MBWADUKE: DUH! CHAMA KWA REKODI HIZI BADO MOTO SANA/ MASHUTI, MABAO, ASSISTS/ KI, PACOME, MAXI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-coment na ku-like...

КОМЕНТАРІ • 10

  • @allysandah-oi2zz
    @allysandah-oi2zz 6 днів тому +3

    kiongoz kwel unapambana hujalala mpk muda huu.... kongole kwako 🔥🔥🔥

  • @AishaMohammed-v8o
    @AishaMohammed-v8o 6 днів тому +1

    Nomaaaa sanaaa😂😂😂😂

  • @HalimaMwambepo
    @HalimaMwambepo 2 дні тому

    Safi sana nimependa uchambuzi wako na nimeelewa vizur

  • @saidially5892
    @saidially5892 6 днів тому +2

    Kwa bahati mbaya sana.
    Watanzania hawavutiwi na
    Uchambuzi wa kisomi kama huuuu,,,,
    😂😂😂😂

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 5 днів тому

    Mwamba mwenye takwimu zake

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 6 днів тому +2

    Hii record alitengenezewa na baraka za simba acha tuone kama baraka zitamfuata itategemea na maovu alioyafanya meisho

    • @barakawabuge5285
      @barakawabuge5285 6 днів тому +1

      😂😂😂Hivo aziz anatengenezewa na baraka za Yanga?

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 5 днів тому

      Pole kaka Dunduka basi wapeni baraka Fungafunga na Jobe

  • @salehestambul5535
    @salehestambul5535 6 днів тому +1

    Nasikitika watu wanakurupuka tu kama manyumbu na kudai Chama abiria tu Huwa haisaidii timu kiulinzi. Waje huku Kwa Mwanduke wajionee takwimu. Safi sana bro kumuanalyase mchezaji nimpendae na nimeamia nae Yanga.

  • @josephatilunde9329
    @josephatilunde9329 6 днів тому +2

    Mashabiki maandazi wanasema bora aondoke kwa sababu alikuwa anaihujumu Simba.😂😂 hatari sana