AMINA. Wakristo kuna mambo mengine tunaweza kuwa tunangojea na tuone kana kwamba Mungu Amekawia, Amesahau ama Amechelewa lakini ni Kututayarisha Anatutayarisha. Tujue kitu kizuri kina thamana na chochote cha thamana kinangojewa. Wakati Mungu Anakuhitaji Anaweza fanya lolote na wakati Amesema ni wewe Atainua hakuna kitu kitazuia. Tuendelee kumngojea Mungu na tukae vile Anataka kwa sababu wakati Wake unakaribia. Tukitayarishwa tukubali kutayarishwa na wakati ukifika hakuna kitu kitazuia. Sisi kumpenda Mungu tunampenda, kusimama na Mungu tunasimama na kukuja tumekuja JWM. Baada ya kukuja kwa Madhabahu kile sasa tunahitaji ni kibali cha Mungu ili tukubalike mbele ya watu.
Asante yesu kwa kunitendea...Bibi yangu keziah alihudumiwa Sunday mtoto akiwa mgonjwa roho na sahii amepona.....asante yesu🙏🙏🙏😭😭
Jehovah winner 🙏🙏
Thank you daddy for praying for us in the diaspora we honour the anointing, we love JESUS winner ministry
Manze sio rahisi but kwa haya maombi mungu anazidi kutupigania🙏
Nashukuru mungu kwa kusimama na mimi kila wakati 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Nashukuru Mungu wa Jesus Winner ana ongeza kibali na pia nashukuru kwa sababu wakati kama huu ninahitajika.
Amen and Amen groly be to God for God remember me in this altar. As iam here in gulf I will always stand with this altar.
Ombea maisha yangu maroho baya iniwachilie
Groly and honour be to God, for this powerful gospel,,may almighty bless me yo stand with this altar....
Amen and Amen thanks pastor Elivis for a powerful gospel
Thank you Jesus for your mercy and love thank you Amen
Indeed God has a wonderful plan for all who seeks Him
Amen wakati kama huu nehema na kibali
Nashukuru mungu Kwa kibali yake kwangu .ombea my son n vita kwangu zifike mwisho
Nashukuru mungu kwa kunitetea na ulinzi wake amen
Amen
Nashukuru Mungu wa Jesus winner wakati Huu Na mhitaji sana ..
Wooow I love this revelation. This my word.
Kibali ya Mungu ndio nataka
Listening
Powerful word....lakini sauti inapotea at 30 min