Pole sana kwa yaliyokukuta Martha,fahamu kwamba huu wimbo ujikaze ukufunze pia kwa yote uliyokutwa nayo.usinungunike zaidi moyoni,omba tu Mungu na urudi kwa familia mukae chini nina imani yote yatapita.
Kuna kitu Nimejifunza mum Kutoka kwa huu wimbo,Wakati mwengine haitupasi kuongea,kumbe Wakati Mungu amekubalia ndio mmbadala kwetu Kujibu,Hongera Sana,uje pia Kenya tunakukaribisha 🙏🙏😍 ni Fahari
When I lost my marriage this song strengthened me and for real I have seen God answer some allegation that were plotted against me. 10 years now and He still answers on my behave. Sio lazima useme wala kujibu mungu ujibu kwa ajili yetu. What a soul lifting song.
Martha Mwaipaja jua tu ya kwamba kama uko na wafuasi 10M mimi ni mmoja wao, wakiwa 10K mimi ni mmoja wao, wakiwa 1K mimi ni mmoja wao na kama ni mmoja tu basi ni mimi. Napenda nyimbo zako sana, uwa zina ujumbe na mafunzo mazuri sana. I wish one day I will see you perform live. Much love from Kenya.🔥🔥🔥🔥
Anytime Martha get into those studios, whatever comes out is always gem💎. The world is happy Martha exists. Tanzania is lucky Martha sings. God is proud He gave Martha a life.
Finally. I love the consistency. The Bible says the tongue is the most dangerous organ in the body, and this song is an exact portrayal o the same. Lets prepare the way the Messiah Jesus is coming. Leave all sin and walk in HOLINESS AND RIGHTEOUSNESS. AMEN
Please Martha as powerful women you are, prayerful and caring I believe if you pray to God he will answer your prayers. And anybody reading this please help me in prayers... My mom has been sick for so long bursting Ulcers, arthritis and low blood pressure, I believe God is faithful to answer your prayers. Mtumishi wa Mungu barikiwa 🙏🙏♥
Amen , thank you dadaangu for this song ,I'm blessed yes mungu akitaka kutenda anakuja mwenyewe ,sitasema kitu Hadi mungu awe amesema Amen ,much love from Kenya 💓💓💓💓
Depuis congo 🇨🇩 ♥ nous sommes bénit sœur Martha M. Prière pour notre pays congo 🇨🇩 toujours dans les guerre depuis 20ans. Nous demande juste la paix à l Est.du pays
I wish understood what Martha is singing about but am fascinated about the song and the singer. I paused to listen to it a few times whenever it came up on Trace Gospel. The tunes played up again today in my mind I came looking for it here. Comments here show people feel the same way I do about the song. Great vibes, Martha. Consider having lyrics translated in English for your int'l audience. Blessings!
Our gospel industry in Kenya wanaimba vituko...just secular camouflaging as gospel. God bless Tanzania and Kenya...may God bring true salvation to Kenya.
Amen and Amen.. we are all on a mission to let the will of God known in the ends of the earth.. And His Spirit is upon those who call unto Him, - Luke 4:18 - and has anointed us to to proclaim good news to the poor, to proclaim liberty to the captives, recovery of sight to the blind and to set at liberty those who are oppressed.. Mungu azidi kukutenda wema dada yetu Martha Mwaipaji. Nyimbo zako zina ufunuo mwingi na ni baraka kwa wengi. Blessings from Kenya🇰🇪
amen and amen. kuna watu wamejaa dharau kwangu mimi lakini huu wimbo umenifanya nipate nguvu. Mungu ataniinua wakati wangu. thanks mwaipaja you are a blessing. sitajibu kitu...na Nilijifunza kunyamaza. 💝💖
A very simple, humble servant of God, your songs are so anointed,when I listen to them, I feel so much peace and calmness, it's like the songs speak to me, assuring me that all is well God is in control, may God continue to lift you up!! Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My wish is to attend a concert by Martha.....your songs 🎵 my oh my....tears plus joy....euphoric....not sure even if that is the correct word to use. Utakuja lini Kenya 🇰🇪 😍 dadangu?
