Mjukuu wa Bakhresa na msafara wa Ferrari na Mercedes G-Wagon 2 Dar, watu wana hela!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 175

  • @assaabdulla1031
    @assaabdulla1031 Рік тому +7

    Bakhresa amekuwa akisaidia watu masikini na Allah anamuongezea riziki yake watu wote matajiri muwe kama bakhresa muwe mnatoa misaada kwa masikini na watoto yatima na mungu anawaruzuku zaidi

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 4 місяці тому

      Mshauri akahiji makha

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому +7

    Wazee tusiwaze sana peponi yapo hayo tufanye ibada kwa sana tu

    • @nassirmohamed8492
      @nassirmohamed8492 Рік тому

      Kweli kabisa

    • @PaschaliKimario
      @PaschaliKimario Рік тому

      Ni kweli. Lakini tupo dunian kwa kusudi maalumu la Mungu. At the moment tuna jiweka safi kujuandaa na pepo tukumbuke kutumiza kusudi la Mungu la kutuweka dunian, tufanye mabadiliko yenye thaman na return yake ndo vitu vya thamani kama hivo. Mungu ametuumba na kutuleta duniani ili tuiboreshe

  • @saeedal-awen2190
    @saeedal-awen2190 Рік тому +2

    Hapo ni mjukuu wa Bakhresa. Zayd Yusuf Bakhresa. Na mtoto wa GSM. Mohamed Ghalib

  • @alleninnocent2138
    @alleninnocent2138 Рік тому +19

    Wako na unyama kama huu afu kimya duh 🙄 kweri pesa inaongea

    • @nassirmohamed8492
      @nassirmohamed8492 Рік тому +1

      Pesa haitaki kelele

    • @samuelemmanuel3400
      @samuelemmanuel3400 Рік тому +1

      @@nassirmohamed8492 😂😂 sio kina mondi aki nunua boxer mpya yupo mtanaoni 😂

    • @eladiuspeter586
      @eladiuspeter586 Рік тому

      @@samuelemmanuel3400 brother tofautisha pesa ya kutafta na ya kutaftiwa. Vile vile hamna gari ya bei ya gari ya diamond hata Moja hapo.

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Рік тому +9

    Wameamua kuwaonesha wasanii wenye vihele hele kwamba wao sikitu

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Рік тому +2

    Maashaallah tabaarakallah

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 Рік тому +1

    Umaskini una kazi,utaanza kumchambua mtu,kabila,rangi dini n.k, rangi nyeusi ni laana ya mungu

  • @DaudFataki
    @DaudFataki Рік тому +2

    Wengine wanatoboa mpakapua acha mungu aitwemungu pesa za mungu hakutumi utoekafara yakuvaa sketi kutoboapua kusuka kuweka mkonga wayembo unaangalia matakon achamungu awejuu yakilakitu namwenyeezimungu akipa neema mzee ionyeshe tuh siunaona mafukara tunafulahi ilaeachawi wananuna wenyeiman kamwe aldhi yamungu tupodaradan asante mungu

  • @editorfrank7471
    @editorfrank7471 Рік тому +3

    Tanzania bado sana jaman nenden Nigeria muone magar ya kishua mtazimia

    • @mosimba467
      @mosimba467 Рік тому

      Nigeria kitugani nenda Hollywood uone vitu

    • @editorfrank7471
      @editorfrank7471 Рік тому

      Sijataka huko mbali kote,nmetaka ujue hapa hapa africa kuna matus ya kutosha

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Рік тому +3

    Maisha hayafanani hata kidogo ! Na kila mtu ataishi jinsi Mungu alivyomjalia hatuishi kwa kufanana hata kidogo! Mtu anaweza kuonyesha baiskel yake hapo halafu mtu mwengine anakushaa , lakini kila anajikuna anapoweza na aliyeonyesha baiskel na aliyeonyesha gari wote ni the same! Tunafarahi Mwenyezimungu awajalie zaidi wote !

