Watu wametoka mbali wamepitia maisha magumu jaman ukimuona mtu anakula Raha muache tu astarehe maana hujui alikotoka na Yale aliyoyapitia kama hajakuadithia
Nampenda aunt Salma sana nimekuhurumia story zako Hadi chozi limenitoka Allah akuponye pia kipenz chetu binafsi amenihuzunisha sana nimeumia mno ila Allah yupo na wewe ❤❤❤😢😢
😅😅😮 K k ok k (met in k k (in die die die ( k in. ( k oo die k k k ko k k k kkk km kmko k k k. K( k k k k k of my. K I'm not. Ko k k I k. ( oo is my k account k k k k. K k ok ok oo ko die die no k van. van I. N oder ko den km(lkn. K o die. K(k in ko was k o k was. Moo o o kkok k k ok okok o o die k o ( o so I'm km MO I'm no k
😅😅😮 K k ok k (met in k k (in die die die ( k in. ( k oo die k k k ko k k k kkk km kmko k k k. K( k k k k k of my. K I'm not. Ko k k I k. ( oo is my k account k k k k. K k ok ok oo ko die die no k van. van I. N oder ko den km(lkn. K o die. K(k in ko was k o k was. Moo o o kkok k k ok okok o o die k o ( o so I'm km MO I'm nk
Hongera sana Aunt Salm kwa kupitia makubwa na kuyashindwa. Mtangazaji huwezi kusema makungwi wako wengi wakati migogoro haijaisha kwenye ndoa za watu. Kama tatizo bado lipo makungwi na waje tu kwani walimu na madaktari manesi kazi zinginezo mbona huulizi wamekuwa wengi?
Pole sana ni kweli wanaume wanatamaaa sana ya wanawake licha ya kuwa wameambiwa waoe wake 4 ila wao wanaabudu michipuko zaid ya mia 400 halafu munasema tunachoyo qakat munatudhalilisha hamfati vile mulivoamrishwa ktk dini
Mimi ndiyo maana ndoa ilinishinda kisa zarau unsmvumikia mwanaume wakati wa shida akioata heka anaanza dharau na kumoa mchepuko simu na kashfa juu uwiiiii sasa Nina amani
Pole sana. Ila mume ni stara na maswahaba akifikiwa na mke asubuhi jioni analala na mke wakiulizwa walisema yeye kafa na stara Mimi nikifa jeeh??? Sasa kungwi hapo jifunze
Hakika maisha ya ndoa ni mtihani mgumu ila wataka moyo na uvumilivu mkubwa hivyo siwezi sema kitu kwani imani yangu katika maisha nikwamba mimi kama mimi niliapa na kusema kuwa mwanaume ahangaike ila sitafwatana nae akizunguka akichoka basi atakavuna alicho kipanda ila sitawahi shindana nae muhimu nijipe shughuli kwani kumfikiria mtu sana na nimtu mzima eti tena yeye ni baba tena baba mwenye watoto khaa acha niwatafutie watoto bila stress na kuyafiikiria maisha yangu kuliko kufikiria mtu asie jifikiria hatima yake na hao anao hangaika nao itakuwaje
Mama kungwi pole sana ila hakuna anoishi bila mitihani , na kupasi mitihani yetu ni kuibeba na kuwa wastahamilivu , ndoa zote huandikwa na Mola , na hakuna mwanamme anoibiwa wote huwa wanakwenda wenyewe . Na mwanamme kwenda kuoa sio kwamba wewe una kasoro , haya ya kukuvunjia heshima ndio mabaya .
