MUNGU ATAKUPIGANIA KWA MAADUI WAKO - (SEFANIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 20

  • @humbled696
    @humbled696 Рік тому +3

    Amen

  • @CelebVibe01
    @CelebVibe01 Рік тому +1

    AMINA. Wakristo leo Mungu Ameahidi Kutupatia malisho mazuri. Tutaimba wimbo mpya, tutafurahia, tutasherehekea na tutashangilia kwa maana tumeondolewa vifungo vyote vilivyotufunga na vinavyozuia tuinuliwe na tubarikiwe. Maadui wametutesa kwa sababu tumekuwa pekee yetu lakini kuanzia leo tuko na Simba wa Kabila La Yuda. Akinguruma, Akinena na Akiongea lazima maadui zetu wataramba mchanga. Mungu Ametuhakikisha leo tusiwaogope hao maadui, waganga, wachawi na madevilworshippers kwa maana Anawageuzia vifungo vyote.

  • @bridgetngina6815
    @bridgetngina6815 Рік тому +1

    Hallelujah and Amen Amen..

  • @ruthmakumbi
    @ruthmakumbi Рік тому +1

    Thankyou God lazima uchawi wa kitui mtìtò andei salama utoke katika jina ĺa yesu

  • @freddieg2847
    @freddieg2847 Рік тому +2

    To GOD be the Glory.

  • @CelebVibe01
    @CelebVibe01 Рік тому +1

    AMINA. Wakristo kwa wale walitawanywa Mungu Atatupigania kwa maadui zetu, Atasimama nasi na Ataitwa Mungu Wetu. Kuna watu wanajivuna na wanajiinua lakini Mungu Amesema wamejiinua ya kutosha na ni wakati Wake Wa Kutuinua leo ndivyo Ajitukuze nasi. Tutakuja katika Mlima Wake tukileta sadaka za shukrani lakini wao watafagiliwa wote. Ataondoa watu wabaya wenye vita, mushene na maringo na Atuletee watu wapole na wanyenyekevu. Anahitaji watu watanyenyekea, kumtafuta, kuutafuta Ufalme Wa Mbinguni na wa kukimbilia katika Nyumba Yake na sadaka Akiwatetea.

  • @njerukamau6107
    @njerukamau6107 Рік тому

    Mungu niongezee Imani

  • @CelebVibe01
    @CelebVibe01 Рік тому

    AMINA. Wakristo leo mambo yanabadilika kwa Wema Wa Mungu. Shida, madeni, laana na kifo kinafika mwisho kwa maana Mungu ni Shujaa Anayetuletea ushindi. Akituletea ushindi Hakuji Mikono Mitupu bali ushindi utakuja na uponyaji na baraka zetu na kwa upendo wake Atatujalia furaha mpya. Hatutaaibika tena bali Ataibadilisha aibu yetu kuwa sifa, furaha na shangwe. Chochote kiliibiwa,kilifichwa na kilichukuliwa Mungu Ameahidi Kuturudishia. Atafanya tujulikane na mataifa, watu ambao hawajaokoka na wale walikuwa wanatucheka na kutuongea watatujua leo.

  • @pickman6227
    @pickman6227 Рік тому

    yes mungu apewe sifa

  • @jennifermuli9148
    @jennifermuli9148 Рік тому

    Amen Amen 🙏

  • @Anntele-pd2ke
    @Anntele-pd2ke 9 місяців тому

    Amen 7:22

  • @saum-jv5mi
    @saum-jv5mi Рік тому

    Ameen imewarudie yote

  • @markmugo2766
    @markmugo2766 Рік тому

    Amen

  • @freshiamuthoni5259
    @freshiamuthoni5259 Рік тому

    Amen

  • @jameskimani2806
    @jameskimani2806 Рік тому +1

    Amen

  • @RoselyneGathoni-nl5lf
    @RoselyneGathoni-nl5lf Рік тому

    Amen

  • @GladysChepngeno-h1s
    @GladysChepngeno-h1s 11 місяців тому

    Amen

  • @Anntele-pd2ke
    @Anntele-pd2ke 9 місяців тому

    Amen