this song dropped the day I lost my Dad and it made me go silent contemplating on Dad's life 💔 😢 be blessed mummy your songs have made me strong since lost Dad please sing one for the orphans and widows
Katika kunyamaza tunampa Mungu nafasi ya kutupa Jibu mwafaka. Kwa wakati wake Mungu anatupa Jibu linalostahili kulingana na maoenzi yake..Glory to God ❤️ Amen and Amen. Martha Mimi nakupenda kwa kazi Yako ya injili. Unanibariki sana Dada. Sifa zimrudie Mwenye enzi Mungu wetu.. Amen✍️🙏
Wenye tumerudi tena kusikiliza huu Wimbo baada ya dadake Martha kushuhudia
Tuko pamoja na mtumishi wa Mungu
Nakupenda sana Martha n nyimbo zako sitakuach hat waseme maneno mabay❤❤❤from🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mimi nabarikiwa na wimbaji wako.Mungu atajibu tu.
Dada Martha nabalikiwa Sana nauimbaji wako pga kazi
Keep going Martha pia najifunza sana kukimia❤❤❤ from Kenya
Aaaa weacha tu napo sikiliza nyimbo za Mtumishi huyu huwa naona Raha sana sana sana barikiwa sana na yoye tatapita Mungu si mwanadamu hata aseme uongo
Heavenly Father I pray you keep the person reading this alive, safe, healthy & financially blessed. Amen
Amen......May your words be fullfilled in Jesus name
Amen🙏🙏🙏
Smirk-@3
@@prizlaura1qq
AMEN
Mungu azidi kukunyamazisha na mungu atajidhirisha kwako.na wote wanao kupiga vira watafungwa vinywa vyao
Nakupenda buree Martha Nafarijika sana kupitia nyimbo zakoo Roho wa Mungu azidi kukufunulia
Pole sana kwa yaliyokukuta Martha,fahamu kwamba huu wimbo ujikaze ukufunze pia kwa yote uliyokutwa nayo.usinungunike zaidi moyoni,omba tu Mungu na urudi kwa familia mukae chini nina imani yote yatapita.
My heavenly father, please speak on my behalf 🙏🙏🙏
"Sitaki kusema desemba 26/12/2024"nataka nikisema Mungu awe amesema na ndivyo ilivyo na itakavyokuwa.
Kuna kitu Nimejifunza mum Kutoka kwa huu wimbo,Wakati mwengine haitupasi kuongea,kumbe Wakati Mungu amekubalia ndio mmbadala kwetu Kujibu,Hongera Sana,uje pia Kenya tunakukaribisha 🙏🙏😍 ni Fahari
Uop
My favourite song so blessing❤
Hakika
C@@mosiria3974
td
Jipe Moyo mwanang kaza but husilud nyuma kaza but mungu akutie nguvu
Amina, yesu apewe sifa
Wooow ❤❤❤ubarikiwe saana tuu
Nataka nikisema Mungu awe amesema.....nimetulia Kimya ..Aliyeniita namjua sana
Dada nakosa niseme nini kila wimbo yako ni baraka kwangu
Tusaidie bwana na utufunze kujibu yliyo ykweli,, ameen Mather mwaipja mungu akubariki
Sikuzote ninabarikiwa wakati ninafuata nyimbo hizi.
Aki your songs hits different🔥🔥🔥who else replayed this song more than 5times 😊be blessed Martha
Aamen
Download
this mother makes such amazing songs God bless you more
Please rafiki yangu saidia mama, uwezi sema umependa mungu na uwezi saidia mama
Staki kujibu hatakama jibu ninalifahamu ..... greater thinker's.
Staki kusemaaaa.....Namwacha Baba alie juu Aseme🔥🔥
We are pathologists dealing with people with unbearable pain. As we comment,we wish everyone reading this good health and God"s Blessings
Hakika Mungu anaishi milele mwachie Mungu awe amesema ubarikiwe mtumishi martha hakika Mungu amekufanya kua chombo cha injili
When I lost my marriage this song strengthened me and for real I have seen God answer some allegation that were plotted against me. 10 years now and He still answers on my behave. Sio lazima useme wala kujibu mungu ujibu kwa ajili yetu. What a soul lifting song.
