OLE SENDEKA AIBUA TAFRANI BUNGENI, ISHU YA WAMASAI KUONDOLEWA, TULIA AMVAA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 387

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 роки тому +9

    Woooo eeee Mungu msaidie Mzee Sendeka asianguke kwa pressure😰

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 6 місяців тому

    Kwa njinsi sendeka anavyojitahidii kuutetea jamii yake anayowakilisha anastahili kupewa heshima ya mbunge karne katika wabunge wote waliowahi kuwakilisha jamii ya kimaasai hili lifanyiqe kazi asanteni

  • @mrolonana...2656
    @mrolonana...2656 2 роки тому

    Mungu utusaidie

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 2 роки тому +2

    Duh! Mhe. Ole Sendeka kubali yaishe! Lakini kupanga ni kuchagua una nafasi ya kujifakari kama bado unastahili kuzitetea kondoo zako katikati ya kundi la viumbe wengine wala nyama na huku wakiwa na njaa.

  • @bonifacekalima5273
    @bonifacekalima5273 2 роки тому +19

    Hapo ndio tutaona umuhimu wa uchaguzi huru maana kwa sasa inaonekana mzee ole sendeka anabanwa kwenye uhalali lakini wabunge wengine hawana uwezo wa kumsapoti mzee pamoja na wamasai hao..hivi mmasai ni mkimbizi kwenye hayo maeneo?

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 роки тому

      Burigi huko Biharamulo (Walikoanza kuita Burigi-Chato) walipopandishwa kuwa Hifadhi ya Taifa walikuwa wakimbizi?

    • @officialmubytz1076
      @officialmubytz1076 2 роки тому +1

      True

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 2 роки тому

      Hajuikujieleza huyo mbunge,na pili kuhamishwa wananchi kupelekwa sehemu nyengine sio ukimbizi? Mbona kila sehemu yapo?

    • @jacksonmollel5106
      @jacksonmollel5106 2 роки тому

      Eyeeee mwenyezi mung tunakuomba tunakuomba msaada wako maan wew tu ndiyo muweza wa yote

    • @cosmaswilliam3805
      @cosmaswilliam3805 2 роки тому

      Mzigo mkubwa kwa wana CCM.

  • @robbiejerrson7437
    @robbiejerrson7437 2 роки тому +15

    Mbona Spika anajaribu kupoka uhuru wa mbunge wa kuzungumza bungeni? Mbunge Ole Sendeka anahoja ya kutetea wananchi wake. Dr Tulia acha wabunge wazungumze matatizo ya watu wao

    • @smarty1064
      @smarty1064 2 роки тому +2

      Umeliona na wewe hilo

    • @nyamwekomatoke9951
      @nyamwekomatoke9951 2 роки тому +1

      Analipwa huyo
      Na nimwanasheria so anaweza kukuzungusha Mpka ukaona kanyabazongo

    • @leticiachunga9118
      @leticiachunga9118 2 роки тому +2

      Sasa tulia mnataka afute hizo sheria na yeye hajatunga, jamani sheria sio za tulia nashangaa mnamvamia, mmmmh bora waliweka spika mwanasheria maana angekuwa hajui sheria angepelekwapelekwa balaaaa

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 2 роки тому +7

    Tanzania 🇹🇿 mwanasheria ni mmoja tu Check Bob Tundu Antipass lissu

    • @oscarmario466
      @oscarmario466 2 роки тому

      Mwalimu wa tundu antipass ni huyohuyo Tulia ackson

  • @modeehwamangodee4231
    @modeehwamangodee4231 2 роки тому

    Ubarikiwe sana further

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +15

    Waswahili ni nadra sana kusema ukweli na kukubali kosa , kuna uhusiano wa uswahili na uongo na kuwa na maneno mengi na midomo mirefu , na kuna uhusiano wa uswahili na uvivu na umasikini . Yaani waswahili wanaweza kukubaliana kusema uwongo tu.

    • @keretolakara462
      @keretolakara462 2 роки тому

      Congralation my father mtetesi wamasai na munguu akusadia

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 2 роки тому +17

    Hon speaker knows better to run her parliamentary activities🙏💚💛

    • @craywille6059
      @craywille6059 2 роки тому +1

      She is not! She is only threatening the MP, the MP Sendeka quoted the letter from the former PM Pinda, which nullified the exercise. Now why madam spika threatening him by asking him to provide evidence? Is this to say The PM Pinda was wrong? Is this what she want to tell us? Feel shy to clap your hands when spika stand in the side of oppressors. Did ever ask yourself why OBC? Why madam presidaa payed a long visit to said Arabia and being welcomed by the royal family? Do you know why the OBC company was inactive during the magufuli regime? Think deep and not just grorify the exploitation of our wealth to the few. What do you benefit? Do you know how the maasai natural lifestyles contributed to national income? Simply because of the few people's interest, Do you want such kind of attraction be diluted with those from Tanga?

