Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Naomba uchapisha wimbo huu Ile version ya kitambo tafadhali
This choirs i remember my mother during his prime
Nabarikiwa sana kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya.
Mungu wetu atuongoze ili tutakapoonana mbinguni turafurahia pamoja.
Huu wimbo nakumbuka miaka ya 80 kwaya kuu Arusha mjini waliuimba vzr sanaaaThose good daysHongereni watu wa Mungu Kwa kuiuimba Tena
Kwaya kuu ya Kifula inaimba vizuri mno. Mungu awabariki sana.
Mjini kwake Babangu.....ndipo raha kuu, nabarikiwa sana, kwaya kuu Kifula Ugweno hongera sana!
Nyimbo pole
Ongeren sn kwaya kuu kkkt kifula khakika saut zimepangiliwa acha niendelee kubarikiw
Asanti Kwa nyumba
nyimbo hizi zanibariki sana. mjini kwa baba ndo kila kitu. Amen
🎉🎉🎉
Mbarikiwe sana kwa uimbaji wenu zidumu fikra na maono ya mtumishi wa Mungu Mch.Silas Msangi
aahhh nyimbo nzuri sana jaman barikiweni nyote sauti nzuri mpaka mungu ameskia
Nasikia amani kwa uimbajiwenu
Asante sana kwa nyimbo zenu zina nibariki sana ! Bwana yesu awa bariki sana .Endeleeni bila kuchoka kumwinuwa Mukombozi wetu YESU KRISTO .
Nazipenda sana nyimbo hizi
kweneema za mwenyezi mungu mbarikiwe watumishi kwa kazi mnao ifanya ya kuhubiri kwanjia ya uimbaji
Napenda Sana
Nzuri...!! Mjini kwake babangu
kwaya ugweno iko wap nmeielewa sana MUNGU awatangulie
Kilimanjaro, wilaya ya mwanga , kifula
raha sana. Mungu awabariki wapendwa
Mjini kwake inanibariki saaaaaana
Mbarikiwe!
Kwaya ya hii ipo maeneo ya Kifula huko Ugweno Same Mkoa wa Kilimanjaro Tanzania
Ni wilaya ya Mwanga, sio Same
Naomba uchapisha wimbo huu Ile version ya kitambo tafadhali
This choirs i remember my mother during his prime
Nabarikiwa sana kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya.
Mungu wetu atuongoze ili tutakapoonana mbinguni turafurahia pamoja.
Huu wimbo nakumbuka miaka ya 80 kwaya kuu Arusha mjini waliuimba vzr sanaaa
Those good days
Hongereni watu wa Mungu Kwa kuiuimba Tena
Kwaya kuu ya Kifula inaimba vizuri mno. Mungu awabariki sana.
Mjini kwake Babangu.....ndipo raha kuu, nabarikiwa sana, kwaya kuu Kifula Ugweno hongera sana!
Nyimbo pole
Ongeren sn kwaya kuu kkkt kifula khakika saut zimepangiliwa acha niendelee kubarikiw
Asanti Kwa nyumba
nyimbo hizi zanibariki sana. mjini kwa baba ndo kila kitu. Amen
🎉🎉🎉
Mbarikiwe sana kwa uimbaji wenu zidumu fikra na maono ya mtumishi wa Mungu Mch.Silas Msangi
aahhh nyimbo nzuri sana jaman barikiweni nyote sauti nzuri mpaka mungu ameskia
Nasikia amani kwa uimbajiwenu
Asante sana kwa nyimbo zenu zina nibariki sana !
Bwana yesu awa bariki sana .
Endeleeni bila kuchoka kumwinuwa Mukombozi wetu YESU KRISTO .