KAJALA akerwa na video ya HARMONIZE akiwa na ABBY CHAMS, aandika kwa hasira

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 107

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 14 днів тому +11

    Hiyo ni ngoma ambayo Abby kamshirikisha Harmonize. Harmo ni mzur kwenye kupromote nyimbo ya mtu kulko zake. Angalia nyimbo zote alizoshirikishwa😊😊

  • @wisemanfromzerotohero970
    @wisemanfromzerotohero970 14 днів тому +18

    Ni kazi hiyo wamefanya hivo kutengeneza njia ya kazi hio make harmo anapenda mizigo kama mimi

    • @Kylayazzh
      @Kylayazzh 14 днів тому +2

      😂😂😂😂😂😂

    • @Mina.15
      @Mina.15 14 днів тому +2

      😂😂😂😂

    • @rogerbijisi8465
      @rogerbijisi8465 14 днів тому +2

      Kwani wew unamizigo😊 tuone kwanza kam kwer unamzigo😢

    • @nikiwejimson8527
      @nikiwejimson8527 14 днів тому

      ​@@rogerbijisi8465wow😂

  • @Emanuel-z8b
    @Emanuel-z8b 12 днів тому +1

    Jamaa yup sawa

  • @chriswabs
    @chriswabs 14 днів тому +4

    tuletee maembe motors huku kenya,, Sisi tunapenda vitu za ki Tz

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 10 днів тому

      Tutongeaje nanyi sisi hatujui kiingereza bhana 😢

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 14 днів тому +2

    unaposema umri ni mdogo sana ana miaka 15 or 18😢😢😢😢 acheni hizoo bhana

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 14 днів тому +2

    Ni kazi wanatoa pamoja hamna mapenzi bhana

  • @Sunshineof-y3l
    @Sunshineof-y3l 14 днів тому +16

    Konde atawachanganya watu mpaka waelewe hahahhahaha jamaa kwel aishiwi kiki mjini apa

    • @joesplatnumz
      @joesplatnumz 13 днів тому

      Harmonize anajua kucheza na akili za wambea tz 😂😂😂😂

  • @ernestgumha3186
    @ernestgumha3186 14 днів тому +3

    Wew wa katikati wew roho mbaya tahadhari ya Nini wivu to unakusumbua chambua jambo usiseme watu vibaya

  • @kpsfilms
    @kpsfilms 13 днів тому

    true love never die

  • @mohkhanram3553
    @mohkhanram3553 14 днів тому +1

    Hatareee kweli kweliiii weweeeh wachaa movie iendeleee

  • @PaulFaustinemisaraba-bp8md
    @PaulFaustinemisaraba-bp8md 14 днів тому +5

    Jamn kajala na konde Bado wanapendana

    • @254snf
      @254snf 14 днів тому

      Wee nae kajala ana mtu wake

  • @Lashymreal96
    @Lashymreal96 14 днів тому

    Hiyo ni kazi ijayo Abby ft Harmonize

  • @SeverinaRaymond
    @SeverinaRaymond 14 днів тому +1

    Huyo wa 3 duh ndio nimemuona leo aisee huwa ni voice tu leo
    Nimemuona 😊

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 13 годин тому

      Mbona hua yupo tu, huenda humfatilii.

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 13 днів тому +1

    Simba mwenye njaa hata sungura atapita nae 😂😂😂😂😂so harmonize kupita na Abby sio shida zake bora nyama iweko tuu

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 14 днів тому +3

    Maybe he wants change he could be tired of fake nyashs they say those fake nyansh stinks bad

  • @LaddyChimiy
    @LaddyChimiy 13 днів тому +2

    Huyu koti la blue wa kati km hamkubali huyu alovaa t shirt nyeus sijapendraa anavomfanyia mwenziwe😰

  • @SamataLain
    @SamataLain 14 днів тому

    Jamani Kila nabii na zama zake

  • @jaythemwalimu2865
    @jaythemwalimu2865 13 днів тому

    Just little advice....huyo wakati anachuki ya wazi na harmonize....he should be professional banah

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 14 днів тому +2

    Sema ,Mwijaku n'a Stan bakora ni viherehere ,wajuaji hawana lolote

  • @Kylayazzh
    @Kylayazzh 14 днів тому +2

    Lunya tena😅😅😅😅😅 nimecheka hadi najimaliza hapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @vincej9275
    @vincej9275 12 днів тому

    Hapa ni kazi tuu. There is no relationship here.

