Asant mwenyezi Mungu kwakunipa nafasi hii usiku huu wa Leo Nina Sema Asant najitamkia Baraka maishani mwangu kila nitakalolifanya nifanikiwe unipe afya bora unipe Mume mwema ukapate kunipa furaha kwenye familia yangu napokea Baraka zako amen🙏
Bwana wetu YESU KRISTO Asifiwe sana baba, naomba maombi kwa itaji langu ili "Naitaji kumtumikia MUNGU Baba kwa viwango vya juu zaidi popote duniani" hio ndo aja ya kubwa ya moyo wangu! MUNGU Akubariki
Amen, nakuomba Mungu nisaidie kuniondolea vifungo vyote vilivyonishilikia madeni ,hofu,umaskini n.k najitenganisha na roho za mahangaiiko ,nawaleta watoto wangu mikononi mwako nakuomba wawezeshe katika maisha yao Ili wawe watoto wema kwa ajili ya utukufu wako, Amen 🙏🙏🙏
Mungu najiunganisha na maombi hahaya usiku wa Leo naomba uponyaji wa moyo na mikono kufa gazi na mwili kuchoka naomba kupata pesa za kulipa madeni yanayo nizunguka na kudawa naomba mungo nipate na pesa za kupeleka watoto wangu shule naomba katika jina la yesu kirisitu amina
Mungu naomba nikushukuru kwakunipa Tena nafasi yakushirik haya maombi basi naomba nipatie Kila ambacho nakihitaj maana wewe unajua hata kabla sijasema nakuamin mungu wangu naomba nibadilishie historia yangu
Ameni asante kwakuendelea kutuungamanisha na uso wa Mungu hakika nimemuona Mungu kupitia maombi yako nimejifungua salama ,Mungu akutunze kwaajili ya wahitaji wote hakika uishi
Asante. MUNGU kwa kunipa nafasi hii Eeeh mwenyez Mungu naomba unitie nguvu. Na uniepushe. Na kila mipago yote ya Adui ukafugue Milango ya mafanikio na kataa Kila ndoto. Mbaya ukaniponye kwa. Damu ya yesu Kristo Amen
Ee mwenyezi mungu tutetee usku huu wa leo tusamee kwa makosa yetu yote damu ya yesu kristo imponyee mdogo wang kwa jina la yesu kristo damu ya yesu kristo imfunikee itutakase amina
kupitia maombi ya sanane satisa kweli vifungo vya magonjwa vinafunguka mungu naomba kisukari kinachojirudia kipone kwa jina layesu na ganzi vidole vya mikono nikushukuru sana pasta godwen ndelwa kwamaombi yako kupitia maombi yako nafunguliwa na naamimi kanisa nahili l nitapona
E mungu nakuja mbele zako nakataa hofu ya mauti nakataa kila aina ya mashambulizi nakata mabaya yote naitaa damu ya yesu ulinzi wa damu ya yesu utufunike na alika uwepo wa bwana kwa damu ya Yesu
Mungu naomba ulinzi katika maisha yangu na maisha ya wanangu. Naomba unifungue vifungo vyote shetani alivyonifunga katika afya,katika uchumi,katika hali yoyote ila.. Navifungua vifungo vyote hivyo
Mungu naomba ubariki familia yangu na uijaarie afya njema naomba udumishe furaha na amani katika ndoa yangu asante
Ee mungu naomba nifungulie milango ya baraka kwenye maisha yangu niweze kumlea mtoto angu na ndugu zangu amen🙏🙏
Naomba mungu mfunguwe mmewangu asipokeeaneno ya uongo ajutie maneno anayo tusema
Mungu naomba uniponye nimechoka kuonnewa kwani maisha yangu hayana amani katika moyo
Asant mwenyezi Mungu kwakunipa nafasi hii usiku huu wa Leo Nina Sema Asant najitamkia Baraka maishani mwangu kila nitakalolifanya nifanikiwe unipe afya bora unipe Mume mwema ukapate kunipa furaha kwenye familia yangu napokea Baraka zako amen🙏
Asante mungu naamini kwa maombi haya nafanikiw yote niliyoyaomba amiin🙏
Asante mungu kwahusiku nàhoma nanifunguriye wa binti wangu kwa jina rayesu ❤
Najiungamanisha na maombi huu ucku huu wa saa tisa pamoja na na familia yng
Naomba niwe na nguvu katika maombi kwa jina la yesu kristo
Naomba niinuliwe kuanzia usku wa leo lakn baba ntegemeze
Naomba Bwana yesu uniwekee ulinzi kwenye Kazi yangu ilinde familia yangu
Bwana wetu YESU KRISTO Asifiwe sana baba, naomba maombi kwa itaji langu ili "Naitaji kumtumikia MUNGU Baba kwa viwango vya juu zaidi popote duniani" hio ndo aja ya kubwa ya moyo wangu! MUNGU Akubariki
Naomba mungu afungue mipango yangu kwenye biashara yangu kwajina la yesu kristo
Asanti yesu kwa maombi haya n kwa neema yako mungu ndiposa naishi asante yesu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mungu naomba tatizo la kuumwa kichwa liishe
Amen, nakuomba Mungu nisaidie kuniondolea vifungo vyote vilivyonishilikia madeni ,hofu,umaskini n.k najitenganisha na roho za mahangaiiko ,nawaleta watoto wangu mikononi mwako nakuomba wawezeshe katika maisha yao Ili wawe watoto wema kwa ajili ya utukufu wako, Amen 🙏🙏🙏
Naomba mwenyezi Mungu afungue milango ya pesa
Najiungamanisha na maombi haya Mungu anipe uponyaji wa Afya yan̈gu na familia yangu nikapokee uzima usiku huu.
