UREJESHO WA MISUKULE PART 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лип 2021
  • RETURNING WHAT WAS STOLEN BY WITCHES (Miskule Part 2)
    This lesson is the second part after the first of Part That reveals 20 signs of occultism.
    In this second part Apostle Mtalemwa emphasizes the Total restoration. When a person is reinstated he needs to be restored as well.
    (1) Health.
    (2) Property
    (3) Dignity / Honor.
    After a person is restored we look at the following symptoms.
    (1) Happiness and peace
    (2) The mind and its understanding.
    (3) How a person dress.
    Please follow the full lesson in this video for more blessings.
    (Swahili)
    KUREJESHA YALIYOIBIWA KICHAWI (Miskule Part 2)
    Somo hili ni sehemu ya pili baada ya ile ya kwanza ya dalili 20 za kuchukuliaa kichawi.
    Katika sehemu hii ya pili Apostle Mtalemwa anasisitiza juu ya urejesho kamili.Mtu anaporejeshwa inahitahijika kurejeshewa pia
    (1)Afya.
    (2)Mali
    (3)Hadhi/Heshima
    Baada ya mtu kurejeshwa tunaangalia dalili zifuatazo.
    (1)Furaha na amani
    (2)Akili na ufahamu wake.
    (3)Mavazi yake.
    Fuatilia somo kamili katika video hii ubarikiwe zaidi.

КОМЕНТАРІ • 147

  • @zaituniomollo
    @zaituniomollo 10 місяців тому +1

    Amen amen mtumishi Mungu aendelee kukutumikia ili kanisa la bwana Mungu liweze kupona kwa hakika nabarikiwa sena

  • @eliadahmhina4125
    @eliadahmhina4125 3 роки тому +2

    warudisheee nasfi yangu,ufahamu wangu na utu wangu ktk jina la Yesu

  • @emmanuelmhehwa6658
    @emmanuelmhehwa6658 2 роки тому

    Bwana yesu asifiwe mtumishi wa MUNG apostor mtalemwa nimekuwa muumini Sana wa mafundisho yako kunakitu kikubwa na ambacho YESU ameweka ndani yako wewe ndiwe mtumishi sahihi kwa muda sahihi

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 2 роки тому

    Niko hapa mtumishi wa Mungu nilinyang'anywa vitu vyangu vingi sana

  • @episonfelician7670
    @episonfelician7670 2 роки тому

    Nakupata Sana Mtumishi Apostle Mtalemwa Man of God Hakika Mungu atazidi kukuinua Napenda sanaaaa Mafundisho yako Nataman nifike hapo kanisani

  • @lindsay6415
    @lindsay6415 3 роки тому +7

    Please keep posting more teachings especially for us who can’t access your teachings via TV
    Yes God will restore all!!
    Am so blessed

  • @adamsonkyando682
    @adamsonkyando682 2 роки тому

    Dar huyu mtumishi Mafundisho yake jaman yanafundisha sana Yan Mungu anamtimia sana Mungu akuripe akubariki mara dufuuu Yan ubarikiwe sana sana nakupenda sana mtumishi wa Mungu wewe

  • @anaba2926
    @anaba2926 2 роки тому

    Amen Amen napokea urejesho kamili katika maisha yangu nå watoto wangu

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi Рік тому

    Wananirejesha katika jina la yesu

  • @rithalukas4263
    @rithalukas4263 3 роки тому

    shalom
    somo limenifungua sana
    Mungu akubariki

  • @mauwashomari8160
    @mauwashomari8160 2 роки тому

    Warudishe uchumba wangu uma yumba yumba kwajina layesu christo amen

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 роки тому

    Ubarikiwe sana APOSTLE

  • @akhalakwalubisia1738
    @akhalakwalubisia1738 Рік тому

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah

  • @peterpaka5845
    @peterpaka5845 3 роки тому +1

    Katika jina la mungu wa Mojar one narejesha Afya yangu iliyo ibiwa

  • @studentagency2185
    @studentagency2185 3 роки тому

    Ubarikiwe sana sana Baba Mlezi kwa mafundisho haya

  • @zainabukimaro5240
    @zainabukimaro5240 3 роки тому

    Bwana yesu urejesho kamili

  • @omavkksndbd3068
    @omavkksndbd3068 2 роки тому

    Nashidwa la kusema Asante mungu

  • @rosemarymallya4458
    @rosemarymallya4458 3 роки тому +2

    LAZIMA WARUDISHE💪💪💪VYOTE🙌🙌🙌MM NA MALI ZANGU ZOTE💪💪🔥🔥🙌🙌🙌

  • @getrudekimaro
    @getrudekimaro 3 роки тому

    Rejesha vyote ktk jina la Yesu Kristo

  • @elcardmbukila8172
    @elcardmbukila8172 2 роки тому

    Hapo kwenye mavazi umenifurahisha mnooo .ubarikiwe mtumishi wa bwana.bado mapodoz yaliyopitiliza.

