Utacheka Ufe: Maneno ya mchungaji HANANJA kuhusu tozo, Serikali haina ela, shetani shemeji yako.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Akizungumza katika mahojiano maalum na Gilly Bonny Tv Mchungaji Richard Hananja amesisitiza watanzania kulipa tozo na kodi kwani serikali haina fedha inategemea kodi na michango ya wananchi

КОМЕНТАРІ • 116

  • @didasseveline9013
    @didasseveline9013 2 роки тому +15

    Mchungaji! Kwa miradi Yako ulioanzisha ni lazima utetee hayo unayoyatetea coz unamaslai! Na hakuna mtanzania anaepinga izo tozo! Kinachotukatsha tamaa ni kuona tozo tunatoa,Kodi tunalipa,mikopo inakopwa, lakini hatuoni miradi mipya na hata viraka na viporo vya awamu ya Tano vimeshindikana kukamilika! Inakatisha tamaa Kwa kweli!

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 2 роки тому +1

      Ndugu yangu elewa kitu kimoja wanasiasa na VIONGOZI ni kitu kimoja....wapo tayari kukemea uovu mdogo wanaacha ule mkubwa unaofanya na wakubwa

    • @adammlenzi1546
      @adammlenzi1546 2 роки тому

      We una mipango mzee lzm utetee

    • @pvkanyorota264
      @pvkanyorota264 2 роки тому

      Huyu haelewi

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 Рік тому

      Yani kodi.changizo.tozo.ada.bili.bima.kipaumbele mazao wakati wa mavuno.nk. lkn huyu mtoaji vyote hivyo akiugua Hana mdhamana kama hao wapokeaji. hata mkipanga foleni TRA kulipia Kodi Fulani akija yule mwenye V8 hakai foleni maana mwenye Bomba hapangi foleni.hata akikamatwa anaombwa mheshimiwa Kaa kwenye kiti lkn wewe mzalishaji hata kama gari yako Ina tairi kipara au unadhaniwa kosa utakila makofi mitama uko chini lkn unaambiwa Kaa chini kaachini na makofi juu.wakikuua wanasema chochote na hakuna wa kuwapinga

    • @mage1799
      @mage1799 Рік тому

      Mchg umesahau kwamba Mwigulu alishasema kuwa kutoa kodi ni taka usitake vinginevyo tukimbilie Burundi, leo unasema kuwa amesema anasikiliza maoni ya wadau🤔🤔

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 2 роки тому +2

    We unajipendekeza upewe kz na pesa na serekali Kodi zmekuwa nyingi ndo kilio Cha wananchi

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 2 роки тому +3

    Watu cyo hawataki kulipa kodi, isipokuwa kodi zimezidi kuwa nyingi mno, na viongozi wamekuwa wapigaji sn

  • @hessionmwanguo2021
    @hessionmwanguo2021 Рік тому

    Watu wanachohoji
    1.Double tax
    2.matumiz makubwa

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 2 роки тому

    Mh kwa kweli umepoteza dira,ukandamizaji sio kodi

  • @titomwimbage7798
    @titomwimbage7798 Рік тому

    Hiyo Safi Sana Mchungaji mstaafu,endelea kutoa elimu kwa maslahi ya taifa let.

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri2344 2 роки тому +1

    sio kweli mzee kodi sio tozo,🤣🤣🤣😄

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 2 роки тому +6

    Mpuuzi kweli, kodi ni muhimu sio hizi ambazo zimewafanya wananchi wawe na msongo wa mawazo. Sema ukweli, unaogopa usifungiwe kanisa?

  • @zephanialuangwa618
    @zephanialuangwa618 2 роки тому +2

    Sasa kibanda cha mlinzi kimejengwa kwa mln 11 huoni kwamba ni utafunwaji wahizo kodi na tozo zetu

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 2 роки тому +5

    Tunataka serikali ipunguze gharama za matumizi yake mawazir watumie gari za milioni 30 sio hyo ya gharama kubwa na wapunguze misafara mikubwa

  • @gastonmbilinyi382
    @gastonmbilinyi382 2 роки тому +2

    Kodi sawa. Lakini kodi zinatumiwa vibaya. Hayo ma-V8 karibu kila kiongozi si matumizi sahihi za hizo kodi. Halafu kanuni za kodi zifuatwe. Ni kanuni gani inatumika kukata kodi toka mshahara? Unalipwa unakatwa kodi, mshahara unaingia Benki na unapotoa mshahara wako Benki unakatwa kodi, na ukienda kununulia kitu unakatwa kodi. Akili gani hiyo ya kodi?