Asante Yesu wangu kwa kunikutanisha na Mtumishi wako🙏🙏
Naomba nipone madonda ya tumbo yesu wangu amina
Amen amen asante saana kwamaombi yenu nasema asante saana
Naomba mungu umfunguwe dada yangu Mishima ya fahamu yakeiliyo Katwabaada ya presha kuwa kubwa kupanda naomba mungu umfungue kwakupitia maombi haya
Yesu kanipe kibari kutoka kwa wazazi wangu niweze kuolewa na mwanaume wa ndoto yangu Yesu naamini itawezekan kutua jina la yesu Amee
Mungu najiunganisha na maombi hahaya usiku wa Leo naomba uponyaji wa moyo na mikono kufa gazi na mwili kuchoka naomba kupata pesa za kulipa madeni yanayo nizunguka na kudawa naomba mungo nipate na pesa za kupeleka watoto wangu shule naomba katika jina la yesu kirisitu amina
Mungu naomba nipone tumbo usiku huuu katika jina la yesu
Amen najiunganisha na madhabahu haya yesu naomba ukanilide usiku huu wa Leo pamoja na jamii yangu
Namshukuru mungu kuniweka salama katika ucku huu
Asante Mungu najiungamanisha na wewe baba kwenye Maombi yako
Mungu naomba mme wangu dastan atengane na adui zake
Amen najiungamanisha na madhabahu haya Yesu naomba ukanirinde usiku huu wa leo pamoja na familiya yangu
Mungu naomba nikushukuru kwakunipa Tena nafasi yakushirik haya maombi basi naomba nipatie Kila ambacho nakihitaj maana wewe unajua hata kabla sijasema nakuamin mungu wangu naomba nibadilishie historia yangu
Asante MUNGU Kwa neema hii pamoja na uzao wangu,naomba unipe nguvu ya kuomba na kukujua wewe zaidi
Amenn mungu naomba unilinde wachawi kwa jina la yesu utupe amani kwenye familia yangu amennn
Amina mungu naomba niondolee nagojwa yanautesa mwili wangu
Ameni asante kwakuendelea kutuungamanisha na uso wa Mungu hakika nimemuona Mungu kupitia maombi yako nimejifungua salama ,Mungu akutunze kwaajili ya wahitaji wote hakika uishi
Najiunganisha na maombii aya mungu wangu naomba unitendee
Asante mungu kwakunifanya niweze kushilik maombi haya
Asante mungu kwq uwai naombea wote ambao wanesimamishwa kazi wafungulie mirango wapate kazi naomba Kwa hayo machache ameeeeen 🙏
Nisamehe Mungu kwa maovu yangu Amen
Amen 🙏 mungu Ametenda kwa Jina LA yesu Christo Amen 🙏
Asante MUNGU NAOMBA UNITETED KWA JINA
Namuomba bwana YESU kiristo anipe kiu ya maombi ya usiku.