    • @kubwaichebestfriend8673
      @kubwaichebestfriend8673 2 роки тому

      KiswaKinge

  • @itsjonahfather7941
    @itsjonahfather7941 2 роки тому +8

    Watamuuwa kwa preshaa mzee wa watuu jamanii, mpaka anapumuaa kwa shidaaa yoote haya ya nini, Wanakuwa kama wanamdhalilisha vilee spika angeyamaliza tu kwa kumwambiaa kaa tu inatoshaa,

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 роки тому +1

    Hahahahaha Hahahahaha wasiokuwa na edu,,wanatoa macho tu

  • @isaacjaphet1314
    @isaacjaphet1314 2 роки тому +3

    Mimi siwez kuwaonea huruma Hawa wabunge wanaotoka umasaini... Ndo waelewe mkipenda kula vya shetani kubali kudhalilika... Sasa hivi wanawarusha kama njugu.... Mbona tutaelewana tu!!

    • @theosaimon6933
      @theosaimon6933 2 роки тому

      Unamaana gani kwamba unapenda wamasai wanavyoteseka ndio furaha yako?? Poa bwana

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 2 роки тому +1

    Wanacheka ila wananchi wanalia

  • @zabroninyamba7235
    @zabroninyamba7235 2 роки тому

    Safi sana ndugu mubunge

  • @emmanueleliya6225
    @emmanueleliya6225 2 роки тому +6

    Mbona bunge letu kwa ishu sirias hawapigi makofi lkn kwenye mambo ya kishabiki na isiyo na manufaa kwa wananchi wanapiga makofi?

  • @emmanueleliya6225
    @emmanueleliya6225 2 роки тому +5

    Kama eneo halina wananchi hawa wanaopigana na polisi wametoka wapi?????akili kichwani

    • @sudiyahya9276
      @sudiyahya9276 2 роки тому +2

      Mamluki,wao

    • @hubimogela9167
      @hubimogela9167 2 роки тому

      Watu laki moja wilaya nne kwani haya mapoli ya Nini

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Watu laki mmoja, mifugo milioni ngapi ? Na madhara yake ni makubwa mno

  • @amonidafa9665
    @amonidafa9665 2 роки тому +9

    Ole sema kimeumanaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @pastorstevenmdoe5143
    @pastorstevenmdoe5143 2 роки тому +1

    Tulia umeshamchsnganya mmasai wetu

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 2 роки тому +5

    Spika smart sana aisee

  • @donaldfrancissassa8360
    @donaldfrancissassa8360 Рік тому

    Hawa ni wawakilishi wa jamii watokako,nadhani waheshimiwe kwani waliapa kusimamia na kuwasemea wananchi huko watokako. Wasibezwe.

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 2 роки тому +21

    Ila wamasai Sendeka amewakilisha vyema…..we love you Sendeka

  • @saidharbinie4748
    @saidharbinie4748 2 роки тому

    Mm nlikuwa mzalendo kipind cha Jpm..xahv cy kbx majambaz nd mmejaa xerikalin...

  • @ThomasMwinuka-kg5kz
    @ThomasMwinuka-kg5kz Рік тому +2

    Ole sendeka katika watu au wabunge wa ccm nmubunge unajitambua unajua nn wananchi wako wamekutuma big up sana

  • @tusaangulile1400
    @tusaangulile1400 2 роки тому

    Tumekyisha watanzania jembe limeondoka JPM tukuone wapi baba

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Рік тому

    Spika usiwe mwepesi sana wa kukosoa kuamwepesi wakusikiliza na kuandika na kuweka rekodi .unatupigia kelele .huwezi kuzuia fikra za wabunge .unaonyesha kuwa .....
    ........

