LIFE WISDOM : AINA-5-ZA-NIDHAMU-BINAFSI-UNAZOZIHITAJI - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 68

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 6 місяців тому +26

    Habari kaka. Kuna SoMo muhimu sana la PARTNERSHIP ningependa uligusie. Maana Kuna watu wanafika mbali Sanaa kwa mfumo huu. Na wengine wanalia pia. Tungependa utusaidie SoMo hili

  • @furahasweya7433
    @furahasweya7433 16 днів тому

    Barikiwa sana kaka Joel kila leo najifunza mengi toka kwako . Mungu akubariki sana.

  • @ProsperUrio-r4e
    @ProsperUrio-r4e 14 днів тому

    Naitaji vitabu bos wangu nakukubali xn

  • @BaloziKasema-tg2dw
    @BaloziKasema-tg2dw 6 місяців тому +1

    Joel Nanauka nakupongeza na kukushkuru umenijenga moyo na kunielimisha vilivyo. Umenifanya nategea mafunzo yako Hadi ningependa siku moja nikutane na ww. Maana tokea nkujue nmejifunza mengi Sana. Asante shukran mkuu.

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 6 місяців тому +2

    Namtukuza Mungu kwa ajili yako kaka ❤❤

  • @YusterLumba-nb4ez
    @YusterLumba-nb4ez 3 місяці тому +1

    Mungu azidi kukuinua Mr Joel

  • @BrinellyKazimoto
    @BrinellyKazimoto 2 місяці тому

    Kabis unach kifumdisha kinajenga saana mungu amekuweka kwasababu yetuu ubalikiwe saana

  • @shadruckjohn
    @shadruckjohn Місяць тому

    Braza Joel kusema kweli mafundisho yako yananigusa sana, ubarikiwe sana na Mungu, lakini pia natamani kupata mawasiliano yako kama itakupendeza.

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 6 місяців тому +2

    Hazina ya taifa 🙏

  • @AsharamadhanTulumbu
    @AsharamadhanTulumbu Місяць тому

    Thnkx sana joel....kiukweli umebarikiwa....coz umekuwa mwl mzr sana kwng

  • @FrankMathius
    @FrankMathius 17 днів тому

    Asante kaka nimejifunza kitu

  • @alexlucas1571
    @alexlucas1571 6 місяців тому

    Shukrani sana Kaka joel kwa darasa YEHOVA MUNGU azidi kukupa afya njema 🙏

  • @godblesskaaya5398
    @godblesskaaya5398 6 місяців тому

    Asant sana brother JOEL Kwa SoMo zuri hakika umenitoa mahali.

  • @MSHINDICLEMENCE
    @MSHINDICLEMENCE 6 місяців тому +1

    Ahsante kwa somo lako make Muda na emotions zinasumbua xn kuwana nidhamu kwazo

    • @giftcarlos4409
      @giftcarlos4409 6 місяців тому

      kaka nahitaji hivyoo vitabu nawezaje kuvipataaa kakaa

  • @semboshija2087
    @semboshija2087 Місяць тому

    Joel ubarikiwe tunapataje vitabu vya nidhamu ya pesa

  • @RebeccaMwakibibi
    @RebeccaMwakibibi 6 місяців тому

    Daaah Mungu amenileta hapa kwa makusudi

  • @clarasabutoke6907
    @clarasabutoke6907 6 місяців тому

    Najenga ushuhuda kupitia mafunzo yako, asante sana

  • @DelightfulFencers-vu6zb
    @DelightfulFencers-vu6zb 5 місяців тому

    Kaka hongera hi ho kitabu cha nidham ya pesa kinauzwaje

  • @naomipanja5768
    @naomipanja5768 6 місяців тому

    Be blessed man of GOD

  • @paschalmasanilo2617
    @paschalmasanilo2617 6 місяців тому

    Asante sana kwa HEKIMA hizi kushare nasi

  • @avitus-thobias
    @avitus-thobias 6 місяців тому

    Thanks more kaka Joeli Mungu akuinue zaidi

  • @SamKanono-iw4bu
    @SamKanono-iw4bu 6 місяців тому

    unaweza sana Mungu akubariki

  • @wailesmsongole1914
    @wailesmsongole1914 6 місяців тому

    God bless you

  • @SALOMENkya-p4y
    @SALOMENkya-p4y 6 місяців тому

    Asante sana kaka Joel barikiwa sanaa

  • @GloriaMushi-b9r
    @GloriaMushi-b9r 6 місяців тому

    🙏💯 asante kwa maarifa mazuri

  • @stellanghambi2122
    @stellanghambi2122 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana Joel