Asante yesu naomb nipate ndoa ndani ya mwaka huu huu
Amm barikiwa Sana mtumishi MUNGU akulinde na akubariki sana mtumishi
Nashukuru Mungu kwa maombi haya watotowangu wafunguliwe
Asante mungu Kwa kunipa kibari Cha kukutana naye usiku huu wa manane
Asante. MUNGU kwa kunipa nafasi hii Eeeh mwenyez Mungu naomba unitie nguvu. Na uniepushe. Na kila mipago yote ya Adui ukafugue Milango ya mafanikio na kataa Kila ndoto. Mbaya ukaniponye kwa. Damu ya yesu Kristo Amen
Asante mungu Kwa kunipa kibali ya kushiliki maombi haya🙏
Naomba maombi nakosa using ili.. hasa nikiwasiliana na mzazi mwenzangu.amen
naitwa veice wa Dodoma najiungamanisha namaombi yausiku naomba nipone uvimbe began kisukar magot ganzi
Amina nazikataa ndoto mbaya kwajina la yesu
Amen ubarikiwe mtumishi ninapokea ulinzi uponyaji kwa dam ya yesu
Asante mungu kwa maombi haya
Mungu naomba unijibu maombi yangu
Asante yesu maombi nidawa
Asante mungu nimejikabidhi mikononi mwako
Ee mwenyezi mungu tutetee usku huu wa leo tusamee kwa makosa yetu yote damu ya yesu kristo imponyee mdogo wang kwa jina la yesu kristo damu ya yesu kristo imfunikee itutakase amina
Asante mungu wangu kwa kuniponya kiroho nilikuwa na maumvu kwasasa nimepokea uponyaji
Asante sana kwamagombi
Asante Sana Pastor Mungu akubariki
Vita za laana naikataa katika jina la yesu amen
Asante pasta kwa maombi yako naamini yatanisaidia Amen
Asante pasto kwa maombi naimani nimefungukiws Amen
Amen. . naomba mungu.ambadilishe tajiri yangu yuko na roho chafu.
Naalika Damu ya Yesukatika Familia yangu naomba Roho Mtakatifu aniongoze na kuwashinda Maroho ya shetani .
Asante sana pst kwa maombi haya ubarikiwe sana pst
Ubarikiwe Papa Pastor Mungu azidi kukuinua 🙏
Ntaomba mungu afunguwe mtoto wangu .j.n.heppy mungu amuponye.magonjwa yakupoteza ufahamu. Naamini mungu wako
Maombi hhaya mungu yawe endelevu kwangu
Asante pasta kwa maombi Yako naamini yatanisaidia 7:04
Amen mungu uilinde family yangu
Ahsante sana amina piah barikiwaa
Mungu naomba unimfungulie milago ya kupata mwaume atakakua mkeli katka maisha nyang
kupitia maombi ya sanane satisa kweli vifungo vya magonjwa vinafunguka mungu naomba kisukari kinachojirudia kipone kwa jina layesu na ganzi vidole vya mikono nikushukuru sana pasta godwen ndelwa kwamaombi yako kupitia maombi yako nafunguliwa na naamimi kanisa nahili l nitapona
Asante mungu wewe unaetukumbuka
Ahsante Mungu naomba nipate mume sahihi kabla ya mwaka kuisha
Amen najiungamanisha
Mungu unaweza kunivusha na Ili.
Mungu naomba tufunguliwe mimi na familia yangu
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi ninashukuru sana kwa maombi ubarikiwe amen
Ameen ubarkiwe sana pastor
Mungu naomba nisaidie mwanangu hapendi shule
Mungu naomba hunisaidie pua zangu zipumue vizuri
Mungu naomba ni mtaji nifungue biahasha yangu
Mungu naomba umponyeshe kaka yangu akiwa tz .mungu naomba mwanangu gabusu afauru kidato Cha nne
Eee Mungu nipe kibal katk maisha yangu na mume wangu
Naomba mungu afanye muujiza wake nipate card passport navisa tikeketi mapema nisichewewwshe naomba damu ya yesu isimame katika maombi yangu niliomna
Nibariki MUNGU mimi pamoja na familia yangu
Eee mungu naomba unisaidie nisonge mbele pia inikinge na movu
Nikotayari nijiungamanishe naneno la mungu asante yesu
Maombi Ni dawa,Najiungamanisha na maombi haya yakafungue Mafanikio yangu,na nipokee uponyaji.Amen
Naomba Mungu anifunguwe kila ninacho fanya akiendi ki ndoa ki byashara adi sipendwi nakatariwa
E mungu nakuja mbele zako nakataa hofu ya mauti nakataa kila aina ya mashambulizi nakata mabaya yote naitaa damu ya yesu ulinzi wa damu ya yesu utufunike na alika uwepo wa bwana kwa damu ya Yesu
Mungu naomba umfungue dastan ache pombe pamoja na kuludi usiku
Mungu naomba unifungue tumbo langu lauzazi mimba ziache kuharibka
Mungu naomba ulinzi katika maisha yangu na maisha ya wanangu. Naomba unifungue vifungo vyote shetani alivyonifunga katika afya,katika uchumi,katika hali yoyote ila.. Navifungua vifungo vyote hivyo
Mungu naomba mme wangu dastan ache pombe
Asante ubarikiwe
Mungu nisaidie
Naomba mungu akanipekibali usikuwaleo niweze kuamka usiku namimi mungunisaidie
Ameni aombaa Mungu nitetee