwe na nakuelewa sana❤

  • @EditherLufunda
    @EditherLufunda 2 місяці тому

    Ahsante sana

  • @StellaJohn-cx7dz
    @StellaJohn-cx7dz 2 місяці тому +1

    Mungu azidi kukufadhiri na azidi kukupa afya njema

  • @NickGamba-ft8tl
    @NickGamba-ft8tl 2 місяці тому

    Asante Mwalim JOEL ARTHUR

  • @NickGamba-ft8tl
    @NickGamba-ft8tl 2 місяці тому

    Asante Mwalimuu

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 2 місяці тому

    Asante br .. nimejifunza kitu

  • @pauljosephtarimo2279
    @pauljosephtarimo2279 2 місяці тому

    Tuliopo nje ya nchi ungetuwekea hapa tufaidi

  • @ramadhanmkenda5918
    @ramadhanmkenda5918 2 місяці тому

    Tupo naww teacher

  • @eliastanda9825
    @eliastanda9825 2 місяці тому

    Sad Truth 😢

  • @lilyanmosses1301
    @lilyanmosses1301 2 місяці тому

    😊I⁹