Alhamdulillaahi sheikhe abuu iidi endelea kufanya kazi ya Allah, kwani mtume alikaidiwa tutakua sisi? Kwahiyo endelea sheikhe wangu nashukuru sana kwa mungu kutupa sheikhe wewe achana na hao walioamua kumfata abdu lwahabi, na ushabiki twende kazi sheikhe wangu sisi tunaokuelewa tunatosha,hongera sana, by bwamkuu hapa
Sio muhimu kuwafuata watu wa Makka wakati kuna tofauti katika muandamo wa mwezi mpya. Hii ndiyo mitazamo sahihi zaidi ya wanachuoni, kwamba kila nchi ina muandamo wake inapotokea tofauti kuhusu hilo. Mimi bi nafsi nafuata saudia miaka yote .alhamdullillah Allah atuongozee sote.
@@azizayassin3623 nenda ukasome Kuna mafungamano kati idd al adha na kisimamo Cha arafa idd al adha ilisuniwa mwaka wa kwanza wa kiislamu na Hajj alifaradhiwa mwaka wa Tisa wa kiislamu mtume aliswali idd al adha mwaka wa pili mpaka mwaka wa Tisa hicho kisimamo arafa kilikuwa Kiko wapi
@@azizayassin3623 kwani china Nako Kuna arafa nendeni mukasome acheni kukurupuka kwenye mitandao mtume s.a.w. aliswali idd al adha mwaka wa pili wa kiislamumpaka mwaka wa Tisa wa kiislamu hicho kisimamo Cha arafa kilikuwa Kiko wapi
Sheikh Muhammadi Ayoubu Wa Shamsiyah Tanga Amesomesha Sanaaa Watu wanatakiwa waache Mchezoo Na hawa Wanafunzi wake ALLAAAH amlipe Kula la kheiri Sheikh Muhammadi Ayoubu Alkamadhi
Yaaani kama ni aswari Sunna huwezi kumuelewa huyu jamaa hata kidogo kwa7bu wwe upo kiushabiki lkn huyu jamaa yupo sahihi sana Tena sana Allah atuwekee ili tuzidi kunufaika naye
Soma dini ueleww wawasikiliza watu watetea matumbo yao tuu we vip unafosi watu tumuelewe muelewe ww na sekhe wako mpotoshaji wamewapotosha kufanya maulidi na wanavimba mishiipaa. Kuyatettea japo ukweli upo wazi ni uzushi watashindwa kupotoa hili
Kila anaepinga haya Asimpinge Sheh Abuu Iddi....... Apinge vitabu alivyo nukuu Sheh. Akama kakosea kusoma basi aje mtu asome vizuri kinyume alivyosoma yeye na Alivyo tafsiri yeye...... Namuomba Allah atusamehe makosa yetu. Na atuingize peponi kwa rehema zake.
Kuna mashekh ukiwaskiliza kwa makini sana utgunduw kumbe niwapotoshaji watu kwa maksudi lengolao wa nalijuw wao lkn kiukweli kuna mashekh wanapenda mfarakano kuliko umoja sijui wanamgumikiy nan Allah awaongoze pa1 na sisi amin
Sheikh yupo vzr sana kwamba SWAUMU YA ARAFA NA HIJJA ni vitu viwili tofauti kwani Hijja ni siku moja dunia nzima (kuanzia Adhuhuri hadi Alfajiri) na inafanyika Saud Arabia wkt Swaumu ya Arafa inafanyika Alfajiri hadi Magharibi ya siku husika ktk nchi yake
Sio hivyo ndugu Arafa ni sehem iliyopo Makkah ambapo mahujaj huenda sehem hiyo Mahujaji husimama hapo kuanzia Alfajir mpaka magharib Maana ndio kilele cha hija ,hija ni Arafa kama hujaji ajaenda viwanja vya Arafa hana hija Na siku hiyo ya Arafa Ndio siku pekee ambayo Allah anashuka mchana Sisi tuliopo pembeni inatakiwa siku hiyo ambayo mahujaji wapo viwanja vya Arafa tunatakiwa tufunge
@@bigemagomabigemagoma6312ukisema hivyo unamaanisha walioko marekani na mashariki ya mbali hii dunga haiwahusu? Maana wakisimama arafa kwingine masaa yanapushana mpaka nane na kumi. Iceland huko. Ndo maana nmemwelewa shekh kwamba siyo ibada ya tukio, na hapo ndiyo itakuwa ya waislamu wote duniani, ukisema ni ya tukio tu basi kuna sehemu za dunia hii haitawahusu.
من الأمور المشتشكلة فى هذه الأيام صيام يوم عرفة وعيد الأضحى، والأضحية، لمشابهتها فى الأسماء والتاريخ ،لأن الجاج لهم عرفة وغيرهم يصومون يوم عرفة، والحجاج يذبحون الهدي، وغيرهم يذبحون الأضحية، لدفع الشهبة يجب علينا أن نرجع إلى تاريخ لنفصل هذا وذاك،
Yupo vzr kupotosha we unataka aende motoni peke ake wakati wakumsapoti mupo hiyo ndo kweli ulivyo Hawa siku zote wangekuwa wakweli wangeshawatoa utumwani mwa maulid kwani hawajui kama ni uzushi wafahamu vzr wanapinga sabu za kimaslahy zao hata hiili pia mutapinga uliona.wapii dini ikaakkosaa wapotoshaji??? Haiwezekani woote twende peponni
Mashehe waseme sisi na saudia tunatofautiana mda. Km ni siku maana ni masaa24 lkn km ni dakika kadhaa basi trh zetu na mwez wetu unaandama siku moja isipokuwa tunatofautiana dk hizo. Km wataeleza hilo basi waumin hawatafanya makosa. Lkn km leo ni j.mosi maka na Tanzania ni j.mosi ila hy trh nasiku tumetofautian mda basi haipaswi tupitishe siku.
Ibada hii ya hija imefingamana na vyote tukio,tarehe na mwezi sasausije ukawakoseshawatu fadhiraza arafa kwakuambia vituviwilitu Yani mwezi natarehe itakuwa umewakosesha siku muhimu ya arafa maana ww ume ung,ang,ANIA tarehayako tu hunahajaya kuangalia mahujaji basi ww itakuwa hukumfahamu vizuri mtume sasa kwakuwa ufahamuwako umeishia hapo nakuomba usiwapoteze watu kwakuambia wafuate tarehe yao haliyakuwa ilijambo limefungamana nayote matatu na tumshukulu mungu sana Kwa ukanda huu wa afrika mashariki hatunaudhuru watarehe kwani tunaenda sambamba masaa tarehe Yani hatuna udhuru kabisa
POLE SANA HUJAMUELEWA HUYU KAFAHAMISHA VIZURI.HAJJI NI YA MAHUJAJI NA ARAFA. SISI NIFUNGA TU NA DUAA WAO NDIO WANA KISIMAMO SISI KISIMAMO.CHA ARAFA HAKITUHUSU KAMA HATUJAONA MWEZI TUNAPOISHI.LAZIMA KUWASIKILIZA WENYE ELIMU TUSIZUKE TU JAMANI ITTAKILLAH
5:104. Na wanapo ambiwa: Njooni kwenye yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, na kwa Mtume, husema: Yanatutosha tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawajui kitu wala hawakuongoka?
