@@FatumaMuya-w5hHakuna ndoa ni uzinzi tuu sheria inafaa kwa mwanaume kuoa watu wa kitabu lkn sio hawa wakiristo wa sasa wenye utatu ila mwanamke kuolewa na asie kua muislam ni kinyume na sheria na dini yetu ALLAH atuongoze ktk njia ilio nyooka kwa sote 🤲
Hongera sana amina ukiona kitu kimekushinda ondoka mapema wanaweke wengi wanakufa kwa kung'ang'ania ndoa ya mateso kuogopa wstu watasema nn
kulikua kuna haja gani ya kupost kwenye mitandao!!!!!!!
Ukooo mzito huuu
Kwaiyò walikuwa dini tofauti😮
Hapana huyu Amina alibadilisha dini kimfata mume ukristo na wakafunga ndoa , hivyo kashasema amerudi Tena kwa dini yake ,uislam
@@mariamkibindo1741 Anafanya dini ya kiuslam kama sokoni anaenda na kurudi vile anavyojiskia
@mariamkibindo1741 kumbe
Sasa ndoa iyo ilikua ndoa gani ya muislam na mkiristo😊
Uislamu upi uwo
Familia ina hekaheka hiii😂😂😂
Miak 16 ya ndowa sio jamb mdogo
😂😂😂
Ndio maisha ya Tanganyika ety njiwa ana muowa kunguru huwoni km shida 😂
😂😂😂😂 ndoa imevunjika vipande vipande
Sawa mwaka mpya ndoa nyingi tu zitavunjika
Ndoa walikua wanazini
Mbona majina ya wahusika yanatofautiana mimi sioni tatizo kudai talaka tatizo nikuionyesha
Mbona wakiwa chumbani Hawa tu postii vinavyo fanyika uko ndani pumbavu zao kila kitu mtandao tu
Idadi ya mishangazi inaongezeka
Bado kombolera inaendelea au
Ipo hâta leo
Mwanamke Muslim ataolewaje na mkiristo
Mbona wanaolewa wengi tu
@@FatumaMuya-w5hHakuna ndoa ni uzinzi tuu sheria inafaa kwa mwanaume kuoa watu wa kitabu lkn sio hawa wakiristo wa sasa wenye utatu ila mwanamke kuolewa na asie kua muislam ni kinyume na sheria na dini yetu ALLAH atuongoze ktk njia ilio nyooka kwa sote 🤲
Nitafute mie nikuoe
Upumbavu mtupu