  • @eliasjoseph8830
    @eliasjoseph8830 Рік тому

    Tunakushukuru sana ole sendeka kwakuwakumbusha hao mawaziri wasiofuata sheria.
    Wakati sheria hizo tumeziweka wenyewe.
    Ardhi za vijiji haziwezi kubadilishwa kuwa pori tengefu😅

  • @jamals.mbarak8638
    @jamals.mbarak8638 2 роки тому

    Huyu jamaa anageuza geuze maneno. Ndo huyu huyu aliidanganta serikali eti Arusha ni uchochoro…

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 2 роки тому +9

    Hii ya leo nimeipenda Kwa Sendeka kuwasemea wanainchi"
    Maana unakuwaga na kihelehele cha taarifa za kinafiki,
    Japo roho inaniuma kwa kunyanyaswa kwa wakazi wa loliondo kisa kupandisha twiga kwenye ndege.

  • @ibrahthomas8208
    @ibrahthomas8208 2 роки тому +3

    Ukimuona mama anachukua chakula cha watoto wake anampa mbwa wa jirani kwa kuamini iko siku atamfukuzia mwizi nyumbani kwake. Bas jua hao watoto ni. Wa ndungu zake na si wake

  • @meshakikaffee3789
    @meshakikaffee3789 2 роки тому +1

    Da kweli tunaitaji katiba mpya mnazingua Sana Shelia hinasomwa kwa kingeleza he,wakina sisi tusichokijua hicho kiluga daaaaaaa

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 Рік тому

    Uwoo upumbavu wa sheria kuziandika kizungu mnatuzingua sie tusojua kizungu,

  • @Felix-e6t4m
    @Felix-e6t4m Рік тому +1

    Asante sana usiogope pigania haki zetu wamasai kwamateso mnayopitia kwaadenyi naleng ilalasha lang eminjosho eepi utupokei nikutunyanganya mapori yetu tusikubali kamwe kamwe na wataenda wapi atutaki

  • @pythagorasgibson3305
    @pythagorasgibson3305 2 роки тому +5

    mzee yuko sawa lkn watu wanamalengo yao tu pumbavu.

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 2 роки тому +15

    tulia unakiherehere sana, unahisi kazi yako sio kuwatetea wananchi bali nikuisifia serikali

    • @shufaachagulasi3795
      @shufaachagulasi3795 2 роки тому +4

      Yaani huyu supika sijui yupo hapo kutetea serikali tu

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 2 роки тому +2

      Sasa hapo katetea nini? Sheria sio maji

    • @nailaty
      @nailaty 2 роки тому +4

      Hii serekali ya wanawake ni mtihan kwa taifa

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 2 роки тому +1

      hasaaa !

    • @leticiachunga9118
      @leticiachunga9118 2 роки тому +1

      Kwani tulia ndio alitunga hizo sheria? Na kasoma yeye? Kubalini kufundishwa kuwa sheria ni msumeno

  • @sebastianonesphory8055
    @sebastianonesphory8055 Рік тому

    Na huyu Tulia huwa akiongoza bunge yaani haruhusu mbunge ajieleze hadi mwisho, unaharibu hoja! Hovyo sana huyu, nikikumbuka alivyoendesha bunge la bandari ndio alikua wa hovyoo zaidi 😢😢

  • @SaviorAfrica
    @SaviorAfrica Рік тому

    Watolewe huko kwenu. Kwakweli sipendi staili ya usimamizi Tulia ulivyo

  • @SaviorAfrica
    @SaviorAfrica Рік тому

    Watolewe huko kwenu. Kwakweli sipendi staili ya usimamizi Tulia ulivyo

  • @emmanueleliya6225
    @emmanueleliya6225 2 роки тому +22

    Wameshambana mzee wa watu kwa sababu zao wanazozijua wenyewe..Mungu anawaona

    • @shukrancharles7817
      @shukrancharles7817 2 роки тому

      Tulieni kwan,,za tudai katiba mpya itakayomfanya mwananchi awe na haki

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 2 роки тому

      Wamembana vipi, anaambiwa asome,hasomi

  • @sebastianonesphory8055
    @sebastianonesphory8055 Рік тому

    Shida ikulu pale wakiingia watu kikundi flani hivi cha akina Nape, makamba family, sijui Jakaya 😢😢 huwa yanaibuka mambo ya hovyo sana! Yoote hii unataka tu kufukuza masai wa watu ili uweke mgeni, yaani wamasai wabaki kuwa watumwa nchini kwao! Hivi yoote hii kutafuta nini , kodi ? Mbona CAG report mahela kibao yanaibwa na wako kimya?