Haya tutakubali kufunga arafa mwez 9 kwa hoja zako za kufungamanisha matukio lakini utwambie tufunge jumatatu pale inapo ingia mpaka itakapo toka kama hoja nikwamba haiwez arafa kufungamanisha mahujaji na funga. Toeni dalili zilizo waz mashekhe acheni kushabikia tuu kama vile timu za mipira
Shida ya kua mshabiki ndo hiii. Sasa kasoma Almughni lakini hakusoma yote Soma ukurasa wa 595 hiyo hiyo kitabu Swalatu Alghidain angeona anavyojichanganya anatetea tuuu ugali maskini. Lakini hana hoja Kwani sisi kufunga tunafunga kuambatana na tukio au tunafunga tarehe. Na kama tunafunga tarehe Tunaomba dalili ilokuja kuonyesha kua ni tarehe na sio tukio
@@Alhasibu05 Kitabu alicho soma kasoma kihuni hajamaliza maada nzima katika kitabu hicho. Na hiyo ni kawaida ya masheikh wa Bidaa wanawaiga mashia kama shida golo alivyokuwa akisoma vitabu kwa lengo la kutukana Wanazuoni wa sunna. Na huyu nae kasoma nusu. Huu ni uhuni kitabu hicho hicho kinamsuta kama unacho soma hadi ukurasa wa 595 kitabu hicho hicho ndo utaelewa.
@@AbdallahShaibu-w4h Na siku ya Arafa ni siku ambayo itawadhihirikia kwamba ni siku ya Arafa sawa sawa ni tarehe tisa au kumi. Ukurasa wa 595. Almughni Almukhtaji
Huyu mzee anachokitetea hatofanikiwa mpaka anakufa amesimama kwenye upotoshaji wa wazi wala usiseme unakumbusha bali wew uko kugawa waislam na kamwe hutak waungane😢
@@AbdulIssa-o7ematusi ndio dini yenu ilimu huna ni Sunna Gani abuu idd anapinga na vitabu ana toa kama sheikh uthaimeen jee uthaimeen naye apinga sunnah
Allah kwa kuweka mzunguuko wa jua kwa saa 24 nadhani hekima yake ni kuabudiwa na viumbe wote massa yote 24 hivi wote tungefanya hizi Ibada kwa pamoja hayo massa mengine asingeabudiwa na viumbe Sheikh Muhamadi Iddi kwa hili naona unaongea mambo sahihi
Kigoma na Rukwa hapo magharibi yake haifanani na ya dar, ni vile tu waislamu wengi hatujajaliwa kutembea duniani ndiyo maana tunahisi dunia nzima ipo kama Tanzania na Saudia
Huyu jamaa akili hana,anaibuka kwa matukio ya msimu wa Maulidi,ibada ya swaumu ya Arafat na mwandamo wa mwezi wa Ramadhani نسأل الله أن يهديه إلى التوحيد والسنة
@@IsmailJuma-zb5ni Hakuna sufi mwenye akili timamu,kushuka kwa Quran kidogo kidogo na mtu kuwa mropokwaji wa matukio kadhaa kila mwaka mbona hakuna uhusiano, mwenye akili timamu hawezi kuwa sufi,kaangalie maneno ya Imam Shafiy dhidi ya masufi.
@@khamiisathmaan4362 hakuna tusi hapo, ALLAH kawarudi baadhi ya watu katika Quran kwa kuwaita hawana akili kwa Sababu ya kutoifuata haqq, kwahiyo ALLAH anatukana?
Kwani nani atabaki milele kila mtu atakufa kama mola alivyo sema kila nafsi itaonja mauti sindano za abuu idd zinaendelea kuwachoma mumeo Baki na chuki dalili hamuna
NA ANASEMA.HAIWEZEKANI.WATU..KUFUNGA.SIKU.MOJA....MBONA.KRISMAS.INASHEREHEKEWA.SIKU.MOJA.DUNIA.NZIMA....NA.MTUME..ANASEMA..KIAMA.ITAKUA.SIKU.YA IJUMAA....KWA.HIYO.MTUME.NI.MUONGO?.KWA MAANA.WENGINE.KIAMA.KITAWAKUTA.JUMAMOSI.?
Unavyodhani Kristimass inasherehekewa siku 1. Sababu ni kwamba siku kwa Wakristo ni saa 24 ba Kristmas ni saa 24 na inaanzia saa saba usiku. Wakati kwa sisi Waislam siku inaazia Magharibi na kufunga kwa Africa Mashariki na kwengineko ni masaa 12. Hii maana yake. Mwezi 9 wa Makka ukiisha ndio 9 wa Tanzania umeanza kama funga ingekuwa saa 24 kama Kristimass tungekuwa tunakutana.
Mnatukana sababu hamkujua maana yake nn? Kama siku ni moja tunapisha masaa basi kukikucha funga kama kwako Usikù hata Arafa nayo tutofautianae 😢😢😢😢 @@AdamRajab-xd3zg
Time moja sio hoja. Mfano uliza swala ya alfajir Zanzibar wanaswali saa ngapi na Kigoma wanaswali saa ngapi? Utapata jibu. Muda wa swala hazingaliwi TIME badala yake huangaliwa JUA
ua-cam.com/video/g_JXRt5EOTQ/v-deo.htmlsi=tn0cgK5CXKQHxCHi HAKUNA HADITHI INAYOELEKEZA SWAUMU YA ARAFA IWE SIKU MOJA NA KISIMAMO CHA MAHUJAJI. SHEIKH KHALIFA KHAMIS.
@@abuujibriltv5233Kwani hisabu ya mwezi inaanzia wapi na jua wapi, panachanganya kidogo. Jua likizama (Magharibi) ndio mwezi huanza. Hivyo jua ni masaa 12 na mwezi masaa 24. Funga hutegemea jua sio mwezi yaani Alfajil hadi Magharibi. Mwezi ni Magharibi hadi Magharibi. Niko sawa?
هُوَ الَّذِي جَعَلَ الشَّمْسَ ضِيَاءً وَالْقَمَرَ نُورًا وَقَدَّرَهُ مَنَازِلَ لِتَعْلَمُوا عَدَدَ السِّنِينَ وَالْحِسَابَ ۚ Yeye ndiye aliye lijaalia jua kuwa na mwangaza, na mwezi ukawa na nuru, na akaupimia vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu. Ndugu yangu umegeuza, bali Jua ni masaa na Mwezi ni siku.@@abuujibriltv5233
Kweli kabisa wapo wengine imeingia ijumaa na wengine bado wako na alhamisi tumia iko ivyo, Alafu usilinganishe miezi na siku za kidunia Ambazo ziko fixed sisi tunafuata mzunguko wa mwezi ambao auzidi 30,tarehe za kidununia huwa zinaenda mbaka 31.
