NAGWA AMFUMA MBAYA WAKE AKIHOJIWA NA MO TOWN SANYA, AWACHANGANYA WOTE | HIVI NI KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • NAGWA AMFUMA MBAYA WAKE AKIHOJIWA NA MO TOWN SANYA, AWACHANGANYA WOTE | HIVI NI KWELI
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @beniardajuna2580
    @beniardajuna2580 2 роки тому +30

    Kuna siku mtapigwa kwa kazi yenu hii inahitaji ujasili ooooh mungu wanguuuuuuuuu🙏🙏

  • @alexmlinda9399
    @alexmlinda9399 2 роки тому +23

    Nagwa nakupenda bure 😀😀😃😃😃 sikuoni UA-cam bwana ILA KWA HIYO SHOW HATA MIMI NISIWE MUONGO NINGEOGOPA 😂😂. Hii imezidi zoote kwa Nembo za mtaa one love brother 🇺🇸.

  • @mussakasimu2811
    @mussakasimu2811 2 роки тому +1

    Hawa mlio waigizisha bila wao kujua na kuwafanya washiriki wa kuu ilipaswa muwalipe ( maana wengine wamefedheheka na hawakuwa tayar kuonekana mitandaoni katika aina hizo za scene)
    Kama wameridhia au mmeelewana basi ewala, hata hivyo na mm nishabiki pia wa nagwa, kwa pamoja tunaendelea kuburudika kwa kazi nzuri za mo-town (Mr Streeter)

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 роки тому +76

    Jamanini nimelia harafu nimecheka kwa nguvu 😆 kajua kuchezesha watu kajaza ahaa masha allah🥰🥰😍🤩❤nampenda nagwa

  • @nashiruhassani5158
    @nashiruhassani5158 2 роки тому +41

    Bonge la exclusive na ngoma ngumu ngoma nagwa salute sana🔥🔥

  • @Black-fq4zx
    @Black-fq4zx 2 роки тому +14

    respect to you nagwa 🔥🔥🔥 u killed it

  • @supervisshift1780
    @supervisshift1780 2 роки тому +17

    Jamaa anawakazia sanaaa duuuh 🥲🥲🥲🥲🥲

  • @hasinauuwimana8405
    @hasinauuwimana8405 2 роки тому +13

    Hii namba mbaya cheko buku Hahhhhh, Hadi Mkojani alkua anaota anapigwa mitama, a. K. A Buti la jeje

  • @agreyyohana5368
    @agreyyohana5368 2 роки тому +18

    Sema nagwa anazingua sana

  • @husseinallyshego4915
    @husseinallyshego4915 2 роки тому +8

    Absolutely amazing, funny and scary 😂😂😂😂😂 ngoma nagwa nakubali sana from Kenya

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 2 роки тому +18

    Mo town ameenda mbali kweli kipindi kama vya Ulaya watu wanalia wanateswa alafu ni mchezo na anakuwa ajui kabisa baadae akijua anajiona mjinga

  • @m3elmill710
    @m3elmill710 2 роки тому +29

    Sema aoo wengine babazetu jmn kueni na heshima 😅😅😂

  • @iamerickemmanuel6268
    @iamerickemmanuel6268 2 роки тому +28

    9:59 😂😂nagwa msenge sana et Mbona unawanga road kama hivyo

  • @jacksonlolo409
    @jacksonlolo409 2 роки тому +7

    Cyo fresh, kuwafanyia mashabiki hivyo, wengine unaweza kuwapotezaa

  • @imaniemanuel3813
    @imaniemanuel3813 2 роки тому +10

    Creativity on point 🔥

  • @saidibrahim2375
    @saidibrahim2375 2 роки тому +15

    Nimeipenda sana

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 2 роки тому +46

    Sijaipenda kabisa hii episode... Mmedhalilisha watu hii sio sawa kabisa...

    • @Kimanzi001
      @Kimanzi001 2 роки тому +1

      😂😂😂😂😂

    • @XanTitle10.
      @XanTitle10. 2 роки тому +1

      Pole jamaa....

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 2 роки тому +4

      Umeona kaka yng mie had nimeona huruma maan wanavyovurugwa had huruma kupigishwa magot dahh

    • @iddimoshi8459
      @iddimoshi8459 2 роки тому +1

      Yap.

