@@FitinaSophia unajua watu wanapenda sana kuukumu akuna mwanamke anaye penda kuachana na mtu bila sababu na ukiona mtu anakutambuliaha mbele ya watu jua yupo tayali kwa lolote Sasa usiwe shida ukishindwana naye piga chini maisha aya ayataki kalaha
Wanaume tunahuruma sana historia ya Dem shishi aliwahi kubakwa lakin bado mnamganda tu vipi ,mnashida Gani vijana wasenge ,,mbwambwa ilishapigwa nawatu kibao bado mnajiloza nae wasenge
Ila wewe pia si ulianza kutembea nae akiwa mke wa uchebe ? Sasa vp ushangae ivyo uyo ni shugamami anatumia pesa kubemenda vitoto vidogo visivyopenda Kaz
Hongera shishi ata uyo akikusubua piga chini aya maisha jipe Raha mwenyewe
Daaa...... nimeipenda hii😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣umeonae 👌
@@FitinaSophia unajua watu wanapenda sana kuukumu akuna mwanamke anaye penda kuachana na mtu bila sababu na ukiona mtu anakutambuliaha mbele ya watu jua yupo tayali kwa lolote Sasa usiwe shida ukishindwana naye piga chini maisha aya ayataki kalaha
@@rosemahenge9071 maisha mafupi aya akioma amwelewi piga chini iyo inaitwa liwalo naliwe
Acha umalaya ww stela kubadilisha wanaume unaona ujanja
Shishi ni mdangaji kama wadangaji wengine
Alikua akae kimya kwa sasa... utaonekanwa kama bado unampenda
Kwanini asubiri Hadi Leo ndo aongee 😢, angekaa kimya tu.
Ameniudhi kweli romy ilitakiwa anyamaze tyu mpuuzi huyu😂😂
Huyu Mama ZUWENA (SHISHI)anatakiwa kuwa makini, wanaume hawafanyiwagi hivyo.asipokuwa makini hii tabia yake na hawa wavulana ipo siku ITAMGHARIMU.
Huyo Rom, si alikaa kimya? Wivuuu tu, miwani km kobe 😂😂😂
Move forward Rom khaaa Muache shishi a enjoy
Miezi sita anajua kuna mwenziwe na hajaacha 😂😂😂ndo maana akaonyeshewa
Hii inaitwa bandka bandua😂😂😂shishi katuwakilsha mashangaz wenye pesaaaaa usiombe uwe na mwanamke mwenye pesa
Akweeeeeeeeeeendeeeeeeeee
Kwani alijipeleka studio mwenyewe,au mlimwita kwajili yakujua anachowaza
Sasa hao wanawake wakununua vitoto vijana wasiopenda,dawa Yao inaingia sasa,aibu Sana kazi hamtaki kazi kuchukuliwa na mishangazi,,😂😂
Huyu shishi anahitaji maombi ataolewa mpaka lini? Mabinyi wamekua
Mmmh
Mishagaziiiii
Afu bora ungejikalia kimya na ushakonda pole
Rommi wivu unakusumbua 😂😂😂!! Jitahidi kukaa kimya km hujaona 😅😅😅
Daaah mimi nilikua wapi jmn kumbe ashaachana na Romi mpaka ashavishwa pete na mwanaume mwengine😮
Maisha yanaenda kasi kweli 😂😂😂😂
😃😃😃 Pole mpenzi mambo yashakua pambeee tu
@boramedia yani acha tu mpenzi nimeamini umbea hautaki uvivu nakaza buti sasa 😆😆😆
Ni changua dowa uyo Dada anabadili wanaume tunajifunza nini jamani
Kweli kabisa
Maneno yameanza Yan wabongo ni hatari mkipendana hakuna baya mkiachana tu maneno mabaga yanaanza MBona mwanzo hukuxema hayo. Tulia dawa ikuingie.
😂😂😂😂😂😂😂
Yetu macho tunasubiri Kwa Allah ndio Kuna majibu
Yamemkuta nae aiiiii
Yamemkuta nae aiiii.mh
Kuvishwa Pete sikuolewa
Hata mwanamme akizungumza mahusiaano ya x mke wake ujue anamtaka. kama humtaki hata huna haja ya kumzungumzia . Wivuuuuuuuu. Anaolewa.
Wanaume tunahuruma sana historia ya Dem shishi aliwahi kubakwa lakin bado mnamganda tu vipi ,mnashida Gani vijana wasenge ,,mbwambwa ilishapigwa nawatu kibao bado mnajiloza nae wasenge
Wanafata matunzo wakizingua shishi piga chini😂
ana lolote tangu mwanzo alikua wapi ni wivu huo bora ungenyamaza achana nae wivu 🙄
Fatuma ulikuwa wap nimekumic aise nilikuwa napenda story zako
Hata huyo nae ajiandae kuachwa
Wala c uongo..maji hufata mkondo. 😅
Kwa nini muanike mahusiano yenu
Wewe huwezi huo mzigo wacha wenye his naye wampe Raha kauka yakupite
Xemen na zakwenu bac.
Huyu jamaa siku zote alikuwa wapi,ni kuyaacha tu haya majanaume,unavuta na kutupa tu
Ukiachwa acika nabuu
Shishi hana tena sehem za siri...
Zuwena tafuta mume mtu mzima utulia nae
Anapenda vijana ila wamnyonye mnyonye uchi hataki wazee
Ndio mukome kupenda wanawake wenywe pesa so na hata huyo pia ajipenge kuwachwa😂😂😂😂😂
@@NadsmaaliAli mimi mwenyewe mwanamke Sasa napenda vp Tena jamani😂
Shilole ndio zake kutongoza wanaume ,anawanunua akikuchoka anakutimua
Ila wewe pia si ulianza kutembea nae akiwa mke wa uchebe ? Sasa vp ushangae ivyo uyo ni shugamami anatumia pesa kubemenda vitoto vidogo visivyopenda Kaz
Wachafu wakubwa
Yamemkuta nae aiiiii