  • @meckytossy9160
    @meckytossy9160 2 роки тому +1

    Mtangazj kaishia kushika mic

  • @sylvesterkalagila4459
    @sylvesterkalagila4459 2 роки тому +5

    HAKUNA atakayetujengea nchi hii kama sio sisi wenyewe

    • @lindajohansen9220
      @lindajohansen9220 2 роки тому +1

      Na sio kujenga nchi kwa mitozo ya kipuuzi hivi. ukatwe tozo na kodi kwenye mshahara mmoja ni haki? Uliona wapi na wewe? Au huna ajira unaranda tu mtaani?

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 роки тому +2

    Kama Yesu Kristo alilipa Kodi mbona makanisa hayalipi Kodi,?? Na kipindi cha serkali ya kikwete mlikuja juu baada ya kuwataka mlipe kodi

  • @edphailomwakisole4329
    @edphailomwakisole4329 2 роки тому +2

    Hakuna mtu asiyetaka kulipa kodi kwa kile ulichofanya. Tatizo ni utitiri wa kodi.
    Hata kanisani. Kunapokuwa na utitiri wa sadaka katika ibada ni kikwazo kwa waumini.

  • @sylvesterkalagila4459
    @sylvesterkalagila4459 2 роки тому +2

    Watu waishauri serikali ili kuboresha UBUNIFU wake wa Kodi

  • @nyaminyobwemarwa8233
    @nyaminyobwemarwa8233 Рік тому

    Hongera kwa kutumwa, ila kumbuka huu ulimwengu ni dhambi tupu.

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 роки тому

    Hongera Sana Baba Mchungaji

  • @ntugwamadaha1346
    @ntugwamadaha1346 2 роки тому +3

    Tanzania buana ukisifia ndo unaonekana mzalendo kosoa uone ko mi simshangai mchungaji hapo analinda miladi yake

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 Рік тому +1

    Mwigulu chemba,litimu lake lifungwe tu,anatumia Tozo kuleta wabrazili

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 роки тому +3

    Unaongea ya hovyo hta hvyo vtuovyako vya wtotoytma nivyamchongo w maclahi bnfsi

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Рік тому

    Mchungaji clip yako moja unasema ukristo ni. neno la utani yesu hakuacha ukristo aliacha wanafunzi sasa hapo nakusikia unautaja

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 2 роки тому +2

    HAHAHA hii ndo tz

  • @furahamwakatwila8766
    @furahamwakatwila8766 2 роки тому +1

    Hananja hakuna mtu anabisha kulipa Kodi watu wanaumia Sana Kodi nyingi miradi hakuna kifupi inaingia ktk mifuko yao

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 роки тому +2

    Hakipinga hiyo miradi ya mchugaji maana yake atalipa Kodi mbalimbali

  • @evarimdecoration4256
    @evarimdecoration4256 2 роки тому +1

    Mchungaji maneno yako daah

  • @danielmakunja6235
    @danielmakunja6235 2 роки тому +4

    Hananja kodi inayolipwa ikifanya kazi sawasawa bila kuiujumu kodi hakuna mtu anapinga ila kodi ikilipwa alafu ukasikia Kuna wizi wa pesa apo ndipo panauma pili matumizi ya kodi kwa serikali ni makubwa mnoooo

  • @chellususnkungu4333
    @chellususnkungu4333 2 роки тому +1

    Wewe umeshiba unajipendekeza tu

  • @chundwatobias6672
    @chundwatobias6672 2 роки тому +1

    Wewe Subiri kupewa hela kidogo na waziri wa fedha naona Una njaa

  • @flavianamlingi6374
    @flavianamlingi6374 Рік тому +1

    Kodi ni lazima ila mtu mshahara umekatwa kodi ukiweka benki unakatwa ukimtumia mzazi utakatwa na anayepokea anakatwa kwa hela ipi acheni kuuwa wanyonge mbona mishahara ya wakubwa hawakatwi

  • @georgematahimba5242
    @georgematahimba5242 Рік тому

    Kodi ni msingi wa maendeleo.
    Lakini kodi iangaliwe inalipwaje na kwa watu wenye kiwango gani cha maisha.
    Kodi ni kishawishi cha kumshawishi mtu kufanyakazi.
    Kodi ikimzingira mwanadamu masikini ni kumpa mzigo usiobebeka.
    Ziko njia za kumpunguzia mwananchi kodi
    Ni kutumia rasimali asili za nchi hii.
    Kodi ikizidi ni kero

  • @twendetuishi2316
    @twendetuishi2316 2 роки тому +2

    Nilikuwa nakufatilia Sana lakini kwanzia Leo wewe kumbe ni kichwa cha ........