😂😂😂hapo kwenye kuflash barua jmn nikikumbuka naumia jmn barua ya mpenzi wangu wa kwanza nyieee yangu ilichorwa love na kile kimshale ndani kuna miambili ya noti nikasoma barua yangu nikamaliza nikatumbukiza chooni tena choo cha shimo mlango wa mabati 😅😅😅nyie achen tu
Walikuonea yatakuwa alihonga mahakamani sherea haisemi hivyo ulitakiwa ukate rufaa uende mahakamani ya wilaya kama nyumba alijenga mkiwa wote hawezi kukufukuza
Hata ukimrejesha utakosa watoto wako Ndio uzuri ukae nawatoto upate wajukuu utaishi kwa furaha Hakika mume si uzuri kumpa yote yalokukuta yamenikuta nigependa kukujuwa bi salma
Wanawake wa ilala mashauzi alafu wote wanaolewa siku mbili wanaishia kwenye ukungwi ,nnao hapa ulaya makungwi wote wa ilala magomeni, alafu wote masingle na watoto zao waliolewa miezi sita tuu nyumba zao ukiingia uchafu moto ,uchoyo moto mmmfyuuu kazi kulegeza ulimi tuu waarafu wasioijuia nchi waliotoka ,baada ya kusema watumwa walikua wanaozeshana wadigo eti waarabu
born 1969 and you look this way Maaashaallah mungu amekupenda na umbo. bado unaweza kuwa mke mwema
Ananishinda Mimi wa 88 naonekana mzee wa 45 Siri Ni Nini mamangu
Huyu mama ana roho nzuri yaani beautiful lady inside out. Nimejifunza maisha ni mzunguko apimae ni Mola wetu
pole mwanamke mwenzetu
Pole sana mama kwa mitihani yote uliyopitia. Allah akulinde na akupe Afya njema. Hakika wewe ni wa pepo mama.
Watu wametoka mbali wamepitia maisha magumu jaman ukimuona mtu anakula Raha muache tu astarehe maana hujui alikotoka na Yale aliyoyapitia kama hajakuadithia
Uyu Mama yuko wapi
Kabisaaa
Kungwi uyo ❤ salma super woman, watoto wangu wazuri
Mashallah unaroho yakuvumiliya Mgu akuongezee roho nzuri akype na umri mrefu
Am so inspired by your story.. May Allah bless u always
Kweli uliyosema tusiwapende tuwaonyesha 100% tuwape 50% na50% tuweke hakiba akija mwengine umpende❤❤❤
Wakija watatu je utafanyaje?
Akija wa3 Ile asilimia 50 ya mume wa mwanzo utampa yeye. Mwendo ndo uwo tu.
Kweli usimpende mwanamume kupitiliza utakufa
Hawa wanaume hawaaminiki kbs jmn hataumsaidiajde atakusaliri tuuu pole sana dada
Pole sana Mamakungwi😢😢.Nimeona huruma sana.Wewe ni shupavu sana.Huyo baba ni mchafu sana.Big hugs ❤
Asante mama maisha mapwito ndio dunia na kudumu kwa mume ni mume mwenyewe kama mume utaisha nawe uzuri na sio ukorofi
Nampenda aunt Salma sana nimekuhurumia story zako Hadi chozi limenitoka Allah akuponye pia kipenz chetu binafsi amenihuzunisha sana nimeumia mno ila Allah yupo na wewe ❤❤❤😢😢
😅😅😮 K k ok k (met in k k (in die die die ( k in. ( k oo die k k k ko k k k kkk km kmko k k k. K( k k k k k of my. K I'm not. Ko k k I k. ( oo is my k account k k k k. K k ok ok oo ko die die no k van. van I. N oder ko den km(lkn. K o die. K(k in ko was k o k was. Moo o o kkok k k ok okok o o die k o ( o so I'm km MO I'm no k
😅😅😮 K k ok k (met in k k (in die die die ( k in. ( k oo die k k k ko k k k kkk km kmko k k k. K( k k k k k of my. K I'm not. Ko k k I k. ( oo is my k account k k k k. K k ok ok oo ko die die no k van. van I. N oder ko den km(lkn. K o die. K(k in ko was k o k was. Moo o o kkok k k ok okok o o die k o ( o so I'm km MO I'm nk
Asante aunt mafunzo yameeleweka
Dah, Mama shupavu, nimependa unavyo sema uko kwenye Ibada,hakika umechagua fungu jema na hakika Mungu atakupigania na kikulipia kisasi 🙏
Mama malkia wa nguvu wa ndoa. Nimekuelewa saana mama, wewe ndio kungwi wa ukweli hongera saana bingwa wa maisha.