    • @SaumuNinga-np5zb
      @SaumuNinga-np5zb Рік тому

      Sana yaani afu haimanishi mpk uwe na kikubwa ndo uonyeshe hata kdg safi tu

  • @noru9028
    @noru9028 Рік тому +35

    Usiseme atuna hela sema sina hela😢😂

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 Рік тому +1

    Good job home land 🇺🇸

  • @jumasaad9604
    @jumasaad9604 Рік тому

    Mwenye izo gar anaitwa manzini

  • @shadiathemedshadiathemed8699
    @shadiathemedshadiathemed8699 Рік тому +7

    Kuna watu wanaviset wanasumbua sn wenye pesa awo wapo kimyaaaaa

  • @alibinali_
    @alibinali_ Рік тому +4

    Noma sana wasani mwenye bado hapo 😂😂😂😂 that is the Lifestyle 😊

    • @KaaJoo-zo7ol
      @KaaJoo-zo7ol Рік тому

      Wangekuwa wasanii watanzania umwinyi mwingi

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому +19

    Asili ya waarabu ni kuendeleza pesa lkn ingekuwa watanzania ni kula bata tu mpk pesa iishe afu mwishowe anabakia kapuku na kuwa omba omba au anaanza kula madawa kuondoa msongo wa mawazo

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 Рік тому

      Na kujipamba pia . Ndo shida ya watu weusi ss.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому +1

      Ndio maana tukawapa bandari

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 Рік тому

      @@alzawahirabdallah2299 😜😜😜😜

    • @kazikazini1042
      @kazikazini1042 Рік тому

      Hao ni watanzania

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      @@kazikazini1042 asili yao wapi mo dewji mtanzani lakini asili yake india aw kabila lake muhindi utanzania ni uraia tu

  • @merinakassembe4251
    @merinakassembe4251 Рік тому +15

    Halafuwako kimya hawanamasifa

    • @mohdykessy5855
      @mohdykessy5855 Рік тому +14

      Siku zote pesa haitaji kelele si umeona tv za bank hazinaga sauti

    • @papaamponda397
      @papaamponda397 Рік тому +1

      😂😂

    • @mackysuphian
      @mackysuphian Рік тому +2

      @@mohdykessy5855 😂🤣🤣🤣duuj weweee

    • @amour5535
      @amour5535 Рік тому +1

      @@mohdykessy5855 duuh ww noma sanaaa sanaaa

    • @benedictomihayo9948
      @benedictomihayo9948 Рік тому

      @@mohdykessy5855 😂😂😂😂

  • @nassorseif2799
    @nassorseif2799 Рік тому +6

    Yuko wapi godlove

  • @abdulkadirsheikhmohamed5
    @abdulkadirsheikhmohamed5 2 місяці тому

    😂😂😂...MAKABURI AMBAO NI GIZA SANA PIA INA WAONGOJE ANY TIME ONE CAN DIE AND LEAVE ALL THESE USELESS FERRARIS AND LUXURY CARS . Nairobi kenya

  • @najimahgomez3334
    @najimahgomez3334 Рік тому +2

    Wapo na pesa zao na Hawa jionyeshi Sasa sisi wasanii mmmmmmm tuna jisifu suti tu milioni 3 ona Sasa wenye nazo kimya kimya na makanzu tu

  • @samuelemmanuel3400
    @samuelemmanuel3400 Рік тому +6

    Bro hapo sio Gwagon mbili Ziko Gwagon tatu huyo anae piga picha mwenyewe yupo ndani ya Gwagon, alafu mbele ya hizo Gwagon kuna benzi nyingine g class pia Kama ya 400m Hivi jime sahau ni g ngapi number yake Ila jua hao hela ipo bro

    • @suleimanally-rp8yh
      @suleimanally-rp8yh Рік тому

      We nawe wajua kuangalia magari ya watu we huna 😅😅😅nunua mwanzo IST si kuangalia magari ya watu tu😂😂

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 Рік тому +1

    Kikubwa uzima ata mini mbarikiwa

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 4 місяці тому

    Umeshasema mjukuu wa bakhresa bass

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz Рік тому +3

    Hii inaitwa Tajiri haonekani ingelikuwa kina Diamond apo na Harmonize vifua kama ukuta

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 Рік тому +1

    Akhi sina ela dah

  • @jumasaad9604
    @jumasaad9604 Рік тому

    Yy ndo anauza gar kali za kifahar tanzania nzima

  • @idrissaomba8803
    @idrissaomba8803 Рік тому +1

    Mange kadanganya watu kumbeee,, oooh waarabu

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 Рік тому +2

    Mjukuuuuu👏👏👏👏

  • @DodatiAssey-ep5ou
    @DodatiAssey-ep5ou Рік тому

    Eshima kubwa kwao

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 Рік тому +7

    Angekuwa cheif god love.....tungetukanwa mpk kiama kinatukuta walllah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @efronaaron6772
      @efronaaron6772 Рік тому +1

