Ila Sila Jamani...!!! Sasa Miaka Hiyo mongi kiasi hicho lakn aliweza kutunga nyimbo kama hizi...!! Halafu ndo mtu flani aseme Eti "Hawakuwa na roho wa MUNGU" Aisee... Hii nguvu na hizi sauti walizitoa wapi kama si roho wa Mungu???.. Jina la Bwana libarikiwe sana Kwa ajili ya kazi hizi njema.
Wonderful to hear from heaven voice, pure it was holy spirit. No doubt. Only God. Eimen.
Mungu awabariki sana,wimbo ni mzuri saana,Utukufu kwa Mungu
Ameen Ameen
Mungu alimtumia silas kutunga hizi nyimbo,haikuwa akili yake.Amen
Ila Sila Jamani...!!! Sasa Miaka Hiyo mongi kiasi hicho lakn aliweza kutunga nyimbo kama hizi...!! Halafu ndo mtu flani aseme Eti "Hawakuwa na roho wa MUNGU" Aisee... Hii nguvu na hizi sauti walizitoa wapi kama si roho wa Mungu???.. Jina la Bwana libarikiwe sana Kwa ajili ya kazi hizi njema.
Mchungaji Silas alizawadiwa kipawa cha juu sana na uvuvio wa utunzi wa nyimbo zenye ujumbe wenye mguso wa Roho Mtakatifu
Watunzi waliokuwa wanajazwa upako mkubwa,waliongozwa na Roho
Waooooh hii nyimbo nilikuwa naitafuta Sana mbarikiwe sana
Ubarikiwe sana sana ndugu.
Naomba sambara kwenye magrop mengine ujumbe uwafikie wengi
Hakika Mungu wetu ni mwema, barikiwa sana.
Wimbo Mzuri sana sanaaa,
Barikiwa sana sana.
Usambaze kwenye magroup mengine watu wabarikiwe na ujumbe huu wa Injili
🙏🙏🙏🤝🤝🤝
Nikwio....