  • @lindajohansen9220
    @lindajohansen9220 2 роки тому +1

    Mchungaji Amesema amestaafu mapema. Unajua aliona kuna fursa mtaani ya kupata pesa kuliko madhabahuni, akaona aingie mtaani nae asake tonge. Sasa akijiinua kupinga tozo ataumizwa na miradi yake kufungiwa. sasa kama CCM walivyo na ndivyo mchungaji nae alivyo. Hawana huruma na Watanzania, mchungaji kwa ndani moyoni najua anaumia lakini anafunika kombe mwanaharam apite! Tumewaona wengi kama Hawa! Ni Mungu tu atufungue ufahamu wananchi tujitetee wenyewe.

  • @allyflavour8005
    @allyflavour8005 2 роки тому

    Kodi...unaenda kujenga kibanda Cha milioni kuminamoja....zitafutwe namna ya usimamizi mzuri kwenye hizo kodi

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому +2

    Hatukatai ila tunaumizwa na wanao iba

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 Рік тому

    Haha dah
    Hananja asante

  • @paulmgege5988
    @paulmgege5988 2 роки тому

    Watu tunataka kujua BIASHARA MOJA INATOZWA KODI NGAAAPI ?

  • @pholipsam5697
    @pholipsam5697 Рік тому

    Mm naona ungeachana na izo Mambo za Kodi mzee kwakua kwasasa wananchi tulio wengi tunajitambua

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 2 роки тому +2

    Mchungaji maneno yako yamenifurahisha sana .

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 2 роки тому

    Aliyeshiba hamtambui mwenye njaa. Ukishangaa ya Musa unayaona ya firauni. Umesahau ile mikate na samaki ulikula Yesu alinunua wapi. Ile pesa Yesu alilipia Kodi alipata wapi? Yesu alisoma wapi? Pesa ni chanzo cha maovu. Yesu hakuhubiri Kodi . Wa michongo

  • @fjafrica62
    @fjafrica62 2 роки тому +1

    maada hii umejichomeka

  • @husseinkassimu2714
    @husseinkassimu2714 2 роки тому +1

    Tatizo tozo za wawekezaji hatuambiwa

  • @bonfaszakaria7302
    @bonfaszakaria7302 2 роки тому +2

    Mch wewe ongea ukweli
    Watanzania tunalipa kadi lakini matumizi ni mabaya

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 2 роки тому +3

    Shida ni tizo zinalipwa halafu wanakula viongozi

  • @zephanialuangwa618
    @zephanialuangwa618 2 роки тому +2

    Hatukatai kulipa kodi wala kukatwa tozo bali shida nivile baazi ya watumishi wauma tulio wapa zamana yakuzisimamia hizo kodizetu sio waaminifu yaani inauma kuona tuna umia halafu wanufaika ni wachache

  • @asajileshem8235
    @asajileshem8235 Рік тому

    Napenda sana hutuba zaka zinaukweli sana juu ya maisha ya watu Mungu akubariki kwa huduma bara

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 роки тому

    We Mzee Wacha Kuimba Talabu Nawewe Umezeeka Mdomo2 Kwani Tanzania Ni Taifa Langapi Duniani Kwa Vitega Uchumi Kwanza Ulipaswa Utaje Lasilimali Zote Na Asala Zake Ndipo Useme Unachosema Habari Ya Kaisali Walikua Watu Wachache Na Uchumi Wao Uliluusu Kodi Nisawa Lakini Usipitilize Kiwango Kwasababu Taifa Liko Na Vitu Vingi

  • @yohanasport5929
    @yohanasport5929 2 роки тому +1

    Wachungaji mambo mengine hayahitaji biblia wananch wanateseka unataka atasadaka usizione