  • @salomekibinga6080
    @salomekibinga6080 3 роки тому

    Asante kwa Somo zuri la Urejesho

  • @sharonnasambu6753
    @sharonnasambu6753 3 роки тому

    Miguu zangu ziponee kwa jina la yesu ingawa. Natembea lakini miguu zangu zinaswel bila sababu narejesha afya yangu nikiamini kwa jina la yesuu rejea rejea rejea afya rejea. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lucykariuki9990
    @lucykariuki9990 2 роки тому

    Amen and Amen. Watching from Saudi Arabia.

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 3 роки тому +1

    Asante sana mchungaji

  • @rachaellusava9326
    @rachaellusava9326 3 роки тому +1

    Mali yangu yote iliyoliwa inarejeshwa kwa jina La yesu, niombee apostle God bless you, watching from Kenya

  • @annahayasanday7174
    @annahayasanday7174 3 роки тому

    Baba MUNGU akubariki sana kwa jinsi ulivyokemea swala la uvaaji

  • @jumarama778
    @jumarama778 3 роки тому

    Nimekua mtumwa sana

  • @getrudekimaro
    @getrudekimaro 3 роки тому

    Lazima warudishe ktk jina la Yesu Kristo

  • @annmaina3142
    @annmaina3142 2 роки тому

    Imenifurahisha Sana sehemu ya mavazi

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 роки тому +3

    From today I'm no longer a slave in JESUS CHRIST Amen.

  • @gladysgladys7393
    @gladysgladys7393 3 роки тому +1

    Amen warudishe pesa yangu kwa jina la yesu I receive from kenya in Jesus name 🙏 be blessed servant of God

  • @annmaina3142
    @annmaina3142 2 роки тому

    Thank you my teacher hapo kwa mavazi imeninifurahisa

  • @irenengina233
    @irenengina233 2 роки тому

    i love the way mchungaji unaongea bila uoga alaf unatuua na kicheķ nawe huwez cheka😀😀😀

  • @akhalakwalubisia1738
    @akhalakwalubisia1738 Рік тому

    Thank you Jesus to comfort my life

  • @doctorzero-dj5xg
    @doctorzero-dj5xg 3 роки тому

    Afya bado haijaniludia,hadhi na umiliki bado,Mali zangu zinapotea sasa ,Mungu nirehem !

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 3 роки тому

    Watake wasitake watanirejeshea in jesus name .

  • @akhalakwalubisia1738
    @akhalakwalubisia1738 Рік тому

    Very powerful powerful powerful powerful

  • @jumarama778
    @jumarama778 3 роки тому

    Watava vizuri baba

  • @naomialex3995
    @naomialex3995 3 роки тому

    Ubarikiwe sana baba 🙏🙏🙏🙏🤣🤣

  • @uajeupe4299
    @uajeupe4299 2 роки тому

    Chief! Chief! Chief! Son of Major One! Mafundisho mazuri sana. Kwa kweli haya ndiyo maarifa yatupasayo ili tusiangamie. May our good God keep you long Apostle. Kweli wewe ni mwalimu. Watching from Spain 🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 3 роки тому

    Amen 🙏 🙏🙏 Apostel na Kwanzia leo chochote changu kilichonyakuliwa kupitia njia ya kichawi kwa kutumia nguvu za giza kinarejeshwa katika jina la yesu nimepokea and its done ✅

  • @sifasylvie3941
    @sifasylvie3941 3 роки тому

    Man of god mungu aendelea kukuongezea na akulinde nimebarikiwa na mafundisho iyi , Mimi na futurs kutoka Canada nakufuata kila wakati na nini amino Nike pata wokovu wangu kwa maneno y’a Imani iyi na nitashuudia makuu y’a mwenyezi mungu.

