Agenda muhimu za kuyaombea malango hasa katika majira tulio nayo. Yakobo 5:16 Mathayo 17:21 Lengo: kundi linalohitaji maombi zaidi. Tunakwenda kushughulika na ajenda zifuatazo. 1. TOBA- kuwaombea toba malango. Tunaposema malango, ninwale watu wanaotegemewa Sababu ya kufanya toba-1: inamfungulia mlango kwenye ulimwengu wa roho wa mungu kuachilia msaada wa huyo mtu. Nehemia12:30 Sababu 2- kumpa lango uhakika wa mungu kuwa upande wake. Warumi 3:31 Note: mungu anaweza kuwa pamoja na wewe lakini asiwe upande wako..lakini akiwa upande wako, lazima awe pamoja na wewe. 1samweli 4: (wote) Mithali 23 : 7 Ni hatari sana katika maisha yetu mungu kutokua upande wetu, hatuwezi kushinda vita ya malango.
Yohana 16: 33 Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu. *YESU AMETUSHINDIA MASUMBUKO YOTE YA ULIMWENGU HUU!!!*
Ameeen. Asante kwa ufunuo huu wa ajabu Eng. Goodluck Mushi. MUNGU naomba uwe nasi pia uwe upande wetu mimi na Familia yangu. 👌👌👌👌🙏🙏🙏🙏🙏
Naipenda sana Kijitonyama KKKT inaniimarisha KIIMANI. Barikiwa Mtumishi wa Mungu
My favorite mwalimu kila nikiwa na mapito hua unahubiri at the Right time .Mungu wetu Ni muaminifu
Ameeen Ameeen Mtumishi barikiwa sana na Mungu hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi.
Ameeeeeeeen nimebarikiwa mno na nimetua mizigo yote, jina la Bwana libarikiwe kwenu na kwangu
Nimebarikiwa sana
Aiseee ubarikiwe mtumishi nimepata Neno la Kifalme tofauti ya kuwa pamoja na wewe na kuwa upande wetu. Mungu awe upande wetu
Ameen Ameeeen
Amina
Amina Kubwa Mno Uliebarikiwa Na Mungu Baba !
Amina asante sana kwa ufunuo mzuri Mungu akubariki sana Mtumishi
Agenda muhimu za kuyaombea malango hasa katika majira tulio nayo.
Yakobo 5:16
Mathayo 17:21
Lengo: kundi linalohitaji maombi zaidi.
Tunakwenda kushughulika na ajenda zifuatazo.
1. TOBA- kuwaombea toba malango.
Tunaposema malango, ninwale watu wanaotegemewa
Sababu ya kufanya toba-1: inamfungulia mlango kwenye ulimwengu wa roho wa mungu kuachilia msaada wa huyo mtu.
Nehemia12:30
Sababu 2- kumpa lango uhakika wa mungu kuwa upande wake.
Warumi 3:31
Note: mungu anaweza kuwa pamoja na wewe lakini asiwe upande wako..lakini akiwa upande wako, lazima awe pamoja na wewe.
1samweli 4: (wote)
Mithali 23 : 7
Ni hatari sana katika maisha yetu mungu kutokua upande wetu, hatuwezi kushinda vita ya malango.
Wooow barikiwa mnooo Yesu akutunze na awe upande wako kila iitwapo leo..🙏
Ameeen
Ameeeeen
Ameenn Ameeen
Amen
Yohana 16:
33 Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
*YESU AMETUSHINDIA MASUMBUKO YOTE YA ULIMWENGU HUU!!!*
Amen