MARTHA MWAIPAJA ~NINAKUITA (OFFICIAL VIDEO) For skiza SMS: Skiza 6983289 to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #marthamwaipaja#ninakuita#

КОМЕНТАРІ • 867

  • @julievideo9126
    @julievideo9126 Рік тому +2

    Leo Niko WA 20 nakupenda san my sister mungu akutunze zaidi mfarij wetu unaye jua kutusemea kwa baba

  • @filexingutia3620
    @filexingutia3620 Рік тому +7

    Nakuita mungu kwenye kipindi hiki kigumu mungu anisaidie

  • @eliyaelisha-gg4hi
    @eliyaelisha-gg4hi Рік тому +1

    Hongera Sana mm hii nyimbo imenibariki sana

  • @mubengasinga65
    @mubengasinga65 Рік тому +1

    Barikiwa sana

  • @CholelaRobert-lm7ro
    @CholelaRobert-lm7ro 11 місяців тому +1

    Nakuita yesu wangu nisaidie🙏🙏🙏

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 Рік тому +1

    Kaziiii nzuriiiii mummy🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿

  • @elevit9391
    @elevit9391 Рік тому +50

    Whoever reading this, I pray that God visit your home with healing, blessings and miracles. Amen.💕

  • @elizabethemmanuel986
    @elizabethemmanuel986 Рік тому

    🎉🎉🎉🎉Ameen na kweli baba aturehemu na atukumbuke

  • @UwimanaJeanine-gr3lt
    @UwimanaJeanine-gr3lt Рік тому +6

    Unaimba vizuri mama Martha mwaipaja ❤mno mungu akubariki zaidi akulindiy uduma yako

  • @aluochviolet8490
    @aluochviolet8490 Рік тому +1

    This song wueeeh chesa 💯💯💯💯✨✨✨✨✨✨

  • @Caroh-i2j
    @Caroh-i2j Рік тому +7

    Hongera kwako MARTHA, nyimbo zako hunitia nguvu kwa hii safari ya kwenda mbinguni.Listening from kenya

  • @marthamwaipajabackup
    @marthamwaipajabackup Рік тому +313

    Ninakuita Yesu kwenye maisha yangu na family yangu na kwenye huduma ya mama yangu mbariki zaidi 😢❤

  • @minzasamwel6874
    @minzasamwel6874 9 місяців тому +1

    Martha Mwaipaja mimi nakupenda sana na mungu akubariki ❤❤❤❤❤❤

  • @vincianekyose2674
    @vincianekyose2674 Рік тому +1

    Samahani sana maman isikuake kwanyuma tuambilie kama ulikua nachikiana na chetani kama wanamusic wengine, n'a barikiwaga sana na we mama

  • @helvetasswiss4638
    @helvetasswiss4638 Рік тому

    Tupo pamoja dada martha tumuite Mungu mwenye majibu.... dunia haina majibu.👐👐

  • @delliphermaudesthersakala5697
    @delliphermaudesthersakala5697 Рік тому +1

    Nakuitaji Yesu moyoni mwangu

  • @evarlynechangirwa3106
    @evarlynechangirwa3106 Рік тому

    Kabisa yesu usituwache tukapotea... nimebarikiwa.

  • @EmmaTweve-us2lc
    @EmmaTweve-us2lc Рік тому

    Mungu❤❤ akubaliki mtumishi kwa kazi nzuri

  • @marthamashinji6830
    @marthamashinji6830 Рік тому +1

    Tukumbuke mungu Asante martha

  • @elizabethmisiko7071
    @elizabethmisiko7071 8 місяців тому

    Amen mama napenda nyimbo zako ..... Niko Kenya

  • @maryfatuma7243
    @maryfatuma7243 Рік тому

    Nimeshinda kabisaa Baba nirehemu nakuitaji baba

  • @anjelanimunga2362
    @anjelanimunga2362 Рік тому

    Amen amen dada yangu ubarikiwe na mungu uhendele hadi siku mungu atakapo kukuita.

  • @Samuelisam-j1y
    @Samuelisam-j1y Рік тому

    ❤❤❤❤love from kenya wapi like za wakenya apa

  • @OkitoNatacha-mw5bu
    @OkitoNatacha-mw5bu Рік тому +1

    Barikiwa. Dada Martha

  • @PamellaMugisha
    @PamellaMugisha Рік тому +1

    Ninakuita Yesu kwenye maisha yangu
    Ninakuita baba Ninakuita wewe nioneye uruma baba yangu
    Nachoka bila wewe kunijibu nani atajibu maombi yangu 🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @rosemarypastory2783
    @rosemarypastory2783 Рік тому

