Wabongo wachen roho mbovu huyu dogo Nasseb hamumuwezi itachukuwa miaka mengi sana kuja msaani kufika level ya Diamond dogo amefika mbali sana tena sana 🔥
Rolls Royce Haina underlincence na ingekuwepo SOUTH AFRICA WALIKUWA washaitengeneza kitambo .Kumbe Bongo ipo Moja tu Ya MONDI 🤣🤣🤣🤣 fantastic super star#diamondplatinun #swahilinatiin #wcbWASAF🇹🇿🇹🇿💎💎💎💎💎🤣🤣🔥🔥
Rolls-Royce haitegenezi engine kwa hizo gari. Anaposema kwamba wanaweza wakatumia engine which is not from Rolls-Royce. Hapo kakosea. Rolls-Royce wanatumia engine za BMW V12. Hapa Zaventem Belgium wateja wangu wanazo, ingawa siyo nyingi kwani ni gari ya garama kido. Kwayiyo amekosea kidogo hapo.
Naomba nikuulze swali, Je, kama RR awatngenez engine na vipi kuhusu ndege mbona wanawauzia Boeing nk engine inamaana ni wananunua pia kwa BMW hahaaaaa?? Kama wanauza engine za ndge kweli washindw kutngneza ichi cha gariii ???
@@happyjohn5882 siyo kwamba hawawezi kutengeneza engine. Ila tukumbuke kwamba ni wafanya biashara kama muuzaji wa nyanya au vitunguu. Wanangalia faida kwanza. Kwa sababu kutengeneza engine zagari hasa kwa kipindi hichi siyo jambo rahisi, kwa sabubu ya hizi CO2 AND NH AAND NOx regulations. mambo ya (euro 5 euro 6) . Kama unavyo juwa London, Bussels ect kama gari yako siyo ya petrol hairuhusiwi kutembea. Na kama ni Diesel hapo basi kiboka. Kama siyo euro 4 and euro 5 next year. Huruhusiwe kuingiya Brussels. Na ukibisha ni unapigwa fine ya 350 euro. Kwa hio Wawo hawoni faidha ya kutengeza engine wakati BMW tayari wamekwisha fanya kila kitu. Inakuwa ni rahisi kwawo kununuwa kwa BMW. Kama wengine wanavyo fanya. Ukiangali pangani zonda katumia engine Mercedes AMG V12 ya zamani kido, ukija kwa Aston Martin naye pia katumia AMG Engine. Kwahiyo kila kitu ni mahesabu. RR wawe wameamuwa kutengene egines za ndege. Na siyo lazima wateja wajuwe kwamba ni v12 kutoka kwa BMW muteja yeye kazi yake ni kuwekabmafuta kuendesha. Nasisi mafundi tufanye kazi zetu. Ila RR ni gari kama nyingine kwa sababu ina 4 tyres kama magari mengine. Sema yu mtu ukipata vi cents inabidi ujifurahisha baada ya kazi yako. Hivyo ndivyo binadamu tulivyo wengi wetu.
Upo sahihi, ila kama jama alivyo sema yeye ni anaagizia magali. Siyo fundi, yani yeye atacho angalia ni nini mteja anahitaji. Akilipa basi anamuagizia. Hata hapa wapo ukienda kwenye ma dealers kama Mercedes, BMW ect. Utakuta kuna mafundi, na watu wengine wakiwa réception. Wale wa réception maranyingi huwa wao wana kazi zawo maalumu. Siyo lazima wajuwe kila kitu. Na kama mtu kakosea siyo vibaya. Anaweza akarekebisha kama akipenda. Kwa sababu tunajifunza kila siku. Na tatizo tulilo nalo sisi huwa ni wabishi sana huwa hatupendi kukosolewa nahilo ni tatizo linalo sababisha tusijifunze. Ila tuwe wakarimu kwenye mitandao. Ili tujifunze siyo lazima matusi, kejeli na mambo mengine.
Namshauli daimondi sasa awekeze kila mkoa wa tz sio dar tuuu na mimi naona wa tz wengi wanao mchukia daimondi ni kwasababu ajawekeza kwenye sehem ya upigaji maana wa tz wanapenda sana madili
Kwa nini mzituletee aina za machine za kukamua mafuta ya alzeti. Au machine za kutengeneza mafuta ya maparachichi ya nywere. Au machine ya kutengeneza viatu za ngozi.kuongelea gari za watu kunafainda gani?hizo handithi ndizo watoto watu watarithi?
Wanawake wenzangu acheni upuuzi huu wa kuchoma nyumba nusunusu, seti mipango hakikisha ukiwasha moto hakibaki kitu zimamoto wenyewe hawana maji ni uwakika huo..🙂😗 acheni kuchoma kiboyaboya ivo
Watu wnashindwa kuelewa tu Wanaompinga Mondi ni wenye wivu wa maendeleo na kutafuta umaarufu kupitia yey, we tazama kila media ispondika jina la Dai habar aziendi !!