Even me ilost my marriage 2020 July bt ... God alisimama na mm kupitia kwa hii wimbo
Glory to God…my sister 🫂
Tupo hapa 2024 tarehe 23/12/2024
Mungu naomba ujibu badala yangu
Mungu akubariki sana Martha mwaipaja Kwa kazi nzuri unayo ifanya plus akuongezea miaka mingi Duniani ili uendelee kumuimbia
Martha Mwaipaja jua tu ya kwamba kama uko na wafuasi 10M mimi ni mmoja wao, wakiwa 10K mimi ni mmoja wao, wakiwa 1K mimi ni mmoja wao na kama ni mmoja tu basi ni mimi. Napenda nyimbo zako sana, uwa zina ujumbe na mafunzo mazuri sana. I wish one day I will see you perform live. Much love from Kenya.🔥🔥🔥🔥
Mungu akukumbuke dada kuna wakatimoyo unataka kujibu jambo ila tunamwacha mungu atujibie barikiwa sana mama
@@EmmyMwampashi binadamu anaweza kukufikisha mwisho paka basi tu .....wacha MUNGU aitwe MUNGU..,naye atujibie
Mm pia nikiwa miongoni wa hawa hata kama ni 100
🙏🙏🙏Glory be to God Hallelujah🙏
Sitaki kujibu niwe nimejibujibu
Pia Mimi sitaki majibu ya mwanadamu, nangoja majibu kutoka kwako mwenyezi Mungu..
Anytime Martha get into those studios, whatever comes out is always gem💎. The world is happy Martha exists. Tanzania is lucky Martha sings.
God is proud He gave Martha a life.
This song tuches my heart while enemies arr around me
True i agree the world and i too were happy and blessed that Martha exists and delivering the best
Very true indeed
💯
J
Huu wimbo ni ushuhuda maishani mwangu.God bless us all🙏🙏🙏
ua-cam.com/video/-fjWvitMgsY/v-deo.html
Amen be blessed with this song ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
🥰🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏
😀❤❤🥰🙏🏻
The day I will buy my new car from port of Mombasa, this the first song to be played . Amen
All things r possible to them that believe Amen
Martha barikiwa Sana kwa huduma dada
Glory to God
@@Smchoki5036 Amen
🙏🙏🙏🙏
Staki Kujibu,Nimenyamaza Wewe Ujibu.Nifundishe Kukimya Eeh Bwana😭😭😭😭🙌🙌
Mungu yupo yumwema kwa kilajambo amen
Tusiwe wa kujibu kweli acha Mungu ajibu........nabarikiwa saaana na nyimbo zako dada yetu barikiwa.
Mbona Kama umepungua Sana dada
Tanzanian Gospel Industry is just on another level. Truly serving God through singing.
Sasa hii ya Kenya, some are boring on the way they demean God by calling him earthly names like sir God. I feel very oppressed
70llc
Finally. I love the consistency. The Bible says the tongue is the most dangerous organ in the body, and this song is an exact portrayal o the same. Lets prepare the way the Messiah Jesus is coming. Leave all sin and walk in HOLINESS AND RIGHTEOUSNESS. AMEN
ua-cam.com/video/-fjWvitMgsY/v-deo.html
Amen be blessed with this song ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Amen
ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Woooooiiii mungu nashindwa kuongea..nashindwa hata kusema ..
Nangojea mungu wangu aseme
Please Martha as powerful women you are, prayerful and caring I believe if you pray to God he will answer your prayers. And anybody reading this please help me in prayers... My mom has been sick for so long bursting Ulcers, arthritis and low blood pressure, I believe God is faithful to answer your prayers. Mtumishi wa Mungu barikiwa 🙏🙏♥
May the good Lord heals her.....
May healing come upon your Mum in Jesus Name
mum is healed in Jesus name
Amen be blessed with this song ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Be assured of my prayers dear for ulcers let her eat carrots asitoe maganda atafune ivyo chenye atafanya nikuosha it will help her so much
acha mungu mwenyewe ajibu dada vitanimingi
Neema za Mungu zizidi kukunyeshea,always blessed by your songs.
ua-cam.com/video/-fjWvitMgsY/v-deo.html
Amen be blessed with this song ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Nikwel Dada me nyimbo zako znanbrik mnoo mungu akuinue viwang vya juu penda xana wewee
Mwenye ekima abishani. mafaraowote wapigane na mungu.
