Daah mjomba kweli unatesa mtoto wa dada yako tumbo moja 😢😢😢mbwela mungu akubariki sana akupe maisha marefu n utaona mkono wa mungu uwe n huo moyo adi nimelia 😢😢😢🙏🙏🙏🙏😭😭
Nawaomba sana movie hii muirushe DSTV, TBC, STAR TV na vyombo vingine ili watu wengi zaidi waione na wajifunze kitu. Wasanii wetu mjifunze kitu hapa kwenye hii movie badala ya kuigiza mapenzi tu kila wakati bali badilisheni hisia na fikra za watu kwa kutoa elimu juu ya maisha halisi ya jamii inayotuzunguka. Hongera sana waigizaji mmefanya kazi nzuri sana.
Yani muvi za sikuhizi ni mapenzi 2 hazina hata maana tunashindwa kuziangalia mbele za watoto mbele za wazazi wasanii wanatakiwa wajifunze kupitia hii move
Mungu anakuona we mjomba na mkeo ipo siku utajutia maamuzi yako ya mnyanyasa Tete
Mwenyez mungu naomba nilete watoto wangu katika maadili mpaka wakue
Mungu nakuomba unijaalie maisha msrefu nilee watoto wang na wasio wangu pia
ILA wew mama na huyo baba ni wachawo weusi,,good movie
Very nice n sad movie n it's a lesson for us to leave our children with the right person
Pole San tete n weng wanapitia ayo, ila isiwe chanzo Cha wewe kutoa mwili wako
Potee tuu hamna namna broo bwela mungu akubarikii
Aise binadam tupendane siyo Kwa shuruba anazozipata huyu dada
Guys good job,, alaf,, jaman,, Nina scripts. ,,, pia kaa mnahitaji niambieni
Kuna watu Dunia hii Wana roho mbaya sana
Hii inatufundisha kuwa tusiwe na roho mbaya
Hawa waigizaji maana wanagusa maisha ya watu safiii Sana niwatakie kazi njema
Asante ndugu mungu akubariki
Mnguu wangu walewote am bao ni wa baya kiasihik wapeazabu Kalil. Hawanashukulanii hawa❤❤❤❤❤
asantii Sasa kabisa Kwa fundisho .
Mm mwanangu nimemuona akiteseka nikiwa hai nililia sana nawaza siku nikifa sijui watamuua kabisa eemungu mlinde binti yangu
Pole sanaaa ndug
Mungu naomba wasamehe wote
Teddy mungu atujarie atupe maisha malefu tulee watoto wetu make shangazi noma
9:17
😊 daaaah ubinadamu kazi kweli kwel
Mungu atulehem akina Mama jaman
eemungu tujalie maisha marefu ya hapa dunia tuishe na watoto wetu mpaka watakapo jiweza maana kuishi na wazazi wa wakambo ni mateso tu
Nzr sana inafundisha
Hapo nimeelewa kumbe tunaweza nawapongeza sana jamani mafundisho mazuri sana
kweli binadamu nikama sheta mtoto wa dada yako kweli unamfanyia unyam kwel pole san tete mungu nakupe maish mwem
Pole sana Teté 😂😂🎉😂 mbwela mungu akubaliki😂❤😂🎉😂😂
Mjomba gan huna uchugu na mtoto wa dada yako😭😭
hongera bwela kwa kumuokoa tete ila mjomba na mkeo mnaroho ngum mno kwahy xx baadaya hukum tete ndp mtu
hongeren watanzania wenzangu nimejifunza meng kwenye hii movie
Wewe kaka acha uroho malipo ni hapa hapa dunianii
Wanamtesa sana huyo mtt ni mrembo hawamkuti wote hapaswi kupata mateso yote mtt wa watu
Pole San mdog angu mngu akupiganie pole San san inaumiz
Daah mjomba kweli unatesa mtoto wa dada yako tumbo moja 😢😢😢mbwela mungu akubariki sana akupe maisha marefu n utaona mkono wa mungu uwe n huo moyo adi nimelia 😢😢😢🙏🙏🙏🙏😭😭
Pole ndugu yangu
Inauma sana usipende kumtesa mtoto wa mwanamke mwenzako
Hivi mnajua Kuna mungu achani kumtesa mtoto wa mtu
Mungu atujalie maisha marefu ili tuweze Kulea watto wetu🙏🙏
Hi move Ina mafunzo mashalaah Kazi nzuri Allah awajalie mzidi kufundisha jamii Allah awafungulie milango ya riski inshallah ❤❤❤
Wakaanza kutoka Bujumbura Burundi kupenda hii movie inakusanya nyoyo zawatu wanaofuata maigizo huu asanteni pamoja nakundi llenu tunawaona mkono sana
Mmmmh inasikitisha sana Tete pole Kwa yaloyokukuta
Mungu amnusuru mtoto wa dida shaibu maaana natokwa hata na machozi
Mbwela bwana nakukubali sn kazi nzuri 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nakutaza kutokea kongo 🇨🇩
Naomba mungu nisije kufa watoto wangu wakiwa wadogo maana kuishi na mama wa kambo Shida sana
Du? Hata ssi 2meishi n̈a mma wakambo 2lipata mates kamahayo kwahy nampa pole sana mana naelewa vote du😂
Sio wote mbona mm nawalea watoto wa marehem mme wangu kama wanangu Hadi Wana smani na furaha
Siyo kufa2 kuna kunakuacha pia.