Hatuja choka kumsikiza abuu idd kwa sababu anaelimisha umma wa kiislamu juu ya upotoshaji wenu juu ya funga ya arafa nayo ni mwezi Tisa wa dhulhijja lakini nyinyi munabadilisha kwa kuangalia mahujaji kwenye kiwanja Cha arafa ambapo hii ni bidaa hakuna mafungamano kati ya funga ya arafa na kisimamo Cha arafa na kama Kuna mafungamano mbona funga ya arafa haipo kwenye mlango wa hijja na kama ipo basi lete dalili
Allah akuhifadhi na huo mdomo wako mchafuu lengo ni kufahamishana na sio kubishana hivyo ndivyo walivyofanikiwa maswahaba uu kwa elimu gani mpaka umjibu mtu anaeamrisha watu mema na kukataza mabayaa ndo nyinyi munaotuharibia diniii
Wewe ikifika siku ya Jumamosi itaangukia Arafa kwa mwaka 2024, wewe usitie nia kufunga Arafa siku hiyo, subiri arafa yenu uwanja wa jangwani, ama kwenye uwanja wenu wa maulid mnazi moja. Acha sisi tutie nia kufunga Arafa siku ikifika, kawapoteze watu wa bidaa wenzio huko.
Debe tupu upiga kelele sasa arafa Ni faradhi Hadi mtu lazma afunge jumamosi na nyuma ashakataza kufunga jumamosi pekee.....sasa jumamosi wafunga VP hio siku tu peke nenda kasome wewe huwezi jua kumliko ndo maana yeye Ni shekhe wa markiti wewe labda shekhe wa mangwe
Sheikh tumemuelewa sana Ila swali langu leo tanzNia ni junanne saa mbili usiku je saudia ni saa ngapi Mbona tunauliza wenzeru walioko saudia Wana Sema saa ni moja sisi na saudia hatupishani saa hata moja vipi
Haujamuelewa,inawezekana saa ni moja lakini tukatofautiana mwindamo,ikiwa muindamo utakuwa sawa hakuna shaka na hili sio geni kama tulivyokula idi al fitiri mara hii
Tarehe na saa inaweza kuwa moja: Lakini kunatofautiana kuchimbuka na kuchwa kwa jua sehemu mbali mbali.Darasalama jual laweza chimbuka 6.36 asubuhi na Kigoma likachimbuka 6.53 asubuhi.Hili ndilo linaloongewa hapa.
Labda nikufahamishe kitu;kuhusu arafa.kuna arafa siku,kuna arafa sehemu (ambayo ipo makka)na kuna arafa kisimamo.sasa kauli ya mtume inasema (funga ya siku ya arafa ambayo ni mwezi 9 wa dhulhijja na sio mahujaji wakiwa wapo kwenye viwanja vya arafa
MASHEKHE TUWEKENI SAWA, JE DUNIA INA SIKU MBILI TOFAUTI ??(Yaani tar. 09 .12. 1445 Zipo mbili tofauti DUNIANI?? na kama ipo mbona inazingatiwa nyakati za kufungua na kufungua TU? sio KTK majambo mengine yoote DUNIANI hatusikii HIZI tofauti za masiku???) Ina maana Hadi sasa SWALA LA DUNIA KUTOFAUTIANA SIKU HADI LEO WASOMI HAWAJALIPATIA UFAFANUZI.
Achana na dunia ndugu hata kigoma na dar hawafuturu pamoja sembuse uchina. Hivi vitu waislam wanatakiwa kutembea na kuona wataelewa kirahisi. Ukimweleza mtu aliyekulia kondoa mpaka akawa shekh hapo ni vigumu kukuelewa
Huyu ndugu mzungumzaji bora tuuu angekaa kimya kwanza ni yeye alie lazimisha kwamba Arafa ni siku sio tukio hana Ushahidi na kitabu Aliyosoma kasoma kihuni sio kwa niaba ya kufundisha angesoma mpaka ukurasa wa 595 angeona anavyo jikanyaga lakini kakwepa. Alafu suala la kulazimisha tarehe iwe moja dunia nzima hiyo kaiweka yeye mwenyewe suala hapa angetuambia Sisi na Saudia tunatofautiana nini ili hoja zake ziwe na mashiko hilo moja pili Atupe ushahidi Arafa ni siku na sio tukio tungemuona wa maana sana lakini chenga chenga tuuu anajenga maada na kuitetea peke yake sasa huo si ni utoto.
@@MuhidiniNassor Sio kujua tuuu mpaka hadithi iloandikwa hapo naijua. Na kwa hadithi hiyo hiyo naeza kukuuliza swali mpaka ukafa haujaji kama mtu wa mihemko lakini kama mkweli hadithi hiyo hiyo ushahidi tosha wa kuonyesha Arafa sio siku ni tukio.
Wewe muhammad idi huna elimu ya kumzidi alliyyu jumuah wa az-har mwalimu mkubwa wa sheria pale misri,kasema wasio kua makkah itawalazimu wawafate walio makkah ktk jambo hili la kufunga arafah.
Anapotosha Nini ukweli unauma Leo wasema ATI anapotosha kwa vitabu kuchapishwa jee hadithi za mtume s.a.w.hazipo katika vitabu vilivyo chapishwa kama sahihi bukhari na sahihi Muslim na sunani sita na quraan nayo pia ilichapishwa
@@almeidhalu3238 eti hatufungamani na mahujaji we umesoma wapi?hadithi inasema mwenye kufunga siku ya arafa atasamehewa madhambi ya miaka 2 na siyo mwenye kufunga mwezi 9 pia mtume amehimiza kuchinja km mahujaji. Swali waliokuwa wakifunga mwezi 9 kabla ya kufaradhishwa hija walikuwa wakichinja?
Hili ndo umelijuwa bidaa maulidi vip? So bidaa ? Acha kwani ww bidaa unasema bidaa wakati umo katika kundi la wafanyao bidaah mzushi katika wazushi una dalili ya bidaa sugu ya maulidi ni ibada itokayo kwa Allah na mtume? Jibu hilo kwa aya au hadithi kisha uje utulinganie sie
Jazaakaallahu khayra darsa zuri sana ALLAH akulipe shekhe
Alhamdulillaahi sheikhe abuu iidi endelea kufanya kazi ya Allah, kwani mtume alikaidiwa tutakua sisi? Kwahiyo endelea sheikhe wangu nashukuru sana kwa mungu kutupa sheikhe wewe achana na hao walioamua kumfata abdu lwahabi, na ushabiki twende kazi sheikhe wangu sisi tunaokuelewa tunatosha,hongera sana, by bwamkuu hapa
nimekuelewa vzr shekh na somo nizirisana Allah akulipe kherinyingi na akuweke miaka mingi tuzidi kupata elimuyako inshallah
Yaaa Salaaam Sheikh letu Mzee wetu ALLAAAH akuweke Na akulinde Na hasadi Maana Unamwaga LULU nyingi Mnoo Sheikh wetu Muhammad
Mwalimu wangu unajua sana kwa sababu umesoma sana
walahi shekhe wangu nimekuelewa sana mungu akulipe
Sio muhimu kuwafuata watu wa Makka wakati kuna tofauti katika muandamo wa mwezi mpya. Hii ndiyo mitazamo sahihi zaidi ya wanachuoni, kwamba kila nchi ina muandamo wake inapotokea tofauti kuhusu hilo. Mimi bi nafsi nafuata saudia miaka yote .alhamdullillah Allah atuongozee sote.
