Mungu Na Atufadhili by Beatus Idama
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Wimbo-Mungu na atufadhili
Mtunzi-Beatus Idama
Organist-Mike King'oo
Maneno Ya Wimbo
Mungu na atufadhili, Mungu na atufadhili (na kutubariki, na kutubariki)×2
1. Njia yake ijulikane duniani, wokovu wake katikati ya mataifa yote.
2. Watu wote na wakushukuru ee Mungu, watu wote na wakushukuru.
3. Mataifa yote na washangilie, Naam waimbe kwa furaha.
4. Nchi itatoa mazao yake, Mungu, Mungu wetu ametubariki.
5. Mungu atatubariki sisi, miisho yote ya dunia itamcha yeye.