STAMINA SHORWEBWENZI FEAT THE MAFIK - NIONYESHE (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 620

  • @StaminaShorwebwenzi
    @StaminaShorwebwenzi  Місяць тому +209

    ALBUM YA MSANII BORA WA HIP HOP SASA INAPATIKANA KWENYE DIGITAL PLATFORMS ZOTE BONYEZA bfan.link/MsaniiBORAwaHIPhop Kusikiliza

    • @Be_og25
      @Be_og25 Місяць тому +6

      @@StaminaShorwebwenzi brother

    • @Young-Valentin
      @Young-Valentin Місяць тому +3

      UA-cam iko kwenye jina gani kk tuambie

    • @Chief-v1l
      @Chief-v1l Місяць тому +3

      +254 kali sna best always

    • @shedrackfungo1329
      @shedrackfungo1329 Місяць тому +2

      NAMKUBALI sana stamin nawish nionge nae hat Kwa lob saa anisaidie jambo Moja Kwan najua huyo ni TICHA wavijanaaa

    • @DubwanaTech1
      @DubwanaTech1 Місяць тому +2

      100%

  • @DeoCosmas68
    @DeoCosmas68 Місяць тому +23

    sauti ya bosco tone imenifanya nirudiee wimbo mara 10 ❤‍🔥🔥🔥

  • @KelvinMakasi
    @KelvinMakasi Місяць тому +58

    Me hata sio wa kwanza ila namkubali kinoma stamina naombeni like 5

  • @oscarmamboleo8756
    @oscarmamboleo8756 Місяць тому +62

    Hiingoma special for first born only. Kama wewe unategemewa kwenu, na umesikiliza hiligoma mara mbilimbili gonga like

  • @chibunews5642
    @chibunews5642 Місяць тому +65

    Nyimbo za stamina tunaomba ziwe na dakika 20 maana hizi dakika 4 zinaisha ikiwa mwamba hajamaliza mistari. Au ziwe na part 2

  • @KingBOYZofficiel
    @KingBOYZofficiel Місяць тому +27

    Wa kwanza in DRC 🇨🇩, Stamina naomba mauwa yangu hapa

  • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
    @DekelvaSoujaboy-mb8ps Місяць тому +16

    Hauna kazi mbovu Ngoma kali Sana tuliku miss sana from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn Місяць тому +8

    Nyie watoto wadogo sikilizeni shaili hizi yani zime andikwa kweli kweli. stamina miaka booook

  • @farijjmohammed7723
    @farijjmohammed7723 Місяць тому +13

    sikuamini wagefanya vizuri kiasi hiki wanangu MAFIK

  • @allyalvine1864
    @allyalvine1864 Місяць тому +32

    Watanzania jamani jaribu kuonyesha upendo kwa kaka yetu kwa kumpa subscription kibao.Nawasihi sana tafadhali usipite bila kuongezea subscription yako mpya.Maulana awabariki sana❤

  • @CLAM_VEVO255
    @CLAM_VEVO255 Місяць тому +194

    Oya Waku Vevo Na comment wapi like🎉🎉🎉

  • @Panya_Msela
    @Panya_Msela Місяць тому +10

    Oyaa Umeua Mwanangu Umenikumbusha mbali sana Enzi Za Kabwela 🔥 🔥 Nipe Beat Chorus Nipige remix Kaka

  • @lawrencemlanda7327
    @lawrencemlanda7327 26 днів тому +2

    Kweli kesho bora ilitegezwa Jana... Big ❤ broo

  • @4LifeBembe-pd8lf
    @4LifeBembe-pd8lf Місяць тому +4

    Wakwanza apa uganda 🇺🇬 camp baba naomba like zangu big up kweli MAY GOSH BLESS YOU LOFS MY KING STAR RAP

  • @SamwelPandege-d9v
    @SamwelPandege-d9v Місяць тому +4

    Ngoma Kali sanaa Nakukubali sana toka Mozambique

  • @HASSANMWINYI-n4u
    @HASSANMWINYI-n4u Місяць тому +9

    Ungelimuachiaa hamadai atoe maneno maili kidogo

  • @yatbonanzarofficial107
    @yatbonanzarofficial107 Місяць тому +10

    Mkali stamina mnipe like zake Yatbonanzar from Kenya 🇰🇪

  • @Enemyofallah-y4u
    @Enemyofallah-y4u Місяць тому +2

    Yesu ndie njia ya kweli na uzima baba Mungu kasha tuonyesha njia zamani

  • @NdejeMwahunga
    @NdejeMwahunga Місяць тому +3

    Niko kenya kilifi# mchonyii king napenda kazi zako

  • @IsmailyMaulidi
    @IsmailyMaulidi Місяць тому +2

    Stamina haujawhi kua na kazi mbovu unatulia unatupa vitu vyenye viko kwa maisha yetu sanaaa inaelimisha