Mungu akupeleke kiwango kingine, may He enlarged you territory so that you can continue blessing us.
ua-cam.com/video/-fjWvitMgsY/v-deo.html
Amen be blessed with this song ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Hay
@@calvinloyd8293😮😮😮are going home tomorow iiii on my oooooooo9 2:01 2:01 are eeejwjj w😊😊😊😊😊😮😅😅😅😮❤ is
unisaidiye nisiseme seme ila ninapo sema iwe wewe Mungu umesema .
Your songs bless me so much. Much love from people in Kenya 🇰🇪
Yvonne sasa msiz
@@kasayadolphine3781 Niko fresh nashukuru
@@yvonnemirimu2151 amen 💖🙏. Nipitie pia siz
@@yvonnemirimu2151 asante nitakudishia siz
ua-cam.com/video/-fjWvitMgsY/v-deo.html
Mungu atusaidie tusiwe wa kujibu
Amen barikiwa sana my monter Martha mwibaja umefanya nisonge mbele kwa huduma yangu ya uwimbaji wangu hapa Kenya barikiwa sana
Ubarikiwe sana dada
Sijibu kabisa! Nimemwacha Mungu mwenyewe awajibu!
ua-cam.com/video/-fjWvitMgsY/v-deo.html
We acha hizo Kuna mengine unayaweza bila hata hujamwambia mungu mtu anakuchokoza wazi wazi unamwachaje ralua makofi yakushiba
Aki Martha u are a blessing to Africa may the Lord bless ur life always ur song writing skills are on top tunakuombea maisha marefu kipenzi chetu🇰🇪
Wacha Mungu ajibu kwa ajili yetu 🙏🙏🙏🙏
I'm a Zambian but I'm in love with her music..It is inspirational song
Maman asante sana jamani tumusa ponti kweli amen🇧🇮🇨🇩🇰🇪🇹🇿🇺🇬
Mm Nina mjua yeye aliye niita ndio maana nina ujasiri ameen
Wauuuu sitaki kujibu Amin Mungu
Ila Mungu nimwema
Daa Martha mungu akubariki nyimbo zako zanigusa Sanaa .your my best musician I like all your songs. Be blessed
Barikiwa sana Martha am from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Martha mwaipaja is the dressing code for me, you know how to dress Martha ❤️❤️❤️❤️
Martha Mwaipaja endelea kutupa raha ya mwenyezi Mungu, waache waongeye maneno ya usijali.
Napenda jinsi ulivyo mtulivu Matha!! Mungu akuinue zaidi
Mungu akupe nguvu na uwezo uwende mbali
I am blessed about this song Martha God bless you too🙌🙌🙌🙌
Powerful 🎉❤Lord am calling on you papa❤
Your songs really lift my spirit 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sasa
Poa
ua-cam.com/video/-fjWvitMgsY/v-deo.html
@@kasayadolphine3781
ua-cam.com/video/-fjWvitMgsY/v-deo.html
Amen be blessed with this song ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Nimekuona Mungu wangu.
Amen , thank you dadaangu for this song ,I'm blessed yes mungu akitaka kutenda anakuja mwenyewe ,sitasema kitu Hadi mungu awe amesema Amen ,much love from Kenya 💓💓💓💓
Amen be blessed with this song ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Huu ni ushuhunda wangu
Ubarikiwe da Martha kwa nyimbo zenye ujumbe mzuriii!!!
ua-cam.com/video/-fjWvitMgsY/v-deo.html
Kabsa Dada Mungu akitaka kusema anakuja mwenyewe, sitaki kujibu iwe nimejibujibu,sitaki kusema iwe nimesema sema.
Depuis congo 🇨🇩 ♥ nous sommes bénit sœur Martha M.
Prière pour notre pays congo 🇨🇩 toujours dans les guerre depuis 20ans. Nous demande juste la paix à l Est.du pays
ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
🙏 amen God bless yu
Amani iwe juu yenu.
Amen to your prayers 🙏
Mungu azidi kukubariki Martha huu wimbo mwaka 2023 ulikuwa ndiyo tiba yangu nilipita pagumu sana, Ila this song was my therapy!
Let me be humble in JESUS NAME AMEN, Barikiwa Martha 🙏Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu❤❤❤
ua-cam.com/video/-fjWvitMgsY/v-deo.html
Amen be blessed with this song ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Aksante Marta hii ni somo nzuri
Nimejifunza kitu kubwa Kwa huu wimbo mum ubarikiwe Sana..kunyamaza ni kuzuri jamani......
