KUNGWI DUME: MAFIGA MATATU KWA MWANAMKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 79

  • @AnthonySylver
    @AnthonySylver 3 місяці тому +1

    Jamani kungwi upewe maua yako 💐💐💐kwa kweli nimekuelewa Sana Asante kwa masomo yako

  • @Marim-c6k
    @Marim-c6k 23 дні тому

    Shukrani sana kwakutufunda Allah akuzidishie

  • @Swabrina-
    @Swabrina- 4 місяці тому +2

    Ongera sana kungwi nimejifuza kitu .. ongeraa sana Mr🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Margaret-u4p
    @Margaret-u4p 4 місяці тому +1

    Mafunzo yako kakangu mazuri,, nikiangalia hupoteza mawazo yaliyomo akili,, asante na MUNGU akupee maisha marefu tuzidi kujifunza 🙏

  • @jamilashaban-ex5zl
    @jamilashaban-ex5zl Місяць тому

    shukran kungw dume najivunia kuangalia mafunz yako

  • @LucyYatoli-le4dq
    @LucyYatoli-le4dq 4 місяці тому +2

    Niko hapa kungwi waiting for that vedio😂😂😂😂all the way from Saudi Arabia but a Kenyan,,thanks ata before niskize coz I know itanifunza mengne

  • @justblackcode
    @justblackcode 3 місяці тому +1

    🗣️🗣️🗣️Wanawake, wanawake, wanawake! Nimewaita mara ngapi? Bila shaka mara tatu! Nawaambieni hivi,"Mwanamme anayekupenda hawezi kukuingia kinyume na maumbile"! Kama wewe ni mwanamke unayejipenda na kujidhamini, mwanaume akikutaka nyuma, timua mbio, kama huwezi kutimua, basi kanyaga kubwakubwa 👂🏾🦻🏾!

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 4 місяці тому +1

    Mungu akupe maisha marefu
    Kaka usidi utupa mafunzo.

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 2 місяці тому

    Naam MashaAllah kwa kweli nikejifunza mengi ila nataka kukuona live ikiajaliwa

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 4 місяці тому +1

    Shukran Sana kungwi wetu 🥰 lkn tuletee muendelezo jamani plz😢

  • @MerashidSaidi
    @MerashidSaidi 4 місяці тому +5

    Mnipe likes zangu Leo nimewahi Kwa kugwi😂

  • @consolateurmgeni6772
    @consolateurmgeni6772 4 місяці тому +2

    Ibrahim Thedon mzee bona kungwi Dume ya ishirini na saba apa Congo 🇨🇩 atuya ipate

    • @ibrahthedon
      @ibrahthedon  4 місяці тому

      Soon itakuwa hewani mtaanza kuipata

  • @ZainabHassan-q7k
    @ZainabHassan-q7k 4 місяці тому +1

    Hongera IBRA❤❤❤❤

  • @janethstephen7869
    @janethstephen7869 4 місяці тому +1

    Asante Kungwi ❤

  • @Naima-v6x
    @Naima-v6x 4 місяці тому +1

    Tufundishe tafadhali wengine kwetu hakuna mambo kama hayo kama unyagoni hata kufundwa hamna

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 4 місяці тому +3

    Dada kwanza ninzambi utajibu nn kwamwenyenzi mungu 😭😭 nakama mumeo ndani bola dai talaka yako kuriku kumkubariya kufanya kinyume namaumbire dada nzangu kuweni makini sana