Arafa ni moja ata ukiwa China araf ni moja kumbuka hii sio umra
@@azizayassin3623kiwahabi kijike
@@azizayassin3623 nenda ukasome Kuna mafungamano kati idd al adha na kisimamo Cha arafa idd al adha ilisuniwa mwaka wa kwanza wa kiislamu na Hajj alifaradhiwa mwaka wa Tisa wa kiislamu mtume aliswali idd al adha mwaka wa pili mpaka mwaka wa Tisa hicho kisimamo arafa kilikuwa Kiko wapi
Mbona unajichanganya umesema sio muhimu kuwafuata watu wa makka na ilhali wewe mwenyewe wafuata makka huu si udhabdhabina
@@azizayassin3623 kwani china Nako Kuna arafa nendeni mukasome acheni kukurupuka kwenye mitandao mtume s.a.w. aliswali idd al adha mwaka wa pili wa kiislamumpaka mwaka wa Tisa wa kiislamu hicho kisimamo Cha arafa kilikuwa Kiko wapi
Jazakumullah khaira allah akulipe kheri
Nimekuelewa sana Shekh Allah akuhifadhi
Nimekuelewa vizuri sana shukran
Mola akuhifadhi na akubariki
Sheikh jazzaka lllahu khayra Mimi binafsi nimekuelewa vizuri sana watu wakiacha ushabiki watakuelewa mambo yapo wazi sana umetuelimisha vizur asante
Sheikh Muhammadi Ayoubu Wa Shamsiyah Tanga Amesomesha Sanaaa Watu wanatakiwa waache Mchezoo Na hawa Wanafunzi wake ALLAAAH amlipe Kula la kheiri Sheikh Muhammadi Ayoubu Alkamadhi
Nimeelewa shekh
ALLAH AKUUJAALIE UMLI MLEFU
Jazaakallahu khayran Sheikhul Faadhwil
Mashallah sheikh nimekuelewa vizuri sanaaa
Allah akuwkee Sana ili tuendelee kupata faida kubwaaa,,
Allah atuongoze atujalie elimu yenye manufaa
Mbona mwezi ukionekana Kenya muft anatangaza, kwani Kenya ni Tanzania?
Allah akulipe sheikh kuwasaidia waislamu ktk maelekez muhimu na wakati muhimu
Yaaani kama ni aswari Sunna huwezi kumuelewa huyu jamaa hata kidogo kwa7bu wwe upo kiushabiki lkn huyu jamaa yupo sahihi sana Tena sana Allah atuwekee ili tuzidi kunufaika naye
Soma dini ueleww wawasikiliza watu watetea matumbo yao tuu we vip unafosi watu tumuelewe muelewe ww na sekhe wako mpotoshaji wamewapotosha kufanya maulidi na wanavimba mishiipaa. Kuyatettea japo ukweli upo wazi ni uzushi watashindwa kupotoa hili
@@AbdulIssa-o7e Mimi hii midahalo siipendi, hutaka kila mmoja afuate alichoamini. Muhimu kila mmoja awe na elimu juu ya anachokifanya.
Kwaiyo arafa zitakua ngap?
@@AbdulIssa-o7euko ndo kushindwa hoja
@@AbdulIssa-o7eww umsoma wapi
Allah akulipe
43:54
Wewe ni jiwe kubwa sana
Atakae piga kichwa jiwe ataumiza kichwa chake
SHIDA SAANA MASHEIKH NJAAA
Unamanisha Nini kwa kusema hivyo
njaa yake nini mbona manenoyako hayana uwiano
Shehe Acha ubaguzi 😮 sisi tuko sawa sawa Makka. saa za kuswali
Kuwa na inswaaf
Elimu ni amana , wallahi Allah atakuuliza hio siku ikifika
Mashaallah
Hoja za msingi sana, kiasi cha kuelewa ata mweny elimu ndogo
Mimi Nimekuelewa vya kutosha, umeongea vizuri mno
Swallu Alan Nabiiiiii
Kila anaepinga haya Asimpinge Sheh Abuu Iddi.......
Apinge vitabu alivyo nukuu Sheh.
Akama kakosea kusoma basi aje mtu asome vizuri kinyume alivyosoma yeye na Alivyo tafsiri yeye......
Namuomba Allah atusamehe makosa yetu. Na atuingize peponi kwa rehema zake.
Kuna mashekh ukiwaskiliza kwa makini sana utgunduw kumbe niwapotoshaji watu kwa maksudi lengolao wa nalijuw wao lkn kiukweli kuna mashekh wanapenda mfarakano kuliko umoja sijui wanamgumikiy nan Allah awaongoze pa1 na sisi amin
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
Shehe uko sahihi
Abuu Idd kakae usome
Yaani shekhe wa unanifulahisha lakini unawakera saaaana ndugu zetu mawahabb
Sheikh yupo vzr sana kwamba SWAUMU YA ARAFA NA HIJJA ni vitu viwili tofauti kwani Hijja ni siku moja dunia nzima (kuanzia Adhuhuri hadi Alfajiri) na inafanyika Saud Arabia wkt Swaumu ya Arafa inafanyika Alfajiri hadi Magharibi ya siku husika ktk nchi yake
Sio hivyo ndugu Arafa ni sehem iliyopo Makkah ambapo mahujaj huenda sehem hiyo
Mahujaji husimama hapo kuanzia Alfajir mpaka magharib
Maana ndio kilele cha hija ,hija ni Arafa kama hujaji ajaenda viwanja vya Arafa hana hija
Na siku hiyo ya Arafa Ndio siku pekee ambayo Allah anashuka mchana
Sisi tuliopo pembeni inatakiwa siku hiyo ambayo mahujaji wapo viwanja vya Arafa tunatakiwa tufunge
@@bigemagomabigemagoma6312neno arafa ndio Lina kutatiza nenda ukasome tarekh ya kiislamu neno arafa lilikuwapo hata kabla ya kisimamo Cha arafa
@@bigemagomabigemagoma6312je kwa wale ambao usiku ushaingia
@@bigemagomabigemagoma6312ukisema hivyo unamaanisha walioko marekani na mashariki ya mbali hii dunga haiwahusu? Maana wakisimama arafa kwingine masaa yanapushana mpaka nane na kumi. Iceland huko. Ndo maana nmemwelewa shekh kwamba siyo ibada ya tukio, na hapo ndiyo itakuwa ya waislamu wote duniani, ukisema ni ya tukio tu basi kuna sehemu za dunia hii haitawahusu.