    • @dastanymlela661
      @dastanymlela661 2 роки тому +1

      @@iddimoshi8459 qweli kabisa

  • @almuftsultan8
    @almuftsultan8 2 роки тому +19

    Jamani naombeni dawa maana nimecheka mpaka naumwa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zotempyaonline8485
    @zotempyaonline8485 2 роки тому +2

    TULIOSIKIA MUUNI A MAINDI 🤜🤜👊 like apa twende sawa 1k

  • @temuaidan
    @temuaidan Рік тому +2

    Katika show zote ulizowahi kufanya hii ya Nagwa imetsha sanaaa🔥🔥🔥🔥🔥nagwa in real life ni mkorofi walahi😂😂😂🔥

  • @maryammwinyi932
    @maryammwinyi932 2 роки тому +6

    Nyie huy nagwaaa antk kuwap presh wat 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍😍

  • @jamalhamiis8002
    @jamalhamiis8002 2 роки тому +26

    pamoja wote,nagwa na mo town sanya👏👏👏👏👏

  • @hamchilla_ke1998
    @hamchilla_ke1998 2 роки тому +11

    😂😂Nagwa aminia Eti Ali Kiba we unasemaje🤣🤣

  • @amosikondo778
    @amosikondo778 2 роки тому +4

    Huyu mwamba noma sanaaa ngoma nagwa nakukubali kinyama

  • @StenoDeAlphaTv
    @StenoDeAlphaTv 2 роки тому +23

    KIPINDI KIKALI SANAA ILA KUZALILISHA WATU HII SIO SAWA ADI WATU WANAPIGA MAGOTI MUNAKOSEA SANAAA

    • @peterjr8073
      @peterjr8073 2 роки тому +2

      Ni funny ndio maana ya kipindi akuna udhalilishaji apo

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 2 роки тому +1

      @@peterjr8073 yeah

    • @peterjr8073
      @peterjr8073 2 роки тому

      @@lareineminah1353 oky

  • @mossesmaingi355
    @mossesmaingi355 2 роки тому +17

    Ngoma nagwa fundi mmoja matata🔥🔥🔥🔥

  • @mwanahamisseif5506
    @mwanahamisseif5506 2 роки тому +16

    Sijapendaa bhanaaa ndio nn sasa kumkolomea mwenzie kma ivyo

  • @richmontana1296
    @richmontana1296 2 роки тому +32

    My Favourite Show 🔥🔥🔥🔥

  • @shedracksteven3183
    @shedracksteven3183 2 роки тому +11

    Mambo t ya maisha una loga hazalan kwer mo town Sanya mtu wa watu wa mitumba jauu

  • @farajimbwambo5600
    @farajimbwambo5600 2 роки тому +26

    Hi haipo sawa kabisa watu na familia zao wanadhalilishwa!!...No it's against humanity.

    • @barakakusa7606
      @barakakusa7606 2 роки тому +1

      Kama Ndy akutane na wahuni wembe alafu ananitushia hivyo, namchana mbona easy tu

    • @hamadhamis5602
      @hamadhamis5602 2 роки тому

      Kila kitu munasemaa nyie mupew nin asa

    • @kennywilliam2466
      @kennywilliam2466 2 роки тому

      @@hamadhamis5602 hilo swali ungemuuliza makimugaa!!

  • @godwinhaule6100
    @godwinhaule6100 2 роки тому +3

    Hapana sio sahihi mungu anawaona

  • @majidisalumu3260
    @majidisalumu3260 2 роки тому +46

    Hatar Sanaa, Ngoma Nagwa Kauwa Show, Wana Wanamkubali Alafu Wanamuogopa, Hatali Sana Huyu Kiumbe😂😂

  • @jacksonpaul3866
    @jacksonpaul3866 2 роки тому +11

    Try me my lawyer will be Happy to get busy for a while lol.

  • @yusufali9119
    @yusufali9119 2 роки тому +47

    On this you kill it bro 😂

  • @rahelifredrick8460
    @rahelifredrick8460 2 роки тому +16

    Jamn nyumban goms Moja daaah ,nembo ya mtaa 🔥🔥🔥

  • @vannchrista1241
    @vannchrista1241 2 роки тому +8

    Jitahid Brooo Hikaz yako mim kusema ukweli naipenda sanaaa had Nawezaa kuku igizia motasanya

  • @antonychristian1369
    @antonychristian1369 2 роки тому +21

    Hawa watu wanaowaweka kwenye VIPINDI kwa kuwasurprise wanapaswa wawalipe

    • @mariambakari7796
      @mariambakari7796 2 роки тому

      Hahahahahahaha waliitwa mpaka walipwe

    • @zennahmtoto1867
      @zennahmtoto1867 2 роки тому

      Mwanzo uyo muuzaa vi2 mackini

    • @rahimchilumba9708
      @rahimchilumba9708 2 роки тому

      fact

    • @antonychristian1369
      @antonychristian1369 2 роки тому

      @@mariambakari7796 sa we huoni wanawaita au kuwasimamisha Kisha kuwashirikisha scenes na kuwapost Kisha kujipatia kipato pasi na malipo.

