AMINA. Wakristo tujipe nguvu leo kwa maana wanaomuamini Mungu hakuna siku watashindwa na shetani. Wakati tutaona kuna mawimbi, vita vimetuinukia na majaribio yamekuwa mengi tujue Mungu Yuko nyuma yetu kwa sababu Yeye Huwa karibu na Watu Wake na Anataka Kujitukuza kwetu. Tumtambue Mungu Wetu na hatutatishwa na chochote kamwe. Wakati tunaona maadui saba mbele yetu Mungu Ameweka Malaika Saba nyuma yetu na ili watushindanie. Tufungue macho yetu ya kiroho na tuone zaidi ya hiyo shida tunayopitia. Hayo maadui wametupangia ni yao, Mungu Anabadilisha njia zao zote. Waganga na wachawi ndio wataondoka, sisi tutaendelea. #IfGODisonyoursidewhocanbeagainstyou#
AMINA. Wakristo tujivunie Jina La Mungu na tumwamini na bila shaka Atatupatia Upako mpya na wale wanatujivunia na uganga na uchawi wao hawatatuweza. Mungu Atatuangazia leo na maadui zetu watakapokuwa wanapanga kutushambulia kabla wafike kwetu watajikwaa wenyewe. Tusifadhaishwe na hayo tunayopitia kwa kuwa tumepata ushindi mkubwa tayari kwa sababu ya Yule Aliyetupenda na kwa vile Alishinda kifo na mauti. Hivyo tunaweza kila kitu hata kile wengine hawajafikia kwani Yeye Hutupa nguvu. Silaha zote zilizoundwa kinyume chetu kutudhuru hazitafaa chochote. Hakuna uganga, uchawi na ulimi wa kuongea kinyume chetu utatushinda.
My Bishop may u live long
Yes yes yes nitashida
Mungu ni mwema
Amen! Amen! If God is for me. Who can be against me? Nobody
Amen Jesus winner ni ya mataifa thank you daddy
Amen eeeeeee a👏🙏
AMINA. Wakristo tujipe nguvu leo kwa maana wanaomuamini Mungu hakuna siku watashindwa na shetani. Wakati tutaona kuna mawimbi, vita vimetuinukia na majaribio yamekuwa mengi tujue Mungu Yuko nyuma yetu kwa sababu Yeye Huwa karibu na Watu Wake na Anataka Kujitukuza kwetu. Tumtambue Mungu Wetu na hatutatishwa na chochote kamwe. Wakati tunaona maadui saba mbele yetu Mungu Ameweka Malaika Saba nyuma yetu na ili watushindanie. Tufungue macho yetu ya kiroho na tuone zaidi ya hiyo shida tunayopitia. Hayo maadui wametupangia ni yao, Mungu Anabadilisha njia zao zote. Waganga na wachawi ndio wataondoka, sisi tutaendelea. #IfGODisonyoursidewhocanbeagainstyou#
Amen
❤❤❤❤ AMEN AMEN AMEN
AMINA. Wakristo tujivunie Jina La Mungu na tumwamini na bila shaka Atatupatia Upako mpya na wale wanatujivunia na uganga na uchawi wao hawatatuweza. Mungu Atatuangazia leo na maadui zetu watakapokuwa wanapanga kutushambulia kabla wafike kwetu watajikwaa wenyewe. Tusifadhaishwe na hayo tunayopitia kwa kuwa tumepata ushindi mkubwa tayari kwa sababu ya Yule Aliyetupenda na kwa vile Alishinda kifo na mauti. Hivyo tunaweza kila kitu hata kile wengine hawajafikia kwani Yeye Hutupa nguvu. Silaha zote zilizoundwa kinyume chetu kutudhuru hazitafaa chochote. Hakuna uganga, uchawi na ulimi wa kuongea kinyume chetu utatushinda.
Amen Amen Amen
amen amen amen
True if God is in ourside who can be against us l love it the word was touching God bless you pastor
Amen!
If God himself is on our side, who else is against us
If God if for me, who can be against me
Halleluya
Mniombee nipate kibali
Mniombee nipate kibali ya kuomba
Muombee ma husband awachane na pombe
Amen amen
Amen
Amen 🙏🙏
Amen
Amen Amen
Amen 🙏
Amen
AMEN
Amen 🙏
Amen
Amen