Am from G.P.G AFRICA GROUP OF MUSICIAN'S huyu DADA YANGU umeinuliwa wewe sio yule wa kitambo uko kwa viwango vyako.. muda umeongea vyema kwako karibu kenya
Hallelujah!!! Hakika nabarikiwa sana kila nisikilizapo nyimbo zako nimekuwa nakusikiliza kwa umakini mkubwa maana ujumbe huu nimeupenda sana mungu aendelee kuibariki huduma yako🤝🙏🙏🙏
Welcome. it's a Swahili gospel song. Encouraging you should wait until GOD,s time. there are seasons to cry, to cheer we should not cry in every situation we should learn to thank GOD
Wow! The voice, audio production, video production, the beat, the anointing in the song! 👌👌👌. Everything is on point. Thank you for blessing our souls. More God's grace and favor. We love you. Watching you from Kenya.
This song is about God's timing as Biblically evidenced in Ecclesiastes 3:11, Isaiah 60:22, Habakkuk 1:5. "Acha muda uongee" Kiswahili for " "Let time speak" is full testimony that, at the proper timing, Everything will come to pass as planned.
Barikiwa dada wacha mda uongee
Jamaaan dada langu hiloooo shusha madude tubarikiwe
Nyimbo inanifariji kabisa niwanguu uyu
Mungu akubariki Dada Beatrice M.
2025 bado nasikiliza nyimbo hii.. Mungu akubariki sana dada Beatrice nyimbo nzurii sanaa.. barikiwa mno
Kwa muda ongea katika maisha yangu
Mimi timu yako kwakumtukua bwana nakukubari sana
Ingawa napitia wakati mgumu siziachi njia na shauri za Mungu manake wakati utaongea
Nyimbo nzuri sana
dada mungu akubari hats na mimi me mepitiya maisha magumu ya umasikini sana mungu sio wa matajiri niwasiki kabisa najione
Am from G.P.G AFRICA GROUP OF MUSICIAN'S
huyu DADA YANGU umeinuliwa wewe sio yule wa kitambo uko kwa viwango vyako.. muda umeongea vyema kwako karibu kenya
Wawo acha muda uongee mungu wangu anamajila nanyakati wakunibaliki
Blessing song wacha muda ongee🎉❤
Inatuliya dada angu.
Kwenda mbele mtoto wetu
Barikiwa sanaaa Mtumish wa jehovah acha muda uongee
Wawooo.dada.kwaujumbe.mzuri🙏👍
Nyimbo nzuri barikiwa sana
Hallelujah,barikiwa Dada
Hakika umejua kunifulahisha na huu wimbo MUNGU akubariki sana
Muda wa mungu ni jibu kwa kila mtu.na shukuru kwa ujumbe huo.
Amen barikiwa sana
Kazi nzuri sana dada
Actually Time always speaks, Ujumbe huu umebeba maana kubwa hasa kwa waaminio
Achaaaa mudaa uongee
Ubarikiwe Sana mama mtumishi wa Bwana
Unarikiwe saaaa pastor
Hongera na Asante sana Dada Beatrice Mwaipaji na Asante kwa kazi nzuri na ujumbe unaofaa
Hii ni baraka mtumishi mungu akubariki sana nipo Kenya nakufatilia sana
Ubalikiwe sana Wimbo mzuli pia umenibaliki sana
Hujawaiiii kutuangushaaa songà MBELE my friend
Wow acha muunda uonge..God's timings is the best.... At His own time He will make it happen.Thanks for the reminder minister Beatrice.
Hakika tunaandaliwa
The best of the best God bless you!
Amen 🙏
nimebarikiwa sanaaaa
Muda uonge 🙏🙏🙏🙏 l love you so much my sister l love song zako zaidi
Umeanza kua mkubwa kaa dadako
Waooo hakika acha muda uonge barikiwa sana mtumishi wa Mungu kazi nizuli sana ❤️🔥🙏
Time will tell when the two of us will be one
Hakika da Beatrice umekuwa msaada mzuri sana kwangu kupitia nyimbo zako.
