SHEIKH MOHAMED IDDI:: UWAHABI UPO NA MAWAHABI WAPO [ KUSAHIHISHA UELEWA: EPISODE 02:: PART 01 ]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 79

  • @saidburuji9984
    @saidburuji9984 2 роки тому

    MashaALLAH tunamuomba ALLAH akujaalie umri mrefu wa kheri uendelee kuihami dini

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 роки тому

    HAWA MAKHURAFI HAWAJITAMBUI NI WANAJIITA AHLUSUNNA,LAKINI WAO NI MASHIA ILA HAWAJITAMUBUI,
    HAKUNA WAHABI!!!
    HAYO NI MANENO YA MASHIA NA MAKHAWARIIJI,
    NA HAWA AKINA ABU IIDDI,ALLAH AWAONGOZE WAWEZE KUIONA HAKKI NA WAIFUATE!!

  • @alakhy9448
    @alakhy9448 3 роки тому +2

    Hivi mtasumbuana,mngekutana live ingekuwa safi sana.
    Sasa kama hivi mtu anaweza kukwepa maswali mengi tu

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 3 роки тому

      USHAUR WAKO UPO SAHIHI LAU WANGEKUA NI WATU WA LEVO MOJA
      NINACHOKIOÑA NI VITU VIE
      WILI VINAVYOTOFAUTIAN MBALI SANA
      MOHAMEDI IDDI NI ANABORESHA GENGE LAKE LA KISUFI NA USHAMSIYYAH
      NDO MAANA KILA KITU USHAMSIA UTADHANI ABAWAZUNGUMZIA MASWAHABA WA MTUME KUMBE MAsuIFI WA HAPO TANGA WANACHEZA dufu waume kwa wanawake hata kwenye msikiti

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 3 роки тому

      @@swaleheally9814 Chuki zao kwa masufi zimekupotosa mpaka akili zako na ufahamu wako, kiasi husikii lolote lenye maslahi , Kwahiyo wakikutana bwana Muhammad Idi na bwana Maoil watapiga dufu na kucheza pamoja>??
      Ikiwa Mtume saw alikutana na wakristo wa Najrani na akawakaribisha ndani ya msikiti wake ili kujadiliana nao juu ya kuwaelekeza katika dini, inakuwaje watu wa kibla pamoja mshindwe kukaa nao na kuwahubiria usawa?
      Ninyi sijui mnajifundisha kwa nani ikiwa hata sira ya Mtume hamuijui
      Kweli UWAHABI NI MZIGO

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 роки тому +1

    Allah bless you

  • @hamimathumani4650
    @hamimathumani4650 3 роки тому +1

    Sheikh Muhammad Iddy Kuna Maswali Sheikh Qassim Mafuta Kauliza naomba tumjibu maswali yake.

  • @rajabunkeygole1736
    @rajabunkeygole1736 3 роки тому

    Haya madhehebu nimabaya mana yanatenganisha hadi mzazi namtoto.HAYAFAIKABISA

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 3 роки тому

      WEKA WAZI MADHEHEBU YAYOTENGANISHA NI YALE YANAYOFUATA SUNAH AU YALE YA KUZUSHA KTK DIN?

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 2 роки тому

      @@swaleheally9814
      Uko kutoana ndio kufuata sunna au ??
      Maana mawahabi kazi ni kutoana tu ktk manhaji kila mmoja anajiona yeye ndio yuko sawa na mwengine amekosea ...
      Mpaka washagawika makundi chungu mzima utaskia ..
      * Hajaawira.
      * Baramika..
      * Mahizbi
      * Salafia jadiida
      * Sururiyyah ..
      Na haya majina wanaitana wao wenyewe wala hawajaitwa na Ahlusunna ili Allah awaoneshe uhakika wao.
      Nakila siku utaskia majina ya ajabu ajabu . Kazi yao ni kuugawa umma tu ..

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 2 роки тому

      @@saidihaji3739 NAJUA KAKA UNAPENDA DINI ILA UNASHIDA KTK NAMNA YA KUCHUKUA DINI YAKO SAHIHI
      .