    • @chrissjoel7752
      @chrissjoel7752 2 роки тому

      Walipwe wakati ni Prank tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Acha roho hiyo bana

  • @hamisiisrael5650
    @hamisiisrael5650 2 роки тому +17

    Ila ipo siku yatawatokea puan,Hiz Mambo za kuwakaba watu hovyo mtaan sio poa kabsaaaa daaa

    • @verosteve3612
      @verosteve3612 2 роки тому

      Umeona eeh ukut mtu anabastola yake na stress juu anampiga anaua

    • @chrissjoel7752
      @chrissjoel7752 2 роки тому

      Huelewi nini sasa kuhusu michezo ya Prank 😀😀😀😂😂😂

  • @khaledchadhouli6363
    @khaledchadhouli6363 2 роки тому +40

    This is number one 🔥

  • @francewilliam1020
    @francewilliam1020 2 роки тому +2

    Show kali sema ikizidi sana inakuwa embrassement

  • @andeboe2593
    @andeboe2593 2 роки тому +7

    Sanya umetisha number one show 🔥🔥🔥

  • @healthcare626
    @healthcare626 2 роки тому +8

    Oy nagwa acha mambo ya kiboya unajikuta nani?? Oya Fanya yako mambo ya kusema wasambaa tumelegea utakuja amka ujikute Bahalini day moko, oya si ni wauni kitambo mdg ang😂😂

  • @RamadhanIbrahimu-iu1ox
    @RamadhanIbrahimu-iu1ox Рік тому +1

    Daa,wallahy kwamkwala huo lazima uogope man😢😢😢😢😢

  • @alexsmongo1106
    @alexsmongo1106 2 роки тому +1

    Mmetisha sana hii show aseeeeeee

  • @3kings63
    @3kings63 2 роки тому +8

    Mjini shobo mfukon tubak na mtafutano wa maisha

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 2 роки тому +16

    Miye wakati wote nahisi vita kwenye mwili wangu,ujaribu huu ujinga nitakumaliza

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 роки тому +3

      Nenda Ukraine ukamkute baba Putin

    • @dianamasatu8141
      @dianamasatu8141 2 роки тому

      🤣🤣🤣

    • @ramsikhamis7083
      @ramsikhamis7083 2 роки тому +1

      😅😅😅 Wew unizidii mm aisee Kila mdaa wa moto aisee

    • @keifatuke99
      @keifatuke99 2 роки тому

      @@ramsikhamis7083 😁😁😁😁😁

  • @aloysfussi3900
    @aloysfussi3900 2 роки тому +1

    Umetisha Nagwa

  • @edwinkyando2269
    @edwinkyando2269 2 роки тому

    Umetisha nagwa

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 2 роки тому +21

    huyu mwana nampenda sana 💪💪

  • @samrankingfire5009
    @samrankingfire5009 2 роки тому +3

    Nagwaa 🙌🏽✊🔥

  • @nuke16txj79
    @nuke16txj79 2 роки тому

    Media kubwa kama hii sasa inafaa kupresent kutumia English..... Tanzanians are not the only ones entertained .....but the East Africa and the world.....love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @aggieanordkb2800
    @aggieanordkb2800 Рік тому

    Nagwa salute sana maan nmecheka balaaaaaaaa mpk nmeumia Tena

  • @aboobakke857
    @aboobakke857 2 роки тому +11

    Wazungu hawamuwez huyu jamaa.. mgumu sana jamaa 😂😂😂😂🤷‍♂️

  • @lionking5193
    @lionking5193 2 роки тому +7

    Mo town sanya ni nomaaa irudiweee irudiweeee🔥🔥🔥

  • @ibrahimkhatibu4561
    @ibrahimkhatibu4561 2 роки тому +2

    Pindi la kijanjaaaaaa 🙌🙌🙌🙌

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 2 роки тому +13

    Nimemmmiss sana Nagwa mazee, hizo mikwara ndio nimezimiss,😂😂😂😂😂😂

  • @patriciahyasinty3302
    @patriciahyasinty3302 2 роки тому +6

    Nampenda sana Nangwa jmn siku aje tandale

  • @donhussle948
    @donhussle948 2 роки тому

    Njooni Kenya Nairobi ama Mombasa sanaa mufanye ujinga huo kama ampujipati udongoni upuuzi kuchezea watu design hii Ila Kwa kumi na tatu mutaoata mtemi Tu ndo mutajua vizuri na watu wenu hao

