Professor Jay, Black Rhyno, DonKoli, Mr Teacher & Simple X - KAZA (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2019
- #Kaza #HauleFamily #Tanzania
Haule Family Presents:
Kaza by Professor Jay, Black Rhyno, DonKoli, Mr Teacher & Simple X (C) 2019
KAZA OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
BoomPlay: www.boomplaymusic.com/share/ar...
MKITO: mkito.com/artist/1111
iTunes: itunes.apple.com/us/artist/pr...
Spotify: open.spotify.com/artist/1Q5oC...
Dezeer: www.deezer.com/us/artist/4096310
Written & Performed by: Professor Jay & Harmonize
For Bookings: ProfessorJaytz@gmail.com | mxcartertz@gmail.com
Follow Professor Jay on:
/ professorjaytz
/ professorjaytz
/ professorjaytz
Prof. Mwenyewe anakwambia KAZA , gonga like jamani hapa tuende sawa
Wazee Nani anagonga NGOMA hii 2024…
Aisee nipe dili baabukubwa,jamaaa ni noma
Familia ya mziki safi sn
Am back here again....
#KAZA
LILOMMY GOT ME HERE🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hii n kwamabaharia tu, weka like kama unaelewa hapo
Kitu kaaali sana 🔥🔥🔥🔥
the haule`s family....
KAZA KAZA KAZA ,,,,
saf sana hii
Kaza
*wajubha Wa kitambo kwe biti za vijana* nakubaliiii
Hatar kama umeielewa ngoma like twende sawa
Waagwan
Daaaaaaaaah goma kali kinomaaaa............ Kaza... Kazaaaa... Maisha kama fimbo.... Ebanaaaa iiiiiiiisiyosiri watabeeee wamefanya mauuaji atareeeee
Mbunge baharia na mabaharia wengine... 🔥🔥🔥🔥
Mottttoooo Sannnaaa Kazza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃💃💃
Kudadadeki hivi vichwa hatari mashairi na mziki umesimama balaaaa we need more than this Haule kinsfolk #KAZA
Nafurahi kumsikia Black Rhino | Legend
#kaza
Kaza haza uheza Boina 🦁🦁🦁
#KAZA
Beat ya T-touch Kali Sana! Me mkenya nakubali kila rapper Kwa hii ngoma akiwemo legendary proffesor J
Ooh respect the OG Professor Jay Kaza tu Kazee kisimpo kama X
Kaaazaaaaaaaaaaa
Simple x hakuna noma.
All the way from Norway Oslo tuna kaza mwanzo mwisho tz for life salute brother
Black Rhyno
Wayaaaaaaaaa Professor Jay Ahsante kwa kutuletea Chupa Kali na kutambua umuhimu wa maregendary nyingine muweke Babu inspector ,Afande sele na Solo thang
Nomaaaaaaaaa na nusu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 +254 tunakaza 👍👍
Full uharibifu humu ndani!!!
Htriii..
Dope
Uwezo
Issa HIT Bro💯, Looking Forward To The Video....🔥🔥🔥🔥🔥
Daaah braza anataka kutoa vijana kimziki kama unakubaliana na mim gusa like
👇 twende sawa
Sawa demu
Ao wote ni wakongwe kwenye music hakuna mpya kwenye game
nadhan @clever hivi vichwa hujawah kuvickia
Amtoe nani sasa,hao ndio wasanii wetu kitambo
Haikuwa kipindi chake msimlaumu bure
Oyaeeeeee kaza kaza kaza good song
Tupo pamoja kama na ww unaendelea kukaza,,,,,,
Haule family hit song
Wameweza 🔥🔥🔥🔥
Bonge la combinenga listening from ndola zambia nakukubali the heavy weight kwa kuturejeshea mabaharia wakitambo salute
😍KAZA THIS IS DOPE
BIG RESPECT FROM SOMALIA
PROFESSER JAY💯
Every song that Jay touches turns to Hold.
Ngoma fire
teacher mbaya huyu braza. noma sana
Salut profes jay big up 🇹🇿 namb moja halaaaaa
Tuna zidi ku kaza kabisa kwa kila idara
Bonge la ngoma #respectprofjay kaza🔥🔥☑
Haule Family Shughul yenu atar mno dude Ni Khali endeleen kutoa nyimbo za Pamoja Mnatisha mno #kaza
Moto. Xna 4rm +254
Nkubli mnyamaaa
Kaza niyenyewe
Ngoma Kali.#kaza
profesa anapenda vijana ndo maana anapushi maandagrawon
Haule familyyyyyy😍😍😍
The hard blasters touches and flow is back! Bonge la ngoma, tunasubiria kideo
The wait is no longer bro...achiaaaaa
Okoa hip hop, Kaza good song big
tunakazaaa
Fire
Lil Ommy introduced me this beautiful tune
ngoma kaliiii
Na mi nipo nakaza
extrax3 .....✌✌
Qaliiiiiiiiiiiiiii💪💪💪💪💪💪💪💪
umetxha k2 kaza
Hii kali sana tena sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
gwd
THIS IS A BIG TUNEEEEE
Oya Mbunge Uko Vizuri
This is inspiring and motivating , All time we need this kind of content, thank #HAULFAmily #KAZA
Mbayaaaaaa sa sijui biti ndyo mbaya ...kifup nyimbo mbayaaa
Abedi Chande huenda umepotea njia,zako n z wabana pua labda.....
@@mtadejuniorbaiano8599 sio lazma ukipenda ww basi na mm niipende ndyo maana kuna like na Dis like broh yaan kuna wanaopenda na wasiopenda...
Abedi Chande naaminia wewe mkali wa mziki producer ama msanii?
Tune
Nic snaaa
First to hear this lilommy got me here to
Verse 3 maji ya kisima yenye kinaa umeuwa📯🎤
#Kaza👊👊👊👊👊
Big tune
Kazi ni balaa ya mji br
Ngoma kali
Love u baba mwenye nyumba kaza noma sana
Bonge LA pini, oya wamituringa weekend, nasubir kichupa
Kaza kazia..💪
Legends
hili jiwe ni la 🔥🔥
Maneno bila vitendo ndo kitu tunayokataza..
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbona mnamdiss p kwa kupitia baraza
verse ya Coliombi 🔥
Nakubali kazi zenu makakzangu
Nooma sana
Goma kal
🌍🌍🌍🔥🔥🔥🔥🇧🇮
Nyimbo inaanza dakika ya1:05😁😁
1:05
Moja kali zaidi
Kama upo unafarijika na kaseja gonga like twende.
Humu Donkoli kama alitaka kuwavunjia adabu kaka zake, Dogo mshenzi sana huyu 😃😃
Wahuni wamekutana kumamake
Kama Unataka mafanikio basi kaza
New Hard blastaziii 😀😂😁😀☝✌👊✌