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 2 роки тому

      @@swaleheally9814
      Maneno yako hayana mnasaba na mada iliomezani .
      Kama huna cha kusema bora tu .. ukae pembeni .
      Sio lazma useme .
      Suali ni kwamba : Kuitana majina ya ajabu ajabu na kuugawa umma ambao ulikuwa kitu kimoja kwa kutoana ktk MANHAJI ndio kufuata sunna ??

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 2 роки тому

      @@saidihaji3739 WALIO KUJA NA MAJINA YA AJABU NI WANAO ITWA WATU WA BIDA WATU WA TWARIQAH

  • @farhannurkey
    @farhannurkey 3 роки тому +1

    yaani usicheze na masalafi..hadi jamaa kaogopa kusoma kiarabu.🤣🤣

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 3 роки тому

      Mwenzetu unasikia kweli au kiziwi?
      Sheikh katiririka kiarabu kama mwarabu vile

    • @farhannurkey
      @farhannurkey 3 роки тому

      @@abujamalaalghammawiy7470 kwa majahil kama wewe lazima atiririke..ila kwa wanaoelewa wanajua anachokiongea huyo

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 3 роки тому

      @@farhannurkey naam hakika angalau mimi ni jahili, ila huyo sheikh wenu kutuhadaa kwa kutusomea vitabu na ibara nusu nusu halafu kutuelekeza huo ndio uhalisia kumbe hata mwenye kuitabu hajasema hivyo, yaani tangu hapo nimewaondosha katika kufanya inswaf katika elimu na hadaa za kielimu
      Na Allah atawahukumu kwa hadaa hiyo

    • @jamalbahdela524
      @jamalbahdela524 3 роки тому

      Mawahabi hawatokuwa ahlu sunna ht dkk 1

    • @farhannurkey
      @farhannurkey 3 роки тому

      @@abujamalaalghammawiy7470 kama umekubali we jahil. kaa kimya ufundishwe sasa

  • @aliyabasi2058
    @aliyabasi2058 3 роки тому +2

    Sheikh qasim amekwambia ueleze maana ya uwahabi mbona hujajibu wacha kukwepa kwepa

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 3 роки тому

      Kasome kitabu, kimeshasema na mtunzi ni muwahabi mwenzenu, madhehebu ya mawahabi yapo

    • @muhammadochenje4610
      @muhammadochenje4610 3 роки тому

      Sasa wewe akili yako haifanyi kazi vizuri?yaani hii clip ianze mpaka mwisho haujasikia maana na matumizi ya neno wahabi?na vitabu hivyo tena vyao wenyewe vimeashiria hili.

    • @muhammadochenje4610
      @muhammadochenje4610 3 роки тому

      Hii midude kwa kweli ushabiki itawauwa uwahabi umeelezwa tena kwa hujja kutoka kwa vitabu vyao wenyewe eti bado halijajibiwa!?akili ni Mali

  • @muhammad-Swaabir
    @muhammad-Swaabir 3 роки тому +1

    Yani sheikh ameogopa kupost kwa channel yake mpaka ameamua sana tv wamsaidie

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 3 роки тому

      unaushahidi wa kuwa sheikh ameogopa>?? Ulete ushahidi huo kama sheikh ameogopa ikiwa wewe unasema ukweli

  • @EngAliMohd
    @EngAliMohd 3 роки тому +2

    Jibu maswala uliolizwa wacha kujigonga gonga.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 роки тому

    MANENO YAKO YANACHEFUWA MNO,.HAYANA DALILI KUTOKA KTK KITABU NA SUNNA
    DINI SI KASEMA FULANI NA FULANI,.
    DINI NI DALILI, KASEMA ALLAH, KASEMA رسول الله صلى الله عليه وسلم
    NA MASWAHABA WALIELEWA NA KUFANYA VIPI......

