TAZAMA TRUMP ALIVYOPIGWA RISASI WAKATI AKIHUTUBIA MKUTANO WA ADHARA NCHINI MAREKANI SIKU YA LEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Mamlaka za nchini Marekani zimemtambua Kijana Thomas Matthew mwenye umri wa miaka 20 kuwa ndiye ambaye amempiga risasi Donald Trump wakati akibutubia mkutano wa hadhara Mjini Butler.
    Thomas Matthew alitumia bunduki aina ya AR-15 kumpiga risasi Trump.
    Thomas alipigwa risasi na kuuawa baada ya kutekeleza jaribio lake la kutaka kumuua Trump na kufeli.
    #MBUKE ONLINE TV 🙏🙏
    #ahmedyally #azamtv #azamfc #billnass #boxing #cheka #football #championsleague #daimondplatmuz #feisalsalum

КОМЕНТАРІ • 1

  • @chiefmbuke
    @chiefmbuke  3 місяці тому +1

    Naomba usiondoke bila kusscribe kama bado aujasascribe please mungu akubariki🙏🙏🙏🙏 MBUKE ONLINE TV#🔥FAMILIA SAHIHI