Aki this song aki inanivunja vunja nguvu nikitafakari maneno haya aki mungu aku zidishie uendelee kumtumikia yeye aki mungu ni WA ajabu Sana 🙏🙏🙏. Ni Mimi mkenya kuitwa heri 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow wow... Justine hii nayo umeweza eeh imenibariki saana, mbona nyimbi kama hizi by now inafaa ikue 1M views... Mungu leta watu waje kubarikiwa kwa hii wimbo in Jesus nam🙏🙏🙏. Anway mwaka huu sitakopa nitakopesha, nashukuru mungu maana sijazikana, siko hospital, siko jela Nina afya glory be unto you God
Nina kama huyu Dada na wimbo ninamshukuru mwenyesi Mungu ndio ombi langu la Kila siku kumutukusa na kumwambia mwenyesi Mungu ubarikiwe na upandishwe utukufu juu ya utukufu dada
Akh sijui niseme nini naupenda huu wimbo sana,, whenever I hear this song nahisi ni kama sijawahikosewa nafeel high Thank you so much Madam Martha may God really bless you I have watched this song more than 50 times
Napenda sauti Yako mungu aendelee kukupa maishà marefu sana uone mema na matendo makuu ya mungu na uendelee kuubiri kwa njia ya uimbaji watu tumjue mungu ❤❤❤❤❤❤
Yani Mungu yuashangaza sana,baharini maji yanapanda juuu,yana potea tena yanaondoka pole pole,kisha yanatulia mwambani,alafu yanashuka tena pole pole,unashangaa yale maji yameshikiliwa na nini hakika Mungu wa Majabu sana
Nipate likes za 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 wakenya...wow wimbo mtamu
Wow hii song inaniingia tew sana
I can't get enough of this song.
What a blessing one .. 🙏🙏🙏🍰
Imenibariki saana..Nani mwingine kama Mungu?
A very powerful song 🙏 her voice is so much like the late Angela Chibalonza
Tumefika kwa kishindo 🇰🇪 🥳💃👌🔥
Underline the word bahari kuheshimu mipaka yake utaelewa neno Hilo Kwa ndani utaenda mbali sana🇰🇪🇰🇪😂🔥🔥🔥🔥 huu ni wimbo wangu huu mwaka
Hakika....
Amen
Unashangaa hw comes bahari inaheshimu na sisi wanadamu hatuheshimu
If you take your time and listen to this song, You will realise this lady is a legend. 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤amen🇺🇬🇰🇪🤗🤗
Napenda wimbo wako
Kabisa amenikumbusha chibaloza jamani
2024 who's here? Nikifikiria about covid 19 najikuta namtukuza Mungu.
nyimbo nzul san, naomben like zenu namim ni muimbaj mpya
Likes za wanaoishi Australia 🇦🇺 🇦🇺 🇦🇺 na bado wanaskia nyimbo za nyumbani....wimbo mzuri sana
Melbourne represented 💕❤️
Love dhis song xoo muc😢😢😂😮😊
Tunao uangalia huu wimbo mala kwamala tujuane kwa likes
Another level from Kenya twakupenda wapi like
Much loooove from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo haubagui dini 🇹🇿🇹🇿🔥🔥tunautumia kumshukuru mwenyezi mungu
Kabsaa ❤❤❤
Tiktok brought me here,who else is here from tiktok because of this lady❤🙏🙌
Aki this song aki inanivunja vunja nguvu nikitafakari maneno haya aki mungu aku zidishie uendelee kumtumikia yeye aki mungu ni WA ajabu Sana 🙏🙏🙏. Ni Mimi mkenya kuitwa heri 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huu wimbo hawezi kupita hata siku moja bila ya kuisikiliza naipenda sana na pia unifariji mnoo🙏💞 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kweli,Mungu anashangaza mno,hata jongoo hana macho lakini anaishi waaaaaaaaaah,hakuna mwingine,kama yeye.AMEEEEEEEN.???
Wow wow... Justine hii nayo umeweza eeh imenibariki saana, mbona nyimbi kama hizi by now inafaa ikue 1M views... Mungu leta watu waje kubarikiwa kwa hii wimbo in Jesus nam🙏🙏🙏. Anway mwaka huu sitakopa nitakopesha, nashukuru mungu maana sijazikana, siko hospital, siko jela Nina afya glory be unto you God
Ghwee Mwikemo tukukupala Ghwe Mpokighwa,Malafyale Mungu azidi kukuinua zaidi wa kunyumba Ndagha fijho
Amin wimbo mzur sana naangalia kwa kurudia rudia Baba Baba Baba wa Mbinguni jina lako litukuzwe matendo yako yatisha.