    Barikiwa Kwa wimbo nzuri hasa vipindi hivi vigim dada martha

  • @angelachepngetich-k9r
    @angelachepngetich-k9r 7 місяців тому +1

    tunakupenda ❤ sana wimbo zako zinabembeleza sana hapa nchi ya Kenya 🇰🇪

  • @HeritierWata-hk7jl
    @HeritierWata-hk7jl Рік тому +1

    😭😭😭nakuitaji yesu kwenye maisha yangu Martha ubarikiwe mungu akuinuwe kwenye uduma Yako🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Congo tupo ndani kwenye mji ya lualaba

  • @MuriakReshMa
    @MuriakReshMa Рік тому +36

    When GOD call someone to do his Work,HE equip and perfects him or her..Thank you MARTHA for frequent blessings.. Listening from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kamwanacommedy4935
    @kamwanacommedy4935 Рік тому

    Kali Sana mum huku Kenya tunakutabua 🙏🙏🌹🌹🌹

  • @azalasagala479
    @azalasagala479 Рік тому

    Ubarikiwe Sana mtumishi mungu azidi kukuinua zaidi Kwa huduma

  • @geraldinagaiomuse6977
    @geraldinagaiomuse6977 Рік тому

    Waaah!Dadangu mistari unazo za kiroho..Kila mtu ajitishie Mungu..

  • @d.mediatv8147
    @d.mediatv8147 Рік тому

    Martha mimi nakupenda tokea na miaka11 mpaka sasa nishakuwa mtu mzima mungu akubariki kwa kaziyako nzuli

  • @iannjoroge2037
    @iannjoroge2037 Рік тому

    Hongera martha mungu akuinue zaidi na zaidi amen

  • @AntonyMusyoki-cu3qf
    @AntonyMusyoki-cu3qf Рік тому

    Martha nyibo zako unibariki ,ishi milele na milele Anthony from kenya

  • @laxmajor
    @laxmajor Рік тому +1

    Nomaa mtumishi wamungu❤

  • @mallyakekue1168
    @mallyakekue1168 Рік тому

    Amen Amen ❤ kwa kweli bila mungu atiwezi kitu

  • @samuelkiprono-l3j
    @samuelkiprono-l3j 9 місяців тому +1

    Wimbo huu unanipa matumaini kwa Mwenyesi Mungu

  • @GetuSimba-f1q
    @GetuSimba-f1q Рік тому +1

    Ubarikiwe sana,Yesu azidi kukutunza na kukuinua zaidi,

  • @denciasupplies1259
    @denciasupplies1259 Рік тому +1

    Huu wimbo umenizungumuzia Kwa ajali ya maisha yangu na mwanangu. Mungu najua unanipa jibu Kwa hiya nipitiayo Kwa Sasa🇰🇪🇰🇪🇰🇪 . Martha nakuombea Mungu akuzidishie haswa Kwa hiki kipaji cha uimbaji

  • @geoffreyonkoba7878
    @geoffreyonkoba7878 Рік тому

    Hii imeniganga roho❤!
    Imenitibu nikiwa maeneo ya Mathira Kenya 🇰🇪. Veeri naisi.

  • @jeremiebizimana2695
    @jeremiebizimana2695 26 днів тому

    nakupenda saana dadaangu mungu akubariki sana

  • @maryobiero6782
    @maryobiero6782 Рік тому

    Unani bariki sana martha nakupenda sana dada Mungu akuweke

  • @ackimmutale6322
    @ackimmutale6322 Рік тому +3

    dada matha,nyimbo zako huniburudisha roh yangu.b, blesed coz i listen u here in mbala zambia.amen

  • @joycemakokha9648
    @joycemakokha9648 Рік тому

    Kila saa Kila siku naitaji nikusikie tu bwana I'm blessed and be blessed too dear sister Martha nakuitaji Jehovah

  • @AskofuBamuli-pw3xe
    @AskofuBamuli-pw3xe 10 місяців тому

    Kwa kweli mama umewaii. Timiza kazi yako ambayo ilisababisha Mungu akuweke kwenye ardhi ndio maana naendelea kuiita Mungu atupe nguvu.kabisa kazi njema mama

  • @mr.praisekenya1988
    @mr.praisekenya1988 Рік тому

    Nice mama mbarikiwa wa Tanzania. Napenda Sanaa kazi zako, mungu akuzidishie sanaa

  • @mytonedeblackman4609
    @mytonedeblackman4609 Рік тому

    Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 pia twamuita katika maishani mwetu

  • @davidmupenzi8997
    @davidmupenzi8997 Рік тому +8

    Amen🙌🙌🙌🙌🙌🙌Nikweli mama yangu ,Mungu akubariki mara miya akupe mwisho muzuri kuliko mwanzo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Siku la leo Niliita Mungu wetu akanisikiya wimbo huu unani bariki saaaaaaana