  • @ZaituniMeja
    @ZaituniMeja 3 місяці тому +1

    Nimejifunza mengi sikuyajua japo sijaolewa asant kipenzi

  • @DorcasKyalo-p1q
    @DorcasKyalo-p1q 4 місяці тому

    Asante sana Kwa mafunzo yako

  • @FatimaFatima-uo5of
    @FatimaFatima-uo5of 4 місяці тому +2

    Mimi mume wangu hataki ata kusikia shanga😂asema zakaa kichawi😂😂😂

  • @SarahMugisha-bh8yu
    @SarahMugisha-bh8yu 4 місяці тому

    Asante sanaa

  • @SamiaNikwigize
    @SamiaNikwigize 2 місяці тому

    Kungwe hasante sana kwa
    Mafunzo

  • @TelesiaDaudi
    @TelesiaDaudi 3 місяці тому

    Asante jaman😢😢😢

  • @GermaineAngesi-ov8ee
    @GermaineAngesi-ov8ee 4 місяці тому

    Ongera sana Kaka Ila tunasubiria 27 ya kungwi dume

  • @FatumaHassan-l5g
    @FatumaHassan-l5g 4 місяці тому

    Assante kungwi nmekupata vzr kwenye sekta yte y utandikaji n kutumia shanga

  • @ZainabHassan-q7k
    @ZainabHassan-q7k 4 місяці тому

    💕 IBRA 💕 IBRA 💕 nakuita 💕 Tena 💕 ibra 💕 Kwa 💕 herufi 💕 ndogo 💕 namaliza 💕 nasema 💕 hivi 💕 ahsante 💕 kipenz 💕

  • @FatumaSangize
    @FatumaSangize 4 місяці тому

    asante sana

  • @khadijazungu8627
    @khadijazungu8627 4 місяці тому +1

    Alouliza swali aende nchi za Magharibi akawaone wanawake warembo wanavyo vaa kwa Nappy yaani pumpas 💔💔💔

  • @maryobedi6807
    @maryobedi6807 4 місяці тому +2

    Wengine wanafanyiwa na waumezao wandoa

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 4 місяці тому +1

    🔥🔥💯

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 4 місяці тому +2

    jamani hiv kweri mwanaume akuambie umpe nyuma wanawake kuweni na mipaka wanaume hawalizik mwisho wa cku akija kukuacha afu uliwah kumfanyia vitu kama hivyo utatamani kujiua naludia tena hata kana unampenda muache aende

  • @MwanamkasiSalim-s1u
    @MwanamkasiSalim-s1u 2 місяці тому

    Shukurani kungwi dume Kwa mafunzo yako

  • @bakarimwinyikai3824
    @bakarimwinyikai3824 4 місяці тому

    Kaka Ibra video zako nazipenda huwa najifunza Na mimi pia!! Ila nataka kujua maana ya kuchanganya Rangi za shanga

  • @NasraKhamis-g1s
    @NasraKhamis-g1s 3 місяці тому +1

    Naomba namba yako kungwii

  • @amisafaraji5796
    @amisafaraji5796 4 місяці тому

    Kila mtu atunze Tako lakeee😂😂😂

  • @arafaibrahim8238
    @arafaibrahim8238 4 місяці тому

    Ushauri na vichambo

  • @KdSf-h8h
    @KdSf-h8h 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂kaka Ibrah Wewe😂😂😂😂

  • @ramlajeffah9831
    @ramlajeffah9831 4 місяці тому +1

    Assalamu alaikum dada ,samahani sana ila nakwambia usifanye hiyo ni dhambi hiyo kufanya kinyume na maumbile na ina madhara mengi sana kwa hiyo kuwa makini dadaangu

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 4 місяці тому

    Asante kwamafunzo

  • @AzizaMalume
    @AzizaMalume 2 місяці тому

    Maji ya uaridi yanapatikana wapiii,,duka za urembo au kisunna

  • @hussainalajmi5511
    @hussainalajmi5511 3 місяці тому

    Iyo shanga nyeupe mbona hujaeleza natamani nijuwe bby plz

  • @serahwambuamukuimukui6957
    @serahwambuamukuimukui6957 4 місяці тому

    Mafunzo matamu sana 😂😂😂😂❤❤❤

  • @sharifasalum5176
    @sharifasalum5176 3 місяці тому

    Tuweleze mto unatumiaje

  • @AkdbD-q3i
    @AkdbD-q3i 4 місяці тому

    Kungwi anakufunza alafu akuchamba kabisa 😂😂😂

    • @Margaret-u4p
      @Margaret-u4p 4 місяці тому

      😂😂 ndio anfunza vizur

  • @SUBIRAMPATE
    @SUBIRAMPATE 4 місяці тому

    Kungwi nipo hapa nimewai

  • @SamiaNikwigize
    @SamiaNikwigize 2 місяці тому

    Ila Nini kuwa nahitaji nijuwe
    Niapi mafuta yakupaka
    Kwenye mboo ya mumeo
    Munapo maliza tendo

