Masai mseondoke gorogoro nawaomba sana mungu tusaidie, magufuli tuombee gorogoro ibaki ilivyo kuwa shertani wakuuu wanaouza nchi yetu wafie mbali magufuli ulichangua nini hii samia hajiwezi nauzanchi kwa waarabu wezio mungu waaaniwe watakao watoa Masai gorogoro.
Wamasai Ngorngoro wako salama wanachotakiwa ni kupungua mbugani kuishi kwenye vijiji na kuacha wanyama wapumue kwani wanyama hawezi kuhama ila binadamu wanaweza.
Anita mungu akubariki daima dada yetu nchi yetu inauzwa na wapumbavu hawajui Tanzania ni yetu wote.
NChi inauziwa nani? Acheni propaganda, hakuna nchi inauzwa.
hongera sana jamani kwa wimbo mzuri sijui kimasai lakini huwa napenda kusikiliza kweli
God bless u people
WOW! I don't understand the Maasai language but I have enjoyed nice voices. Be blessed.
God bless you Anita, we are praying for you everyday😀😀😀😀.
WOW - ASANTE SANA AKINA MAMA MUNGU MWEMA AWASAIDIYE POPOTE MULIPO.
The song has really touched my heart God bless you Anita we believe in God he will hear the cry 🙏🙏🙏🙏
What a message! God may you fight for us,
Uwo mugore uri gutera indirimbo ni mwiza cyane
WOW POWERFUL MESSAGE. GOVERNMENT SHOULD NOT BE THE OPPRESSOR.
Hegera sana wimbo safi sana
Ashenalee mungu akubariki Anita nimebarikiwana wimbo wa ngorongoro
Jamani hongereni Sana kwa wimbo mzuri wa kimasai.
Hongera Anita ila Kwa faida ya wengi tafsr Kwa kiswahili
Poleni mungu yupo🇹🇿🐄🙏📖
Good song dada keep fire burning
Barikiwa anita
Amazing.
Naomba iyo dada aimbe uowimbo Kwa lugha ya kiswaili Watanzania wote tuelewe
Masai mseondoke gorogoro nawaomba sana mungu tusaidie, magufuli tuombee gorogoro ibaki ilivyo kuwa shertani wakuuu wanaouza nchi yetu wafie mbali magufuli ulichangua nini hii samia hajiwezi nauzanchi kwa waarabu wezio mungu waaaniwe watakao watoa Masai gorogoro.
😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤
ongereni sana watumishi wa mungu
Good song godbless
A contemporary song. Tears shading on Maasai people survival
Anita Mungu akubariki
Kazi ni nzuri mteule
Ongera sana japo sijui kimasai ila na furahia mno mungu 🙏🙏🙏🙏
Watu wa ngorongoro wanatamaduni zao mnauza maeneo yetu huko mnataka waende kwa tamaduni gani
Sijui kimasai lakini nihuzuni au anaomba atambuliwe pia,
Ashe nare masai
God bless you all. Mungu awatunze
The Lord to lift you higher
Barkiwa sana mtumish wa mungu
Nikwel ni mzr lkn 2ombe mola a2jalie ngorongoro we2 kwamaan anapeka kwa nguvu kwavile ana dola lkn 2ombe 2 mungu ni mwema
😢ame mugu akubrk dada
Umeimba kweli
Mungu ni mwema
Amen Anita
Muziki muzuli sana. How can I arrive there to participate?
𝐇𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐧 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚 𝐦𝐮𝐧𝐠𝐮🙏🙏💕💕
Someone please translate huu wimbo kwa haraka 😮💨. Kwa kweli nimeupenda
Wimbo.huu.sisikie.matamko.ya.maneno.ila.ni.nzuri.sana.
Good song
Ok
Hi l Iu
Gadiel olereteu lukumay ashenallng
Umusarababychoralekarama
Metomitu iyiook Enkai Mpapa.
Translate to Swahili
Sidai naleng'
6
Wamasai Ngorngoro wako salama wanachotakiwa ni kupungua mbugani kuishi kwenye vijiji na kuacha wanyama wapumue kwani wanyama hawezi kuhama ila binadamu wanaweza.
These women are so beautiful. Are they Samburu or Maasai?
Huyia
God bless u people