MAISHA NA MUZIKI S06 EP04 Na. Mwl. Mwita Izack | Mwalimu wa Muziki Mt, Mtunzi & Mpiga Kinanda.
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+2557575...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+2557575...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america
Mungu akutie nguvu uzidi kumtangaza mungu kwa nyimbo
Kiburi Cha Uzima,
Ahadi
Unathamani.
Hizi nyimbo Ulikuwa kwenye Tafakari kubwa mno, Ulizitendea haki, huwa sichoki kuzisikiliza daily, zinanibariki Sanasanaaaa, Naomba na Namba yako ya Cm Mwl
Hongera Baba Isack...
Mwita Mungu akubariki sana mtani
Amina 🙏
@@Mwita_Isack Mungu akubariki sana kaka
I love the talent in Mwita Isack...God bless you @mwita
Safi sana mwita
🙏
Tuomba Mlete mwalim Lazarius Patiu
Wimbo ulionifanya nikufahamu na kuanza kukufuatilia unaitwa- AHADI
Amina sana
Hongera sana Mwalimu Mwenyezi Mungu Azidi kuinua Kipaji chako.
Amina
Naipenda kazi zake zote Mwl Mwita
Mnyenyekevu na Hana maringo...nikitaka usaidizi wake Mimi huupata haraka na kwa moyo safi..
Peter mboye jamani au Peter perfect
Mungu akubariki Sana mwita ,uendelee kumtumikia Mungu tunazipenda Sana nyimbo zako barikiwa sana ,Wana kigoma tunajivunia Sana uwepo wako
Amina dadangu Mungu ni mwema 🙏
Tunaomba mkamlete Baraka Thomas Mashibe
Kwa kweli naisubiria ya msukuma anapiga kinanda kwa mwendo flani hadi unajiona uko mbinguni unafurahi na malaika, dahhhh mashibeeee
Inanipa hamasa sana ninavosikiliza historia nzuri
Nakupata mtunzi. Mungu akubariki
Amina 🙏
Be blessed, mwalimu wetu unatunga nyimbo nzuri sana zinazogusa hisia za wengi na zinaponya sana mioyo ya wengi akiwemo mimi