  • @SeuriWilliam
    @SeuriWilliam 3 місяці тому

    Jamani wanawake tuwe waliinzi wa miiiyetu binfs Hawa wanaume bn hata ungekuwa mzuri kias gn lzm atok

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 4 місяці тому +1

    Mhhhhh hapo kafuata ushauri au kichambo 🤦🤦🤦🤦, aya kabiri tu ndo lake kwa hiyo kichepuka ruksa

  • @ashahussein-u6f
    @ashahussein-u6f 2 місяці тому

    Sa kungwi mtu kama anaolew na anahitaji uje umfunde kma kungwi itagalim cost kias gn

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 4 місяці тому

    😂😂😂😂 na km anamchepuko na nyumbani haachi matumizi yoyote

  • @ZainabOman-nw5eu
    @ZainabOman-nw5eu 4 місяці тому

    Asante kwa mafunzo kungwi,ila nina swali mimi mwanamume akikutana na mimi kimwili anasema namvuta ndani na mimi sijui namvutaje au ni maumbe yangu?sijui nifanyeje

  • @AshaOmar-ub7od
    @AshaOmar-ub7od 4 місяці тому

    Asate kungwi tunaomba mwendelizo wa kungwi dume

  • @hussainalajmi5511
    @hussainalajmi5511 3 місяці тому

    Kama mm nataka nijuwe vip viwili nn maana ya musungo na kukanyagwa plz

  • @DijjahTimba
    @DijjahTimba 2 місяці тому

    Dijjah

  • @CarlitacelestinoLimas
    @CarlitacelestinoLimas 4 місяці тому

    ❤❤

  • @فوزيةالسكيبي
    @فوزيةالسكيبي 4 місяці тому

    Niraana kbs

  • @ZainabHassan-q7k
    @ZainabHassan-q7k 4 місяці тому

    Hivi kujiunga wasp ni Kwa kiingilio😂

  • @tanzanianhappy60
    @tanzanianhappy60 4 місяці тому

    Mbn.watu.mnarudia maswali.somo.la.shanga.lilisha.fundishwa

  • @ZainabHassan-q7k
    @ZainabHassan-q7k 4 місяці тому

    Mbona unakuwa unakitumbo IBRA kama Cha JEI B😅

    • @ibrahthedon
      @ibrahthedon  4 місяці тому

      😂 Alieye niroga kaniroga niwe na kitambi mwambieni anisamehe jamani

  • @DéborahHarerimana
    @DéborahHarerimana 4 місяці тому

    Natamani nijifuzekwako vituvigisana

  • @LucyYatoli-le4dq
    @LucyYatoli-le4dq 4 місяці тому

    Hamnioni

  • @DéborahHarerimana
    @DéborahHarerimana 4 місяці тому

    Napeda mafouzoyako

  • @ZulekhaRamadhan-k4o
    @ZulekhaRamadhan-k4o 4 місяці тому

    Kungwi jmn mm nauliza mara nyingi group lako ni la malipo?

    • @ibrahthedon
      @ibrahthedon  4 місяці тому

      Nichek whatsp nitakupa utaratibu

  • @erinestangowi7785
    @erinestangowi7785 4 місяці тому

    𝑻𝒉𝒆𝒅𝒐𝒏 𝒘𝒆𝒏𝒈𝒊 𝒏𝒊𝒘𝒂𝒔𝒖𝒈𝒐 𝒘𝒂𝒌𝒊𝒕𝒂𝒌𝒂 𝒎𝒂𝒂𝒏𝒂𝒘𝒂𝒌𝒖𝒇𝒂𝒕𝒆 𝒊𝒃𝒐𝒙 𝒉𝒂𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒎𝒃𝒐 𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝒏𝒅𝒂𝒏𝒊

  • @bensonmunene1794
    @bensonmunene1794 3 місяці тому

    🔥🔥👌

  • @DéborahHarerimana
    @DéborahHarerimana 4 місяці тому

    Natamani nijifuzekwako vituvigisana

  • @DéborahHarerimana
    @DéborahHarerimana 4 місяці тому

    Natamani nijifuzekwako vituvigisana