MASHAALLAH
من الأمور المشتشكلة فى هذه الأيام صيام يوم عرفة وعيد الأضحى، والأضحية، لمشابهتها فى الأسماء والتاريخ ،لأن الجاج لهم عرفة وغيرهم يصومون يوم عرفة، والحجاج يذبحون الهدي، وغيرهم يذبحون الأضحية، لدفع الشهبة يجب علينا أن نرجع إلى تاريخ لنفصل هذا وذاك،
Technology ya mawasiliano inaweza kubadilisha huqmu za dini???
Shekh hana ndevu hata moja dahhh
Ndvu inahusiano gan
Hawjui sio watu wote alwah amewajaalia ndevu huyu Hana ndevu asilia na wachina pia wengi hawana ndevu! Nao utawashangaa?
Umuhimu ni darsa au ndevu? @@binaamour318
Ananyoa awe Handsome
leo nimeelewa vizuri masuni hawanipate tena
Mnajitahid sana kutumia nguvu ila haki haijifichi watu wanazidi kuuelewa ukweli mshatudanganya sanna
Kwahiyo Shekhe wako Ibnu 'Uthaymin, Swalehe Fawzan, Ibnu baazi wote hawa hawaijui haki?!
Mumeo danganywa kivi vipi nenda ukasome
Achanani nae mjinga huyu
Nyinyi ndio watu bongo zenu zimeratibiwa na Wangereza na Mayahudi kuuvuruga Uislamu.Historia ya Uwahabi oko wazi na malengo yenu yanajulikana
Huyu Jamaaa yuko vizuri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Embu ungemuuliza duniani kuna siku mbili? Yani mfano leo juma tatu afu kuna kesho juma tatu sehemu nyingine!!?
Ndio ipo lakini sio 24hrs completly
Hilo swali alishalijbu siku nyingi sana labda wewe ndio mara kwanza unamsikiliza
Yupo vzr kupotosha we unataka aende motoni peke ake wakati wakumsapoti mupo hiyo ndo kweli ulivyo Hawa siku zote wangekuwa wakweli wangeshawatoa utumwani mwa maulid kwani hawajui kama ni uzushi wafahamu vzr wanapinga sabu za kimaslahy zao hata hiili pia mutapinga uliona.wapii dini ikaakkosaa wapotoshaji??? Haiwezekani woote twende peponni
Sisi hatumsapoti ila tunakubali dawa yake
Mawahabi mtofautishe tarekh za mwezi na tarekh za jua
Fata ww na shekhe lako lipotoshaji hilo sisi tushabuluzwa sana na Hawa watu hatimae tumekomboka endeleni ninyi kuwa utumwani
@@AbdulIssa-o7ehahahaaaa kakomboka juzi
Jibu maswali ya sheikh kasimu mafuta kwanza iddi
Unamlazimisha ajibu Kwa utashi wako uyo mafuta Tyr kajibu masuala aloulizwa?
KATIKA MASHEKH WABISHI BONGO...HUYU KIONGOZI WAO...ILA NAMKUBALI SANA SANA
Unamkubali kupotosha uma kweli yupo vzr we unataka aende motoni peke ake lazima apate wafuasi ndo kama ninyi mpo vzr tuu.musokubali haki waziushi
@@AbdulIssa-o7eSasa ana potosha kivipi nenda ukasome wewe ni mpotoshaji lete dalili zako
@@AbdulIssa-o7ewewe unaonesha haswaa kama si muislam
Kwamba wewe wa peponi unaambiwa usimuhukumu mwenzako angalia na yako kwanza@@AbdulIssa-o7e
@@AbdulIssa-o7eana wapotosha watu kivipi nenda ukasome nyinyi ndio wapotoshaji munaendedha dini kwa fikra zenu pasi na dalili
Siku 9 za dhulhijja ni vizuri kufunga tusisubiri siku ya arafa tu
Haya maneno ninani haeliwi labdah ni vile hakupewatu upeo wama elewa
Mashehe waseme sisi na saudia tunatofautiana mda. Km ni siku maana ni masaa24 lkn km ni dakika kadhaa basi trh zetu na mwez wetu unaandama siku moja isipokuwa tunatofautiana dk hizo. Km wataeleza hilo basi waumin hawatafanya makosa. Lkn km leo ni j.mosi maka na Tanzania ni j.mosi ila hy trh nasiku tumetofautian mda basi haipaswi tupitishe siku.
Shida ni Saudia hawaangalii mwezi. Wanafata kalenda yao ya ummul Qura. Hivyo uandame usiandame kama kalenda yao inasema tarehe 1 basi itakuwa hivyo
Ibada hii ya hija imefingamana na vyote tukio,tarehe na mwezi sasausije ukawakoseshawatu fadhiraza arafa kwakuambia vituviwilitu Yani mwezi natarehe itakuwa umewakosesha siku muhimu ya arafa maana ww ume ung,ang,ANIA tarehayako tu hunahajaya kuangalia mahujaji basi ww itakuwa hukumfahamu vizuri mtume sasa kwakuwa ufahamuwako umeishia hapo nakuomba usiwapoteze watu kwakuambia wafuate tarehe yao haliyakuwa ilijambo limefungamana nayote matatu na tumshukulu mungu sana Kwa ukanda huu wa afrika mashariki hatunaudhuru watarehe kwani tunaenda sambamba masaa tarehe Yani hatuna udhuru kabisa
POLE SANA HUJAMUELEWA HUYU KAFAHAMISHA VIZURI.HAJJI NI YA MAHUJAJI NA ARAFA. SISI NIFUNGA TU NA DUAA WAO NDIO WANA KISIMAMO SISI KISIMAMO.CHA ARAFA HAKITUHUSU KAMA HATUJAONA MWEZI TUNAPOISHI.LAZIMA KUWASIKILIZA WENYE ELIMU TUSIZUKE TU JAMANI ITTAKILLAH
Kama ni hivyo kuna nchi ibada hii haitawahusu, tembea nchi zingine ndo utaona huyu shekh anaeleza nn
Ili arafa iwe moja turudi kwenye tarekhe ya kila kimoja wapo tujue iki na kile kwa sababu arafa ili kuwepo kabla ya hija
5:104. Na wanapo ambiwa: Njooni kwenye yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, na kwa Mtume, husema: Yanatutosha tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawajui kitu wala hawakuongoka?
shekh siku inabadilika jioni na si asubuhi
Sawa, umekusudia nini?
@@hajihassan5433nadhani sheikh alizungumzia akimaanisha....mchana nadhani....day and night.....hapa 'day' ni mchana
WAMAREKANI NA MAKHA NI MASAA 7 TOFAUTI NA WANAFUNGA SAWA TOFAUTI NI KUFTURU WAPO NYUMA
Ndio ishakua tafauti hio pimbi wewe.
Wakati wa summer america na Africa mashariki ni masaa 10 .11.hadi 13. Sasa watafungaje pamoja kuwa mkweli na umche mola wako
Sioni ajabu kwani hata Iblis ana wafuasi na wanamuelewa
Haya tutakubali kufunga arafa mwez 9 kwa hoja zako za kufungamanisha matukio lakini utwambie tufunge jumatatu pale inapo ingia mpaka itakapo toka kama hoja nikwamba haiwez arafa kufungamanisha mahujaji na funga. Toeni dalili zilizo waz mashekhe acheni kushabikia tuu kama vile timu za mipira
Safi tumekuelewa
Dalili zipi unataka tofauti na alizotoa? Mjitahidi kusikiliza darsa zima siyo vipande
Shida ya kua mshabiki ndo hiii.