      😃😃😃😃😃😃

    • @atislady3400
      @atislady3400 Рік тому

      I think hayupo sawa 5days back ety anakunywa dam ya ng'ombe live

  • @bitecastory2137
    @bitecastory2137 Рік тому

    Mtoto WA Yusuf huyo amekuwa Kwel kwel

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Рік тому +2

    Sasa daimond anasemag ana hela

  • @yonalema7442
    @yonalema7442 Рік тому +2

    ACHA NIENDELEE KUTAFUTA PESA ALLAH NIJALIE 🙏🏾

  • @Nasbu-tb6cs
    @Nasbu-tb6cs Рік тому +1

    Daimond njoo huku uone😂😂

  • @dinoboyarnold661
    @dinoboyarnold661 Рік тому

    Acha Uongo mzee uwe unafatilia habari kwa Uhakika ndo utoe habari

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 Рік тому

    Aisee

  • @AbdulnasriHamisi
    @AbdulnasriHamisi 5 місяців тому

    Mfano angekuwa diamond hapo 😂😂😂

  • @hassanimussa2154
    @hassanimussa2154 Рік тому +5

    Mtoto wa GSM katikati

  • @abdulkadirsheikhmohamed5
    @abdulkadirsheikhmohamed5 2 місяці тому

    NI VIBAYA SANA KUJIONYESHA HATA DIINI YA KIISLAMU HAIKUBALA MTU KU SHOW OFF NA HIZO MALI. MAMBO KAMA HA YA KIJINGA NDO ILIFANYA GN ZEES WA KENYA KUKASIRISHWA. GN Z WANA WEZA KUJA DAR KWA HAWA WAARABU. . ........NAIROBI

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 Рік тому +3

    Habibi tayar wameshaingia mzigoni 🤣🤣🤣🤣🤣 Malinda ya vijana yakae saw .....🏃🏃

  • @emtonboyofficial1134
    @emtonboyofficial1134 Рік тому +2

    Ata deni la unipigie tafu sijamaliza kulipa🤣🤣🤣😂

  • @millianebee
    @millianebee Рік тому

    Hao ni waarabu sio watanzania

  • @swampinou4296
    @swampinou4296 Рік тому +1

    Sheckhe huyo sio mjukuu wa backhresa huyo ni Mazzen mmiliki wa Quality Fix garage Tz-ndo mwenye hiyo ferralli inaitwa Spider-na ni muhindi sio muarabu-acha kutu miss lead-mjukuu wa bakhresa hapo hahusiki zaidi ya kuwa ni mshkaji tu wa Mazzen

  • @sirajikiluvia4575
    @sirajikiluvia4575 Рік тому

    Hawana lolote,kabiru ndio tajiri$1996$

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 Рік тому +1

    Huyu ni mjukuuu tuuu jmn😢😢😢ngoja tuone kitukuuuu

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 Рік тому

    Karibu mayele

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому +2

    Hongera zao

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 Рік тому +11

    Wana haki sababu pesa wamezikuta kwa babu

  • @patrickmarwa5024
    @patrickmarwa5024 Рік тому

    Watu wana pesa ukiwa kama mtoto wa kiume pambna hizo gari baba yake ajapewa leba kapambana sasa ni kupambna tu

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Рік тому +2

    Haya Mambo yanamsaidiaje mtu mwenye njaa)))

    • @nicksonnovart5788
      @nicksonnovart5788 Рік тому +2

      Acha kukaza fuvu watu wasiishi sababu kuna wenye njaa

    • @Kennrique
      @Kennrique Рік тому +1

      Kaka ebu tafuta hela

    • @crayonmaze9970
      @crayonmaze9970 Рік тому +1

      Haya mambo yanamfanya mwenye njaa kama wewe apate hamasa ya kutafuta hela na sio alete majungu mitandaoni

  • @mliwakhatib9457
    @mliwakhatib9457 Рік тому

    Manage kimambi kapotosha maku yule

  • @abdallahmhenga528
    @abdallahmhenga528 Рік тому +4

    Narekebisha SIO shughuri ya mjukuu wa bakhresa ni harusi ya kijana mwingine kabisa MWENYE KUJITAMBUA NA KUJIWEZA anaitwa MAZI.......na sio familia ya AZAM ila anaushikaji na watoto wa bakhresa na GSM.