Yaani mama wewe ni kungwi mpaka Kwa wanaume, wanatakiwa wajifunze kupitia wewe.
Hongera sana Aunt Salm kwa kupitia makubwa na kuyashindwa.
Mtangazaji huwezi kusema makungwi wako wengi wakati migogoro haijaisha kwenye ndoa za watu. Kama tatizo bado lipo makungwi na waje tu kwani walimu na madaktari manesi kazi zinginezo mbona huulizi wamekuwa wengi?
Mama mrembo sana huyu, ivi wanaume sijui munataka nini lakini ¡!!
Mama mrwmbo lakini huwenda akawa na changamoto za ndani ya nyumba, uzuri wa mwanamke sio sura wala umbile bali ni tabia
Nakupenda wewe
Masha Allah tabarakallah napenda sana maelezo yako 🎉🎉🎉
Allah kareem pole mum ndowa zinatufunza
Mi sishangai kabisa mtu akiachwa mara nyingine wanaume ni shida
Ukiachwa shukuru hujui umeepushwa na nini..
Shukran anti salma marshed nakupenda sana❤❤
Asante Kwa ushauri mzuri na pole kwa tabu zote ulizopitia
Imenihuzunisha sana hii stori Kuna watu unajiuliza kwa matendo haya ni binadamu kweli au ni mashetani
Maashallah nimekupenda bure❤
❤❤❤❤❤nakupenda sana mama yangu🎉🎉🎉
Pole sana mamy umeniumiza sana na hii life sorry yako imefanana na yangu
Pole sana @AsilaAlhanjry na Asante kwa kuichagua na kufuatilia Tiki Tv
You are a great woman. God bless you.
AKI WANAUME KUONA MBINGU NI KITENDAWILI.
Ahaasante nimefuraahi sana ukweli usipe moyo wako wote mwanadamu sio mwanamu Wala mwanaamke na lwaahasa duniaa hii.wengi ni taama
Wanaume hawa ni kuwaacha kama walivyo kikubwa uzima
Akikuletea gonjwa la moyo au la uko down ndo utajua kama umuache kama alivyo au ujitaftie amani ya moyo
Mimi nimetupia nyuma ya mgongo na kwasasa nahishi maisha mazuri na wanangu sio kama awake ni livyokuwa na baba yawo
@@oman1oman179 safi sana! Hawa viumbe nikukaa nao kwa umakini sana hakuna kuendekeza upuuzi wao kabisa
nani kakuambia uolewe na mwanaume mwisilamu ilihali mambo haya ni kawaida kwao ulilifaindi mwenyewe!
Kweli hizi ni siku za mwisho jamn
YAANI DADA UMESEMA UKWELI.ILA MIPANGO YA MUNGU NI TOFAUTI NA YA WANADAMU.
Mashallah Tabaraka Allah nakupenda sana kungwi from kenya
Pole mwaya kwa yote, lakini MWENYEZI MUNGU yupo na wewe.
Ndoa zachokesha...wanaume hawaridhiki kabisa. Moyo wangu nusu tu kwa ndoa nalea wanangu...basi
Asalam Alykum,nimekupenda dada ingekua karibu dadangu ningekupa mwanangu amealwa juzi tu
Wanawake musjitoe sana kwa mwanaume faida yake kuzalilishwa😢
Dah huyu mama kagusa sana maisha yangu laiti ninge juwa anapo kaa ninge mfata ili nimuone kwa ufasaha zaidi ili nipate Elimu kubwa kwake
Mtafute insta utapata number yake.