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 Місяць тому +5

    Nyimbo safi sana nimeikubali mara 💯💯

  • @osiahstimah
    @osiahstimah Місяць тому +11

    Ngoma kali na inafundisha kuomba ila The Mafik wameua❤❤❤

  • @buja_fleva
    @buja_fleva Місяць тому +12

    STAMINA kama STAMINA
    BURUNDI tuko pamoja nawe 💚❤🇧🇮

  • @babazizu1255
    @babazizu1255 11 днів тому

    Wanyumbani ww kwa ss ndyo umeibeba Moro ila .....Kuna nyumbo Yako Ile ya love me ulivyotaja Hom Kinole Wallah Nimekuoa Big Up Wakwe2....!!!

  • @ilelados4129
    @ilelados4129 22 дні тому +1

    Aise stamina mnyama sana tena mbwa mwitu kbx afu the mafik iyo sauti ya Kijana mweusi bosco tones kauwa xna🫡

  • @skmovies-m8f
    @skmovies-m8f Місяць тому +9

    KAMA UNAMINI MUNGU NIMUWEZA WA YOTE USIPE BILA KU LIKE MUNGU AKUJALIE ULIE SOMA COMMENT HII AMEN

  • @StørmMc-kßG
    @StørmMc-kßG Місяць тому +4

    Mr comment 🇹🇿 hip hop itadumu milele heshema kwa mashujaa walio kula kiapo kupeperusha bendera ya hip hop ✌️✌️✌️✌️✌️

  • @bacarnajumo2786
    @bacarnajumo2786 Місяць тому +1

    Baba hii imeenda kabisa respect sana. 💪💪💪👍👍💣💣💣

  • @Salimtupharuwa
    @Salimtupharuwa Місяць тому +2

    All the way From 🇰🇪🇰🇪 Nakubali mwamba wangu nakuchek na nakutazama .. Nasema hivi kama we ni fans wa stamina kama mimi...Weka alama ya kidole hapa.....One love 🙏🙏 stamin god blessed you

  • @Kegusu
    @Kegusu Місяць тому +13

    From Kenya 🇰🇪 . STAMINA is the best aki hiphop artist in East and Central Africa.

  • @MrRam-aj
    @MrRam-aj Місяць тому +2

    STAMINA MY BEST ARTIST OF ALL SEASONS. LETE NUMBER TUTUME ZA MAFUTA YA GARI UZIDI KUFANYA SHOO❤❤❤❤❤

  • @UsingiziBoy-ki4ee
    @UsingiziBoy-ki4ee Місяць тому +4

    Shonwebwenzi lapa rora wangu wa muda wote💪💪💪

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 Місяць тому +4

    The best hip hop for all time. Emoji za 🔥 poa kama uko team stamina 🔥🔥🔥🔥🫡

  • @JavasonZion
    @JavasonZion Місяць тому +3

    Very strong prayers Stamina🙏🙏🙏🙏🙏baba atuonesge walai

  • @lastzero5408
    @lastzero5408 Місяць тому +4

    M2 mfupi katka burudani big up rapper stamina nakukubal sana 🤞🤞🤞💥

  • @Be_og25
    @Be_og25 Місяць тому +3

    Nakupata sana kaka noma sana hujawahi kupelea

  • @Richardlaisi
    @Richardlaisi Місяць тому +1

    Much love from Kenya 🇰🇪 huyu jamaa na Profesa J nyimbo zao zina Elimu mingi ya kimaisha napenda sana.

  • @professordanny-d2r
    @professordanny-d2r Місяць тому +3

    Mkali wa michano stamina. Like kwake🙌

  • @CkLuna-d9f
    @CkLuna-d9f Місяць тому +10

    Hii Nyimbo Imenigusa Kwa kweli

  • @HamisiChonile
    @HamisiChonile 15 днів тому

    Respect kijana wa home town, hakika anajua anajuatu.Mwamba unajua

  • @TitoNyiti-l3v
    @TitoNyiti-l3v Місяць тому +4

    Mkuu nasubiri album sjalala n wew tu mkal wang 🔥🔥

  • @nedytheboy5579
    @nedytheboy5579 Місяць тому

    nlikwambia kwamba wewee ni star mkubwa since day one msimamo wangu n uleule umetsha dear bigup sanaaa