Sasa kasoma Almughni lakini hakusoma yote Soma ukurasa wa 595 hiyo hiyo kitabu Swalatu Alghidain angeona anavyojichanganya anatetea tuuu ugali maskini.
Lakini hana hoja Kwani sisi kufunga tunafunga kuambatana na tukio au tunafunga tarehe.
Na kama tunafunga tarehe Tunaomba dalili ilokuja kuonyesha kua ni tarehe na sio tukio
Sasa ndugu kama umesomewa na vitabu unataka dalili gani sas wewe ndo ungetoa dalili ya kupinga hilo
@@Alhasibu05
Kitabu alicho soma kasoma kihuni hajamaliza maada nzima katika kitabu hicho.
Na hiyo ni kawaida ya masheikh wa Bidaa wanawaiga mashia kama shida golo alivyokuwa akisoma vitabu kwa lengo la kutukana Wanazuoni wa sunna.
Na huyu nae kasoma nusu.
Huu ni uhuni kitabu hicho hicho kinamsuta kama unacho soma hadi ukurasa wa 595 kitabu hicho hicho ndo utaelewa.
Huko mbele kunasemahe
@@AbdallahShaibu-w4h
Na siku ya Arafa ni siku ambayo itawadhihirikia kwamba ni siku ya Arafa sawa sawa ni tarehe tisa au kumi.
Ukurasa wa 595.
Almughni Almukhtaji
Sasa hapo kakata nini au kapotosha nini
Huyu mzee anachokitetea hatofanikiwa mpaka anakufa amesimama kwenye upotoshaji wa wazi wala usiseme unakumbusha bali wew uko kugawa waislam na kamwe hutak waungane😢
Humuelewi ww tu mbumbumbu
Mawahabi ilim ndogosana
We una ilmu na shekhe lako hilo lenye tumbo kubwa 😂😂pinzani la sunnah za mtume
@@AbdulIssa-o7ematusi ndio dini yenu ilimu huna ni Sunna Gani abuu idd anapinga na vitabu ana toa kama sheikh uthaimeen jee uthaimeen naye apinga sunnah
Allah kwa kuweka mzunguuko wa jua kwa saa 24 nadhani hekima yake ni kuabudiwa na viumbe wote massa yote 24 hivi wote tungefanya hizi Ibada kwa pamoja hayo massa mengine asingeabudiwa na viumbe Sheikh Muhamadi Iddi kwa hili naona unaongea mambo sahihi
Ni kweli kabisa nnachoamini wakati ambao sisi tunaswali adhuhur wengine wanaswali ishaa
Kigoma na Rukwa hapo magharibi yake haifanani na ya dar, ni vile tu waislamu wengi hatujajaliwa kutembea duniani ndiyo maana tunahisi dunia nzima ipo kama Tanzania na Saudia
Kwani msimamo wa shekhe kila nchi na mwezi wake au anaangalia matwlai?
Huyu jamaa akili hana,anaibuka kwa matukio ya msimu wa Maulidi,ibada ya swaumu ya Arafat na mwandamo wa mwezi wa Ramadhani
نسأل الله أن يهديه إلى التوحيد والسنة
Hâta Aya zilishuka kwa matukio pia
Suna gani ulonayo wewe ya kumtukana muislamu
Miongoni mwa hekma za Allah kaishusha Quran Kidogo Kidogo kwa miaka 23 ni kuweka sambamba na tukio Jee hilo Unasemaje?
@@IsmailJuma-zb5ni Hakuna sufi mwenye akili timamu,kushuka kwa Quran kidogo kidogo na mtu kuwa mropokwaji wa matukio kadhaa kila mwaka mbona hakuna uhusiano, mwenye akili timamu hawezi kuwa sufi,kaangalie maneno ya Imam Shafiy dhidi ya masufi.
@@khamiisathmaan4362 hakuna tusi hapo, ALLAH kawarudi baadhi ya watu katika Quran kwa kuwaita hawana akili kwa Sababu ya kutoifuata haqq, kwahiyo ALLAH anatukana?
Jua utakufa na sijuwi unamajibu sahihi uliojiandaa Kwa uma uliopotea tunu kabla ujafa iddi
Kwani nani atabaki milele kila mtu atakufa kama mola alivyo sema kila nafsi itaonja mauti sindano za abuu idd zinaendelea kuwachoma mumeo Baki na chuki dalili hamuna
Leta hoja acha kuleta hukumu, ni Allah pekee ndiyo mwenye majibu
Sufiiii
Kiwahabi
Yenu ni matusi hojja huna mungu akuongoze uione haki na kuifuata
Wewe mwehu
MWENYE AKILI TIMAMU NDIE ATAKUELEWA MWENGINE ASIYE NA AKILI VIZURI ATAKUPINGA TUUU
Mashekh musiwape pumzi mawahabi hadi wakiri kwamba wamewakosea waislamu kwa kipindi kirefu twende nao hivyo hivyoo
NA ANASEMA.HAIWEZEKANI.WATU..KUFUNGA.SIKU.MOJA....MBONA.KRISMAS.INASHEREHEKEWA.SIKU.MOJA.DUNIA.NZIMA....NA.MTUME..ANASEMA..KIAMA.ITAKUA.SIKU.YA IJUMAA....KWA.HIYO.MTUME.NI.MUONGO?.KWA MAANA.WENGINE.KIAMA.KITAWAKUTA.JUMAMOSI.?
Unavyodhani Kristimass inasherehekewa siku 1. Sababu ni kwamba siku kwa Wakristo ni saa 24 ba Kristmas ni saa 24 na inaanzia saa saba usiku. Wakati kwa sisi Waislam siku inaazia Magharibi na kufunga kwa Africa Mashariki na kwengineko ni masaa 12. Hii maana yake. Mwezi 9 wa Makka ukiisha ndio 9 wa Tanzania umeanza kama funga ingekuwa saa 24 kama Kristimass tungekuwa tunakutana.
Huna hoja unafanansha hukum za kiislam na shreh za dn nyngne mpumbav kwel ww
Shubaamiti yaani masuala ya dini unatuchanganyia na ujinga wako
@@IsmailJuma-zb5ni n mjinga xana huyo Mambo ya uislam anafananisha na Mambo ya krsmas
Mnatukana sababu hamkujua maana yake nn? Kama siku ni moja tunapisha masaa basi kukikucha funga kama kwako Usikù hata Arafa nayo tutofautianae 😢😢😢😢 @@AdamRajab-xd3zg
Muhamedi idi huu ndio msimu wake. Hana mada tena zaidi ya Arafa😂😂😂
Yuko sahihi, hivi sasa hotuba zote hata za Ijumaa zinaelekea huko.
@@hajihassan5433 Sasa tatizo mohamed idi hatoagi khutba za ijumaa.