Nmependa na ww umejua kulipiza kisasi vizuri
Mwanamke mzuri hivi jaman.
ZBado Uko vizuri mama unadai unajipenda sana
Yupi apo ND mama kati yenu mbn huyo mweusi ND alistahili shkamoo
Pole sana ni kweli wanaume wanatamaaa sana ya wanawake licha ya kuwa wameambiwa waoe wake 4 ila wao wanaabudu michipuko zaid ya mia 400 halafu munasema tunachoyo qakat munatudhalilisha hamfati vile mulivoamrishwa ktk dini
Masha Allah...ila Pole san kungwi
We mtangazaji kwa sasa kungwi sio lazima aolewe au akuwe mtu mzima,wasichana wa sasa ni wakubwa kuliko mama zao
Uswahili Mtupu,inakuwaje mtu anaolewa ndoa juu ya ndoa Wanawake wa mjini balaa kubwa tena Wakiswahili duuu
Mimi ndiyo maana ndoa ilinishinda kisa zarau unsmvumikia mwanaume wakati wa shida akioata heka anaanza dharau na kumoa mchepuko simu na kashfa juu uwiiiii sasa Nina amani
😂😂😂, mbavu zangu
Mwinyi aliyekuwa na wake wawili ni mpumbavu?
Dunia hii,, naomba no ya uyu mama ata buku tu anywe maji,,nimelia sana
Kweli limume alikuwa mbwa pole.
Pole sana. Ila mume ni stara na maswahaba akifikiwa na mke asubuhi jioni analala na mke wakiulizwa walisema yeye kafa na stara Mimi nikifa jeeh??? Sasa kungwi hapo jifunze
Hakika maisha ya ndoa ni mtihani mgumu ila wataka moyo na uvumilivu mkubwa hivyo siwezi sema kitu kwani imani yangu katika maisha nikwamba mimi kama mimi niliapa na kusema kuwa mwanaume ahangaike ila sitafwatana nae akizunguka akichoka basi atakavuna alicho kipanda ila sitawahi shindana nae muhimu nijipe shughuli kwani kumfikiria mtu sana na nimtu mzima eti tena yeye ni baba tena baba mwenye watoto khaa acha niwatafutie watoto bila stress na kuyafiikiria maisha yangu kuliko kufikiria mtu asie jifikiria hatima yake na hao anao hangaika nao itakuwaje
Mwez ngapiii hio nyusii😊
Mama kungwi pole sana ila hakuna anoishi bila mitihani , na kupasi mitihani yetu ni kuibeba na kuwa wastahamilivu , ndoa zote huandikwa na Mola , na hakuna mwanamme anoibiwa wote huwa wanakwenda wenyewe . Na mwanamme kwenda kuoa sio kwamba wewe una kasoro , haya ya kukuvunjia heshima ndio mabaya .
Unanikumbusha mbal sana mm had Leo nnayapitia ayo mateso
Story tamu hii 😂
Kuna vitu nimejifuza🙏🙏🙏
Na barua nikipewa nasomea chooni hivyo alafu naiflash😅😅😅
Pole sana aunty Salma mimic ni Marian Mbarak Mung u atahukumu Khalid niliwahi kukas kwako ilala na Jamilaalikuwa na wewe
Haina haja kujitia mitandaoni mama wajipaka matope
Tiki Tv umerudi vizuri Sasa msipoe tena
ALLAH AZAWAJAL Atakulinda
Ameen Ya Rabb
Mwandishi anauliza mila za kizaramo kuchezwa ngoma kuvalishwa kanga moja😅😅😅😅😅
mbona mwandishi unamsalimia shikamoo namko sawa tu.