  • @mzulunatal8062
    @mzulunatal8062 Рік тому +2

    😄😄sema Nangwa amenifurhisha sana mikwara yake

  • @zenapatrick3828
    @zenapatrick3828 2 роки тому +3

    Nimejiskia vibaya sana asee 💔💔💔kuzalilisha watu

    • @isiakamfugale3621
      @isiakamfugale3621 2 роки тому +1

      Umeona ee .. Wanatakiwa wawe makini sana wanavyokiendesha hichi kipindi kitawakost one day.Wasiwaze tu kufurahisha watazamaji bila kujali kua wanazalilisha watu sasa huyo dogo vp kama angekimbilia barabarani akagongwa na gari?

    • @adearsalum8997
      @adearsalum8997 2 роки тому

      @@isiakamfugale3621 kweli usemalo, maana akili yake ilishavurugika.

  • @ip_header
    @ip_header 2 роки тому +5

    Kipindi kizuri lkn usanii ukizidi anawadhalilisha watu waungwana!

    • @athmanbabayegga8278
      @athmanbabayegga8278 2 роки тому

      True man cvzuri vile wanafanya wananyanyasa watu kisha yao yaendee utapata mtu mbaya pia mtakwaruzana

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 2 роки тому

    Umetisha sana

  • @MariaJoseph-yd9kp
    @MariaJoseph-yd9kp Рік тому

    Moo nakupenda kweli naomba namba yako

  • @wilbardkunda1073
    @wilbardkunda1073 2 роки тому +5

    This killed it 💪💪💪 maubunifu kibao

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 2 роки тому +4

    Hichi kipindi iko siku kitaishia kituo cha Polisi watu wengine wamechanganyikiwa na maisha hatuombi mabaya ila kwamtindo huu tusubir watu wengine washavurugwa na maisha huu ni ujinga

  • @gaudinamosnchobe4909
    @gaudinamosnchobe4909 2 роки тому

    Uyu Nagwa msenge sana

  • @josephdossantos7316
    @josephdossantos7316 2 роки тому +3

    Oyaaa sheriaaa 😅🙌🙌

  • @showejikinjekitile5942
    @showejikinjekitile5942 Рік тому

    Munakosea sana kuweni makini mutapoteza watazamaji nawatu watakua wanakata wakiwaona kwenye kipindi chenu

  • @dickluckyvictor6571
    @dickluckyvictor6571 2 роки тому +2

    Daaaaah ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shebynizertechnicallyskill3005
    @shebynizertechnicallyskill3005 2 роки тому +4

    Nmecheka kinoma #NAGWA NOMA SANA😂😂😂😂😂😂

  • @nacmentodanca6498
    @nacmentodanca6498 2 роки тому +8

    Wanaume wa bongo waoga sana karibu kenya 🇰🇪😂😂

    • @user-cl2jr3re4s
      @user-cl2jr3re4s 2 роки тому

      Mmh kenya makunguru wote tunawaona kwenye utanaswa wote makunguru chek jamaa amekaza sio kihivyo alingo irushwe ngumi ingekua kenya mshakimbia mpk uvunguni

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 2 роки тому +1

      Etiiii Kenya wote mibwabwa tu 😏😏😏

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 роки тому

      Kenya ipi?

  • @kalusetv4476
    @kalusetv4476 2 роки тому

    Nakubali mdau ulaula msamba mbelenya miaka mingi hatuja flimba ulembe

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 2 роки тому +1

    Daaaah ngom Nagwa we kweli msera hii ni live

  • @kennethdickson95
    @kennethdickson95 2 роки тому +4

    BIG SHOW 💥💥💥

  • @masanjaabasi8970
    @masanjaabasi8970 2 роки тому +5

    My lovely sanya wanguuuu

  • @NusraSalehe-zb3ni
    @NusraSalehe-zb3ni 10 місяців тому

    Sijapenda kbisa Leo Sanya 😭😭

  • @josephmoka293
    @josephmoka293 2 роки тому +1

    love u nagwa umejua kunifurahisha daaaah

    • @omanphone3455
      @omanphone3455 2 роки тому

      Huyoalopiga magot hak nlijua mnamtoa atabuk 10 tu dadek

  • @chidymedia7051
    @chidymedia7051 2 роки тому +3

    MWIJAKU AMVAA DIAMOND MPUMBAVU HUMUWEZI HARMONIZE AMPA ONYO KALI ZUCHU👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
    ua-cam.com/video/B27zaaIWzSQ/v-deo.html
    #SHARE NA WENGINE 👏🏼

