LALA KITOTO CHA MBINGU - CREDO MBOGOYE - TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Wimbo: Lala kitoto cha Mbingu
Mtunzi: Credo Mbogoye
Organist: George Bingi
Kanisa/Location: Parokia ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambiya Asili, Mavurunza
Maneno ya wimbo
Lala Kitoto cha Mbingu, Lala Kitoto cha Mbingu x 2. Sinzia Kitoto sinzia Malaika wa Mungu watakutunzia ( Watakutunzia ) x 2.
Mashairi:
1. Lala Kitoto cha Mbingu sinzia Kitoto cha Mbingu, Lala Mwana wa Mungu
2. Maria naye Yosephu wanamtunza mtoto, Lala Mwana wa Mungu
3. Lala kitoto cha Mbingu uliye Mkombozi wetu, Lala Mwana wa Mungu
4. Lala kitoto cha Mbingu Masiha Mwokozi wetu, Lala Mwana wa Mungu