MKE WA DAVI WA HUBA ATOA TANGAZO BAADA YA NDOA YAO NA DAVI WA HUBA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 43

  • @Hot_rod-lies
    @Hot_rod-lies 7 днів тому +1

    Mashaa Allah ajuwa kuchangu kaka hongira mungu awapea masikizano muzidi furaha amin

  • @Hot_rod-lies
    @Hot_rod-lies 7 днів тому +1

    Sio kweli tema hampate hata ukucha wake huyo dada kalilika and heshima telia beautiful tabarakallah 🌹 good

  • @Joshuadiamond-t2m
    @Joshuadiamond-t2m 2 дні тому

    mashalah dev popote alipo amepata chombo

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 6 днів тому +2

    Ats yeye mwenyewe mzuli mashallah

  • @hasansananamaswa1989
    @hasansananamaswa1989 17 годин тому

    I wish wangeoana na tima walipendeza wee.

  • @ZinabAlzinab
    @ZinabAlzinab 8 днів тому +3

    Manshllah mke amejitri vazi la kislam

  • @ZulfaYussuf-b1r
    @ZulfaYussuf-b1r 9 днів тому +3

    Mzuri mashallah tena yupo natural hana mbambamba

  • @ShalomStational
    @ShalomStational День тому

    Mbona Ana uzuri wa kawaida tu

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt 8 днів тому +1

    Mashallh amejistir vakutosha, inshallah aendelee kujistir hivihvi

  • @christinenere4696
    @christinenere4696 9 днів тому +4

    Tena hana make-up yuko fresh 😍

  • @MwanaMwana-f8f
    @MwanaMwana-f8f 8 днів тому +5

    Alipendezana na tima sana ❤

  • @ShalomStational
    @ShalomStational День тому

    Ameiposti ya nini sasa, mhhh mbona kawaida tu sana

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 8 днів тому

    Mungu akupe maisha marefu inshaalla❤❤

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt 8 днів тому +1

    Mashallh mashallh tabarakal

  • @user-be9zj6fw1c
    @user-be9zj6fw1c 9 днів тому +6

    Lkn hamfiki tima ❤❤❤

    • @Mrszizo-d7t
      @Mrszizo-d7t 8 днів тому

      @@user-be9zj6fw1c Haaaa jmn huoni vizur au ni wivu huyo tima wako haingii apo

    • @MwanaMwana-f8f
      @MwanaMwana-f8f 8 днів тому +1

      Kabsaa walipendezana

    • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
      @salmatuleteesehem71jmnmahm59 8 днів тому

      Acheni uongo huyo tima amfikii ht robo uyo dada uo ni wivu tena yupo nature sio huyo tima wenu kila kitu fake kuanzia nywele kope makucha hongera sana devi kwa kupata mke mwenye maadili km huyo sio hao watembea uchi na manywele yao ya bandia

    • @Mrszizo-d7t
      @Mrszizo-d7t 7 днів тому +1

      @salmatuleteesehem71jmnmahm59 💯✅😂❤❤❤ Bora sioni pekeangu

    • @user-be9zj6fw1c
      @user-be9zj6fw1c 7 днів тому

      @Mrszizo-d7t Kumbe tuko wengi 🤣🤣🤣🤣

  • @ramlajeffah9831
    @ramlajeffah9831 4 дні тому

    Asante somu iproud of yuo also sipendi pia mitandaoni na kujipost pia ni haram somu yangu ❤

  • @KamisaRamdan
    @KamisaRamdan 9 днів тому

    Usibadilike mana duniani tunapia vizuri sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @shabanisafi
    @shabanisafi 6 днів тому +1

    Tima ndo ameendana naye

  • @Mrszizo-d7t
    @Mrszizo-d7t 9 днів тому +1

    Maashaallah❤❤

  • @OmanwafiWafi
    @OmanwafiWafi 9 днів тому

    Mashaallah ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @salmakiti1517
    @salmakiti1517 3 дні тому

    Binadamu kweli watamtafuta mpaka wamjuwe na watamkosowa ila ni mrembo❤❤ kila la kheri kwenye ndoa yako

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 8 днів тому +1

    Mmh kwa macho yangu kawaida tu au vile nakutana na warembo huku nilipo

  • @jacksonkegoro3619
    @jacksonkegoro3619 4 дні тому

    Hana uzuri wowote Tina ndio kiboko yao

  • @Sharifajafari-ys6gx
    @Sharifajafari-ys6gx 8 днів тому +1

    Ao ndo wasomali bana wasikudanganye kama una weza chuma tembea usitegemee ndoa kwao

  • @StephanoCharles-d3v
    @StephanoCharles-d3v 8 днів тому

    Tima ndo wanaendana

  • @angelrichard899
    @angelrichard899 9 днів тому +7

    MUNGU Awatangulie ila apunguze mbwembwe....

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 9 днів тому

    Maansha Allah

  • @CharifaRachidi
    @CharifaRachidi 9 днів тому +5

    Nani kumuona abbi apo

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 9 днів тому +4

    Kila laheri kwenye ndoa yenu

  • @ZinabAlzinab
    @ZinabAlzinab 8 днів тому

    Sio kaja na Paula kutembea uchi

  • @munam7104
    @munam7104 8 днів тому

    Kwanza hivyo anavyo ongea kiengereza ndio ata tukanwa kabisaa hawana jema hao

  • @saidaramadhan3481
    @saidaramadhan3481 8 днів тому

    Msaudia huyo

  • @BimkubwaMohamed
    @BimkubwaMohamed 9 днів тому +1

    Mbona kafafanana na rushayna

    • @sophiamziray
      @sophiamziray 8 днів тому

      @@BimkubwaMohamed kweli wamefanana

  • @ZulfaYussuf-b1r
    @ZulfaYussuf-b1r 9 днів тому +3

    Naomba Instagram account ya huyu mtangazaji nipate kumuona cmjuw naskia sauti tu jmn 🤔