  • @farlykunga8599
    @farlykunga8599 Місяць тому +1

    Ngoma zako..ni Elimu tosha kwetu sisi tuliojaliw kukifahau kiswahili... Ila badilika kdg ..baadh ya ngom zak temaga yai home boy..Ili Dunia ielewe mistari yako iwe ujumbe kwa dunia na Africa nzima..Ninwazo langu tu..jaribu iyo..ata kdg.🎉

  • @emanueldunia0014
    @emanueldunia0014 Місяць тому +3

    You are The Real G.O.A.T kmk 🙌🙌🙌 Keep influence us bro

  • @Ashibutz
    @Ashibutz Місяць тому +1

    Mungu wajaalie walioko kwenye vifusi inshaallah

  • @JanvierLwango
    @JanvierLwango Місяць тому +1

    Kazi zinagawa sana grand. Nasubiri kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ZakariaSimiyu-us1kj
    @ZakariaSimiyu-us1kj Місяць тому +1

    God I believe you have mercy sina kingine nachotaka zaidi ya blessings

  • @AlphonceAbruno
    @AlphonceAbruno Місяць тому +15

    Ivi hizo like huwa mnafanyia nn.coz kila mtu.anaomba like

  • @johnbupimali5019
    @johnbupimali5019 Місяць тому +2

    Jamaa kaitengeneza hii nyimbo kwa akili hakuna aliyeimba😂😂😂 maua yake tafadhali 🎉🎉

  • @Warrior_soccer1
    @Warrior_soccer1 Місяць тому +6

    Kesho bora inatengenezwa na Jana
    Unajuwa San bro
    I’m the biggest fan from the USA 🇺🇸
    Likes nying pls Kama unamkubali Stamina

  • @YoungBoyYoungBoyOfficiel
    @YoungBoyYoungBoyOfficiel Місяць тому +1

    Kitoko makasi yaya stami

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE Місяць тому +4

    Mafik wanajua sana ila napenda mwasauti wangu HAMADAI❤️,

  • @DaltoneWhite
    @DaltoneWhite Місяць тому +1

    God I beleive you have mercy🙏🚀💯

  • @leconse
    @leconse Місяць тому +2

    Kazi zako ziku zote ni nzuri na kubwa. I like it From DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @josephmsafiri6476
    @josephmsafiri6476 Місяць тому +5

    Mi Leo Wa kwanza nipeni like kama Unamkubali stamina

  • @FranceSimbeye-ey6nb
    @FranceSimbeye-ey6nb Місяць тому +2

    Ukinichukua mama na mwanangu nani atawalea😢😢😢 hit song 💥

  • @Esavery
    @Esavery Місяць тому +5

    Is Moro town🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lobby2588
    @lobby2588 Місяць тому +1

    Oya mngu baba nionyeshe (lobby music 🎵)

  • @FranceJickson-nk8bn
    @FranceJickson-nk8bn Місяць тому +2

    Chikaliii ichiiii🎉🎉🎉🎉

  • @user-sv1power1p
    @user-sv1power1p Місяць тому +3

    Wamejokoza !!!❤ Gonga like apo from🇨🇩🇨🇩🇨🇩 moto🔥🔥🔥

  • @doyenboi
    @doyenboi Місяць тому +1

    Bosco angeoneza ktu bro..... Kama amekosea (respect) ... Msamehe bro
    Kisha.... Mpe nafac... Anakitu kwenye hii combo

  • @HaleCharles-l4c
    @HaleCharles-l4c Місяць тому +1

    Guys team stamina niwaone kwa wingi hapa❤❤❤

  • @Bhilago_comeddy
    @Bhilago_comeddy Місяць тому +2

    Good work Mr shorwebwebwenzi

  • @lyttonlazur7074
    @lyttonlazur7074 Місяць тому +1

    International accepted,,,,,salute Mr Stamina

  • @KareemFM
    @KareemFM Місяць тому

    Nyimbo zemesha fika Uganda 🇺🇬

  • @mjumbeke5943
    @mjumbeke5943 Місяць тому +1

    aliko Roma mambo yako sawa,ebu wakenya mnipe like tukisonga

  • @kautipe2011
    @kautipe2011 Місяць тому +3

    This isn't just a song, but a prayer of many men who struggle for their families,One love Bonaventure

  • @ericmato9
    @ericmato9 Місяць тому

    Bro hujawahi kunifanya niache kusikiliza ngoma zako. I love it.

