Majambazi Sugu Waliouawa Kariakoo Hawa Hapa
Вставка
- Опубліковано 8 жов 2024
- Kufuatia tukio la ujambazi Kariakoo, Kamishna wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro, ametaja majina ya majambazi wawili kati ya wanne waliouawa katika majibizano na polisi.
Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Sirro amewataja majambazi hao kuwa wa kwanza ni Hamad Ally Musa, dereva wa bodaboda anayepaki kijiwe cha Tandika Azimio, mkazi wa Chamazi.
Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Mwingine ni Hamad Rajab Kombo almaarufu Ndonyo. Ndoyo anatajwa kuwa kwa kipindi kirefu alikuwa na tabia ya kuteka madereva wa bodaboda, Kivule, Chanika na sehemu mbalimbali za jiji la Dar akishirikiana na wenzake, ambapo alikuwa akiwakodi kisha anawapeleka porini ambapo anawapiga risasi na kuwapora bodaboda.
Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Akizungumza na waandishi wa habari, Sirro anasema majambazi hao walivamia kwenye duka la Othman Issa anayeuza chakula na vocha, ambapo majambazi hao walipofika walipiga risasi wakimtishia awape pesa, kwa bahati nzuri askari wa doria walikuwa jirani na eneo hili waliwabana.
Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Wamekutwa na sub-machine gun ikiwa na risasi 25. Kamanda Sirro anasema katika kurushiana risasi, raia wanne walijeruhiwa kwa risasi.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
Poleni Kwa kazi ngumu jeshi la police KAZI IENDELEE
Hongereni kwa kazi kutokomeza majambazi
Kamanda Sirro pongez kubwa kwako Mungu akubariki
Super
Hatarr
Asante jeshiletu Saluti
Kazi nzuri nawapongeza
Hongera Sana mzeee wangu na timu nzima kwa kazi nzur mnayo ifanya katika nchi yetu
Good job
Salute comradee
Safi sana
Ongereni kazi nzuri mmefanya
Kazi nzuri kamanda
Kaz nzuri polic mungu awalinde
Safi sana mkuu kwasemina hii
Asante
Hongereni wakuu kwa kuwathibiti
Hongera kwa kazi nzuri
vizuri sana
Kazi nzuur
safi sana,kaz nzuri sana
Good afadhali
thats nice work
Kanumba
Hongera sana mzee
Nawapongeza Sana polisi kwa kazi nzuri Sana.
Poleni Sana wanachi was kariakoo jmn
Hongera sana kamanda Sirro
Daaah wana umri mdogo sanaa haisee daah
You are doing good job officer.
hongereni sana kwa kazi nzuri
Sanatu
Kazi nzuri kamanda siro
Safi sana ASKARI thats good job Hakuna kulealea jambazi
eck
safi
d
safisana
Kazi zuri sana ogera polisi
Hatari sana
Safi Sana kamanda hongereni sana
Bravo Makamanda wetu.silo juu zaidi Baba saruti nyingi.
Sawa
kazi nzuri
Wachafu class TV
Good work
Kamanda SIRO tata pole na kazi lakini hongera kwa mapanbano na majambazi, naomba mungu akupe nguvu na maisha marefu, pia usikate tamaa kumsaka jambazi tusaidie raia wema dhidi ya majambazi.
Nice job
Only God can
Asante sn japo wanazidi kuzaliwa lkn watapungua tu shukrani kamanda
Nice
Shukrani sana kwenu Polisi jamii
Gni
Police wetu mnafanya kazi kubwa sana na ya kishujaaa,mwenyezi mungu aendelee kuwalinda na maadui wabaya
goswepenzikitovuchauzembe 0:00
Da hongereni sana
Oh Dr people good morning to u all. We are new here please can people please help us 🙏 oh we will be greatful if you people helps us thanks very much may God bless 🙌 you all.
kazi nzuri saaaana! nimependa kazi yenu,pongezi zenu askari
Leyla Iddy mambo
Leyla Iddy kwelii eeh..!?
Leyla Iddy poa
Leyla Iddy
yanga
xx
good job keep it up
it has an educative value n continue with that spirit
Hillary Uhuru
Mama uhuru
nimependa sana iyo kazi
Yani wabongo wananiachaga hoi. Mvua watakimbia, milio ya risasi wana ikimbilia.😁😁
umbea ndio unawapeleka .
Wambiye kabisa ubarikiwe
Hatari
Safi sana kaz nzr
Hongereni kwakazi nzuri ila jambazi mmoja nimpemba nahuyo mwengine ninani ila CP nazani hao wote niwa tz
Polen kazi ya polisi
Nice xana ndugu
Nimeipenda
Fazem Tu
kazinzuri sana asikari wetu wa tz
safi
good job
Bravo Siro and the Police of TZ, tuko pamoja
Congrants
Freadrick esenerwa wea r u ad rachel gidali
kazi nzuri sana nawapongeza wote
Good work my seniors
Kazi ni kazi
vizur
Acheni Tanzania iitwa Tanzania hogra xn
Wap uko
Kaz nzur
gud gud
muzuri
Safi Wafundishe Adabu
hongera kamanda wetu ww unajua sana kucommunicate na watu wote bila mikwaruzo.
Hongera kamanda
safi sana
Lingo
daaa hongereni.walijua ni kazi nzuri kumbe wamejipelwka aghera
hongerem sana usalama was tz maana walitaka kuteketeza maendeleo
anodi swaziniga
Safi sana
cc
nice job
kaz nzur kamanda...
Alice Wawa .sura poa mrembo
Alice Wawa r
iko sawa hiyo kamanda siro
Pigen kazi wizi ni kujitakia matatizo @mafekechee mwaga mpunga am kapizo man 🔥🔥🔥fireeee
President of libombo style Tanzania East Africa
GEMU
Safi
Safi kaz nzr
Atleast
Salamu kwa majambazi
Kiswahili kizuri ingedhani ni mwalimu wa chuo kikuu
keep it up officers.
Safi sana camanda.
Yamegundulikaje hayo mayukio manne ya kuuwa , kwa nn tukio la Kwanza had I launched nnehajagundulika
HONGERA SANA POLISI WETU, MNAFANYA KAZI NZURI SANA! MUNGU AWABARIKI!
Anaye iba akifa tunashukuru kwani yeye kashaua wengi hogereni jeshi letu mungu atusaidie na awabariki 🙏🙏🙏
Mm lilipotajwa jina la kwanza tu nimejua hawa ni wapemba
hapa kazi tu ma
Mungu atulinde nchi yetu ya Tanzania.Mungu awe nasi mpaka siku ya mwisho itakayo simama mbele ya mungu
Davo
Saff sana
janana
Hi
Nyie global mmeshaishiwa na habri,, mnaanza kutumia picha za uwongo,
Vyema San mungu azidi kukupeni nguvu