@@NuriethRamadhan hongera sana
Nihatari sana mama mzazi anafaa kwa maisha ya mtoto
Hongera kwa wanawake wote kwa ❤wao mkubwa wa kuvumilia🎉🎉💪
Jaman boy tujifunze
Jamani tete mwenyewe anaheshima kama nini
Nawaomba sana movie hii muirushe DSTV, TBC, STAR TV na vyombo vingine ili watu wengi zaidi waione na wajifunze kitu. Wasanii wetu mjifunze kitu hapa kwenye hii movie badala ya kuigiza mapenzi tu kila wakati bali badilisheni hisia na fikra za watu kwa kutoa elimu juu ya maisha halisi ya jamii inayotuzunguka. Hongera sana waigizaji mmefanya kazi nzuri sana.
Yani muvi za sikuhizi ni mapenzi 2 hazina hata maana tunashindwa kuziangalia mbele za watoto mbele za wazazi wasanii wanatakiwa wajifunze kupitia hii move
Du nikweli hata mmi ina nishangaza kwakweli alloo😂
Au wwe unaonaje wenzangu du?😢
Nakusapoti maoni yako
@@ZainabuHarida-e4kkweli ulisemalo hatukupingi tup pmj
Mungu turumie myatima❤
Wonders shall never end
Mko vizur san jamn mnaimisha san jamii Allah awabarik
Amin
Wow kumbe mbwela yupo 🎉😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Waah...kuweni na moyo jamani..
Mungu mkubwa atawalipia
hongera mbwela kwakumsaidia tete maashallah allah akuongoze inshasllah ❤❤❤❤❤
Mbwela ubarikiwe na mungu❤
Mmmh roho mbaya watu wenye roho yaivo Mungu anawaona🤔🤔
Mko n roho mbya sana mtakuja kufa maskini
Ndugu yako ni mama ako baba ako ndio watu muhimu sio dada wala mjomba wala mamdogo
Hongera sana kwa fundisho hiro ongezea ringini tujifunze vizuri
Nyinyi wajomba mtakipata mpaka watoto Wana mfanya usiku yote mungu ajibu haraka
Mpaka nimelia jaman duh Kaz nzur Sana mungu awatunze ila tunaomba part2
Jamani mwamtaka tete aolewe angali mdogo kweli 😢
Inasikitisha sana.
Shangazi umejitaidi sana na tete
Mungu atulide si wanawake
Duh! Mtt wa mwenzio muone kama mtt wako
Vinadamu bana😂😂 watuwote nakonabia kamaizi zagutesa mayatima nimesemaivi walaniwe na family zaozote😂😂😂😂😂😂
Mtegemea cha ndugue ufa masikini
Tuwe nahuruma hatakama mtoto sio wako daaah pole sana
Naipataje hii inaitwaje
Mbwela Mungu akubariki Kwa kz nzur shukran sn ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mbwela mungu akupaliki
Saaaaf sanaaaa tena iritakiwa na huyoooo mkewakeee wafungweee kabisaaa maaana niwaujiiii kabisaaaa wafingweeeejeraaa wasitokeee kamweeee
Nyinyi achani kutesa mtoto wa mtu ipo siku mungu annual to
Safi sana iyikali 😊
Mungu pia anaona
🎉🎉🎉🎉safii sana kazi nzuri
Tete ni artst maana kila sini kafanya vyema
nimepitiya ayo maisha lakini mungu saizi naeshimiwa
Asante sana kabisa kwa fundisho
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
Hii ni filamu, lakini Yapo mazazi kama haya, ni ya kulaaniwa tu
Mjomba Mungu anakuona thamani ya uhai wa mtu inalingana na nyama ilounguwa❤
Mola anawaona wanaowatesa mayatima😢😢
🎉🎉❤jiranii mpend mauwa yakee🎉
mme mke wote hawana akili sawa sawa walitakiwa kumbembeleza huyo mtoto
Mim natokea brundi Mim ninachokion Mng angemfunguw macho yakuon kuw wanamtesa kwamali yamama yake inauma tena nifunzo kwa wengine
Mungu amuone
Jaman dhambii!!inaniuma sanaaaa
Jameni amuna roho ya utu
Hii move inasikitisha jaman hayo nimateso
Hii ni hatari sana
Mbwela namkubali sana nakupenda sana ❤❤
Movie nzur san ❤❤
Asante
❤inafunzo kbx
Mmb
Hongela sana mmecheza vizuri sana chukua maua yenu🎉🎉🎉🎉 mana kwenye hii movie Kuna ujumbe mhimu sana
Asante sana
Huyo mama ana adabu
Marikina sio mtu hapa duniani kweli
Great lesson
Jamani naomben wazazi tuwapende watoto we2
Mungu atusaidie akina mama
Kijijihiki nikizuli Sana wawote funga yaliwai kutukuta
Ukweli kibisa
Huyuu anko ni juhaaaaa kabisa
Pole sana tete
Mung tupe moyo wa huluma wazaz binadam wote ni xawa