  • @collinmhema5443
    @collinmhema5443 2 роки тому +1

    Tatzo kodi zaenda matumbo ya watu

  • @valentinemartab7691
    @valentinemartab7691 2 роки тому +1

    Bila shaka wewe una kadi ya chamadola

  • @cheekszebedayo9340
    @cheekszebedayo9340 2 роки тому

    Tatzo je kodi znafanya kilichokusdiwa au znaliwa afu mtu anaambiwa apishe uchunguzi

  • @kenanndonde8021
    @kenanndonde8021 2 роки тому

    Mchungaji upo vizuri sana Kodi ni muhimu kwa maendeleo na ustawi wa watanzania wote bila Kodi hatuwezi kusonga mbele

  • @edgartemu8299
    @edgartemu8299 2 роки тому

    Kodi ni sahihi Ila iyo tozo ndo Tatizo ndugu mchungaji

  • @pvkanyorota264
    @pvkanyorota264 2 роки тому

    Huyu mzee Hananja kuna kitu haelewi kuna Madini mengi nchini mbona huyasemi co kila kitu kikatwe bc kumbe watoto wanasoma bure kiuongo mana tozo zibazidi sasa hiyo bure hp iko wapi.?naye anaongea sn bila breck jamani mmh

  • @josephmassawe161
    @josephmassawe161 Рік тому

    Akamwambia petro nenda baharini rusha ndoano samaki wa kwanza azukae chukua shekeli ulipe kwaajili yetu mwili matayo hakuisahau hii maneno

  • @eliudelias3162
    @eliudelias3162 Рік тому

    Huyu Kawa mtumwa wa SERIKALI hawezi kuongea tena yampasayo kutetea wananchi wake ndio shida ya njaaa na watu ambao tunawaona wanaweza kusema na SERIKALI ikabadili sasa SERIKALI huwalenga na kuwakamata kuwalambisha michuzi akili zinahamia tumboni

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 Рік тому

    Duuh,mchungaji mh....ni huyu.ni hatari.hata maneno yake tu hatari

  • @samwelbaynit180
    @samwelbaynit180 2 роки тому

    huyu sio mchungaji kwanza

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 Рік тому

    Mchungaji, naomba namba yako kwa ushauri binafsi .

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 2 роки тому +1

    Watu wanataka tuwe kama Singapore bila kujua kwamba hao walijitoa sana. Tozo ikiendelea kwa miaka 20 tuatafika mbali sana. Kusimamia, kurekebisha ni muhimu lakini kufuta hapana.

    • @isaacsengunda3099
      @isaacsengunda3099 2 роки тому

      Tozo ikitozwa miaka20 inamaana viongozi wa serikali na na viongozi wa ccm kila mmoja atakua ana miliki ndege yake binafsi,
      Hakuna aliekataa kulipa kodi,lakini ujue kila jambo lazima liwe na kiasi,hii kodi ya mwigulu,inatozwa kupitiliza,miundo mbinu ya kutafuta pesa sio rafiki,na maisha hayapo kama viongozi wa serikali wanavyo yaona,huwezi kununua gari za milioni500 wakati unatakiwa kubana matumizi,serikali imehamia dodoma,lakini mawziri wanalala dar,huo ni upumbavu wa viongozi serikalini,wanatutoza kodi halafu hizo pesa wanazitumia kwa manufaa ya familia zao.

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 2 роки тому

      @@isaacsengunda3099 Mapungufu hurekebishwa, hata magari ya viongozi hubadilishwa, hiyo isizuie jambo letu jema. Mazuri yanayofanyika ni mengi ukifanya utafiti, na tunaweza kufanya makubwa kama tukipendekeza mambo ya kufanya kupitia wawakilishi wetu. Hii ni harambee ya namna yake ambayo Afrika wameanza kuitumia kwa mafanikio, na ni kujitoa na mipango mizuri ndicho kilichowatoa wenzetu huko ulaya na asia.