  • @carloschikawe3244
    @carloschikawe3244 Рік тому

    Watu wenye pesa awanaga mbwembwe bwana si unaona hayo maisha kama American kume ni bongo jamani khaaa...

  • @adamelly6051
    @adamelly6051 Рік тому

    Mange kimambi akae kwa kutulia xxa

  • @NoelChambo
    @NoelChambo Рік тому +2

    Kuna muarabu masaki anaitwa Manzini anayo hiyo Ferrari kitambo

    • @yunyun799
      @yunyun799 Рік тому

      Ferrari yake ya mwaka gani😂😂😂

    • @NoelChambo
      @NoelChambo Рік тому

      @@yunyun799 kama hiyo unayoiona hapo, mimi nimeiona mwaja jana, na bongo ilikuwa ya kwanza. Tembeeni nyie msikae tu mbagala

  • @justinyohana5074
    @justinyohana5074 Рік тому +2

    Uyo mwingine mtoto wa gsm

  • @suleimanally-rp8yh
    @suleimanally-rp8yh Рік тому

    Ila nyi wabongo 😂😂 si kwa ubaya hao si wabongo ni wahindi na WARABU Ila wanakaa bongo nyi hamuoni hawana asili ya kibongo hao si wenzenu nyi mnateseka tu😅😅😅

  • @ibrahimurembo7397
    @ibrahimurembo7397 Рік тому +2

    Mbaka machozi yamenitoka siyo mkiwa na crown tu mnatuvimbia

  • @planboyplatnumz7050
    @planboyplatnumz7050 Рік тому

    wala hata sio mjukuu wa bahkresa😂😂 jaman watu nyie

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe Місяць тому

    Mali na watoto ni mapambo ya dunia tuekeze Kwa allah

  • @lavieestbelle3263
    @lavieestbelle3263 Рік тому +11

    Mange kimambi akatudanganya ni waarabu wa dp world mbwa yule🥺🥺🥺🥺

  • @philipocharles8507
    @philipocharles8507 Рік тому +2

    Uyo ni mjukuu😂

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz Рік тому +1

    Halafu utawasikia wabongo Mo Dewji ana hela mbele ya Bakhresa mawe

  • @yusufurhobi9678
    @yusufurhobi9678 Рік тому

    Hivi katika huo msafara kuna gari la rolls-royce

  • @mohamedmahmudali9346
    @mohamedmahmudali9346 Рік тому

    Wache wapewe bandari 😂

  • @ramadhanitokwete8069
    @ramadhanitokwete8069 Рік тому

    Mbna hazina plate number

  • @EdwinAdAstra
    @EdwinAdAstra Рік тому +1

    Wapi kajala 1 na 2 tena zote ni renjiiii 😂

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 Рік тому

    Weka video bana

    • @fabiolarespiki1120
      @fabiolarespiki1120 Рік тому

      Kumbuka Hawa Wana urisi wa Babu Yao uwezi walinganisha na wabongo walianza kutafuta wenywe

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 Рік тому +5

    Pesa wemezikuta sisi tumetafuta..Wacha pororjo

  • @Shafiijuma-ly7ep
    @Shafiijuma-ly7ep Рік тому

    Watu wametoka kipovu jana 😂 eti waarabu ndo wanaigia hao wabongo 😂

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 Рік тому +16

    Ndio mipango ya mungu wengine wanazo wengine wanalia njaa😂

    • @salma-fc4xc
      @salma-fc4xc Рік тому +1

      Ndio ila utajiri wa dunia ni wa muda mfupi sana MUNGU atujaalie Utajiri wa dunia na wa akhera 🤲🙏

    • @massejobbs4284
      @massejobbs4284 Рік тому +3

      Acha ujinga wewe . Wapi mungu amekubali umaskini. Akili fupi sana. Jaribu kujitafuta.

