Lala Kitoto by Credo S. Mbogoye

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Wimbo-Lala kitoto
    Mtunzi-Credo S. Mbogoye
    Organist-Mike King'oo
    Maneno Ya Wimbo
    Lala kitoto cha Mbingu *4
    {Sinzia (kitoto) sinzia
    Malaika wa mbingu atakutunzia (atakutunzia) } *2
    Lala kitoto cha Mbingu
    Sinzia kitoto cha mbingu
    Lala Mwana wa Mungu
    Maria naye Yosefu
    Wanamtunza kitoto
    Lala Mwana wa Mungu
    Lala kitoto cha mbingu
    Uliye mkombozi wetu
    Lala Mwana wa Mungu
    Lala kitoto cha mbingu
    Masiha mkombozi wetu
    Lala Mwana wa Mungu

КОМЕНТАРІ • 10