Yeye kazi kushinda vijiweni
Huko lumumuba
@@Al.habeebAl.habaaib na wewe unashinda wapi?
@@IsmailJuma-zb5ni kanusha kwanza hizo sifa hana jamaa yako?
@@Al.habeebAl.habaaib khutuba nzuri ni ile inayoendana na matukio ndio maana kwenye figh kuna kitu kinaitwa elmul hali
Lakini saudia na tz time is same sheikh na Hilo jee
Time moja sio hoja. Mfano uliza swala ya alfajir Zanzibar wanaswali saa ngapi na Kigoma wanaswali saa ngapi? Utapata jibu. Muda wa swala hazingaliwi TIME badala yake huangaliwa JUA
ua-cam.com/video/g_JXRt5EOTQ/v-deo.htmlsi=tn0cgK5CXKQHxCHi
HAKUNA HADITHI INAYOELEKEZA SWAUMU YA ARAFA IWE SIKU MOJA NA KISIMAMO CHA MAHUJAJI.
SHEIKH KHALIFA KHAMIS.
Hili chawa ni tiss, kila mtu mahala alipo, kwa hiyo pale Makka hatuwafuati,
😂😂😂😂 alhamisi kila nchi ina yakwake
Comment yako nimeikubali
Subhana llah. Mawahabi somoni jamani. Alhamisi haija fungamanishwa na mwezi bali ime fungamanishwa na jua
@@abuujibriltv5233Kwani hisabu ya mwezi inaanzia wapi na jua wapi, panachanganya kidogo. Jua likizama (Magharibi) ndio mwezi huanza. Hivyo jua ni masaa 12 na mwezi masaa 24. Funga hutegemea jua sio mwezi yaani Alfajil hadi Magharibi. Mwezi ni Magharibi hadi Magharibi. Niko sawa?
هُوَ الَّذِي جَعَلَ الشَّمْسَ ضِيَاءً وَالْقَمَرَ نُورًا وَقَدَّرَهُ مَنَازِلَ لِتَعْلَمُوا عَدَدَ السِّنِينَ وَالْحِسَابَ ۚ
Yeye ndiye aliye lijaalia jua kuwa na mwangaza, na mwezi ukawa na nuru, na akaupimia vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu. Ndugu yangu umegeuza, bali Jua ni masaa na Mwezi ni siku.@@abuujibriltv5233
Kweli kabisa wapo wengine imeingia ijumaa na wengine bado wako na alhamisi tumia iko ivyo, Alafu usilinganishe miezi na siku za kidunia Ambazo ziko fixed sisi tunafuata mzunguko wa mwezi ambao auzidi 30,tarehe za kidununia huwa zinaenda mbaka 31.
Kua na tarehe Moja inawezekana shekh nikuacha ubishi tu bas
Haiwezekani, kumbuka kuiona jua kwako linazama ujue kwa wenzako ndio linachomoza.
Tunchoka poooo
Tambua lilatulkadiri NI siku moja dunia mzimz
sio moja laylatul qadr wacha ujinga
Moja kivipi wacha uongo wewe
Abuiddi watu washakuchoka tafuta kazi ufanye
Hatuja choka kumsikiza abuu idd kwa sababu anaelimisha umma wa kiislamu juu ya upotoshaji wenu juu ya funga ya arafa nayo ni mwezi Tisa wa dhulhijja lakini nyinyi munabadilisha kwa kuangalia mahujaji kwenye kiwanja Cha arafa ambapo hii ni bidaa hakuna mafungamano kati ya funga ya arafa na kisimamo Cha arafa na kama Kuna mafungamano mbona funga ya arafa haipo kwenye mlango wa hijja na kama ipo basi lete dalili
Allah akuhifadhi na huo mdomo wako mchafuu lengo ni kufahamishana na sio kubishana hivyo ndivyo walivyofanikiwa maswahaba uu kwa elimu gani mpaka umjibu mtu anaeamrisha watu mema na kukataza mabayaa ndo nyinyi munaotuharibia diniii
Wewe ikifika siku ya Jumamosi itaangukia Arafa kwa mwaka 2024, wewe usitie nia kufunga Arafa siku hiyo, subiri arafa yenu uwanja wa jangwani, ama kwenye uwanja wenu wa maulid mnazi moja.
Acha sisi tutie nia kufunga Arafa siku ikifika, kawapoteze watu wa bidaa wenzio huko.
Debe tupu upiga kelele sasa arafa Ni faradhi Hadi mtu lazma afunge jumamosi na nyuma ashakataza kufunga jumamosi pekee.....sasa jumamosi wafunga VP hio siku tu peke nenda kasome wewe huwezi jua kumliko ndo maana yeye Ni shekhe wa markiti wewe labda shekhe wa mangwe
Mbn shekh kaeleza vizur tuu kwanz msikilize muelewa alaf toa hoja yako uislam ni din amblyopia kioa kitu kimeandikwa kweny vitab
Sheikh tumemuelewa sana
Ila swali langu leo tanzNia ni junanne saa mbili usiku je saudia ni saa ngapi
Mbona tunauliza wenzeru walioko saudia Wana Sema saa ni moja sisi na saudia hatupishani saa hata moja vipi
Haujamuelewa,inawezekana saa ni moja lakini tukatofautiana mwindamo,ikiwa muindamo utakuwa sawa hakuna shaka na hili sio geni kama tulivyokula idi al fitiri mara hii
Hamuelewi jamani mbona haijawahi kutokea hapa ikawa mwezi 28 kule saudia ikiwa ni mwezi 29 Halafu sisi tukauona?
Tarehe na saa inaweza kuwa moja:
Lakini kunatofautiana kuchimbuka na kuchwa kwa jua sehemu mbali mbali.Darasalama jual laweza chimbuka 6.36 asubuhi na Kigoma likachimbuka 6.53 asubuhi.Hili ndilo linaloongewa hapa.
Wewe ni chawa tu mashehe wa mchongo wanauza dunia kwa akhera yao kwenda uko abuu iddi mipasho
Mmh ww kdet
Tukiu letu liko Makkah watu wakiwa arafa sisi tufunge wakiundoka arafa simu gani tutaakae ungana nae
Mtoto wa bachu manukau hapo na akabadilisha main
Tatizo lako ulimkimbia kassim mafuta
WEWE HUNA JIPYA UMESHAKUWA SPECIALIST WA BAKWATA KWAMBA KILA IKIFIKA MIDA HII NDIO UNAONEKNA KUPOTOSHA
TUNA UTAFUTA UQADHI AU USHEKHE WA MKOA KWA NGUVU ZOTE
Mm nauliza kwamb funga zone zinafungamana na jambo fulani sasa hii ya arafa inafungamana na nn
Si amesema inafungaman na tarekh au hujasikiliza mpaa mwisho ?