  • @moseabraham1551
    @moseabraham1551 Рік тому

    Ninakuita Baba uwe kiongozi katika maisha yangu 🤲🙏🙏🙏🙏

  • @neemachalamila590
    @neemachalamila590 Рік тому +3

    Yesu ingia kwenye Tanzania yetu,pita duniani Yesu tunaangamia ,hofu yako hamna tena duniani watu hatijaliani tena

  • @PoulHassan
    @PoulHassan Рік тому +2

    Oohh Asante wimbo wanitia nguvu sana ninakuita yesu njoo baba unirehemu walimwengu ni wabaya sana nirehemu nilipokukosea 😥😭🙏mimi ni mwanao tyu huruma yako iniguse na mm barikiwa ewe marikia wa kututia mioyo kupitia nyimbo zako 💞🥰😍 penda sana mama angu martha ❤❤❤💯 ninakuita masia nirehemu nyakati ni nyingi kwangu kuna za mates,kukata tmaa😢 nisamehe baba nikimbuke mwanao😢😭🙏

  • @raphaelsms599
    @raphaelsms599 Рік тому +11

    Mungu akubariki martha

  • @ThomasMpagama-vv2lm
    @ThomasMpagama-vv2lm Рік тому +1

    Aminaa sana dada

  • @josephinejazz8935
    @josephinejazz8935 Рік тому +1

    mamangu Martha love you much you're my mentor love your cool spiritual songs 🙏🙏🙏 Ninakuita Mungu mwenye huruma...tuuureehemu you inspired me alot spiritually from kenya 👏👏 barikiwa

  • @NEEMAMABALA
    @NEEMAMABALA Рік тому

    Wanadamu hawana majibu,,njooo Yesu uturehemu

  • @FurahaThadeus
    @FurahaThadeus Рік тому

    Ee YESU ninakuita naomba unibariki na uniokoe nimebaki na wewe tuuu mwanao niokoee🙏🙏🙏🙏🙏🥺

  • @leonardpaulo4890
    @leonardpaulo4890 Рік тому

    Tunakuita yesu maishani mwetu, hatuelewi maisha yetu

  • @annetvuseletse4509
    @annetvuseletse4509 Рік тому

    Nami nakuita baba . much love ❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦

  • @Agripinamichaely
    @Agripinamichaely Рік тому

    Ubalikiwe sana unanifundisha kupitia nyimbo zako mungu akupe kibali zaid

  • @sarabahatibahati-fq5ok
    @sarabahatibahati-fq5ok Рік тому

    Kabisa yesu nakuita huu wakat siwez pekeangu yawhe 🙏💕💕barikiwa mama matha💞

  • @LogicallyInternational
    @LogicallyInternational Рік тому

    Ubalikiwe dada yangu nyimbo nzuri sana 🙏🙏🙏 tunakuyita baba dunia yimepotea.....from South Africa

  • @LuckyMukhwana
    @LuckyMukhwana Рік тому +1

    Nakuita yesu njooo kwa maisha Yangu baba

  • @maxmushi9579
    @maxmushi9579 Рік тому

    Ubarikiwe Sana. Dunia inaitaji Mungu Sana. Ubarikiwe 🙏

  • @murianzi6336
    @murianzi6336 Рік тому +1

    Nakuita Mungu👐👐

  • @Joshuamitayango
    @Joshuamitayango Рік тому

    Ubarikiwe dada ndani yahuduma yako ninapo kusikiliza nabarikiwa 🙏🙏

  • @rutinginyaneysam.5087
    @rutinginyaneysam.5087 11 місяців тому

    Nampenda saan huyu dada, napenda alivyomtulivu

  • @eduwadylelya
    @eduwadylelya Рік тому

    Hongera sana wimbo huu unatubariki sana

  • @evelineshimirimana9773
    @evelineshimirimana9773 Рік тому

    ❤❤ asante YESU mungu akubaliki Martha❤

  • @nasaruchoiroloile4179
    @nasaruchoiroloile4179 Рік тому

    Wow pongezi dada mwimbaji

  • @sandelemasapanjo
    @sandelemasapanjo Рік тому

    Ukwel dada nyimbo zako zinanibariki sana nakuombea kwa mungu azidi kukuweka na uendelee na huduma yko lkn uzidi kumuomba mungu kwenye huduma hiyo

  • @michaelmakokha8225
    @michaelmakokha8225 Рік тому +6

    Huduma njema dada,hapa kenya tunakupenda sana❤

  • @barakatele823
    @barakatele823 Рік тому +1

    Mungu Mbele.