Omar Bahkresa anazo Rolls Royce mbili ( Wraith na Ghost),Na Davis Mosha anayo 1 Rolls Royce Phantom ile aliyotumia Professor Jay kwenye wimbo wake Wa UTANIAMBIA NINI
Rolls Royce ni ya Daimond. Ikiwa feki or original unahusikaje? Ni ya kwake mwenyewe kwa nini tunapoteza muda kuzungumzia? Ni aina ya wivu na kejeli. Daimond ni tajiri.Anao uwezo.
Umasikini tabu sana oh kanunua viatu oh kanunua koti, oh kanunua gari, oh hana nyumba oh oh oh.sijui hizo tabia za hasada na tamaa za vitu vya watu mtaacha lini tafuteni vyenu pumbavu babako anapekua kamnunulie viatu.
why he can't and why when you comment u look like you know him more more than himself. is the same for me to say u can't get money forlife while i don't know u deeply not good u have a problem some where you need change your attidude
nguo tunazovaa wenyewe mitaani ni second hand,sioni ajabu ata mondi akifanya ivo,mi mwenyewe ata la mtumba sina,but inshaAllah naomba Mola anijalie na mm nimiliki vitu ninavyovipenda
Mbona ya kawaida sana ,jifunze kuona kila kitu ni cha kawaida wala usihamaki sana ,katafta hela kanunua ,ht mimi nkitafuta hela ntanunua hata Starlet na kuna watu mimi nitawashika pia so duniani kila mtu aishi uwezo wake 😂
I was expecting you to show us that Diamond's car instead unatuonesha Video za gari nyingine. Na ulitakiwa wewe umtafute Diamond umuombe ulinganishe hiyo gari yake na hizo Genuine.
Hey! I’m very disappointed with this guy who called him urgent. My friend there’s no fake engine for this type of car . Just do small research please. U guys wake up. Diamond is next level. This type of cars are very few in world so to track them is simple everything is recorded out there.
Nyieeee mwabwabwaja buree Ilo gar atangia nalo kweny jeneza au ktk sanda em wazeni vityu vya msing ata angekuj na mkokoten Ni wake waja mna mno hamuish maneno
Wabongo wachen roho mbovu huyu dogo Nasseb hamumuwezi itachukuwa miaka mengi sana kuja msaani kufika level ya Diamond dogo amefika mbali sana tena sana 🔥
Kama unaamin ndo kinara wa kuongelewa mtandaoni tujuane hapa!
Balaaaa
Bila yeye tanzania haijulikan 😂😂😂
Yaani we acha tu mwanangu,yaani Diamond akifa sijui itakuwa je??
Bila yy hakuna sanaa
@@kassimrajabu7805 si ndo atakuwa tayar kasha kufa au kuna kingine
Mondi anawatesa wengi sana TZ .. kweli mziki vita!!
Kasemaa yeye mwenyewe mziki ni vita ile nyumban ni yamama ivo usiwaze madale
Mie sio shabiki wa Diamond lakini jamaa ana hela, tuache masihala bana! Kingine wivu utawaua! Dogo kawanyoosha!
😄😄😄😄
Kweli bro umaskini unatutesa sana
Rolls Royce Haina underlincence na ingekuwepo SOUTH AFRICA WALIKUWA washaitengeneza kitambo .Kumbe Bongo ipo Moja tu Ya MONDI 🤣🤣🤣🤣 fantastic super star#diamondplatinun
#swahilinatiin
#wcbWASAF🇹🇿🇹🇿💎💎💎💎💎🤣🤣🔥🔥
Diamond kaleta gumzo big up Sana
Rolls-Royce haitegenezi engine kwa hizo gari. Anaposema kwamba wanaweza wakatumia engine which is not from Rolls-Royce. Hapo kakosea. Rolls-Royce wanatumia engine za BMW V12. Hapa Zaventem Belgium wateja wangu wanazo, ingawa siyo nyingi kwani ni gari ya garama kido. Kwayiyo amekosea kidogo hapo.
SAFI KABISA BRO MIMI NIPO UK NAFANYA KAZI BMW lakini naona hawa watanzania wanaongea mambo ambayo wao wenyewe hawajui wanaongea nini
Naomba nikuulze swali, Je, kama RR awatngenez engine na vipi kuhusu ndege mbona wanawauzia Boeing nk engine inamaana ni wananunua pia kwa BMW hahaaaaa?? Kama wanauza engine za ndge kweli washindw kutngneza ichi cha gariii ???