  • @bakarsharif5551
    @bakarsharif5551 3 роки тому

    Barrakallah fiq

  • @sudeysisana5324
    @sudeysisana5324 3 роки тому

    Mashaaalah

  • @sudeysisana5324
    @sudeysisana5324 3 роки тому

    Barakallah fiq

  • @swaleheally9814
    @swaleheally9814 3 роки тому +1

    KWA HIYO HUNAMPANGO WA KUTAMBULISHA NENO UWAHABI?
    MAANA MIONGONI MWA SWALI MUHIIMU ULILOULIZWA NI KUUTAMBUSHA HUO UWAHABI
    ILA QADIRI UNAVYOBABAISHA NDIVYO WAISLAAM WANAVYOZIDI KUJUA KUA MAASUFI HAWANA UWEZO WA KUTETEA HOJA ALLAH AWAONGOZE

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 3 роки тому +2

      @@khalidissa2015
      asie na kitu hana cha kutoa zaidi ya matusi kama unavyofanya wew khalidi issa.
      SISI HATUFURAHII HALI MLIZONAZO KATK HII DINI YA ALLAH HAMU YETU MUACHE UONGO KTK DINI

    • @saidburuji9984
      @saidburuji9984 3 роки тому +1

      Uwahabi ni nisba ya sheikh Mohammed abdulwahabi kwa maana ya watu wanaozielewa dalili kwa ufaham wa huyu sheikh

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 3 роки тому

      @@saidburuji9984 NANI AMEKUTANGULIA KTK I TAARIFU HII?
      AU MSUKUMO WA MATASHI YA NAFSI KAMA WANAVYOFANYA MASUFI NA WENGINEO KTK WATU WA BIDA"A

    • @khalidissa2015
      @khalidissa2015 3 роки тому +1

      Abu idi.ni.simba.atamtafuna.mafuta.mpaka.mifupa.kwa.hoja.zakielim.yy.anahoja.za.kiakil.si.zakielim

    • @alakhhassanomar6077
      @alakhhassanomar6077 3 роки тому

      Hebu ww muhamadi iddi tafuta markaz ukasome kwanza angalau lugha ndipo uingie kwenye midahalo ya kielimu

  • @mwinyiulalawi4202
    @mwinyiulalawi4202 2 роки тому

    Ungetueleza hayo yanayopingwa kama maulid,hitima na hizo takbira wakati wamazishi nk asili yake alifanya mtume au swahaba gani maana unasema asili yake ni wazee wetu walitoa nazi na ng'ombe hujaeleza tunamfuata mtume au wazee wetu?

  • @jailaniramadhan617
    @jailaniramadhan617 3 роки тому

    Mawahab hawafai

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 3 роки тому

      Nyinyi mumekuwa watu wa kuelekezwa njia ambayo sio sahihi.
      Uwahabi uliopo ni fikra tu inakuwa ndani ya baadhi ya watu wakutamani mabaya yawafikie baadhi ya Waislamu wale wanaodai kwamba Dini wataifuata vile Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, aliifundisha kwa kufuata Mafundisho ya Quran na Sunnah na kujiepusha na Bida'a na kuwaiga Salaful Ummah.
      Je kuamua kuishi hivyo ni makosa?
      Je huo ni Uislamu s
      au la?

  • @hammadaliomar4556
    @hammadaliomar4556 3 роки тому

    Zamani ktk dini yetu ilianza lini, mbona hamsemi tokea wakati wa mtume

  • @swaleheally9814
    @swaleheally9814 3 роки тому +1

    UNAMPONGEZA SHEKH QAASIM KUTOONEKANA WAKATI WA MAZUNGUMZO YAKE .
    KWANINI UNAMPONGEZA JAMBO AMBALO WEW UNALITENDA?

    • @rajabunkeygole1736
      @rajabunkeygole1736 3 роки тому

      mawahabi wanatugombanisha ndugu wafamilia.