  • @silvangabriel9532
    @silvangabriel9532 6 місяців тому

    So fantastic

  • @glorytogod2806
    @glorytogod2806 6 місяців тому

    Nabarikiwa na masomo yako

  • @DottoGatuntu-sw8fj
    @DottoGatuntu-sw8fj 6 місяців тому

    Ahsante saana kaka yetu from burundi

  • @goldiegranted5501
    @goldiegranted5501 6 місяців тому

    Fantastic 🙌🌠🙌

  • @elicemnunga3945
    @elicemnunga3945 6 місяців тому

    Nimebarikiwa mnooo. Asante sana kaka

  • @AdventJulius
    @AdventJulius Місяць тому

    Aise naelimika kwa kweli

  • @IbrahimDaudi-bo7ke
    @IbrahimDaudi-bo7ke 6 місяців тому

    Shukrani Kaka Kwa Masomo YakoYananitia Moyo Sana Lakini,Hivi Vitabu Unavyo Visema Nitapatajeeee?????

  • @KalabaKlb
    @KalabaKlb 6 місяців тому

    Kwa gharama yoyote niko tayari nasubiri jibu lako

  • @hadijambwambo6833
    @hadijambwambo6833 Місяць тому

    ..mimi sijui napata wapi vitabu vyako joel

  • @KalabaKlb
    @KalabaKlb 6 місяців тому

    Niko tayri kaka Joël Nanauka niunge nami, mimi ni nina fanya biashara alafu ina takiwa nipate mafunzo please nipe nafasi

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 3 місяці тому +3

    Nidham ya kihisia( emotionally discipline)
    Nidham ya kifedha ( financial discipline)
    Nidham ya kujiendeleza binafsi ( personal development discipline)
    Nidaham ya kuhusiana na watu ( people relationships)
    Nidham ya mda 😊😊😊

  • @MusaPaul-te6kp
    @MusaPaul-te6kp 5 днів тому

    Jitahidi kuongeza sauti napata taabu kukusikiliza

  • @julianalaly2095
    @julianalaly2095 6 місяців тому

    Sawa kaka

  • @eliudbeyanga8575
    @eliudbeyanga8575 6 місяців тому

    Nakukubali kaka

  • @mwanaidihassan5868
    @mwanaidihassan5868 6 місяців тому +1

    Am still working on emotional discipline

  • @BeldinaAbuya-zr6qi
    @BeldinaAbuya-zr6qi 6 місяців тому

    Naomba kushiriki darasa hili

  • @magrethpaul2207
    @magrethpaul2207 Місяць тому

    ❤❤❤

  • @saidzubeir2111
    @saidzubeir2111 5 місяців тому

    Mm nengependa ukielzea hzi vidio uwe nakasi kma vile ukitowa vidio maana inalta marali kabsaa na inainaingya katka hsia zaidi❤

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 6 місяців тому

    Ameen

  • @franciscalutauga-vs7kf
    @franciscalutauga-vs7kf 6 місяців тому

    habari joel. honger na asnt kwa ujuzi unaotupatia. ,samahani mm ni mama nahitaji namba yako binafsi pls pls pls

  • @MagrethMhoja
    @MagrethMhoja 3 місяці тому

    Vitabu vinapatikana vip

  • @tsongokauta5911
    @tsongokauta5911 6 місяців тому

    Shukurani

  • @kisakatinah
    @kisakatinah 6 місяців тому

    your the best bro joel see you at the top

  • @pilichuli4449
    @pilichuli4449 6 місяців тому

    Na Mimi naitaji uniunge Kwa ghalama youote

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 6 місяців тому

    🙏🙏🙏

  • @mariamwikedzi1638
    @mariamwikedzi1638 6 місяців тому

    Samahani coach soft copy ya kitabu Cha nidhamu ya pesa shilingi ngapi

  • @lilianjoseph1144
    @lilianjoseph1144 6 місяців тому +2

    See me at the TOP!

  • @EmanuelGorromo
    @EmanuelGorromo 28 днів тому

    Samahan kaka nahitaj hiy kitabu cha money formula,kwa huku manyara ntapataj

  • @lucianmoses9655
    @lucianmoses9655 Місяць тому

    Vitabu napataje?

  • @hollonghangasamala9662
    @hollonghangasamala9662 6 місяців тому

    Joel mtu anakupataje personal? Huduma ya ushauri

  • @IdiSankaa
    @IdiSankaa 6 місяців тому

    Pls number za sm naomba nataka niagize vitabu

  • @Jaina225keya
    @Jaina225keya 6 місяців тому

    napata wap hivo vitabu

  • @MorryNice-qt3kt
    @MorryNice-qt3kt 6 місяців тому

    Nitapataje kitabu Cha nidhamu ya pesa

  • @ProsperUrio-r4e
    @ProsperUrio-r4e 14 днів тому

    Joel namna ya wewe kuja tabora nafanyaje? Na galama ikoje nijulishe tafadhal

  • @VictorOne-hc9fi
    @VictorOne-hc9fi 6 місяців тому

    Napataj vitabu niko tanga