Martha mungu amekupa kibali na sauti...napenda Sana nyimbo zako dada,❤️
Sifa nautukufu zimurudie MUNGU, kwamana nizake;
Martha you sing my heart. you are part of my life everyday when I work an walk.
Jina la Mungu litukuzwe milele, matendo yake yatisha ,sana hata Mimi mahali nlipo ni Mungu tu
Baba Mungu asante sana kwakunibariki kupitiya nyimbo hii, kama mimi nihayi nikwamba umeniruhusu,Amen
My tears shed when I sing together with martha...
This song is a blessing in my life🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mung akutie nguv dad ang unaimba vizur San nakukubal San naomb uniombee na mim niwe kam wew
Madam, Baraka huu wimbo Niki usikia roho yangu inatulia kabisa, wimbo mtamu kabisa, ubarikiwe madam. Jeff Ogeto, Kenya, Kisii County.
Imgine u ulienda kupunga upepo lakini ukaanza kutafakari tu baba ooh God most ,,, highly haulinganishwi kamwe baba mungu mwenye enzi nice song too😊❤❤
Wapi skiza tune codes
Mama mpendwa wimbo hiyo ni mzuri sana lakini inanitowa machozi. " Nashukuru Mungu"
Wimbo mtamu nakuambia nabarikiwa nikiwa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mungu Akubariki Kwa kazi nzuri
Hakika mtumish wa Mungu nijambo la kushuru Mungu nami naungana nawe kumshukuru Mungu Kwa alipo kufikisha nasema Asante Mungu.
Wimbo huu umenifanya niwe na faraja umenitia nguvu Asante Kwa wimbo mzuri barikiwa sana🙏🙏🙏🙏
2024 Where are you guys like my comment please........Nimebariki 🙏🙏🙏🙏 so touching nalia na sijui nalia nini .....🙏🙏🙏 Father bless me more
Amen
Nina kama huyu Dada na wimbo ninamshukuru mwenyesi Mungu ndio ombi langu la Kila siku kumutukusa na kumwambia mwenyesi Mungu ubarikiwe na upandishwe utukufu juu ya utukufu dada
🎉🎉🎉🎉❤hii imenikuza sana God bless you more than anything else in the world
Wow what a touching song...she lings like chibalonzo how many heard the voice❤️❤️❤️❤️
Hongera sana dada marther mungu akubariki na azidi kukuinua kwa wimbo mzuri huu kwa kweli ni wimbo wa baraka sawa sawa na jina lako.
This far is GOD its not a normality i thank papa!!thank you jesus joy from kenya
Amen thank you my lord❤
Amina Kenya tunakupenda, wimbo mzuri sana kweli🥰🥰
Duhhhh kwa kweri nyimbo hiii inanikumbusha mbali Sana ard nikiisikioiza machozi yananitoka
We miss it by thinking there are things that happen to us by chance , it's
God alone who does All in all🎉
Naipenda hii saana mtumishi
I like this song mostly it's by grace of God thanks alot mum
Tumpambe Yesu na maua
These are the type of gospel singers to listen to
Watching from Kenya. I love this song very much. God bless you Madam. Uzidi kutuletea vitu nzuri ka hizi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
The song is just wow
Akh sijui niseme nini naupenda huu wimbo sana,, whenever I hear this song nahisi ni kama sijawahikosewa nafeel high
Thank you so much Madam Martha may God really bless you
I have watched this song more than 50 times
Thank you Lord 🙏 Jesus for this far you have brought me
Powerful 🎉 who else think she’s a sister to Gloria muliro
Napenda sauti Yako mungu aendelee kukupa maishà marefu sana uone mema na matendo makuu ya mungu na uendelee kuubiri kwa njia ya uimbaji watu tumjue mungu ❤❤❤❤❤❤
Wimborne huu initially nguvu sana❤❤❤
Yani Mungu yuashangaza sana,baharini maji yanapanda juuu,yana potea tena yanaondoka pole pole,kisha yanatulia mwambani,alafu yanashuka tena pole pole,unashangaa yale maji yameshikiliwa na nini hakika Mungu wa Majabu sana
Ubarikiwe dada mapito nimengi ira tutafika,natamani kuimba na wewe nakupenda sana dadaaa, God bless you my sister.