    • @rajabunkeygole1736
      @rajabunkeygole1736 3 роки тому

      muongo hapendi kuonekana wkt wakusema uongo.kwaiyo amepongezwa kuwa anaaibu

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 2 роки тому

      Ndio kwasabb ndio msimamo wake
      Na sheikh Qasim kaona hivo .
      Lakin ukiwafuatilia masheikh wakubwa wa kiwahabi WOTE takruban Wanaonekana ..
      Sasa sheikh Abuu lddi kumsifu sheikh Qassim ktk hilo halidhoofishi chochote ktk hoja zilizotolewa .
      Sheikh Abuu lddi
      Amethibitisha uwepo wa madhhab ya UWAHABI kwa ushahidi wa vitabu vya MAWAHABI wenyewe .

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 3 роки тому

    Baaraqallahu fiiq

  • @abuubakarmohd7532
    @abuubakarmohd7532 3 роки тому +2

    Wewe sheikh kweli umesibitisha kuwa dini yenu munachukuwa kutoka Kwa wazee wenu
    Kwa KUSEMA "MAULIDI YANA ASILI KWA WAZEE WENU" Kweli mwafuata wazee wenu hamunfat Mtume mwafuata wazee au twambie mtume alifanya kadhaa lakin unatwambia wazee wew vp?

    • @allykisuda4568
      @allykisuda4568 3 роки тому

      Hivi wew utawezaje kumfwata mtume bila kuwafwata walokutangulia..... Kua makin

    • @abuubakarmohd7532
      @abuubakarmohd7532 3 роки тому

      @@allykisuda4568 abuu idi hamfuat mtum amfat wazee waliopit

    • @abuubakarmohd7532
      @abuubakarmohd7532 3 роки тому

      @@allykisuda4568 elewa

    • @issamyemen8428
      @issamyemen8428 3 роки тому

      Sheikh Muhammad idi Allah akuongoze.
      Umekir ktk utangulizi kwamba huto wataja wazee.
      Mbona kwenye clip hii unataja zamani tenaaa. Je kila kilicho fanywa zaman kipo sasa hihii.
      Umesem zaman tulikuapamoja ktk Maulid, zaman tunavyo peleka Maiti wetu tunasema Laaiha illa llah.
      Je unadilili ya usahihi wakufanya hivyooo

    • @ummuhafsah5499
      @ummuhafsah5499 3 роки тому

      @@allykisuda4568 sasa hao mababu na maswahaba nani alitangulia?

  • @iddybariye7325
    @iddybariye7325 3 роки тому +1

    Shekhe mbona unakwepa maswali jibu kama ulivoulizwa alf mbn hutoi taarif ya uwahabi

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 3 роки тому

      SHEKH WA KISUFI NA PICHA YA SHEKH WAKE PEMBENI HUENDA ANAITAQIDI PALE ANASOMESHWA NA SHEKHE WAKE MOHAMAD AYYUBU MAAN MASUFI WANAVITUKO VYA AJABU SANAA KTK HII DINI

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 3 роки тому

      MOHAMMADI IDDI KAJIBU NN HAPA?
      MAANA HAELEWEKI KABISAA ANACHOKIFANYA

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 3 роки тому +1

    Uliulizwa maswali mengi sana kuhusu uwahabi mbona hujibu? Umeulizwa toa maana ya uwahabi ambayo nyie hamuingi. Hahaha. Huna wallah. al hady alikwambia umerudia kuvuta bangi. Je ule ni uwahabi? Hahahaha

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 3 роки тому

      tulia dawa iwaingie vizuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuri

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 3 роки тому

      @@abujamalaalghammawiy7470 hahahahaha. Maskiiin habar huna. Ngoja nkutumie link ya majbu alojbiwa kwny huu uongo wake uone sasa nani ndo atulie dawaa imuingie

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 3 роки тому

      @@eng.saalim8646 Nimeshamsikiliza sanaaaa huyo jamaa, Tangu alipofanya hadaa ya kutusomea kitabu nusu nusu na kisha kutupotosha , mm tangu hapo sijamuamini tena ,