  • @MozesMungai-lm6ip
    @MozesMungai-lm6ip Рік тому

    Mheshimiwa speaker tulia ackson ,namkubali sana ana hekima busara,na akili za kipekee,ndo maana kusimesga watoto wakike nimuhimu sana,Mimi. Kwangu,tulia.nimfano wakuigwa Kwa uongozi wake bungeni.kama mtoto wakike!

  • @eliathomas8446
    @eliathomas8446 2 роки тому

    Olesendeka alikuwa anatafuta gia ya kuingilia 2025 kwenye kampeni

  • @barnabalushenshe5671
    @barnabalushenshe5671 2 роки тому

    li Ole sendeka lipumbavu.lina mifugo lijizi hilo.

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 2 роки тому +2

    Sema.Mzee.Umma.Utakusikia.Kulinda Uovu ni Dhambi .Bunge la Chama kimoja tu mmmh na hayo Makofi kumpigia huyo mama.Mmmhh.Ujamaa na kujitegemea irudishwe.Upya..tuyaonayo mnatupeleka Wapi..Pole.Mzee.kwa jasho likutokalo kupigania si lelemama.tetea Haki.Usiyumbe.

    • @johakhimu.mgembe.3297
      @johakhimu.mgembe.3297 2 роки тому

      Sasa.Anatoa mada anaondoa hoja.Alijandaa au vipi lakini mpira unaendelea tuone Matokeo.

  • @anthonyakyoo8832
    @anthonyakyoo8832 3 місяці тому

    Anacho sema Ole Sendeka yuko sahihi tofauti na hapo inaonyesha ubaguzi wa ukabila

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Рік тому

    Spika una kelele sana unawadakuliza wabunge maneno mdomoni. Ukweli unakera sio masihara

  • @gwaluganoa.mwakatobe3183
    @gwaluganoa.mwakatobe3183 2 роки тому

    Maelezo ya Naibu Waziri, kuwa maeneo hayana wananchi. Je hao wanaohamishwa wanatokea wapi?

  • @adieladielemojah3062
    @adieladielemojah3062 2 роки тому +1

    Ole sendeka wambie ukweli

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 2 роки тому

    Mtoeeni kazi I huyo waziri hafai, ni mkora, amehongwa yeye na huyo rais wake.

  • @robertmwagala8280
    @robertmwagala8280 2 роки тому

    Sheria kuandikwa kwa kingereza wkati lugha ya Taifa ni kiswahili Watanzania wengi hawajui kigereza wanamtungia nani hizo Sheria za kingereza?

  • @azikamujulius3530
    @azikamujulius3530 2 роки тому +2

    Uyo spka mbona hamuonei huluma Mzee wa watu anamadini spika nd anamchanganya

  • @gideonsapunyumunei5815
    @gideonsapunyumunei5815 2 роки тому

    mh.olesendeka ako na ukweli mwehishimiwa sipka acha amalize

  • @lazarololusu4594
    @lazarololusu4594 Рік тому

    Mh Spika ukisema watu hawapo imetunzwa na wakaazi kwa ajili ya mifugo na wanyama porini,bila maeneo hayo ya wazi hakuna kufuga wamaasai hawajui kazi nyingine isipokua kufuga,waurumieni wananchi,ufugaji ulikueko tangu mwanzo wa dunia.

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g Рік тому

    Kwa bunge hili mzee utahangaika sana chama chako hicho,sisi hatupo.

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому

    Kwani siaiem mmesahau nini kwenye nchi hii?, kama kuna kitu mmesahau mimi nitawaletea huko mtakako kuwa, hebu ondokeni haraka basi lenu linawasubir, dereva wenu tayari yuko kwenye usukani tayari

  • @kaizafrank3635
    @kaizafrank3635 2 роки тому

    Mda umefika lisu ulimuona anatumwa na mabeberu time wil tell sv we ndio moinzani bungeni

  • @zakariamolel7447
    @zakariamolel7447 2 роки тому

    Udhoefu wa kuwa bungeni mda umekusadia ole Sendeka

  • @vincentvitalius9346
    @vincentvitalius9346 2 роки тому +2

    nilichoelewa kwa Sendeka ni kwamba, hapo awali sehemu ya kutengwa ilikosa vipengele vya kushirikisha wnanchi, pia kuwekwa kwenye gazeti n.k ambapo sasa wametenga bila kuwashirikisha! nimekusoma vizuri, swali linabaki ambalo hukulijibu maeneo hayo yanawananchi ungesema!