    • @issazalala4907
      @issazalala4907 Рік тому

      @@massejobbs4284 daaah 🤣 umeshinda kaka

    • @massejobbs4284
      @massejobbs4284 Рік тому

      @@issazalala4907 ata wewe ni milionea. Asikutishe mtu… Mungu apendeleyi. Jitume tu. Poa

    • @PaschaliKimario
      @PaschaliKimario Рік тому

      Sio mipango ya Mungu. Mungu ni mwenye rehema, neema na huruma. Ila tu sio kila mtu yupo tayari kufuata kanuni za kazi na kanuni za kimungu ili abarikiwe kuwa na mafanikio. Maanaa umiliki wa vitu ni baraka

  • @josephatmathiasgalagalabuh786

    Mbona babu hana hizo sifa

  • @massejobbs4284
    @massejobbs4284 Рік тому +6

    Kuweni na changa dumu. Tanzania imewatajirisha. Wanaowana wenyewe kwa wenyewe. 😢

    • @wadantz123
      @wadantz123 Рік тому +1

      😆😆 wabaguz awa huwaga awachanganyi damu wanaoana wenyew kwa wenyew

    • @massejobbs4284
      @massejobbs4284 Рік тому +1

      @@wadantz123 kweli . Sisi tunawapa nafasi yakuwa mabilionea, lakini sisi atuwezi kamwe kua milionea kwao. Wabaguzi warangi . Sisi watu weusi ni jinga sana. Sorry lakini kweli…

    • @chiefonlinetv
      @chiefonlinetv Рік тому +6

      Chukueni maneno yangu hawa warab sio wabaguz ila ni sisi wenyew tunawaonyesha wao kuwa tuna njaa ya pesa ukiwa na huo uroho wa mal milele utakaa ukisema wabaguz ila mbona sisi tunaish nao vzur tu kama ndugu zetu jifunze hiki kitu weka njaa pembeni jifunze kuchangamkia watu wenye hela utakuja kunishukuru huna pesa alafu unajiskia mswahil anakwambia kaa na watu uvae viatu

    • @mohamedsaid2882
      @mohamedsaid2882 Рік тому +1

      Dah mwamba sijakuelewa unataka kuwa ndugu yao ama kuwa na hela dah njaa mbaya sana aisee😂😂😂

    • @maishaforreal7798
      @maishaforreal7798 Рік тому +1

      Uyo niutaratibu wao na ni mzuri saanaa ata nasisi tunaweza kuufanya ila Sisi wajinga mtu mweusi akiwa na pesa nyingi anaowa mzungu ao mwarabu 😂😂😂😂😂. Wao kama wengine wamejiwekeya kusema wao ni superior so na Sisi tunaweza kujiwekeya Hilo kichwani . Kumbuka ndoa ni kitu kikubwa ndiyo maana wanafanya Ivo wao kwa wao inakuwa rahisi kuishi.

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter Рік тому +1

    Kimfaacho mtu chake mpe

  • @stellakasimba9375
    @stellakasimba9375 Рік тому

    Mweee

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Рік тому +3

    Uyo mjukuuu aya na mtoto jeee aya inge kuwa wale jamba nani clown tu dunia zima najua lakn awa wala bilion tano ipo bara aran

  • @innocentboykid244
    @innocentboykid244 Рік тому +1

    😂bandari

  • @salimalesry428
    @salimalesry428 Рік тому +2

    Wabongo wajinga sana gari 3 tu za kawaida eti umeisimamisha dar hapa kwetu wabedui wanabebea mbuzi hizo gari na majani ya mifugo eti unyama mwingi wajinga sana

    • @PaschaliKimario
      @PaschaliKimario Рік тому

      SIO UJINGA. kwetu Tz sio kitu cha kawaida. Hizo gari ni gharama mzee. Usiongee kujifurahisha. Plus share hio content ya picha 100 jinsi zinavyobeba majani ili tukuamini. Usiongee tu with no data

    • @salimalesry428
      @salimalesry428 Рік тому

      @@PaschaliKimario tatizo washamba wa magari hizo mnaona gari za kifahali hapa zinabeba mbuzi na majani wewe vipi unataka picha njoo inbox na nipo njiani naelekea huko huko wanapobebea majani usiwe mjinga na wewe mmojawapo

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Рік тому

      Hata mim nashangaa wanawasifia wakati ni magari ya kawaida tu hata tajiri wa kawaida tu anaweza kumiliki. Mim naamini hiyo ferrari haifikii bei ya Rolls Royce.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    ✌️🙏👊.

  • @BrunoMassawe
    @BrunoMassawe Рік тому

    Wajinga nyie ata baiskeli no usafiri pia