MAOMBI MAALUM KWA WAGONJWA NA WAHITAJI - Pastor Myamba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 258

  • @Neylajuma-j2k
    @Neylajuma-j2k Місяць тому +2

    Mungu aponye kaka anguu ,,amepata ajali ,,katika jina la yesu kristoo Amen...🙏🙏🙏🙏

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 3 місяці тому +3

    Naomba Kutendewa nipone vidonda vya tumbo katika jina lipitalo majina yote amen 🙏

  • @salomemlowe2141
    @salomemlowe2141 2 роки тому +26

    Nimepona UKIMWI katika jina la YESU

  • @ashurarashidi4962
    @ashurarashidi4962 2 дні тому

    Mungu naomb umponye mwanangu amina mguu unao muuma akaponye kwa jina la yesu

  • @GraceFifi-o7f
    @GraceFifi-o7f Місяць тому

    Yesu amuponye mugojwa wangu CAS kwa jina la Yesu kristo, nami pia aniodoleye ugojwa wa moyo kwa jina la Yesu kristo namini Amen 🙏

  • @SalomeKijazi-s4l
    @SalomeKijazi-s4l 7 днів тому

    Mungu naomba umponye mume wangu na ugonjwa wa mgongo na kiuno

  • @AnithaMbogoye
    @AnithaMbogoye 11 місяців тому +2

    Namuoomba Mungu haponyeee mama angu kipenzi Miguu yake eeeh Mungu saidiaa

  • @merryMkude
    @merryMkude 4 дні тому

    Mungu hausike nababa yangu mwaka wapili Sasa Yuko kitandan ajiwez

  • @KaisonTenesi
    @KaisonTenesi Місяць тому

    Naomba mungu musaidie mtoto wangu apone magonywa ambao yanamusumbua yayishe katika Jina layesu

  • @DonathaTarimo
    @DonathaTarimo 11 місяців тому +1

    Naomba kupona nyonga

  • @AlfaCharles-s1f
    @AlfaCharles-s1f Місяць тому

    Mungu naomba umponye mume wangu na mimi nione vidonda vya tumbo

  • @mamaziada134
    @mamaziada134 8 місяців тому +1

    Nataka kupona ukimwi kwa jina la yesu

  • @GraceFifi-o7f
    @GraceFifi-o7f Місяць тому

    Napokea uponywa mugongo na pressure kwa jina la Yesu kristo

  • @Catherinejohn-r5r
    @Catherinejohn-r5r Місяць тому

    Napokea uponyaji wangu na wamama yangu Maria pastory

  • @AlfaCharles-s1f
    @AlfaCharles-s1f Місяць тому

    Namini Leo mume wangu anapokea uponyaji kwa Jina la yesu

  • @lucylucialucia9647
    @lucylucialucia9647 2 роки тому +3

    Aminaa nimepokea Uponyaji kwa jina la YESU

  • @SophiaTilo
    @SophiaTilo 2 місяці тому

    Amina napokea uponyaji kwa jina la yesu

  • @CatherineSlaji
    @CatherineSlaji Місяць тому

    Napokea uponyaji kwa damu ya YESU kristo

  • @JudithRobert-xu9il
    @JudithRobert-xu9il 3 місяці тому

    AMEN napokea uponyaji kwaajili ya bint yangu

  • @Catherinejohn-r5r
    @Catherinejohn-r5r Місяць тому

    Napokea uponyaji wangu na wamama yangu

  • @Qeenmatu254
    @Qeenmatu254 11 місяців тому +1

    Mtoto wangu pokea uponyaji in Jesus 🙏🙏🙏

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj 4 місяці тому

    Ameen Mdogoangu kapona kwajina layesu😊

  • @GhaniaHamadi-w2b
    @GhaniaHamadi-w2b 2 місяці тому

    Ahsnte mtumishi wa mungu nakupenda San

  • @BintiEzekiah
    @BintiEzekiah 2 місяці тому

    Amina nimepokea uponyaji nilikuwa naumwa jino😢😢😢

  • @NuryAbdul
    @NuryAbdul 7 місяців тому

    Amina nimepokea uponyaji kwa jina la yesuuu

  • @SilawecandoGHSyouhaveagreatday
    @SilawecandoGHSyouhaveagreatday 2 місяці тому