Hakika *Acha muda uongee*❤❤
Nimeacha muda uongee Baba ...... Najua haya yote ni kwa muda
Wow wow enyewe wacha muda uongee🙏🙏🙏🙏
Tuwache mda uongee. From Kenya 🇰🇪 💥🔥👍🙏
Muda ukifika hakuna pingamizi
Amina...Barikiwa sana
Amen 🙏🙏🙏 nimebarikiwa acha mda useme
Amen mtumishi wa mungu
Muda uonge subura ya Vita heri
barikiwa sana mama
Emeee KAZI ñzuri
Ni kweli Beatrice
Nimebarikiwa Sana na nyimbo zako Dada Beatrice mumda wacha uongee Ata kama ni magumu🙏🙏
safi sana mtumishi wa mungu nikweli
MUNGU akubariki na kukuinua zaidi Mtumish ni kweli God time is the best time
Kweli kabisa napenda kazi zako safi sana
Nice one Beatrice sure acha muda uongee
Asante sana dada Mungu aendelee ku kubariki
Nimeupenda wimbo huu mungu akubariki sana
Amen Dada kz safi sana
Hallelujah!!!
Hakika nabarikiwa sana kila nisikilizapo nyimbo zako nimekuwa nakusikiliza kwa umakini mkubwa maana ujumbe huu nimeupenda sana mungu aendelee kuibariki huduma yako🤝🙏🙏🙏
Barikiwa sana
Mungu akutunze mdogo wangu nilikupenda bure
Good work madam
My favourite role model. Have been silently following you and hoping one will meet you ☺️
Ubarikiwe sana
Hallelujah,,,time will tell.in the name of Jesus 👏👏👏,,sitalia Tena,namngoja Bwana.barikiwa sana dada
Even though I don't understand the language, but the beats, sound, volume is 100% perfect,
Listening from Namibia
Welcome. it's a Swahili gospel song. Encouraging you should wait until GOD,s time. there are seasons to cry, to cheer we should not cry in every situation we should learn to thank GOD
@@misatijared Okey, very good. Thank you very much for interpretation
Ameen umekuwa ni wmbo wa baraka sanaaa kwangu
Jaman kweli kabisa acha mda usemee nakupnda san mung akubariki
Barikiwa mnoo Dada wa Yesu mnoo
Acha muda uongee...wakati wa Mungu ni wakati sahihi
Nyimbo nzuri sister mungu akubaliki
Amina mtumishi, Wimbo mzuri saana
Mungu akubariki sana. Nimebarikiwa sana.
Ameen🙏🙏
Ooh hallelujah Barikiwa sister .
Wow! The voice, audio production, video production, the beat, the anointing in the song! 👌👌👌. Everything is on point. Thank you for blessing our souls. More God's grace and favor. We love you. Watching you from Kenya.
Nimeupenda huo wimbo acha mda uongee
Mungu akuinue zaidi my lv
Amina
Acha mda uongee maana God's timing is the best
Waiting patiently for God's time to fulfil his promises in my life
Wacha mungu aongee kweli katika maisha yetu❤
Ubarikiwe 👍
Yuko vizuri da bite mungu azidi kukuinua
more grace my sister Beatrice
So inspiring song may God reigns blessings unto your beautiful family
Dada Beatrice mwaipaja umenibariki, Dada naweza zungumuza na wewe namna gani?
🙏🙏🙏
Amina hakika muda wa Bwana ndio sahihi asante dada b
This song is about God's timing as Biblically evidenced in Ecclesiastes 3:11, Isaiah 60:22, Habakkuk 1:5. "Acha muda uongee" Kiswahili for " "Let time speak" is full testimony that, at the proper timing, Everything will come to pass as planned.
MUNGU ASANTE KWA KILA NENO. ACHA MDAA UONGEE❤❤❤❤❤❤
Nakupenda sana ww dada natamani sana kuwa kama ww be blessed nyimbo zako hunibariki sana
Nyimbo zako siz hunibariki sana.barikiwa zaidi
Nice song 🥰
Only time will tell
Yes is now time of God to speak and lets faith to speak again amen.
Mungu akubariki sana Beatrice ujumbe mzuri sana
Mungu alimuinus daudi akiwa mdogo
Wimbo huu mzuri sana,unapendaza #AchaMudaUongee
🙏🙏🙏Amen
I really love you servant of God, more grace🙏
Amen acha muda uongee.beautiful song
You have a nice voice dear
Hongera sana kazi njema Beatrice keep up the good job
Much love from Kenya ❤️ the song is dopest👏👏
Great and a blessing song.
The mwaipaja family is really blessed