  • @jumarama778
    @jumarama778 3 роки тому

    Mimi nime rudishiwa kwa jina la bwana yesu ameni

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 роки тому +2

    Back to the sender in the MIGHTY name of JESUS CHRIST

  • @sikujuasteven4323
    @sikujuasteven4323 3 роки тому

    Naona pole pole nondo zimeshafika kanisani

  • @hellinahombuya5174
    @hellinahombuya5174 2 роки тому

    Ameeeeen barikiwa pst

  • @esthercharles2210
    @esthercharles2210 3 роки тому

    Mali zangu zote zilizoibiwa na Waganga na wachawi leo zirejee zote kwa jina la YESU KRISTO wa Nazareth na kwa Damu ya YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai.Asante sana Chief Apostle UISHI MILELE. 🙌

  • @lydiaamazimbi8450
    @lydiaamazimbi8450 3 роки тому

    Auuuui, today is deeper facts here,,,,, apostle atii,"Mm sibutu ni mguse". U hve made my day and I'm blessed coz Kila kitu kicholiwa na zige narudisha kwa jina la Yesu,,,,,,be blessed apostle 🙏🙏🙏

  • @rosemarymallya4458
    @rosemarymallya4458 3 роки тому

    All diseases back to the sender🙌🙌🙌📌

  • @kelvinbyabato5411
    @kelvinbyabato5411 2 роки тому

    Nafunguliwa sana kupitia mafundisho haya yenye nguvu sana

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 3 роки тому

    Mungu akubariki baba, wewe Ni mtumishi wa Mungu kweli, unasema kweli kabisa

  • @jumarama778
    @jumarama778 3 роки тому

    Tosha baba wamesikia

  • @jumarama778
    @jumarama778 3 роки тому

    Ameni

  • @WinnerJ_
    @WinnerJ_ 3 роки тому

    Nabarikiwa na mafundisho yako sana Mtumishi, Bwana Yesu azidi kukutumia vyema.

  • @doctorzero-dj5xg
    @doctorzero-dj5xg 3 роки тому

    Nafunguliwa kwa kasi mno ! Nimeonewa sana na dhuruma , asante Mungu kunikumbuka kupitia mtumishi wako.

  • @nicholuskirui1313
    @nicholuskirui1313 3 роки тому

    Prophet of God ubarikiwe Sana, huwa na barikiwa Sana na mahubiri yako

  • @hellenwanyama6608
    @hellenwanyama6608 3 роки тому

    Ukweli kabxa pst hayo mambo iko tunaipiwa bila kujua

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 роки тому +1

    I will RECEIVE double portions in the MIGHTY name

  • @sifasylvie3941
    @sifasylvie3941 3 роки тому

    Mwenyezi mungu atusaidiye sana tumeteswa na uchawi wakijamaa, naamini kufuatana na funzo I iyi azina yangu itarudi kwa jina la jesu christo .

  • @lindsay6415
    @lindsay6415 3 роки тому

    Kwa Jina la Yesu!!! UREJESHO WA VYOTE

  • @veronicahkyandoh9829
    @veronicahkyandoh9829 3 роки тому

    Amen apostle mtalemwa wamrudishe mama ang plz pastor nsaidie😭😭

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 роки тому

    Preach the gospel man of God. Lazima turudi.

  • @anethrweyemamu5764
    @anethrweyemamu5764 2 роки тому

    Amen

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 роки тому

    Vyote vinarejea kwa jina la Yesu 💪💪💪🙏🙏

  • @sikitumwalusamba3545
    @sikitumwalusamba3545 2 роки тому

    Napokea marejesho kwangu na familia yangu

  • @ibrahimkilawah759
    @ibrahimkilawah759 3 роки тому

    Ameeen Ameeen Ameeen

  • @sifasylvie3941
    @sifasylvie3941 3 роки тому

    omg that is true i am watching from canada mimi ni mzaliwa wa congo naishi canada lakini najuwa mambo haya kutoka nyumbani na juwa wengi waliibiwa kwa njiya izo na wengine walikopa kwenye mikopo wala hakuna ata moja aliweza rudisha walibeba nyumba zao.