😂😂😂😂
😮😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
Hakuna haki duniani
Mashalaah mwakawetu sote
Dah kapitia maisha magumu sana, anatia imani sana😢😢
Nimekupenda anti salma
Yani umenipa moyo na kujiona hayapo kwangu tu
Usingeomba Taraka utulie tu iyo ndoa mbona haidumu kuomba taraka kwenda mahakama ulikosea ungetulia tuu uone pcha lao mbona ungekubuhu ungekuwa kungwi pambe
Unyago wa kiswahili ndio njia anazopita bi salma.ndio wanavyoita kule pangani Tanga na zanzibar
😂😂😂hapo kwenye kuflash barua jmn nikikumbuka naumia jmn barua ya mpenzi wangu wa kwanza nyieee yangu ilichorwa love na kile kimshale ndani kuna miambili ya noti nikasoma barua yangu nikamaliza nikatumbukiza chooni tena choo cha shimo mlango wa mabati 😅😅😅nyie achen tu
😂 pole na karibu kutoa historia hiyo @zuwenasalim2794 Asante na hongera kwa kuichagua na kuendelea kufuatilia Tiki Tv #KiakiliZaidi
yani wanaume hapana aiseh dah 🙌😭😭
Yaniii wajina wang acha tu wanaume duuuuh ni shida
Asalaam alaykum una undugu na ant saida marshed khamis
Mama fanya utibiwe ,haiwezekani Kwa umri huo ukose matamanio😢😢😢
PIA KUNGU MANGA NI KIUNGO .
Yaani hiyoo story nikama ya kwangu kabisaa
Nakuona mtoto mdogo mh na muislam huhitaji kweli
Mwenyewe mrembo kweli..hata anaonekana wewe dugu yako tu..
Nawaza huyo mama ni shetani kiasi gani na huyo mume Yani ni ibilisi hata sijui nikushauri nn jaman
Utamu kunoga😂😂😊
Naomba namba yake kungwi Salma.
Wanasema pata pesa tuijue tabia yako
Pole dd angu mungu yupo
Sio kuwa kungwi ndo huwachwi hapana kunguru hafugiki
Pole kipenzi changu
Mie nasema kila siku niloyapitia nayajua mwenyewe yamenifanya nimekua sugu mwanaume akizingua tu napiga chini sijali watu nini wataongea
Tena sihisi maumivu sijui kwakua nimeumizwa sana
maskin sasa utapga chini wangapi?😢 pole mwaya jtahd kuvumilia su mana mwanamke ndo huchoka akitumika sana kwa wanaume wengi humkimoi mwanaume
Inaimiza sanaa yaniii tena sanaaa pole kipenz
❤❤❤
Katika story yake katoka mbali mama kungwi
Pole sana kwa mitihani uliyopitia, ila hizo contact lenses zinatisha hazikupendezi kabisa.
Ehhh hatari hiii
Hadi nimelia
Pole saana mama love
Kungwi Salma napenda sauti yako jinsi unavyoongea tu
Walikuonea yatakuwa alihonga mahakamani sherea haisemi hivyo ulitakiwa ukate rufaa uende mahakamani ya wilaya kama nyumba alijenga mkiwa wote hawezi kukufukuza
We naye mtangazaji mbona huna stara.we shanga aujui maana yake?
ila uislamu unaruhusu mwanaume kuongeza muke. sasa fumanizi huwa sielewi
WEWE Mtangazaji mtafute MWANAUME usikilize UPANDE(UBALANCE STORY) wake ,Maana Wanawake mjini wengi siwakweli
Vikuba Zanzibar na tanga ukhty salma ❤❤❤
Hata ukimrejesha utakosa watoto wako
Ndio uzuri ukae nawatoto upate wajukuu utaishi kwa furaha
Hakika mume si uzuri kumpa yote yalokukuta yamenikuta nigependa kukujuwa bi salma
Pole sana dada salma
😂nikweli piga chini wangu
Leta habari bhana,a2pe story kamili.
Kwakweli ww ni kungwi nakupa saluti