I wish understood what Martha is singing about but am fascinated about the song and the singer. I paused to listen to it a few times whenever it came up on Trace Gospel. The tunes played up again today in my mind I came looking for it here. Comments here show people feel the same way I do about the song. Great vibes, Martha. Consider having lyrics translated in English for your int'l audience. Blessings!
Our gospel industry in Kenya wanaimba vituko...just secular camouflaging as gospel. God bless Tanzania and Kenya...may God bring true salvation to Kenya.
Mungu akitaka kutenda,
Anakuja mwenyewe!
Mungu akitaka kusaidia ,
Anakuja mwenyewe!
🙏
The bible says be silent and i will fight for you
Ubarikiwe sana dadaangu, Mungu ni WA WOTE 🙏🙏🙏 unanibarikigi sana Nyimbo zako Mungu akupe umri mrefu zaidi dadaangu uendelee kuinjilisha kupitia Nyimbo
ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Thanks God bless you my sister
Yes, ata mimi nimetulia huku Kenya, Sijibu!
Bomet Kenya.... We really love u. May God keep on uplifting in every moment.
ua-cam.com/video/-fjWvitMgsY/v-deo.html
Congrat my sister and may God bless you alot
Mungu akujidishie dadaangu na akupemaisha malefu 'mimi tanguuanje imba unanifariji sana
Amen and Amen.. we are all on a mission to let the will of God known in the ends of the earth.. And His Spirit is upon those who call unto Him, - Luke 4:18 - and has anointed us to to proclaim good news to the poor, to proclaim liberty to the captives, recovery of sight to the blind and to set at liberty those who are oppressed.. Mungu azidi kukutenda wema dada yetu Martha Mwaipaji. Nyimbo zako zina ufunuo mwingi na ni baraka kwa wengi. Blessings from Kenya🇰🇪
Amen be blessed with this song ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Amen
ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Amen
Umesikia hii ??
ua-cam.com/video/uuys2mDFDi0/v-deo.html
MARTHA MWAIPAJA MUNGU AKUBARIKI KWA KIPAJI HIKI KIMENI BADILISHA ❤❤❤❤❤
Indeed mungu akitaka kukusaidia anakuja mwenyewe. So touching
Martha unanibariki kwa nyimbo zako mmangu mungu akuzidishie kipaji chako uzidi kutubariki Amen and Amen
Mungu amubariki sana player marther
amen and amen. kuna watu wamejaa dharau kwangu mimi lakini huu wimbo umenifanya nipate nguvu. Mungu ataniinua wakati wangu. thanks mwaipaja you are a blessing. sitajibu kitu...na Nilijifunza kunyamaza. 💝💖
Mungu akutumie vile apendavyo kutuponya mioyo yetu
Staki kujibu wacha Mungu ajibu
Martha Mwaipajas songs are so therapeutic ,they should be listed among antidepressants,...may God bless u Martha ,,every song is a hit ....
They are anxioulitics
They speak what you need to hear at your specific season.
Dieu est tout pour ma, Dieu seul suffit pour moi, Dieu ma bénédiction, Dieu mon cardiologue, Dieu ma réponse !!!🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Amen
ua-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/v-deo.html
Amen
A very simple, humble servant of God, your songs are so anointed,when I listen to them, I feel so much peace and calmness, it's like the songs speak to me, assuring me that all is well God is in control, may God continue to lift you up!! Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My wish is to attend a concert by Martha.....your songs 🎵 my oh my....tears plus joy....euphoric....not sure even if that is the correct word to use.
Utakuja lini Kenya 🇰🇪 😍 dadangu?
this song dropped the day I lost my Dad and it made me go silent contemplating on Dad's life 💔 😢 be blessed mummy your songs have made me strong since lost Dad please sing one for the orphans and widows
I’m sorry for your loss, may God strengthen you during this difficult moments 🙏🙏
Mungu akubariki dada Martha unanibariki sana
Woow 👌 wimbo wa mafundisho mema ,endelea vivyo hivyo dada Martha, nimebarikiwa saaana
Kenya 🇰🇪 we are blessed by this wonderful woman of God
Amen
Wimbo zako ziko sawa from Kenya
Much in love with your songs Martha unaleta faraja kila ninapo skiliza nyimbo zako may Almighty God keep on blessing you ❤️🇲🇼🇿🇦