Yni wanaigiza movi nzr lkn wanaigiza movi nzr na hawazimaliz nimefatilia xna wanatoa hii hawajamaliza hii wanaleta hii yni du muwe mnamaliza moja baada ya nyingine
Jamani kipindi ndicho icho chaelekea kuisha na venye kishaanza vizuri na watu wengi vizuri ila hata hatujawaona tena wakina kendi,❤ness,Maya na wengineo😔😔😔😔😔😔 jaman kipindi kimekuwa kifupi me sijapenda😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔
Mwali kigego unakilanga mwali 😂😂😂😂😂 nimecheka sana kazimzuli mauwa Yako 🎉🎉🎉🎉kelvini
Hakika team Donta hamjawahi tuangusha mbarikiwe na tunawapenda from 254❤️❤️❤️❤️❤️
Kwajina lake la tabuu👐👐, parents give blessed names pls❤❤
Hii character Tina /Tabu anaicheza vxuriii sanaaa❤❤❤
Kelvin chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Yako unatufundisha sana
Hata mwanzo nilijua hivyo na alivyo nyoa ni kweli kabisaa🎉🎉❤😂😂😂
Tina Leo yamekukuta 😂😂❤🎉
Donta tv hamnaga kazi mbovu nawapenda sana😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂hii movie ni tamu sana alafu amependezwa unala to a uyu Tina Tabu kama jina lake🤣🤣🤣🙌
Ongera washiriki wote❤❤❤❤❤❤
Hongera wote wahusika ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Liv
e videos of you to say to that of course you to know I know but you can call or call or email if
❤❤❤🎉
Walofurahi kumuona maya jamani😊😊🎉🎉❤❤
😂😂😂😂😂😂tina wew khaa umenishnda twabia
Tinah hata nikose njina lakutaja mtoto siwezi muita taabu😂😂lakini nimeipata laha😂😂😂
Mashaallah hako katoto kaziri jamani ❤❤nakaomba nitawarudishia akisha kua mkubwa😊😊😊🎉🎉🎉❤❤❤❤
Jamn nani kamwona ndg wa keviii like hapa🎉🎉🎉❤❤❤
Asante sana donta tv najaza tu frshi za watu
Sasa Tina izokope zote za Nini lakini???😂😂😂😂😂 Heeee mdamwingin muwe napunguza vifyajiyo😅😅😅 ila Asante kwa movie ❤
Wewe huoni yupo mawindoni kuwinda waume za watu😂😂😂😂
Ndimu na Tabu mambo ni 🔥🔥🔥
Mama ndimu😮hilo si funzo😮mtt umemueka😅😅biashara ya kudanga😮kuleta pesa ww si mama mzuri
Mama ake Kelvin Ndio kawa mama ake Tina Tabuu mama Ake Tabu Mchuma janga hula na nduguzo ila Tina na tabu na mama ake Akili sawa
😂😂😂😂😂m nimechokaaa ata
kwel😂😂 acting bt wko wamama wnye hii tabiya wanauza wtto woa
🎉ila Tina umalaya unampendeza. Xana🎉🎉🎉
Sanaaaa
Hoples Material 😂😂😂😂
Kutoka Kenya jamani movie n nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongelen kwa kazi safi nawa pendant wote🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwenye hii move kuna ndugu wa kaka Kelvin kama umemuona like tukisonga 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🌹🌹🇰🇪🇸🇦
Ni yup
Ndio
@@DoktaGidawida1:19 😂
Uyo wakiume kwel hawo ni ndugu
Ndimu uta pigwa ná mama
Congratulations team donta mpo vizuri
Eeeee don't TV mko na vilaji can mbarikiwe mungu amuongezee from V.I.P MAN.
kaz nzur sana ❤
Tina wew umalaya ndo unakupendeza kbx
😂
Na mikope yake haiyachi
Parabéns o irmão da kendy, estás bonito 🎉🎉🎉🎉🇲🇿🇲🇿🇲🇿💯
Cathy from kenya bt currently am working in gulf kazi nzuri kelvin kwa movie zako ziko na mafundisho sana much love❤❤❤❤
Vizuri sana. Mumetisha. ❤❤❤❤
❤❤❤❤ kazi nzuri sana
mama kelvin alikuwa akimuonea kelvin.ila ndimu kamshida
Jameni tumalizieni kwanza mtoto wa boss musituchanganye 😡😡
Using alien hii kwanza mpaka iishe mtotwa boss na itakuwa vizuri maana utakuta utaikuta ipo nyingi utaangalia mpaka basi😂😂😂
Hongereni sna kwa kazi nzuri
Malipo duniani akhera hisabu 2🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ni kweli huyu jamaa mweusi ni ndugu yake kelvin
Yeah nmmpenda sanaa huyu kakake Kelvin
Donta tv family from🇲🇿🇲🇿
Mtoto wa boss at aijaisha jmn tumalizien tuone mwish wa tina
Kazi nzuri sana nabapenda sana
Yni wanaigiza movi nzr lkn wanaigiza movi nzr na hawazimaliz nimefatilia xna wanatoa hii hawajamaliza hii wanaleta hii yni du muwe mnamaliza moja baada ya nyingine
Tinah kigego kweli kama Jina la movie
😂
Kwel😅
Tina yy muda wotee pasua kichwa hakii anaitendea haki kazi yake😂😂😂😂
Jina laendana nae '"tabu
Kazi nzuri sana nawapenda nyote❤❤❤❤
Wa kwanza leo kutoka 🇰🇪
Kuna Mkaka ana fanana Kelvin Hatari Et vip Machura Hadi Mtaani
Jamani kipindi ndicho icho chaelekea kuisha na venye kishaanza vizuri na watu wengi vizuri ila hata hatujawaona tena wakina kendi,❤ness,Maya na wengineo😔😔😔😔😔😔 jaman kipindi kimekuwa kifupi me sijapenda😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔
Leo Tina kayatimba Kufa hutakufa Ila cha moto utakiona.
