Mwanza: Polisi Waua Majambazi 6, Tazama Video Eneo la Tukio
Вставка
- Опубліковано 8 жов 2024
- SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
Watu sita wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi katika mtaa wa Fumagila Mashariki Kata ya Igoma jijini Mwanza.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo baada ya watu hao kuzingirwa katikati ya majengo mtaani hapo na kufanya mashambulizi ya kujibizana risasi kwa muda mrefu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lakini akaomba alitolee ufafanuzi baadaye kwa kuwa hivi sasa bado anaendelea kukusanya taarifa zaidi.
“Ni kweli hilo tukio hilo lipo, ila bado tunashughulikia naomba munipe muda nitataoa ufafanuzi baadaye,” alisema kwa ufupi Kamanda Msangi.
Shuhuda wa tukio hilo, ambaye ni diwani wa Kata ya Kishili iliyo jirani na kata hiyo, Sospeter Ndumi amesema kurushiana risasi baina ya watu hao na polisi kulianza usiku wa manane hadi majira ya asubuhi.
Amesema katika majibizano hayo polisi walifanikiwa kuwaua watu hao na kukamata silaha mbalimbali za kivita walizokuwa wanazitumia.
Katika mtaa huo huo ndipo lilipotokea tukio la Desemba 3 mwaka jana ambapo polisi waliwakamata watoto 11 wenye umri unaokadiriwa kuwa na miaka sita hadi 14 baada ya kuizingira nyumba moja kwa lengo la kuwakamata watu waliowahisi kuwa majambazi.
Mmoja kati ya watu watatu waliokutwa kwenye nyumba hiyo alikimbia baada ya kuwarushia polisi bumu la mkono, kabla ya polisi kuwadhibiti waliosalia kwa kushirikiana na wananchi wa mtaa huo.
Kadhalika katika tukio hilo, watu watatu waliosadikiwa kuwa ni majambazi waliuawa na bunduki mbili aina ya SMG na AK47, magazine saba, bastola moja na risasi 183 vilikamatwa na polisi.
Baada ya polisi kuondoka katika eneo hilo, wananchi waliiteketeza nyumba hiyo kwa moto.
Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
mungu awe nanyi katika kazi hii yakukomexha huwadilifu nchin tanzania
Mmbarikiwe kwa kazi nzuri mnayo ifanya yakulinda taifa letu
kazi nzuri police
songa mbele maasisa wetu mungu awalinde na awape kinga
hongereni saaana jeshi la police,mnafanya kazi nzuri,endeleeni hivyo hivyo
Hongera sana TzPolice
safi mungu awape nguvu jeshi la polisi
Tekelezen hapa kazi 2
hongera sana polic mwanza
good job
mungu ibariki Tanzania kwa ujumla maana tunataka amani
Kazi nzur
good job for Tanzania police.
Kazi nzuri makamanda mziogope jambazi akizingua piga chuma ukimwonea huruma yeye atakuhuwa Niko njia kuja jeshini kujumuika na nyie
Mungu ibariki Tanzania, hichi kikundi inaonesha kina mtandao mpana, serikali jitahidini kuujua huu mtandao, God be with you
hongereni sana jeshi la polis kwa kuendelea kutetea nchi yetu
ikopoa sana
Hongereni polis kwa udhirikiano huo
songa mbele makamanda wetu, Mungu awape nguvu na kinga
emmanuel mohammed tuishukuru sanatanzania napiatuishukuru jeshiraporisi tanzania
Lucy Waziri
Mungu awabariki
Ekisi..ya.kibogo
ulivyo mjinga Mzava Mathias unaweza kuwafundisha kazi askari
Police n wazaifu sana wapewe mafunzo zaidi
majinga aya tutayatumbua tabia gani izi jaman
jamani watanzania atujazoea mambo haya tujitaidi kutoa tarifa
p1 xaana
e jamani
free mason
nivizur kukomesha ualif
jambo la ajabu ni kuwa hakuna anayeachwa hai ili asaidie upelelezi? wote wanauawa? hivi ndio ujue kuwa jeshi letu linakosa weledi
huyo mmoja aliyekamatwa hatoshi au plz do research before you say anything hyo n km kuwakatisha askari wetu tamaa
Mathias Mavanza ww ndo hujui kitu kaa kimya bwege wee mbona wao wanauwa wakale chakula cha bule
bwege huyo
tulia wewe ujui chochote
Mathias Mavanza a cha zako
kusema kanzu fupi kilemba anamaanisha nini?
we hujui anamaanisha nn kwn kipi usichokielewa
tatzo mnataka waseme uongo ndo mnaridhika kwan km amekuta kanzu aseme suruali au reason before you make any decision
mtwewe dada
Kazi nzur sana