    Naomba maombi nijifungue salama

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj 8 місяців тому

    Napokea uponyaj kwadadaangu napokea Aman yamoyo kwajina layesu

  • @FrankSichifuta
    @FrankSichifuta 3 місяці тому

    Mke wangu mguu unamsumbuwa naomba maombezi kwake

  • @tealovemichoro8777
    @tealovemichoro8777 3 місяці тому

    Nime pokea uponyaji Kwa baba yangu mzazi katika jina la yesu. Mungu aka simame na yy

  • @LatifaMtika
    @LatifaMtika 8 місяців тому

    Napokea uponyaji kwa jina la yesu

  • @AdiaAssani-cv1iv
    @AdiaAssani-cv1iv Рік тому

    Naomba nioneshe anayo cheza namaisha yangu mungu usiku uuuu nioneshe kwa macho yangu mawili

  • @dominicocholi8099
    @dominicocholi8099 11 місяців тому

    Magonjwa yanayojirudia juu ya watoto wangu na mke wangu hayana mamlaka katika jina Safi la Bwana wetu Yesu Kristi,Amina🙏🙏🙏

  • @FausterLawrence
    @FausterLawrence 4 місяці тому

    Mungu baba mponye mwanangu Anna

  • @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te

    napokea uponyaji was mwili wangi mzima nauponyaji wa mme wangu

  • @JofreyDamson-nm6ec
    @JofreyDamson-nm6ec 7 місяців тому

    Napokea uponyaji kwajina layesu

  • @ambasiayona9779
    @ambasiayona9779 Рік тому

    Mungu mponye rafiki yangu arusha pone kabisa

  • @AnitaNoa-k2k
    @AnitaNoa-k2k Рік тому

    Amen nimepokea uponyaji kwadam ya Yes kristo

  • @christinasimtowe
    @christinasimtowe 7 місяців тому

    Nimepona tumbo na kichwa kwajina la yesu

  • @Mary-cr4sq
    @Mary-cr4sq 6 місяців тому

    Amen nimekuea na bleed 1month.bila kukoma.napokea uponyaji

  • @saraphinaEdward-n1o
    @saraphinaEdward-n1o 2 місяці тому

    Magonjwa ayan mamulak kwa mtoto wa dada yangu baba naomba kwa jina lako mponye malaika uyu mdog 😢🤲🤲

  • @AdiaAssani-cv1iv
    @AdiaAssani-cv1iv Рік тому

    Kama kunauchawi kwenywe nyumba iki naomba mungu unioneshe usiku uuuu kama kunamtu ananitesa mungu naomba unioneshe usiku huuuuu

  • @samweliantoni7707
    @samweliantoni7707 Рік тому +1

    Napokea uzima kwajina la yesu kirsto

  • @RithaFanuel
    @RithaFanuel 4 місяці тому

    Napokea uzima kwajina layesu

  • @AdiaAssani-cv1iv
    @AdiaAssani-cv1iv Рік тому

    Mungu naomba usiku uuu utulinde navita

  • @caritasmushi8896
    @caritasmushi8896 10 місяців тому

    Mungu namuunganisha Blasio na Irenus na maombi haya ya uponyaji kwa Jina la Yesu.