Asanteni sana mnatufundisha kitu you all good in deed ❤
maya karudi that's great mrudisheni shenaizer naye
Victoria
shanaiza na Vailety Nilivo Muona Maya nikajua Vailety hawa wadogo Dogo wakukimbia
wapo wote candy Loveness na Tina ila Tina Tabu kanifurahisha sna
ila tabu na mikope yke dah😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri wanadonta🥰🥰
Mama tabu unajua sana kazi nzuri sana hongera kwako
Donta nanyihe kweli muna tuchanganya sn na série zenyu
KAZI NZURI 🎉🎉❤❤
Nmeshajiuliza mbn mtoto wa boss inacherewa, kumb wanatunga hizi
Haihusiani
🤣🤣🤣🤣🤣 kweli
Kuna ndugu ya Kelvin hapa😅
Nyie mnaojichubua mnajiharribu tu
Kama umetanguliaku like bila kuangalia kama mimi like hapa😂
Waooooh umezaaaa tena na ten tinaaaa
Wangap? Wamemkubali mama Tina?❤❤❤
Kazi nzuri hongeren ❤❤❤
Ni kweli kaka Kevin Ako hapa😅😅😅
Watu tu nashinda online
Maua kwa kelvin na kundi Zima la Donta tv 🎉🎉🎉🎉
Movie yabamba kwel
Umalaya ni mbyaa 😂😊
Mauwa yenu wana donta🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Yani Amina n mdomo weeee😅😅😅😅 utaniuwa siku moja ww 😂😂
Jamanii wazaz tuwe makin na ulez wa watoto wetu
Weh iyo noma kwan viki na neli waliedanga wapi
Vic yupo kwa baba joan
Kali kabla cjaimalizia
Kama umempenda mtoto gonga likes za kitoshaa❤
Nice from merekani 🎉🎉🎉
Hii ni good Good brath
Kwa alieona jicho la mama gonga like 😂❤
La mwendokasi
Adam Yuko inje 😂😂😂
Ongereni kazi zenu 🎉🎉❤❤❤
Nikajuwa ni Vicky kumbe siyoo duuhhhh😢😢
Warembo wangu wote wapo 💃💃💃💃
Kaah😂😂😂
Umalaya tu kuoga aaaaaaaaaa😅😅😅😅😅
Kuleta tabu tu kuleta furaha aaaaah 😂😂
kuweka kopee na kuiba Waaume za watu Tu kutulia aaaah
@@olicej7837😂😂😂😂😂😂😂😂Tabu tabu Kwel naitwa tabuu😂😂😂😂😂😂 ila Tina 😂😂😂
@@jamilashabani8580 😅😅😅😅
@olicej7837 Wana Hatarii Snaa Ila Ina chekesha sna na wana weza sna
Kuna kaka ya kelvin hapa❤🎉
Sema tina umalaya unampendeza sana 😅
muuendelee kuifundisha jamiiiiiu❤🎉😅
Lakn ndimu ako na bidii ya kumlinda dadaake😅😅😅
Ni mkali kama ndimu😅😅
História muito bom bem dedicado sou de Moçambique cidade de Pemba ❤❤❤❤❤❤❤
❤❤ uko vzr
Kazi nzuri sana 🎉❤
Kweli nimemuona
hongera kelvin
😢😢hiii muvi imenikumbusha enz za kitaree nammic sana
Hongera sana kwa burudan zako
😂😂😂😂safi Sana ❤😂😂😂
😂😂😂ila wamama wengine pesa tu anatulia
Mnaweza jamni hongereni
Aaaa mama Tabu au ma kelv acha kutetea ujinga wee mamaaaa
Jamnii mbn kelvn hayupo? 😢 Duuh
Tabu na mamaake lao moja mama akipewa ela tu anatulia😂😂😂😂
Mm nina msichan wangu aitwa tin hadi naogopa kumuow❤