Nikiuskiza huu wimbo ,napata kubarikiwa sana. Mungu azidi kukubariki❤. # Kenya🇰🇪
Please God open my door 🚪🚪🚪🙏🙏🙏🙌🙏😭😭😭😭😭😭
Wewe ni mtoto wa Baba yangu wa mbinguni twende toto yetu
The song is wonderful......... this is wooooooonderful.....
Amazing.Martha keep it oooooon🎉🙏
Nashindwa mbona sichoki kusikiliza kwel mungu anashangaza
mtu mwenye neema yake,, Mungu akutunze dear
Dada uko sawa sana Kwa nyimbo za uamsho kitu Moja nakuomba kumuacha mmeo mmetoka mbali
Wimbo Mzuri saaaana,,, Utukufu kwa Mungu
Mungu ni mwema anatuvusha na mengi binafc namshukuru kwa sababu aminitendea makubwa mnoo asante mungu wangu
Kwa hakika mungu amenitoa mbali jina lako litukuzwe
it's my prayer to God almighty to grace me with sufficient favor and breakthrough so that I can praise him in this way#Glory to God
wimbo mzuri naupenda sana
When I listen to the music, I feel the heaven is opening, be blessed mdm Martha
A very nice song... so blessing , Glory and honor be to our God, it's all about God to be here today! Uinuliwe baba yangu
Waah!huyu Dada ni mkenya kweli? Ndio namwona kwa Mara ya kwanza. Ubarikiwe Dada Mungu akuzidishie neema yake
Amen
Nashukuru baba yangu kwakunifikisha apa
Nice song am blessed 😍😍
Wimbo unautamu wake pia jisi Gani unavyo kita faraja ya moyo
May God give you more grace mum,,, a great song indeed
Mnatubariki na nyimbo zenu ila angalieni msiwe kama manamba wa matatuu hayo mapambo ya kidunia yaacheni
AISEE UNAIMBA SANA MMA MCHUNGAJI..NIMEBARIKIWA SANA. BAHARI INAVYOHESHIMU MIPAKA YAKE
Mommy hiii wimbo ilifanya nikakubuka penye nilitoka na penye nimefika mungu abaki kuwa mungu, kweli mateso ni ya mda
I have listened to this song I think fifty time,but still feel the goodness of God.until I can sing it all.may God bless you Martha.
Hehehe same while flying on 16th and today am flying again God is good Hallelujah
@@agneschizinyawa3838 Amen 🙏 may the name of God be praised.
Wimbo huu unaguza moyo machozi hayazuiliki mpendwa uzidi kuinuliwa
Thank you LORD, this far is by your mercies and love who is like you Lord 🙏
more blessings siz bramwel from eld kenya
Huu wimbo nakupenda sana mda wt ninapopata nafas y kukumbk nilipotoka na hapa namshuiur Mungu Kwa huu wimbo❤
Very powerful song sikujua pia mimi naeza fika hapa nilipo . Nashukuru Mungu wangu 🙏🙏
Oh,martha Glory and homour back to jesus❤
Mungu wa NEEMA akubari 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭🙏🙏🙏
The voice got me carried away, Mungu azidi kukuinua 🙏❤️
Oh Baba bariki job ya mikono Yangu🙏🙏😢
Beautiful song 🎶🪗.. thank you so much 💕.. from Kenya 👌
Wimbo mzuri mpaka nahisi roho mtakatifu kanishukia
Katika yote unabaki kuwa Mungu Mkuu Baba, The Sovereign God🙏🙏. Barikiwa dadangu.
Kuna Mungu ambaye hashindwi na chochote
Kila ndege msituni anakiota chake lakini kobe anatembea na nyumba yake. Wow🔥🔥👏👏 Sauti safi
Akika mungu ni mkuu watanzania nawafuria kofia studio senu ni were
Kwa kweli huyu mama alikuwa amepotea kwenye ndoa ona vile amependeza Mungu akubariki Mtumishi
U naelewa na uchosema
Straight from tiktok...wow today being on a sunday am blessed🙏
Sauti kutoka kenya,aki martha napenda nyimbo zako sana uko simply sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Waw huu wimbo Wacha tu mtamu kabisa
aliumba mbingu bila kitu Cha kushikilia daaa umetukumbusha ukuu wake
Like nyingi zije
Nakushukulu mungu kamanitafika hapa ubalikiwe madamu matha munguakubalik milele kwahuujumbe Mana umenipauja cliwa kuendeley mbele Amina🙏🙏🙏 💐🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹
I can't get enough of this song, b blessed 🇰🇪🇰🇪
Nampenda huyu dada ata mavaziyake yaheshima sio kama wele wengine waku vaa masketi mafupi MUNGU akubariki katika huduma yako