  • @MukristuMukizwa
    @MukristuMukizwa Рік тому +2

    Nakupenda sana muimbaji mungu akubaliki

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo Рік тому +5

    Waaaooooooo,good song,dunia haina majibu bola Mwenyezi Mungu aturehemu.❤❤❤❤,good job.

  • @nancysamaria
    @nancysamaria Рік тому

    Mungu ninakuita katika familie yangu yesu tuhurumie😢

  • @danielmchanga1233
    @danielmchanga1233 Рік тому

    Mungu akubariki sana mpendwa, umekuwa ukinibariki kwa nyimbo zako!

  • @leahluhwavi7850
    @leahluhwavi7850 Рік тому +1

    Amen,Amen🙏Ubarikiwe Sana Dada Martha🙏

  • @janiffernduku2183
    @janiffernduku2183 Рік тому

    Nakuita Yesu Nishike mkono safari n refu siwezi pekee yangu😭😭

  • @JohnMatsalia-b7h
    @JohnMatsalia-b7h 7 місяців тому +2

    Mungu amuuongezee mama yeti wa Imani miaka mingi

  • @skylinespares
    @skylinespares Рік тому

    kila wimbo unaotoa unakuwa baraka na inalingana na hali ninazopitia. may GOD bless your ministry dear you just hold on crist

  • @SalomeNagira
    @SalomeNagira 11 місяців тому

    Ninakueta baba Niko nashida mungu nakuomba mahali Niko mbali na nyumbani angalia watoto wangu na wazazi🙏🙏🙏🙏

  • @DorcasNeema-dp5mk
    @DorcasNeema-dp5mk Рік тому

    Tunapoita baba anatusikia maana yéyé ni mwaminifu .amen

  • @WilsonMagesa-px4dy
    @WilsonMagesa-px4dy Рік тому

    Ninakuita yesu kwenye ndoa yangu na huzao wangu kwani mimi pekee yangu siwezi

  • @annahopenicholaus461
    @annahopenicholaus461 Рік тому

    Nakuita baba mwenye huruma unirehemu🙌🙌

  • @GraceMsita
    @GraceMsita 6 місяців тому

    Mungu azidi kukuona huduma yako ni nzuri usichoke kumtumikia mungu nakupenda

  • @exauce9425
    @exauce9425 Рік тому

    Maman uyu abalikiwe sana kwa wimbo ninakuita mungu. Maman utukumbuke kua maombi Yako, utukumbuke frère Exaucé kutoka Congo DRC tuna kupenda Sana hapa Kinshasa🎉

  • @GiltonHwarang
    @GiltonHwarang Рік тому +2

    Mungu awe nawe.

  • @RoseDaniel-t5m
    @RoseDaniel-t5m Рік тому

    Waooo nice sasa dada yet from tanzania

  • @YasintaShemu-ot7xy
    @YasintaShemu-ot7xy Рік тому +1

    Ni kweli tunamhitaji Mungu alie mwingi wa rehema,barikiwa mama

  • @snyderlugonanga3632
    @snyderlugonanga3632 Рік тому

    Tunakuhitaji hakika yesu 😢😢 twakutazamiza wewe tu

  • @edwardmmbagaya
    @edwardmmbagaya Рік тому +1

    barikiwa sana dadangu

  • @joanjoan5995
    @joanjoan5995 Рік тому +2

    Nakuita baba kwenye mahusian yang py nakuita kwa mama Ang hyu Martha mwaipaja 😭😭😭😭😭😭😭🙏💓👍

  • @MosesMwanganda-yw4fz
    @MosesMwanganda-yw4fz Рік тому

    Mungu akubariki sana dada nyimbo zako zina tutia nguvu sana tunapo pitia majaribu

  • @PatrickIsiaho
    @PatrickIsiaho Рік тому

    Nami pia nitembelee Mungu unapotembelea wengine😢live this song❤❤

  • @AllanKonje
    @AllanKonje Рік тому

    Sauti ake no kila kitu katika maishani mwetu

  • @acaciamushiya1621
    @acaciamushiya1621 Рік тому +1

    Ubarikiwe dada martha

  • @BananaKhashimu-gs8di
    @BananaKhashimu-gs8di Рік тому

    Mama angu nakupenda Sana na natamani kuwa Kam wew yaan nyimbo zako zinatugusa

  • @GeresKampaundi
    @GeresKampaundi Рік тому

    Tunakuita YESU katika maisha yetu Dunia Ipo mwishon tupe macho yakuona dada matha MUNGU akubaliki sana Tena sana

  • @ToshJnr
    @ToshJnr Рік тому +4

    Hapa nilipo katika Hali yangu,,nakuita❤❤
    Yeye aliyeumba sikio,,Je,hasikii??😭😭
    Dunia Haina majibu,,maswali tu😭😭
    Nakuita wewe mwenye huruma