  • @JofreyDamson-nm6ec
    @JofreyDamson-nm6ec 7 місяців тому

    Nimeiona uvumbe kwajina layesu

  • @GlauryHaule
    @GlauryHaule 7 місяців тому

    Barikiwa sana paster mungu aendelee kukutunza na kukuficha mbali na hila za yule mwovu

  • @GlauryHaule
    @GlauryHaule 7 місяців тому

    Amen nimepona kidole mana nilichomwa na sindano nikavimba mno namaumivu makali lakini baada tu ya maombi nimeona kimya asante mungu katika jina la yesu kwa uponyanyi hakika wewe ni mungu wa kweli na uzima

  • @MARRYMOHAMEDJoseph
    @MARRYMOHAMEDJoseph Місяць тому

    Mm nasbuliwa na kutokwa na damu

  • @JosephineKengaa
    @JosephineKengaa 9 місяців тому

    Pastor naomba uniombee nasikia vtu vyanitembea kwa mwili

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 8 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @ambasiayona9779
    @ambasiayona9779 Рік тому

    Ameni napokeauponyaji WA.hli juuu kabisa

  • @GladnessUrassa-sg1pu
    @GladnessUrassa-sg1pu Рік тому

    Nimepokea kwa jina la yesu

  • @NeemaJamesMussa
    @NeemaJamesMussa 9 місяців тому

    Namii naaminii naamini napokeaa uponyajii na mtoto wangu anaamini anatokaa akiwaa salamaaa kbsaaaa kw damu ya yesuu

  • @EsterJonas-ii4do
    @EsterJonas-ii4do Рік тому

    Nime pona kizazi changu amina

  • @PendoMwasha-c4b
    @PendoMwasha-c4b 2 місяці тому

    Napokea Kwa jili ya baba yangu mzazi anapone magonjws yote yanayo msumbua

  • @flavianajohn4930
    @flavianajohn4930 8 місяців тому

    Napokea uponyaji wa Magonjwa yote niliyonayo kwenye mwili wangu kwa Jina la Yesu.

  • @GroliaMbembela-ov7lu
    @GroliaMbembela-ov7lu 2 місяці тому

    Napokea

  • @AdiaAssani-cv1iv
    @AdiaAssani-cv1iv Рік тому

    Naomba mungu mwanangu apone magonywa yote

  • @NuryAbdul
    @NuryAbdul 7 місяців тому

    Napokea uponyaji kwa mtoto wanguuu

  • @siliviahmwakalobo5717
    @siliviahmwakalobo5717 Рік тому

    Ameen mtumishi ubarikiwe sana

  • @sophiamsuliche9487
    @sophiamsuliche9487 Рік тому

    Amen nimepokea uponyaji

  • @SophiaNjamasi
    @SophiaNjamasi Рік тому

    Nimepona kabisa Asante yesu

  • @LauhyaMjaka
    @LauhyaMjaka 7 місяців тому

    Napokea uponyaji wako

  • @LeylaChibwana
    @LeylaChibwana 7 місяців тому

    Ninaimani nimeona maumivu yote yanayonitesa ndani ya mwili wngu,nimepokea uponyaji kwa jina la kristo amen

  • @leahtheo3922
    @leahtheo3922 Рік тому

    Amen,napokea uponyaji kwa ajili ya watoto wangu na mm tunaomba utuponye magonjwa yanayotusumbua tumaini letu ni ww pekee Bwana Yesu.

  • @rehemajayden
    @rehemajayden Рік тому

    Bwana yesu asifiwe

  • @gracemuro2064
    @gracemuro2064 Рік тому

    Nipone ukimwi kwa jina la yesu

  • @akyoo5761
    @akyoo5761 Рік тому +1

    Mama angu apokee uponyaji kwa jina la YESU

  • @AdiaAssani-cv1iv
    @AdiaAssani-cv1iv Рік тому

    Naomba yesu kwenye moyo wangu Kuna mdudu acheza sana naomba yesu utowe namingu gazi