    • @isaacsengunda3099
      @isaacsengunda3099 2 роки тому

      @@petersilas4234 kwa wanufaika wote na systerm hio,nilazima waunge mkono kwakua kupitia humo nao maisha yao yakua mazuri,kimsingi hakuna anaekataa kulipa,ila kama akili ikiwaza vizuri kumbuka miaka mitano ya magu,halafu rudisha awamu3 ambapo ni miaka30,na aina ya kodi zilizokusanywa,halafu linganisha miaka mitano ya magu na yaliofanyika,kwa sasa uingo ni mwingi,na pesa zinapatikana na zinaliwa na wao wanatunga majina ya huo ukusanyaji,halafu nyienaookota makombo mnawasifia na kuunga mkono upumbavu huo,hivi mimi nikimtumia mama yangu hela kwa sim,nikakatwa huku kuna sababu gani ya yeye kwenda kukatwa huko?
      Lakini chawa mnaita tuko kwenye harambe,na zile hela zinaitwa zimejenga madarasa,lakini zile za uviko nazo zimejenga madarasa,je mchanganuo wake ukoje,na CAG anasema pesa zimepotelea kusiko julikana,magu aliwapa wananchi wepesi wakufanya kazi za kuwapatia kipato,ninyi mebana wananchi kila kona,halafu mnataka tozo kubwa,hio tabia ni mbaya sana kwa viongozi,siku ileile aliosema na kufafanua hizo tozo,watanzania walitoa na ushauri lakini viongozi wakasema waende wakaishi burundi,hio ni akili ya kijinga kuliko hata ya mjinga alikosa shule,,

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 2 роки тому

      @@isaacsengunda3099 Magufuli alifanya sehemu yake, ila pia aliacha deni kubwa ambalo linaendelea kulipwa. Sehemu kubwa ya miradi aliyoianzisha Magufuli inafanyika na kulipwa na serikali ya sasa. Kwa vile serikali ni ileile hakuna shida. Hayo mapungufu ya tozo yatafanyiwa kazi, subiri bunge.Kama tunataka maendeleo ya haraka njia mojawapo ni hiyo. Zitakapoingizwa kwenye sekta ya kilimo tutaona pia mabadiliko makubwa.

  • @berthambijima1423
    @berthambijima1423 Рік тому

    Zimezidi kila pahala

  • @philipoyatawa9268
    @philipoyatawa9268 2 роки тому

    Mwaisa

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 2 роки тому

    Nikweli kodi nimuhimu lkn iwe harali.....!!!!!

  • @saimonmanyerezi7169
    @saimonmanyerezi7169 2 роки тому

    Mchungaji usitetee tozo zimekua nyingi mno.

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 Рік тому

    Mchungaji Hananja Anastahili Udaktari wa Heshima kwa falsafa zake zinazoibua fikra ya kina🤔

  • @amourmaftah258
    @amourmaftah258 Рік тому

    Mi nakuona unamana kumbe we msenge...

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 2 роки тому +2

    Unaongea mno,mtu mzima jamani huoni vibaya,haya bwana mungu anaona,hananja wewe,

    • @mariakibwana3700
      @mariakibwana3700 Рік тому

      Anaongea lkn haongei pumba ujue. Maneno mengi anayoongea yanaukweli ndani yake. Kama una umri mdogo kuliko yeye unapaswa kumuomba radhi na Mungi akubariki.

  • @an57
    @an57 2 роки тому

    Kodi muhimu lkn kiwango kiwe rafiki

  • @peterbangari4273
    @peterbangari4273 Рік тому

    Type andiko la yesu alilipa kodi kitabu Gani?

  • @omaryjudasymwanga7172
    @omaryjudasymwanga7172 Рік тому

    Elewa mkuu kodi ni muhimu ila tunazolipa nizawatu au zinaenda kwenye akiba ya kununua kura zetu badae sisi watanzania tunaendeshwa na mikopo weka wazi acha kunikera mtumishi nitajaongea utumbo ujione upo uchi

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 роки тому

    Mnawaona Mawaziri tu mbona mamea na wakueugenzi nao hamuwaoni? Mamea magari ya fahari wanayatumia kwenda wapi?

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 2 роки тому

    Sio WENGI wanaojielezea na kutaja anatokea kanisa gani

  • @mkaapwekekariakoo6417
    @mkaapwekekariakoo6417 Рік тому

    Muda utazungumza si kitambo

  • @meshackmtewele718
    @meshackmtewele718 2 роки тому

    Hakuna mtu ambae amesema hataki kulipa kod kinacho lalamikiwa nikuongeza kod zingine kwenye miamala ya kibenk Na cm

  • @masaimollel2525
    @masaimollel2525 2 роки тому

    We unatetea miradi yako ndio maana unaongea sana, sema ukweli hapo kama tutakusikia tena au kuendelea kumiliki hiyo miradi yako, Pr wa Mchongo

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 2 роки тому

    SAWA.

