🎉😂😂❤Demu wangu ashazoea hip-hop sababu Kila akija geto playlist yangu ningoma za Roma round Moja naanza na mathematic, viva Roma, 2030 alafu nakojoa kwa Zimbabwe dk kama 20 Sasa naongeza albam my jmoc tare 8/6/2024 njoo ujipakulie pumbu na albam kama kifungashio😂😂😂
Roma nakubali sana ngoma zako pia unaacha ujumbe mzito ktk jamii sio kuburudisha t ila km ungelikuwa shekh au padri ungelitisha zaid kwasbb unakemea maovu na unaongelea uhalisia wa jambo mungu akupe umri wenye kheri na ww kaka
Team Roma fan, Mwaka wa tatu now since niombe tukutane tupate ata dinner na lol model wangu MKATORIKI na mimi nipo American but ni mtanzania from Mikocheni.
....mmmh umezidisha dawa amekuwa mjinga umemfanya zezeta.... Neno zezeta limenishughulisha sana kulielewa, nilidhani la kiingereza... We APPY unajua kuyachezea maneno, hiiiiiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉
Kaka hii nyimbo imenifanya nilie namuomba mungu baba angu arudi home yanii km umesikia kilio Cha mama angu I like 😢😢
😢😢😢
From DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩 naomba like zangu iyi ndo ngoma yangu pendwa kwenye album
🎉😂😂❤Demu wangu ashazoea hip-hop sababu Kila akija geto playlist yangu ningoma za Roma round Moja naanza na mathematic, viva Roma, 2030 alafu nakojoa kwa Zimbabwe dk kama 20 Sasa naongeza albam my jmoc tare 8/6/2024 njoo ujipakulie pumbu na albam kama kifungashio😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Owa acha usela😂😂
daaah!,kwel umepinda😂😂😂
😂😂😂
❤❤❤ namuachia mungu tuu team roma like nyingi 🎉
Hizi like sijui mnapelekaga wap? Jaman nimbieni na mm nikaziuze❤
😂😂😂
😂
Hiyo Chorus Kiswahili kimepodolewa kama sio kiswahili, ila mwanetu hujawahi kutuangusha, Chorus huyo bi dada kaua Sana.
appy huwa mtu mbaya sana🔥🔥
Yaaani huyu dada kafanya nasikiliza hii nyimbo Toka juzi asubuhi mpaka jion
Appy katisha
Duh! Huu wimbo ni Injili kamili kabisa!! Uweza na mkono wa Mungu ukutane na kila anayeyafanya haya!!🙏
Tumuachie Mungu Roma Mungu àkubariki sana 😢❤ nyimbo imegusa ndoa zawengi wanao pitia magumu
Hii imenigusa zaidi😢😢 huyu dada kwenye corus ni zahabu aise❤❤❤❤
Sauti tamu
Sauti ya kipekee
Kaimba vizur sana
huu ndo wimbo wang pendwa , huyu dada kwa corus n nyoko
Roma nakubali sana ngoma zako pia unaacha ujumbe mzito ktk jamii sio kuburudisha t ila km ungelikuwa shekh au padri ungelitisha zaid kwasbb unakemea maovu na unaongelea uhalisia wa jambo mungu akupe umri wenye kheri na ww kaka
One of my favorites
Bonge la track
Sending all our love from Kenya, +254
YAANI WAO WAOKOTE KUNI WE UJE TUU UOTE MOTO UNACHOFANYA NI UHUNI NA UKAHABA WA KITOTO ❤❤❤
Daah ila huyu dada kaonesha kitu cha kipekee kwa hii chorus💪
Appy brougth me here🎉🎉🎉❤
Napenda ngoma zenye kugasa maisha Kama za kwenye album hii big up mkatoriki
Appy kaua sanaaaaa
No song to skip in this album
💯 nyimbo zote kali
Goddamn! Appy🔥Chorus ni kali kias kwamba sja concentrate na verses tena
Team Roma fan,
Mwaka wa tatu now since niombe tukutane tupate ata dinner na lol model wangu MKATORIKI na mimi nipo American but ni mtanzania from Mikocheni.