  • @PhilbertRobert-d8s
    @PhilbertRobert-d8s 14 днів тому +1

    Mnalalili changes can happen anytime, Sasa km umeelewa alichokimanisha kuwa nyashi is good but mind is better, hapo anataka mtu mwenye akili

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 12 днів тому

    Mizigo mikubwa mtangazaji mizigo gani hiyo 😂au niongee na mwanasheria wangu

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 13 днів тому +1

    Furaha maana yake ni kupata mtoto wa kike atakaempa amani so furaha ya moyo wake na moyo wa mtu kichaka labda kampenda hamjui nyinyi mwamsema vibaya harmo tuu

  • @MetrineOmare
    @MetrineOmare 13 днів тому

    Esco kanichekesha leo😅😅 hatari😅😅😅

  • @Naju645
    @Naju645 14 днів тому +2

    Wanaume wenye ndevu mauwa yenu💐💐💐💐💐💐🌹

  • @SamwelNyangala
    @SamwelNyangala 12 днів тому

    Hivi kweli content zimeisha huko Dar...?

  • @41Company-g5d
    @41Company-g5d 9 днів тому

    Yani huyo jamaa wa vest nyeusi anajiita white nayeye duh

  • @levienlevismmbenga2415
    @levienlevismmbenga2415 14 днів тому

    Uko mjinga sanaaa

    • @chriswabs
      @chriswabs 14 днів тому

      @@levienlevismmbenga2415 matusi ya nini tena

  • @Kaida_Cut254
    @Kaida_Cut254 14 днів тому +1

    Yani mnajudge hadi mahusiano ya watu daaah 😂😂😂 aby ni mtu mzima

  • @nesymichael4286
    @nesymichael4286 13 днів тому +1

    Huyo mwenye miwani khaaa mbna anawivu na harmo na abby

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 13 годин тому

      Sio wivu jamani, hawa ni wachambuzi.

  • @safari23
    @safari23 13 днів тому

    Hakuna mapenzi. They are releasing something soon.

  • @aasatt78
    @aasatt78 14 днів тому

    Nampenda Abby kazuri sana jamani namuombea apate mwanamme mzuri ila si huyo mvuta bangi

  • @maryamtan682
    @maryamtan682 14 днів тому +1

    Yy inamkera nini akae kwa kutulia tu mwaka ndo kwanza unachomoza.😊😊😊

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 13 годин тому

      Abby bado mdogo kua kimapenzi.

  • @m-jay2840
    @m-jay2840 14 днів тому +5

    Abby and Con Boy will make bonge la couple watatikisa kweli kweli

    • @chriswabs
      @chriswabs 14 днів тому

      Abby tutamtafitia tu Mkenya😁

    • @m-jay2840
      @m-jay2840 14 днів тому +1

      @ Willy Paul so the beef inoge 🤣🤣🤣🤣 will be 🔥

    • @chriswabs
      @chriswabs 14 днів тому

      @@m-jay2840 Abby na Willy Paul hapana,, tutamtafitia Tu msanii mufti huku

    • @chriswabs
      @chriswabs 14 днів тому

      lakini pia ww @@m-jay2840 nadai nikutaftie Mdigo WA huku Kenya uwe na wife hii 2025

    • @chriswabs
      @chriswabs 13 днів тому

      @@m-jay2840 nikutaftie Mdigo?

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 13 днів тому +1

    Sasa konde amkule Abby ama asimle mbona mwakereka simulizi jamaaani 😂😂😂hebu mwacheni harmonize ale ujana wake coz hela ako nayo pia

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 13 годин тому

      Unasapot upuuzi asa au unatania?

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 12 днів тому

    Abbychams bhana vita na Paulah kashindwa kakimbilia vita na Kajala 😂😂😂 wote n Harmonize wamefail wajane wameamua kupambana na Masanja Family 😂😂😂

  • @LaddyChimiy
    @LaddyChimiy 13 днів тому

    Huyu koti la blue mshenz sana sijampendraa

  • @fbr5113
    @fbr5113 11 днів тому

    HARMO AKITOKA HAPO ATAHAMIA KWA MIMI MARS ALI MRADI TU AJICHOMEKE FAMILIA YA KAJALA NA PAULA APATE KIKI

  • @godfreylutengano9367
    @godfreylutengano9367 14 днів тому +1

    Hiv abby chams na Paula nani mtoto na nan mkubwa? Msikachukulie pw kisa kembamba

  • @MetrineOmare
    @MetrineOmare 13 днів тому +1

    Esco bana hivi tahadhari kwa nini yani😂😂

  • @khalifaalmugheiry9232
    @khalifaalmugheiry9232 11 днів тому

    Apo amo anaweza akaganda kama alivo dai kwa zuchu

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 14 днів тому +1

    Matapeli mjini😂😂😂😂

  • @gibonykiyao9698
    @gibonykiyao9698 14 днів тому +1

    Kuna jamaa hapo anaongea kwa wivu sana, anataman angekuwa yeye na abby

  • @Majiokpuol
    @Majiokpuol 12 днів тому

    No yule dem konde gang tumemkubali

  • @sayna9811
    @sayna9811 14 днів тому +1

    Nitoe tahadhari

  • @vanessaemmanuel7197
    @vanessaemmanuel7197 10 днів тому

    Abby can never date Harmo🤣🤣its just promo

  • @PuntaHilal
    @PuntaHilal 14 днів тому +1

    poshy ndiye muke wake uyo abi ni nikiki tu na nyinyi waandishi amuoni kama ni kiki apo?

