ZAMARADI ATUKANWA MATUSI MAZITO NA MDOGO WAKE 'SITAKI UMFANYE MWANANGU MSUKULE'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 26

  • @chumchum1526
    @chumchum1526 16 днів тому +2

    Majuto tena si mketema...... sipendi ndugu wakigombana japo kuna wengine hawavumiliki.poleni sana Mungu awafanyie wepesi in sha Allah

  • @diksonswairoman5689
    @diksonswairoman5689 17 днів тому +2

    Ndugu yako ndo adui yako ulikuwa ujuiii😂😂

  • @Mamaboys-m7x
    @Mamaboys-m7x 16 днів тому +2

    Naamin anaongea kwa hasira na uchungu Aliokuwa nao lakin Mwenyezi mungu ameharamisha kumkataa ndugu yako wa kuzaliwa nae but kuna kitu nyuma ya huyu mdada zama alifanya for good hakunaga dada anaetaka mdgo wake aharibikiwe

    • @leehhams5393
      @leehhams5393 15 днів тому

      @Mamaboys-m7x kuna madada hawapendi wadogo zao wawazidi. Hao madada wapo na wanaumizs ndugu zao sana.

  • @RayChausa-g6m
    @RayChausa-g6m 18 днів тому +2

    Waaaa kazi ipo

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 12 днів тому

    Tumsubiri zamaradi na yeye aongeee

  • @zr7808
    @zr7808 17 днів тому +1

    Shauri kwangu kwa dada na kaka zetu, si bustara kutowa ugonvi wenu ku social media haifai kabisa. Mimi siwajui lakini naona vibaya kutowa ugonvi wenu hazarani😢

  • @bibiejuma5094
    @bibiejuma5094 11 днів тому

    Ata Yusuphu waliomdumbukiza kisimani ni ndugu zake wa damu tuzingatie msemo huu

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 16 днів тому +1

    Wacheni kujidhalilisha mitandaoni.Damu nzito kuliko maji. Malizeni tofauti zenu nyumbani mkiwa mmefunga milango.🙄.

  • @eunicewangila2326
    @eunicewangila2326 15 днів тому

    Humu nchini bado watu wanatapeliana,wanakuchekea usoni ila rohoni

  • @rosemarynitwa2498
    @rosemarynitwa2498 14 днів тому

    Hivi ugomvi na ndugu mpk muulete huku kwenye mitandao? Hapana hii sio kabisa!

  • @ElinahStephano
    @ElinahStephano 17 днів тому +1

    Kwann msimalizane wenyewe jmn

  • @Aminah-i9p
    @Aminah-i9p 16 днів тому +1

    Mitandao imeleta shida hawa mabinti, hawana wazazi hivi haya NI malezi ya ndugu,daah tumefika mbali Sana,hii ni balaa ndugu moja,,mitandaoni,,mambo kama movie hivi

  • @theresaelizabethelijah117
    @theresaelizabethelijah117 17 днів тому +1

    Naona mabichwa tu 😂😂😂😂

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 17 днів тому +2

    Mtihani

  • @sharifamunisi4378
    @sharifamunisi4378 15 днів тому +1

    Miwani kama kobe

  • @blessedaggie9159
    @blessedaggie9159 14 днів тому

    Ndo huyu alimnunulia gari?

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 17 днів тому +3

    Bite na Mather huku zamaradi na mdg wake, jamani,amani na iwe kwenu,nawatia moyo,siku hizi ndugu wengi hawaelewani maadili yamepotea upendo nao unasua sua

    • @madamharrieth9453
      @madamharrieth9453 12 днів тому

      Afu Kuna mie na Dada angu naomba mungu anitie nguvu hii situation ni ngumu nimeshindwa kwa moyo huyu wa nyama

  • @benosilwani5208
    @benosilwani5208 17 днів тому

    Tuanzie wap jmn kwa Bite au zama mbn mwaka uko speed sana

  • @leehhams5393
    @leehhams5393 16 днів тому

    Mimi namuelewa huyu dada.kuna wakati tunaumizwa sna na ndugu zetu tuliowaamini tunatamani tu dunia ijue ukwel manaa unakuta huyu dada anapakaziwa mabaya kila kona.

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 18 днів тому +2

    Wandugu wakigombana shika jembe ukalimeeee wakipatana chukuwa gunia ukavune hauna point

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 17 днів тому +2

      Ni kweli kabsa yaani bora wangemalizana ndani tu, em asituchoshe.

    • @Mikeys-m9w
      @Mikeys-m9w 17 днів тому

      😅 Tuna yetu yametushinda ​@@humbleshoal