Appy vocalist🙌🙌🙌 Album amna ngoma mbovu
Appy🔥🔥🔥
Nyimbo ninazo penda nihizi❤❤
Kwa skio la mziki kwa mbali naskia kama running to you ya chike hv
Nilidhani Mimi tu
Yeah sure
Appy Unajuwa sana dada 🔥🔥🔥
Uyu jamaaa Appy ana juwa sanaa 🔥🇦🇺🇦🇺
Chorus imetulia sana
Appy nakupenda bila liba❤❤
Aise hii kali saaaana mazeee I salute 🫡 you my soldier wa Zimbabwe ni motooooooo
Appy is unique
Appy 🔥
Hyu Appy nimtafute sasa😊😊😊 ndo nimejua hapa
Anaimba sana huyu dada
Nimekubal maua yake🎉🎉🎉🎉@@MudaOg
ALIYE SOMA VIZURU KAONA "NAMUACHA MUNGU" KUMBE #NAMUACHIA-MUNGU... SEMA PEACE ❤
Pale kwenye cover photo wamekosea wameandika namuacha Mungu
Appy kaua
Tulie mjua mtoto wa kambo gonga like
Appy is another level🔥
Dah appy
Legend who never disappoint,
Bigup Roma
@appy always making it sound world class
....mmmh umezidisha dawa amekuwa mjinga umemfanya zezeta.... Neno zezeta limenishughulisha sana kulielewa, nilidhani la kiingereza... We APPY unajua kuyachezea maneno, hiiiiiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉
Kumbe kwenye hiii albam kunanyimbo inaitwa narudi
Appy 🙌🙌🙌🙌 nasikiliza hii nyimbo siku tatu mfululizo none stop umeua sana
wajua sanaaa kakaa mkubwa aisee daah!! ww kichwa kaka hii ndo hip hop tunayoitaka
Appy Killed it!
Roma ney fid q wrud pro jay ndo Wana hip hop Bora wa mda wt tz
Big up bro big fire iliye piga korasi noma sana kali.
Bonge moja la ngoma hili kali sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hiyo chorus imepikwa ikapikika yaani
Nampenda appy🇨🇩
Daah Ngoma Kali
My brother kiukweli umeni gusa yemeni kuta piya😥
Uyu dada noma
nimeusikiliza huu wimbo siku nne mfullulizo, si ujumbe bali melody .Tamu.
Roma fireee dada wa corus kafanya niemke sauti yakeeeeeee duuuuuu
Mkatolika amerundi na moto 2024 Tanzania jipageni
Hii ngoma nakumbuka zaman sana bongofleva ila uyu dada sauti yake b dhahabu adim sanaaa imenisimua sanaa
Roma hujawai kukosea kaka
VIVA ROMA VIVA😮😮😮😮
Hakukubali sana
Hii album mwanetu 🔥🔥🔥🔥
Hapo kwenye kava mmeandika namuacha Mungu😢😢😢
wimbo mzuri sana aisee, madundisho matupu.
Anakumwagia noti... yaani ni "Annakummwagia Nnnotti" Ooyaaaa...😅😅 Appy mmk Appy... Mwizi sana 😂😂
Una changanya DAWA kawa MFAMASIA 🤣🤣🤣🔥🔥🔥 huyu Dada phina wa moto
Sio phina huyoo
Appy umetisha sana dada yangu 🎉🎉🎉❤❤
Appy🙌🏾🙌🏾
Ngoma kali sana Kaka ila alieitikia kwenye ile promo alitisha sana bro
Appy from Dingi to hapa mwamba wa lusakaaa
Msanii ukimuongelea marehem vibaya kwa vyovyote vile nakuona wa hovyo
Wow ❤🎉🎉🎉 very touching I wish all men could listen to his hit 🎯
What about women? cause its adressing a woman!
Happy 🔥🔥🔥
Daah hii albamu mbona kama yote mawe sasa
Appy mnoma wallah
Chorus demu kaua kwa style yake
jamani dada zangu acheni waume za watu jamanii🤫🤫🤫😪😪
Appy 🙌🙌🙌🙌🙌
After listening to all of his bangers I approve this ad my favorite💯💯💪. Wewe gani imekubamba🙌?
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🍄🍄 mkali wa hipapu
Bro, this song touches so hard...
Check the title on the cover photo
mwenzako anasali novena ya mktifu rita wa kashia😂😂🙌🙌
Swadakta Bro Roma ❤❤❤❤❤❤❤
Mmmmmmm mbona huu ni moto
Daaah hii ngoma inafikilsha sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dada anasauti nzuri san
Aliemteka Roma ndo alieteka mawingu😂😂😂
🔥🔥✨
Roma umetisha sana big up bro
Imetosha kaka umewachoma watu huku mtaani sio pow
🔥🔥🔥
huyo sister kwenye chorus KAMALIZA KABISAAAA
Amekuaa zezeetaah... ahah ilo Korac kmmk....😂😂🙌🙌
My favorite track ktk hii album
Ngoma kali sana hii
Respect bro
home boy roma kama roma👏👏👏👏
Ila Appy anaimbaga vizur Sana ususan saut yake
Appy Umetisha
Iyo kali bro nipo congo 🇨🇩