  • @fgkl8200
    @fgkl8200 3 роки тому

    Powerful enough be blessed so much witchcraft down in the name of jesus christ

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 роки тому

    Eeeeh baba naomba urejesho wa Haifa yangu ufahamu ya watoto wangu kwa jina la yesu

  • @fgkl8200
    @fgkl8200 3 роки тому

    Thanks tell us misukule tupu waja tukombolewe katika jina la yesu Amen

  • @annekangaikathuni9523
    @annekangaikathuni9523 3 роки тому

    Amen...thanks may almighty God increase you man of God- in wisdom knowledge and understsnding ..

  • @themirrorroom2825
    @themirrorroom2825 3 роки тому

    Nimeisubiria Sana hii

    • @rosehappynesasenga1886
      @rosehappynesasenga1886 3 роки тому

      Apo kwenye mavaz baba ndo umegusa penyewe 😁😁😁🔥🔥🔥🔥🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @evarinenathaniel9838
    @evarinenathaniel9838 3 роки тому

    Amen. Thank you Jesus Christ.

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 роки тому

    Fire. Fire fire choma in JESUS CHRIST Amen

  • @anaaanick4187
    @anaaanick4187 3 роки тому

    Asant Yes

  • @hellenwanyama6608
    @hellenwanyama6608 3 роки тому

    Amen pst kwa mafasi hapo ukosawa be blessed

  • @usaniwabomarieclaire8630
    @usaniwabomarieclaire8630 3 роки тому

    Nakusiliza kutoka Rwanda

  • @lulumwenda6922
    @lulumwenda6922 3 роки тому

    I am so blessed thank you so much

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому

    asante kwa somo nzuri

  • @glorymbazi8083
    @glorymbazi8083 3 роки тому

    Asante nabii, nimmeelewa

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 роки тому

    Lazima warejeshe kwa jina la yesu

  • @ahadiandongwisye6041
    @ahadiandongwisye6041 3 роки тому

    Narejesha nafasi yangu ya kazi kwa jina la Yesu.

  • @farajamkuchu8458
    @farajamkuchu8458 3 роки тому

    Sema Baba tuponeeee mavazi nisheeda

  • @eagleevah3984
    @eagleevah3984 3 роки тому

    Restoration is my portion in Jesus mighty name.

  • @ndohoriomsacky445
    @ndohoriomsacky445 2 роки тому

    Nikweli kabisa

  • @anyigulilemwaigomole3012
    @anyigulilemwaigomole3012 3 роки тому

    Narudisha hazina zote kwa jina la Yesu

  • @dilurai4204
    @dilurai4204 2 роки тому

    Ameeeen

  • @jumarama778
    @jumarama778 3 роки тому

    Nimeteseka sana

    • @elcardmbukila8172
      @elcardmbukila8172 3 роки тому

      Aaahhh baba nimekuelewa Sana baba angu

    • @jumarama778
      @jumarama778 3 роки тому

      Aposto mm niko Saudi Naitwa Janet napenda mafundisho yako mungu akubariki mtume wa mungu

    • @jumarama778
      @jumarama778 3 роки тому

      Nahitaji maombi mm mtoto wako baba Janet

  • @ziporahmwende69
    @ziporahmwende69 2 роки тому

    Thanks man of God.

  • @sifasylvie3941
    @sifasylvie3941 3 роки тому

    Big amen amen

  • @faustinriziki6787
    @faustinriziki6787 3 роки тому

    Amen Apostle nimebarikiwa na mafundisho haya nikiwa Zanzibar

  • @hildpaul7823
    @hildpaul7823 2 роки тому

    Wokovu na hazina

  • @hildpaul7823
    @hildpaul7823 2 роки тому

    🙌🙌🙌🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️💉

  • @gladysgladys7393
    @gladysgladys7393 3 роки тому

    Haaa Amen Leo umepomoa wakichesa utakata kitu

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 роки тому

    Majreraha kila leo naomba iyeyuke kwa jina la yesu

  • @sharonnasambu6753
    @sharonnasambu6753 3 роки тому

    Back to center in JESUS NAME.

  • @farajamkuchu8458
    @farajamkuchu8458 3 роки тому

    Fireeeeeeee

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 роки тому

    Regesha. Rudisha kwa jina la yesu

  • @anaaanick4187
    @anaaanick4187 3 роки тому

    Eee Bwan naomba unilehemu na magonjwa ya kukauka damu napokea urejesho wa afya yangu

  • @happysiwakamil1970
    @happysiwakamil1970 3 роки тому

    Amen Amen Amen