  • @JacksonKathurima-fs3su
    @JacksonKathurima-fs3su Місяць тому

    stamina hip-hop man best of the best songs new nauli sema utatoa ndoio fresh kbs mm Apa zabiki yako ya Malindi Town Rd

  • @pacojr9441
    @pacojr9441 Місяць тому +2

    You did it again....never disappoints 💪🏾

  • @adonis9664
    @adonis9664 Місяць тому +1

    Kichwa sana huyu mwamba. 🙌

  • @SantosCastroLaine
    @SantosCastroLaine Місяць тому +2

    Noma sana stamina

  • @LukaLameck
    @LukaLameck 2 години тому

    Ila Stamina we ni mfalme wa Hip hop

  • @PatientMujigito-xs4cr
    @PatientMujigito-xs4cr Місяць тому +1

    I admire your music...your flows are exquisite 🔥💯💯💯🇿🇦

  • @DeodatusPhabian
    @DeodatusPhabian Місяць тому

    Kwakweli yesu anakaribia kurudi. Tusali na kutubu. Kama kwaya ndio hizi Yesu atuhurumie Tz.

  • @AFRO-io5qp
    @AFRO-io5qp Місяць тому +3

    Courage vraiment 🔥🇨🇩

  • @HerveboyOfficial25
    @HerveboyOfficial25 Місяць тому +1

    Stamina You m'y young star for me🙏🙏🙏🇨🇩💜

  • @OctavianMakoye-vl7qx
    @OctavianMakoye-vl7qx Місяць тому

    Umeua bro.... this song special dedication to me 😢home nategemewa na hustle bado

  • @carlivian
    @carlivian Місяць тому +3

    Nomaa sanaaa🔥🔥💯❤️

  • @bonfacetumain2524
    @bonfacetumain2524 Місяць тому

    Stamina always has music that makes you think so hard about life. That's a good one bruh

  • @yusuphmyinga
    @yusuphmyinga Місяць тому

    Ngoma kalii mistarii kuntu corus ndo usiseme 🎉🎉🎉the mafik 🔥🔥🔥 wameuwa sanaaa

  • @Wanjebayaz
    @Wanjebayaz Місяць тому +3

    Nionyeshe mungu baba🙏🙏🙏

  • @bikowest-255
    @bikowest-255 Місяць тому +6

    Wamemchokoza tena naomba like 15 tu

  • @ChancyMayuni
    @ChancyMayuni 25 днів тому

    Kama unaakili timamu usisahau kumuomba mung stamin moto broo❤❤❤❤

  • @YusuphSeiph-t1p
    @YusuphSeiph-t1p Місяць тому +1

    My brother stamina wewe ni mwamba zaidi ya hao

  • @afterx3172
    @afterx3172 Місяць тому +1

    Honestly hii track imenigusa sana. bless up bro keep did what u blessed

  • @OlivierLocky
    @OlivierLocky Місяць тому

    Bosco tones take ur flowers 🌹🌹🌹

  • @babagloria5801
    @babagloria5801 Місяць тому +1

    Wasani ndo naruhisiwa kukaa kanisani na kofia

  • @BaPrincess-k8m
    @BaPrincess-k8m Місяць тому +1

    Kali sanaa ngoma

  • @RogersSanio
    @RogersSanio Місяць тому

    Sikuzote unafanyaga KAZI nzuri stamana💪👌

  • @huddahmunny5001
    @huddahmunny5001 Місяць тому +1

    Waiting

  • @Masharikimedia
    @Masharikimedia 4 дні тому

    🇰🇪🇰🇪 Nakupa golden buzzer

  • @alvesfredy
    @alvesfredy Місяць тому +1

    Mwamba kwenye ubora wako mungu akujalie sana...?
    Nakunbali sana

  • @brymoh0422
    @brymoh0422 Місяць тому

    Msanii bora wa hiphop East Africa

  • @fabelwere998
    @fabelwere998 Місяць тому +3

    Fast kutoka Kenya wpi like zagu

  • @kelvinnjoroge2268
    @kelvinnjoroge2268 Місяць тому +1

    Akili mingi hapa...mob love from Kenya .. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MushondwaChristophe
    @MushondwaChristophe Місяць тому +1

    Natamani Siku mina niku tane nawe mkali wangu stamina wendo ume nifanya niwe Rapa bora Japo hatuja wai Ku onana Ila naimani iposiku tuta kutana mwamba wangu

  • @MeshakiYohana-x6d
    @MeshakiYohana-x6d Місяць тому

    Stamina no 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 aiiiiiseeer

  • @gabrielchaba
    @gabrielchaba Місяць тому

    🎉🎉🎉🎉🎉 stamina mi nandoto lazima Nije nifanyee kazi na wewe kaka mkubwa mi naimba gospel

  • @BrightoneAyubu
    @BrightoneAyubu Місяць тому +1

    Level up Idea of this song🔥🔥