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 роки тому

      Mimi najuwa Mzee Sendeka ana jambo zuri la msingi lakini hajaliweka vizuri, taharuki aliyotaka kuileta kutokana na kutojipanga vizuri ni 100% watu wa Wilaya 4 wahamishwe. Hapa nampongeza sana sana Spika ameonesha uwezo.

  • @jackoowora600
    @jackoowora600 2 роки тому

    Hiii nchi ngumu sana napandisha hadhi boyaaa weweeee falaaa weeee

  • @mwatimampagama1779
    @mwatimampagama1779 Рік тому

    Mapori yanapandishwa hadhi dinadamu wanashwushwa hadhi.

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 Рік тому

    Waziri Ni muongo.kwa sababu ,yeye waziri hakai loliondo au ngorongoro.yeye waziri sio mwenyeji wa huko..Ni kwamba wameuza chi kimya kimya.sasa wanawalinda wawekezaji,wanawanyanaysa wazawa

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Рік тому

    Hatusikii radha ya kusikiliza bunge kwa kelele za spika. Du vinatia hata aibu spika kazi nikusuta wabunge na kuwatisha

  • @petromwakyalabag9484
    @petromwakyalabag9484 Рік тому

    Ndiyo mana mnawatoa raia kwa tamaa za fedha muwatoe raia muwape wageni wenye nchi watoweke muuze na mbuga si Bandar zote mumetoa

  • @saitotikessoylesemu
    @saitotikessoylesemu Рік тому

    Wa benge wachache wanaoweza hayo kujifunza

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 7 місяців тому

    Hili jambo limepangwa na baadhi ya wabunge ndio maana sendeka kakataliwa hoja yake

  • @kerainderreco6
    @kerainderreco6 2 роки тому

    Kwanini mkitaka mapori tengefu ni kwa wamasai peke yake?

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 роки тому

    Jamani wale walio hamishwa kwenda handeni wanatoka kwenye maeneo yapi na huyo ole sendeka anaishi huko?

  • @samwelnevele1029
    @samwelnevele1029 2 роки тому

    Mzee unakosa Jimbo ndo maana unalalamika wewewee

  • @josephpeneti1551
    @josephpeneti1551 2 роки тому

    Mimi kama mungongo nakubaliana nawe kama wewe nani

  • @SaviorAfrica
    @SaviorAfrica Рік тому

    Wale wote mnatetea uovu uchaguzi utawahukumu

  • @gideonsapunyumunei5815
    @gideonsapunyumunei5815 2 роки тому

    pori tengefu la loliondo ni ya wamasai

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 2 роки тому +9

    Tuifanye Dar es salam mbuga za wanyama je, mtakubali

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 2 роки тому

    Huyo waziri ni Mtanzania kweli au mnyarwanda?

  • @emanuelmwakamisa2511
    @emanuelmwakamisa2511 2 роки тому +1

    Spika wa ovyo sana

  • @shabanimungazija7272
    @shabanimungazija7272 Рік тому

    Mzee pole umejitahidi lakini duuu

  • @muhammedomer9256
    @muhammedomer9256 2 роки тому

    Wanachanganya kiingereza na kiswahili

  • @williammollel97
    @williammollel97 2 роки тому

    Sendeka aishiwa hoja kazeeka vibaya

  • @kimbyarungwe4959
    @kimbyarungwe4959 2 роки тому +19

    Wabunge wanao jitambua ni wachache sana ongera mzee baba

  • @emanuelmwakamisa2511
    @emanuelmwakamisa2511 2 роки тому +1

    Spika anatetea ugali wake

  • @dullayomwinyi3359
    @dullayomwinyi3359 Рік тому

    Si umuacha mtu aongeze unamzuia asiongee

  • @nyamwekomatoke9951
    @nyamwekomatoke9951 2 роки тому +2

    Mzee hao wameshalipwa pesa nawaraabu
    Wanataka wawatowe waamasai ili wauze Hapo siyo Kwamba haijulikani
    Watanzania wanajuwa

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 роки тому +4

    Tulia sio Mtu mzuri, kam'bananisha Mzee Ole kinagaubaga...!....Maoni yangu SERIKALI ishirikiane na WANANCHI katika jambo hili, inavyoonekana ni kweli maeneo hayo hayakaliwi na WANANCHI lkn Wananchi hao wanafika kwenye maeneo hayo Kwa ajili ya shughuli za ulishaji na ndio maaana yakiwa TENGEFU hawatayatumia Tena Kwa shughuli za ulishaji japo hawayatumii Kwa MAKAZI...!
    Vp hapo TULIA umeiona MIPOINT yangu au utanibananisha kama Mzee OLE..!