    • @qatr3475
      @qatr3475 2 роки тому

      Mond atafuti sifa yy anatafuta pesa

  • @paschalkapande1486
    @paschalkapande1486 2 роки тому +5

    Ila kwa hasira zangu msije mkanifanyia hivyo nitapiga wote na Msanii mtakaekuwa nae nitavunja na hayo Macamera yenu

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 2 роки тому +1

      Ukileta hasira lete kwa wasanii vibonge wazembe ukileta kwa wamba zinachapwa kweli ujue😂😂😂

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 роки тому

    Show kali saana sanya umetisha 🇹🇿🇶🇦

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 2 роки тому +1

    Show kali sanaaaaaa

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 роки тому +6

    Masha"Allah bonge la talent ila mo sanya kuamakini utapigwa ngumi

  • @brunomoses11
    @brunomoses11 2 роки тому +5

    Ila live shobo si nzuriii 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ivanf.lekule5618
    @ivanf.lekule5618 2 роки тому +1

    Aisee wengine tempa zetu ziko juu aisee. Mzaha hatuna kabisa aisee

  • @mohammedbaraka9230
    @mohammedbaraka9230 2 роки тому +2

    Mo Sanya tia timu Bunju Kwajumbe huku ukiwa na Nagwa We are really feel to meet with you...

  • @danrappergangamaa1190
    @danrappergangamaa1190 2 роки тому +3

    Unyaama mwingiiiiiiiiiiiiiiii 🔥

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava 2 роки тому +13

    nagwaa anajua kuchimba biti na lazma utulieee

  • @ShearbyBrand
    @ShearbyBrand 2 роки тому

    Sio fresh kuzalilisha vijana

  • @uwingabireclementine7799
    @uwingabireclementine7799 2 роки тому

    HUU kama nimukare naitwa Tina kutoka Rwanda Kigali🇷🇼🇷🇼♥️♥️♥️♥️😍

  • @charlesryoba192
    @charlesryoba192 2 роки тому +8

    Kuweni makini mtakuja kutana na mbabe wakati nyie mnatania afanye kweli awatwange bakora sana nawashauri siku mkija tarime njooni na heshima sana

    • @Kimanzi001
      @Kimanzi001 2 роки тому +1

      Waje wakutane na mababe kweli

    • @mariambakari7796
      @mariambakari7796 2 роки тому

      Mkono mkono tu haipingwi kwani shingapi hiki ni kipindi kila mtu anajua huyo wa tarime itakuwa amedhamiria

    • @marcsthinker3882
      @marcsthinker3882 2 роки тому

      Tarime NDIO nini 🥴

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 2 роки тому

      @@marcsthinker3882 jina la mtu hilo

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 2 роки тому +1

      @@Kimanzi001 mapanga au

  • @crownisackmussa3581
    @crownisackmussa3581 6 місяців тому

    Mungu anawaona

  • @maticsleokas1785
    @maticsleokas1785 2 роки тому

    Una tengeneza kipindi kama movie noumea sanaa man umetishaa

  • @miketzee806
    @miketzee806 2 роки тому +6

    Jaribuni kuingia kwa mtu Aliepinda, mtazima camera wenyewe, Mnaangalia pia watu wa kuwadhalilisha.

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 2 роки тому

      Sio kuzalilishana ni kawaida mbona hata mbele vipo

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 роки тому

      Ushamba na njaa zako tu hizo

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 роки тому +6

    Kutia watu hofu af mnawaacha bila hata mia ,,nyie mnaingiza hela ,,sio fresh ,,haipendezi,,,,,😠😠

    • @peima3327
      @peima3327 2 роки тому

      Sasa umefata Nini Kama haipendezi

    • @vibetz9991
      @vibetz9991 2 роки тому

      @@peima3327 Unatafuta Bwana?

  • @jumafea9845
    @jumafea9845 2 роки тому +1

    I like this show

  • @rajabdallah9341
    @rajabdallah9341 2 роки тому

    Namuerewa xana nagwa

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 2 роки тому +5

    Mbona huyu mkali km ndimu😭😂😂😭🤣🤣🤣🤣🍊

  • @tusajigwemathias9185
    @tusajigwemathias9185 2 роки тому +6

    Dogo wa simu Katia huruma na

  • @joycenzali263
    @joycenzali263 2 роки тому +2

    Sijapenda japo nikazi ila mlezalilisha wa2 😢😢😢😢

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 2 роки тому +4

    Ila sijapenda anavyo wakazia hivyo hadi wanataka kulia sio poa