  • @MetrineOmare
    @MetrineOmare 13 днів тому

    Lol escko bana eti afaa lunya 😅😅😅😂😂😂😂

  • @SamiaMbada
    @SamiaMbada 14 днів тому +1

    Acheni wivu

  • @Smart_FundamentalFx
    @Smart_FundamentalFx 14 днів тому

    Ila Esko leo amepoa 😂

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 14 днів тому +1

    Hivi hakuna parachichi motor's 🤣🤣

    • @shijandobehe4953
      @shijandobehe4953 14 днів тому +1

      😂😂 umewaza nini

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 14 днів тому

      @shijandobehe4953 yaan hawa jamaa wamezidi kila siku maembe motor's

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 14 днів тому +1

      ​@@mrsinia3064 sasa huelewi nn wakat hao ndo wanafanya Media ikue. Bila matangazo media itasogea vipi?..Au mnafikiri kama wanaongea Maembe sijui ndizi no...hili TANGAZO.

  • @PhilbertRobert-d8s
    @PhilbertRobert-d8s 14 днів тому +1

    Wewe unatoa tahadhari km nan kwani ww unafanya mangapi na mbona hawakutaadharishi

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 13 днів тому

    Konde niovyo kabisa😢

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 13 днів тому

    furaha jina la nyimbo kaimba hamo na abi

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 10 днів тому

    Huyu na miwan yake anaumia nini hamo akiowa abby acha wivu wewe😂

  • @SuleimanChief
    @SuleimanChief 2 дні тому

    Wacha kumsemea mwanamme mwezako..uchooko huo

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 14 днів тому +2

    Matapeli 😂😂😂

  • @Ashasalum-j1j
    @Ashasalum-j1j 14 днів тому +1

    Kila kitu afanyacho konde mnakonda

  • @lgdnce8309
    @lgdnce8309 12 днів тому

    konde kawaziba wazee jimama wote

  • @hassanaliamin1104
    @hassanaliamin1104 14 днів тому

    Why always harmonize😂

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 10 днів тому

    Muamini msiamini kama Abby ni bikra hio ni shida yenu . She's a virgin

  • @SamiaMbada
    @SamiaMbada 14 днів тому +1

    Wewe ndio uko naye?acheni wivu

    • @thebabilon7
      @thebabilon7 14 днів тому +4

      Kwanza huyo wa miwani tushaga mjua ni shabiki wa Diamond hanaga kipaji cha utangazaji kabisa huwa anaonyesha ushabiki wazi kwenye Midia nahiyo inashusha Media nyingi sana Tz

  • @PuntaHilal
    @PuntaHilal 14 днів тому

    kweli poshy ni mukimya kweli mutoto muzuri poshy

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 14 днів тому

    Abby mtoto mdogo yupo wazi asirimia 100 pale hakuna ukalibu kwa mmakonde kesha ichapa

  • @PhilbertRobert-d8s
    @PhilbertRobert-d8s 14 днів тому +1

    Yaani wewe unayesema kuwa harmonize ni tamaa, mindset yako ndo imefikia mwisho kuwaza, je kama ndo ameona ndo mke alimuona ndo mwanamke wa future yake? Alfu kuongelea hayo jua mahisiano has no adge but it an agreement btn them Alf I see abb is no already matured enough she can decide what is right to her so don't pretend like you know how what they have agreed to do

  • @JustusNangabo-q4l
    @JustusNangabo-q4l 10 днів тому

    Wewe Nini ulichanguliwa muke

  • @mimifineliving2022
    @mimifineliving2022 14 днів тому +1

    Copying Diamond(zuchu)

  • @BarakaNdelwa-p3e
    @BarakaNdelwa-p3e 14 днів тому

    Ahahaha ila konde

  • @SamataLain
    @SamataLain 14 днів тому +1

    Acheni maneno huyo konde anajitambuwa ni zaidi ya wasanii wenu

  • @PuntaHilal
    @PuntaHilal 14 днів тому

    poshy ni muke bora

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 14 днів тому +2

    Huyu wa Kati ni wivu sana kwa konde it’s always negative