  • @mamaziada134
    @mamaziada134 8 місяців тому

    Napokea uponywaji wa hiv sasaivi aminaaa

  • @latifaomary6620
    @latifaomary6620 Рік тому

    Amina naiman mam angu atapona

  • @NakijwaNancy
    @NakijwaNancy Рік тому

    Asante Mungu kwa uponaji napokea uzima

  • @anamarianestory8005
    @anamarianestory8005 7 місяців тому

    Napokea uzima kwa jina la Yesu nimepokea uzima kwa damu ya yesu

  • @GracePaulo-mq8mb
    @GracePaulo-mq8mb Рік тому

    Amen Ubarikiwe pastor

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf 9 місяців тому

    Ameen Ameen bint yangu amepokea kwa jina la YESU

  • @MulambaGloria-jm4us
    @MulambaGloria-jm4us Рік тому

    Asante sana ubatikiwe mi lele

  • @JenifaSuga
    @JenifaSuga 7 місяців тому

    AMEN IN THE NAME OF JESUS

  • @AyishaAyisha-k9r
    @AyishaAyisha-k9r 7 місяців тому

    Napokea uzima kwajina la yesu Kristu nimepokea uzima kwadamu yayesu

  • @tatusaid3934
    @tatusaid3934 Рік тому +1

    Ameen nimepokea uponyaji kwa jina la yesu 🙏🙏🙏💯

  • @UpendoMwanga-b5o
    @UpendoMwanga-b5o 10 місяців тому

    Amen Namuunganisha dada yangu kwenye maombi haya pamoja na mm pia

  • @ambasiayona9779
    @ambasiayona9779 Рік тому

    Namuombea rafiki yangu apone

  • @mujawabegayvonne9751
    @mujawabegayvonne9751 Рік тому

    Napokea .

  • @LeaLuvanda
    @LeaLuvanda 7 місяців тому

    Napokea izima umfikie Daniel mdogo wangu

  • @chaggatv818
    @chaggatv818 10 місяців тому

    Mtoto Eliza pokea uponyaji kwa jina la Yesu 🙏🏾

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj 4 місяці тому

    Napokea uzima kwenye mgongo wanga kwajina layesu natamka uzima kwajina layesu

  • @AdiaAssani-cv1iv
    @AdiaAssani-cv1iv Рік тому

    Naomba kilamizigo kwenye kichwa chAngu Leo yesu naomba unituwe

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj 8 місяців тому

    Ameen dadaangu amepokea kwajina layesu

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Namuungamanisha mume wangu Godbless na haya maombi apate uponyaji

  • @ChekanawoMauwa
    @ChekanawoMauwa Рік тому

    Nimepokea uponyaji katika jina la Yesu kristo Amen.

  • @user-Ndashuka001
    @user-Ndashuka001 Рік тому

    AMEN AMEN AMEN

  • @ambasiayona9779
    @ambasiayona9779 Рік тому

    Mtoto Wangu airini pona ktk jina LA yesu. Najiunganisha na maombi haya

  • @lizzymchomvu4723
    @lizzymchomvu4723 2 роки тому

    Nimepokea uponyaji wa vidonda vya tumbo asante ubarikiwee sàan Mungu Kuongezee nguvuu zaidi

  • @AdiaAssani-cv1iv
    @AdiaAssani-cv1iv Рік тому

    Naomba naomba mungu nipone magonywa yakishilikina

  • @marywilson5986
    @marywilson5986 2 роки тому

    Mwanangu amepokea uponyaji kwa jina la yesu kristo,na Mimi nimepokea uponyaji kwa jina la yesu kristo amen

  • @suzzyyank7446
    @suzzyyank7446 2 роки тому

    Hii maombi ieenee kwa dada yangu katika Roho mtakatifu mungu tenda jambo jipya umponye dada yangu jehovah naomba nakuamini
    Amina

  • @shamilla443
    @shamilla443 Рік тому

    Nimepokea uponyaji katika jina kuu la yesu na damu yake takatifu

  • @AlisiaAgostinal
    @AlisiaAgostinal Рік тому

    Mng naomb intendenipone ukimwi 4:35 4:36

  • @floramaomao2382
    @floramaomao2382 Рік тому

    Ubarikiwe na Mungu Mwenye enzi ,kwa huduma nzuri ya maombi.

  • @RehemaYassin-n8t
    @RehemaYassin-n8t Рік тому

    Amen ❤