Mtume alifunga Arafa kabla ya hija kufaradhishwa so jiulize wakat anafunga kabla ya hija alikua akifunga kwa mtazamo gani
@@khamiisathmaan4362 naam lete dalili yakuran au hadith
@@binabeid wengine hawamsikimizi mtu vizur wanakuja na mitazamo yao
Labda nikufahamishe kitu;kuhusu arafa.kuna arafa siku,kuna arafa sehemu (ambayo ipo makka)na kuna arafa kisimamo.sasa kauli ya mtume inasema (funga ya siku ya arafa ambayo ni mwezi 9 wa dhulhijja na sio mahujaji wakiwa wapo kwenye viwanja vya arafa
IJUMAA YA TZ NI SAWA SIKU MOJA SASA WE UNATAKA WATU WAFUNGE SIKU TOFAUTI NA SAUDIA YAAANI HUU NI UJINGA
Wewe ndio mjinga haelewi kitu.
Kama unaifuatilia tarehe za hijjra utagundua tulishatofautiana tarehe na saudia kabla ya kuingia mwezi huu
Na kumbuka hizi siku ziko fixed azifuati mwandamo wa mwezi zingekuwa zinafuata mwandamo pia tungetofautiana
Atunaarafa Tanzania arafa iliyoko huko Makkah ndio tunayoikusudia
Kama upo Makah funga
Hivi aliesema hii ni mpasuko ni nani,,,mbona mwaelewa vibaya
MASHEKHE TUWEKENI SAWA, JE DUNIA INA SIKU MBILI TOFAUTI ??(Yaani tar. 09 .12. 1445 Zipo mbili tofauti DUNIANI?? na kama ipo mbona inazingatiwa nyakati za kufungua na kufungua TU? sio KTK majambo mengine yoote DUNIANI hatusikii HIZI tofauti za masiku???) Ina maana Hadi sasa SWALA LA DUNIA KUTOFAUTIANA SIKU HADI LEO WASOMI HAWAJALIPATIA UFAFANUZI.
Achana na dunia ndugu hata kigoma na dar hawafuturu pamoja sembuse uchina. Hivi vitu waislam wanatakiwa kutembea na kuona wataelewa kirahisi. Ukimweleza mtu aliyekulia kondoa mpaka akawa shekh hapo ni vigumu kukuelewa
Wachangiaji wengi wa mada hii ilimu hawana shekh ameongea ukweli ila wasiojua hawata elewa kapita kisomi
Huyu ndugu mzungumzaji bora tuuu angekaa kimya kwanza ni yeye alie lazimisha kwamba Arafa ni siku sio tukio hana Ushahidi na kitabu Aliyosoma kasoma kihuni sio kwa niaba ya kufundisha angesoma mpaka ukurasa wa 595 angeona anavyo jikanyaga lakini kakwepa.
Alafu suala la kulazimisha tarehe iwe moja dunia nzima hiyo kaiweka yeye mwenyewe suala hapa angetuambia Sisi na Saudia tunatofautiana nini ili hoja zake ziwe na mashiko hilo moja pili Atupe ushahidi Arafa ni siku na sio tukio tungemuona wa maana sana lakini chenga chenga tuuu anajenga maada na kuitetea peke yake sasa huo si ni utoto.
Tunatofautiana miandamo jawabu ni ndogo tu au uongo
حديث(صيام يوم عرف) يكفر سنة الماضي وسنة آتية
Unajua neno yawmu maana yake nini?
@@MuhidiniNassor
Sio kujua tuuu mpaka hadithi iloandikwa hapo naijua.
Na kwa hadithi hiyo hiyo naeza kukuuliza swali mpaka ukafa haujaji kama mtu wa mihemko lakini kama mkweli hadithi hiyo hiyo ushahidi tosha wa kuonyesha Arafa sio siku ni tukio.
Fanya mpango ukutane nae ili muelimishane KULIKO kuongeza hovyooo
WALE WANAOISHI MIPAKANI MWA NCHI NA NCHI WANAKUTANA KTK KAZI WANAISHI PAMOJA JE WAFUNGEJE???
Wewe muhammad idi huna elimu ya kumzidi alliyyu jumuah wa az-har mwalimu mkubwa wa sheria pale misri,kasema wasio kua makkah itawalazimu wawafate walio makkah ktk jambo hili la kufunga arafah.
Acha uongo
@@AdamRajab-xd3zg nkikutumia useme astaghfirullah maana yake umenijeruhi kua mm ni kadhaab
@@AdamRajab-xd3zgua-cam.com/video/Xb3nYffoCKk/v-deo.htmlsi=Ppo8T3jectqxWH9Y
Dah al akhiy msikilize vizuri abuu iidi utauelewa
Basi kama ndio hivo hata hao makka walishasema kila mtu afate kwao
Unapata.faida.gani.kuwatenganisha.waislam.?semeni.mungu.ameruhusi.lini.mwanamke.kutawala?
YAANI VITABU VYA KUCHAPISHA FUATA ISIMAMIE MTUME NA KITABU CHA MWENYEZIMUNGU PEKEE UANABEBA DHAMBI KWA KUPOTOSHA WATU
Anapotosha Nini ukweli unauma Leo wasema ATI anapotosha kwa vitabu kuchapishwa jee hadithi za mtume s.a.w.hazipo katika vitabu vilivyo chapishwa kama sahihi bukhari na sahihi Muslim na sunani sita na quraan nayo pia ilichapishwa
Umeelewaka san mawlAna
kwahiyo wale mahujaji wanaosimama arafa hawajui. mwezi 9 kisimamo cha arafa ni kimoja duniani kote acheni. kuwakosesha watu fadhila za kufunga arafa
Sasa wewe hapo wa hiji? Mahujaji hawafungi mbona mzuka wewe wapinga tu sababu ya ushabiki tu wewe na mahujaji hamfungamani Kwa Ibada jifunze Hilo ujue
@@almeidhalu3238 eti hatufungamani na mahujaji we umesoma wapi?hadithi inasema mwenye kufunga siku ya arafa atasamehewa madhambi ya miaka 2 na siyo mwenye kufunga mwezi 9 pia mtume amehimiza kuchinja km mahujaji. Swali waliokuwa wakifunga mwezi 9 kabla ya kufaradhishwa hija walikuwa wakichinja?
@@almeidhalu3238 kaa chini usome km umeweka nia ya kuchinja haitakiwi kunyoa wala kukata kucha.kwahiyo tunafungamana na mahujaji asili 100
Assalaamu alaikum sio ajabu yakua na watu wenye kukufuata na kuona kama uko sawa lakini tu nataka uelewe hata iblis anawafuasi na wanaamini yuko saw
Umemwelewa Kwanza?
Nyie mawahabi acheni bidaa mtumehakufunga kwakungaliyamwezisuudiya
Ww umeaachaa bidaa kwani ya maulidi ndo uje utuelimishe
Hili ndo umelijuwa bidaa maulidi vip? So bidaa ? Acha kwani ww bidaa unasema bidaa wakati umo katika kundi la wafanyao bidaah mzushi katika wazushi una dalili ya bidaa sugu ya maulidi ni ibada itokayo kwa Allah na mtume? Jibu hilo kwa aya au hadithi kisha uje utulinganie sie
Masufi ndio wazushi
duuh mumeanza Tena mambo yenu jaman
Box tupu Halina kitu amefukuzwa tamta mnalielewa msafala wa mamba