Tukiangalia jamii yetu na majanga ya adhabu tunazizopata, na mateso tunayoyapata kwa ajili ya kuacha kufuata amri za mwenyezi Mungu (SWT) na mafundisho ya rasuluLlah (SAW). Turudini nyuma na tufungueni macho kuangalia na kutafiti ni yapi ya muhimu ambayo yatarajiwa kufanywa kuinua musta'amali na kutusaidia sisi wengine tunaotarajia muamko wa nafsi zetu. Yote machafu yanayopitika nje tunayoyaona ni ishara ya uchafu wa nyoyo zetu. Haya ninayoyasema si ATTACK kwa shaykh wala mtu yeyote bali...
Sheikh Aboud Rahimahullah hakuuliwa Allayaraxma Raximiin.Amekua shahidh wa Allah na atapatana inshaAllah na Asadullah Hamza bin Abdul mutwalib na Uthman Bin Affan [Dhul Nurein].....waumini wa kweli dini ya haki hawauliwi.hao makafiri hawajashinda lolote naclatullah.Shukran Akhi lakini simba wa mimbar ni kama Raximahullah Ismail Hanniyeh Palestine.Allahu Akbar
Salaam, Kwa ukarimu kabisa, ndugu zangu waislamu munaosoma hii message, kama ndugu yenu ningependa kusema namuomba mwenyezi Mungu aniongoze mimi na sote njia ya sawa na atutilie nguvu imani zetu. Ni masikitiko makubwa kuona dini upande wa kwetu east africa ikawa imefanywa kama siasa! Kila video ukiangalia ni majibizano na kutajana na kunyosheana vidole. Umma wetu twataraji muamko mkubwa wa kuziinua nyoyo zilizokufa, si siasa na mambo ya chuki. Yasikitisha haya, hayamfaidi mtu. Mungu atuongoze
Twalabul ilm Haya yanatokea sababu wapo mashekh wameweka mbele Dunia ,kama mashekh wote walio karibu na serial Ni wabaya sana.na wengine wameweka akhera mbele,ndio tukaona mauzauza Haya yote.
Shekh Allah akuhfadh na kila Shari vita amepigwa mtume SAW kwa hivyo Allah akupe subra na msimamo wa Sunnah
Ameen
nawaombe dua mashekh wangu Allah awaepushe na wanafikili
MashaAllah Allah akuweke kwenye istiqama
Mungu akupe afya njem in shaa Allah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤️
Mashallah
Tukiangalia jamii yetu na majanga ya adhabu tunazizopata, na mateso tunayoyapata kwa ajili ya kuacha kufuata amri za mwenyezi Mungu (SWT) na mafundisho ya rasuluLlah (SAW). Turudini nyuma na tufungueni macho kuangalia na kutafiti ni yapi ya muhimu ambayo yatarajiwa kufanywa kuinua musta'amali na kutusaidia sisi wengine tunaotarajia muamko wa nafsi zetu. Yote machafu yanayopitika nje tunayoyaona ni ishara ya uchafu wa nyoyo zetu. Haya ninayoyasema si ATTACK kwa shaykh wala mtu yeyote bali...
MaashaAllah, ALLAH akupe umri na afya
Mashallah
MaashaAllah
Mashallah, barkallah fik
ALLAH akujaze kheir ameeen
Ameen
Sifa nyingine yawanafiki hukaa vikao kupanga kumuuwa sheikh Abuud Rogo hii ndiokubwa na itolee khutuba.
vikao vyaa darru naduwa saivi bona sivisikia au vilikuwa kwsjili yaa abudu rigo2 bona hats mashia WAP maibaz WAP watu wamaulid WAP mkakae tens muwapige vitu kama mlivokuwa mkimpug abdu rogo
ndugu mwenye video ya daru nnadwa anitumie
mashaallah
Huyuuuu nayeee alikuweeemooo ,,,, leoo yuwatajaa wanafkii ,, kweeli huyuu wanafkii anawajuaa???
Sheikh Aboud Rahimahullah hakuuliwa Allayaraxma Raximiin.Amekua shahidh wa Allah na atapatana inshaAllah na Asadullah Hamza bin Abdul mutwalib na Uthman Bin Affan [Dhul Nurein].....waumini wa kweli dini ya haki hawauliwi.hao makafiri hawajashinda lolote naclatullah.Shukran Akhi lakini simba wa mimbar ni kama Raximahullah Ismail Hanniyeh Palestine.Allahu Akbar
Naam
Masha Allah
Baraka llahu fik
jazakalah ihwa
Salaam,
Kwa ukarimu kabisa, ndugu zangu waislamu munaosoma hii message, kama ndugu yenu ningependa kusema namuomba mwenyezi Mungu aniongoze mimi na sote njia ya sawa na atutilie nguvu imani zetu. Ni masikitiko makubwa kuona dini upande wa kwetu east africa ikawa imefanywa kama siasa! Kila video ukiangalia ni majibizano na kutajana na kunyosheana vidole. Umma wetu twataraji muamko mkubwa wa kuziinua nyoyo zilizokufa, si siasa na mambo ya chuki. Yasikitisha haya, hayamfaidi mtu. Mungu atuongoze
Twalabul ilm Haya yanatokea sababu wapo mashekh wameweka mbele Dunia ,kama mashekh wote walio karibu na serial Ni wabaya sana.na wengine wameweka akhera mbele,ndio tukaona mauzauza Haya yote.
EWE MOLA TUHIFADI NA WANAFIKI
Fatma Abdulrahman inshaAllah
...ningependelea iwe ni REMINDER kwetu sisi sote sana kwangu mimi. Nimeona ni muhimu ku share maoni yangu kwenye ukumbi huu. Wasalam