  • @josephjosse1465
    @josephjosse1465 Рік тому

    Kwani aliesema sadaka tutoe hela ni nani
    Maana wakina Abraham walitoa mifugo
    Mpaka akataka kumtoa mwanae
    Sasa nani aliesema tutoe hela

    • @imanikalinga6616
      @imanikalinga6616 Рік тому

      Hatukatai kulipa kadi we mshara wa laki 3 kodi mamilion ya waishimiwa free kweli!!!

  • @masaimollel2525
    @masaimollel2525 2 роки тому

    We pia ni Mwana siasa, nilikuwaga nakufatillia ila kuanzia leo ukiona nimefungua vdio yako niite mbwa

  • @adammlenzi1546
    @adammlenzi1546 2 роки тому

    Wewe una mipango mzee lzm utetee

  • @robertkusena4902
    @robertkusena4902 2 роки тому

    Wachungaji kama ww mmmmh.

  • @kasiankillo6949
    @kasiankillo6949 Рік тому

    Mbona maneno yake Kama sio mchungaji, mbona Kama wale wanaotangaza promo mtaani, watanzania tuangalie Sio Kila mtu anaepiga polojo Ni wakumuqmini uyu ananja bule kabisa

  • @paulmgege5988
    @paulmgege5988 2 роки тому

    MNALINDA MASRAI YA MAKAMPUNI KWA KUUMIZA WATU WENU

  • @hamidumweyunge4722
    @hamidumweyunge4722 Рік тому

    Wewe unatumika acha mbwembwe, tuna vyanzo vingi vya kupata pesa sio kubana watu wa chini, wewe unachokifanya unatetea miradi yao

  • @NtanunuraWillsonBaru
    @NtanunuraWillsonBaru 2 роки тому +1

    Watu kama wewe ni wachache lazima wananchi kulipa kodi ni muhimu bira tutawekwa nchi maskini duniani

    • @paschalpaul3862
      @paschalpaul3862 2 роки тому

      Issue ni kwamba yeye anayo miradi isiyo lipa kodi na hivyo yeye Leo analipa tozo tu kwa sababu biashara yake hailipi Kodi, na kwa yule mlipa Kodi hawezi muelewa huyo mchugaji anachoongea, na hivyo NGO zilipe Kodi ili tuwe na usawa hata kwenye tozo

    • @lindajohansen9220
      @lindajohansen9220 2 роки тому

      Mpaka hapo sisi ni masikini wa karibu na mwisho, sasa tuwe masikini mara ngapi?

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 2 роки тому

    5:27 😁🏋️‍♂️

  • @mirumbeihema2589
    @mirumbeihema2589 2 роки тому

    Ila wewe mungu ana kuona

  • @kelvinmtavangu7701
    @kelvinmtavangu7701 2 роки тому

    Rev. Hananja wewe kiboko Yao. Maana kipaji cha uhamadishaji umejaliwa. Asiyekuelewa kuhusu Kodi na tozo basi ajaribu kuliona. Kila mbuzi hula kadiri ya urefu wa lamba yake. Ujanjaujanja hapo.

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 2 роки тому

    Sikweli kwamba serikari haina hera..hatusikii bandar, madini, vimekwenda wapi, mfumo uliopo lila kitu kinalipiwa kodi hadi kiberiti na sindano ya kushonewa nnaona mchungaji unaongea juju sana..

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 2 роки тому

    Tulijua kuna watu mulisha pangwa kutuzuga.ila Sawa tutakutana kwa good.na kawaambie sisi atulalamikii kod.tunapouliza matumizi yake majibu tunayo jibiwa hayana kichwa wala miguu.nyoko kweli 😏😏😏

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri2344 2 роки тому

    Duh ugali jero mboga kwako,Hotel ya vijana wa mchungaji,duhhh,this is total confussion😭😭😭😭

  • @officialwasafijogging7274
    @officialwasafijogging7274 2 роки тому

    Ahahahaha

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 2 роки тому +1

    Huyo Mbwa yupo na chuki na wa Zanzibar hususani waislam hana tofauti na Mbwa mwenzake Lukuvi.

    • @lispamagu5810
      @lispamagu5810 2 роки тому

      Mbwa baba yako

    • @francohaule8057
      @francohaule8057 2 роки тому

      Mtazamo huo sikio halizidi kichwa mguu sio mkono tembelea pua utafika unampenda mkeo vaa Dela lake uende mtaani

  • @remmysanga263
    @remmysanga263 2 роки тому

    😁😂😂😂