  • @ToshNiNe-uj8pf
    @ToshNiNe-uj8pf Рік тому

    Spika vazi Blue mk...mweusi

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому

    Jamani mimi niko mbali kidogo, nomba mniagie ccm

  • @mkosianga6826
    @mkosianga6826 2 роки тому +4

    Huyu waziri jamani anajitakia laana bure hayo maeneo aliyotajwa yana watu na makazi.mim nipo loliondo huyu mama namwangalia tu

    • @oscarmario466
      @oscarmario466 2 роки тому

      Kwa hiyo zile bikon ziliwekwa kwenye makazi ya watu na je wananchi wamehamishwa?

  • @jamesmbore3052
    @jamesmbore3052 2 роки тому

    Uyuu mzee bahada aongelee maji mereran mpaka sahv hamna maji mazur na 2na madin ambayo dunia hamna

    • @goblessjrtz5464
      @goblessjrtz5464 2 роки тому

      Wew jamaa ni jala sana, anachotetea maisha ya watu sio muhimu?

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 роки тому

    Mzee hakujipanga, unaenda kushindana na mwanasheria

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 2 роки тому +5

    😂🤣😂😂HUYU DR TULIA SIYO MTU MZURI.
    KAMUWEKA KWENYE KUMI NA NANE MH! DAAAAAAH! HATARI SANA

    • @leticiachunga9118
      @leticiachunga9118 2 роки тому

      Sasa tulia kafanya nini? Sheria hata hajatunga yeye na Olisendeka hajapewa na tulia asome hizo sheria au kasoma mwenyewe?

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 2 роки тому

      @@leticiachunga9118 SIJAPINGANA NA ALICHOFANYA DR TULIA.
      ILA NIMEFURAHISHWA NA UBOBEZI WAKE KWENYE SHERIA KIASI KWAMBA INATOFAUTISHA BUNGE KUONGOZWA NA MWANASIASA ANAEJUA SHERIA KWA SEHEMU NA KUONGOZWA NA MTU MBOBEZI.

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 2 роки тому

      @@leticiachunga9118 kaambiwa asome hizo sheria mbona hasomi?

    • @shabaniduduma8885
      @shabaniduduma8885 2 роки тому

      Watu wanataka umimi,Njeree hoiii😃

  • @eliathomas8446
    @eliathomas8446 2 роки тому

    Olesendeka Ni zero😒😒

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri Рік тому

    Wamaasai lazima wakatae dhamira ya serkali ya kusumbua raia wake kwenye makazi yao.

  • @raismalingumutz8473
    @raismalingumutz8473 2 роки тому

    We hujui dd agekuwa mm yako au bb

  • @dominickmhagama5952
    @dominickmhagama5952 2 роки тому

    Mbona wanabebwa tunaona jamani

  • @ip_header
    @ip_header 2 роки тому +11

    Kwa muda mfupi tu Ndugai ameshafunikwa na Dr. Tulia, yaan anajua kujenga na kubomoa hoja

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 роки тому

      Huyu ni kichwa sio Ndugai kichaa.. tena anajitamkia ana cheti Cha milembe hospital .

  • @josephsarunimollelmollel8815
    @josephsarunimollelmollel8815 2 роки тому

    Tanyua papa lang' olesendeka mekitoponiki engai ilarin pee iret iyoock

  • @thabitimadabali1726
    @thabitimadabali1726 2 роки тому

    mbona mabishano yamezidi

  • @samwelnevele1029
    @samwelnevele1029 2 роки тому

    Mzee kubari yaishe Mzee

  • @adieladielemojah3062
    @adieladielemojah3062 2 роки тому

    Msee hana nafasi abebanwa

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 2 роки тому +2

    Ole Sendeka amekurupuka !! Hoja hiyo ni ya Tindu Lissu !! Ndio aliyeiibua na kuisimulia....

    • @f.a6043
      @f.a6043 2 роки тому

      🤣🤣😂😂 Vodacom kazi ni kwao

    • @f.a6043
      @f.a6043 2 роки тому

      😂😂🤣🤣 Vodacom kazi ni kwao

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 2 роки тому

    Yani yani mh jamani jamani

  • @chalesmollel2337
    @chalesmollel2337 2 роки тому

    Hawo wanaopigwa c watu?