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 3 роки тому

      @@abujamalaalghammawiy7470 ww kwel sio mzma. Mtu anasoma pale anapoona ni ushahidi. Kisha ww ukiona kuna sehem zinahoja yako utasema. Kwani huyo abuu idi amesoma kitabu kizima wapi. Tena ww ndi unachekesha sasa. Hv huoni abuu idi anavosoma sehem vimaneno kadhaa tena anavisoma kimakosa na sehem za kumpnga yeye hazsomi. Au hulioni hlo. Duuh. Kwl ushabiki mbayaaa

  • @saidihaji3739
    @saidihaji3739 2 роки тому

    Eti hakuna UWAHABI ..
    UWAHABI UPO NA MAWAHABI WAPO.
    MAWAHABI NI : wafuasi wa Muhammad lbn Abdil Wahhab .
    Bali icho kitabu anachokisoma Sheikh Abuu Iddi ni Ushahidi tosha juu ya hilo.

    • @suleimanabdalla5022
      @suleimanabdalla5022 2 роки тому

      Wasahihisha wakati wewe mwenyewe hujitambui watakiwa usahihishwe. Chizi mkubwa wewe kavutebangi ukoo

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 2 роки тому

      @@suleimanabdalla5022
      Lugha za kejeli na ukosefu wa adabu
      Na matusi ya nguoni .. ni ktk silaha za mawahabi wakati wa kukosa hoja
      ...... Wakiwa hawana jawabu ndo wanakuwa kama hivi .
      Alhamdulillah ALLAH amewadhihirisha kwa Waislamu ..
      Lakini sisi haturejeshi matusi wala lugha mbaya kwa sabababu mfumo wetu ni :
      ﴿﴿ لَٸِن بَسَطتَ إِلَيَّ يَدَكَ لِتَقتُلَنِي مَا أنَا بِبَاسِطٍ يَدِيَ إِلَيكَ لِأَقتُلَك ؓ إِنِّي أَخافُ الله ربَ العَالمین ﴾﴾

    • @suleimanabdalla5022
      @suleimanabdalla5022 2 роки тому

      Nini maana ya uwahab .

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 2 роки тому

      @@suleimanabdalla5022
      Kama utakua umesoma vyema maelezo yangu hapo juu ..
      Ungeona kuwa jawabu lako limeshapatikana lakin inaonekana husomi vizur maelezo.
      NITAJIBU MARA NYENGINE
      UWAHABI: Ni nisba ya Muhammad lbnu Abdulwahhab nnajdiyu.
      Mtu wa ile sehemu ambayo Mtume ﷺ amesema itachomoza pembe ya sheitwan...
      Na MAWAHABI : Ni wafuasi wake ambao wanamfuata na manhaji yake .

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 3 роки тому

    piga piga MAWAHABI hao sheikh mpaka wanyooke, maana ndio huwa wanakimbilia huko, eti ukiwapinga tu basi wewe ni shia, ni khawariji, SASA MZEE MWAMEDI IDI ANAWAPIGA KWA VITABU VYA MAWAHABI WENYEWEWE , HAPO WATABAKIA HAWANA HOJA MZEE WANGU, WATABAKIA KUBWABWAJA TU, ILA DAWA INAWAINGIA KWELI KWELI

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 роки тому

    SHIDA NYIE MAKHURAFI MPO NYUMA YA MASHIA NA AQIDA YENU PIA NI YA MASHIA,
    NA MMEKUWA WASAIDIZIWAZURI MNO KWA KUWASAIDIA MASHIA KUWATUSI AHLU SUNNAT WALJAMAA!!

    • @fatumaamadi3169
      @fatumaamadi3169 Рік тому

      kwani wewe unazani ahlu sunna Wal jamaa ni nani

    • @fatumaamadi3169
      @fatumaamadi3169 Рік тому

      nyie amuitwi ahlu sunna Wal jamaa nyie mnaitwa mawahabi mpumbavu wewe

    • @hajisebeko4145
      @hajisebeko4145 Рік тому

      Usiongee usilolijua