@@happyjohn5882 kwa uelewa wangu mdogo engine ya RR inatengezwa na BMW ambayo ni V12 na IKUMBUKWE RR ni SUB branch ya BMW so its all BIMA
@@happyjohn5882 siyo kwamba hawawezi kutengeneza engine. Ila tukumbuke kwamba ni wafanya biashara kama muuzaji wa nyanya au vitunguu. Wanangalia faida kwanza. Kwa sababu kutengeneza engine zagari hasa kwa kipindi hichi siyo jambo rahisi, kwa sabubu ya hizi CO2 AND NH AAND NOx regulations. mambo ya (euro 5 euro 6) . Kama unavyo juwa London, Bussels ect kama gari yako siyo ya petrol hairuhusiwi kutembea. Na kama ni Diesel hapo basi kiboka. Kama siyo euro 4 and euro 5 next year. Huruhusiwe kuingiya Brussels. Na ukibisha ni unapigwa fine ya 350 euro. Kwa hio Wawo hawoni faidha ya kutengeza engine wakati BMW tayari wamekwisha fanya kila kitu. Inakuwa ni rahisi kwawo kununuwa kwa BMW. Kama wengine wanavyo fanya. Ukiangali pangani zonda katumia engine Mercedes AMG V12 ya zamani kido, ukija kwa Aston Martin naye pia katumia AMG Engine. Kwahiyo kila kitu ni mahesabu. RR wawe wameamuwa kutengene egines za ndege. Na siyo lazima wateja wajuwe kwamba ni v12 kutoka kwa BMW muteja yeye kazi yake ni kuwekabmafuta kuendesha. Nasisi mafundi tufanye kazi zetu. Ila RR ni gari kama nyingine kwa sababu ina 4 tyres kama magari mengine. Sema yu mtu ukipata vi cents inabidi ujifurahisha baada ya kazi yako. Hivyo ndivyo binadamu tulivyo wengi wetu.
Upo sahihi, ila kama jama alivyo sema yeye ni anaagizia magali. Siyo fundi, yani yeye atacho angalia ni nini mteja anahitaji. Akilipa basi anamuagizia. Hata hapa wapo ukienda kwenye ma dealers kama Mercedes, BMW ect. Utakuta kuna mafundi, na watu wengine wakiwa réception. Wale wa réception maranyingi huwa wao wana kazi zawo maalumu. Siyo lazima wajuwe kila kitu. Na kama mtu kakosea siyo vibaya. Anaweza akarekebisha kama akipenda. Kwa sababu tunajifunza kila siku. Na tatizo tulilo nalo sisi huwa ni wabishi sana huwa hatupendi kukosolewa nahilo ni tatizo linalo sababisha tusijifunze. Ila tuwe wakarimu kwenye mitandao. Ili tujifunze siyo lazima matusi, kejeli na mambo mengine.
Millard kua makini sana na hizi interview unajishusha snaa
Ndo maan umeona kwa TANZANIA ndo kwa Mara yakwanza kainunua diamond ,,mond mtu mbad 🔥 🔥
Service yake ni kama gari nyigine. Ukifwata utaratibu kutoka Rolls-Royce no worries .
Sisi maskini ndo tunabishana wengine hatuna hata baiskel hata angeita helicopter sisi ni nani tumbishie SIMBA 😂😂😂
Kweli kabisa 🤣🤣🤣
Dah 🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️
Jiung freemasonry km mond. utamilk gali hilo 🤪🤪🤪
@@allanothuman2941 fikra ikitumika ndivyo sivyo inaua ✍️
@@pcmofficialtz nitaftie tajir ambae atumiaa uchwi.... saw ....ww si unataka magali mkali nn jiunge freemasonry...... km ginimbii.... Utamiliki zaid ya hayooo.... mzeee bb
Simbaaaa nawakubaki ayo TV Na platnumz
Asante sana kwa ukweli bro
Unajia diamond katufanya saivi bilion tunaona ni ela ya kawaida sana tofauti na zamani
Namshauli daimondi sasa awekeze kila mkoa wa tz sio dar tuuu na mimi naona wa tz wengi wanao mchukia daimondi ni kwasababu ajawekeza kwenye sehem ya upigaji maana wa tz wanapenda sana madili
Duuuu sio mchezo mwezi sasa watu wazungumzia kuhusu gari 😂😂😂
Kazi ipo
Rolls Royce gari nzito 🔥🚘🚗
Uzit wake upi baba unabeba mgongon amaaa
Diamond is rich anaweza Afrord
Ww yakwako og,iko wp?acha kudic mambo ya w2,mwenzako kaonyesha uthubut,amna kazi za kufanya?
Hajui architecture ya magari specifically hio imemshinda hatoi mechanical specifications anaongelea bei tuu
Mnachambua gari ya rois rois 😃😄
JAMANI NYIE HAMNA KAZI ZAKUFANYA EH,DIAMOND PLUTNUMZ ANUNUE ORG ANUNUE FEKI INAWAHUSU????.
NUNUENI NANYIE IYO FEKI TUONE SIO KIMNANGA MTU UTADHANI UMEMSAIDIA KUNUNUA FYUUU!!!!.
MILLADY AYO NYIE NI MEDIA KIBWA ACHENI SASA AYA MAMBO YAKUONGELEA GARI YADIAMOND MANAKE HAIWAHUSUUUUU.
Hongera dada Wew inakuhusu😅
Hivi umesikiliza interview kweli maana comment zenu Kama Kuna ugomvi wakati interview Ni ya kawaida kabisa Wala haina baya
kwaiyo kainunua shiling ngap zabongo namie jipange nichukue ndinga iyo
Ikizingua tutatulia nayo na uchebe😎
Vgard can't wait ☺☺
Ostazi juma upo mzee wa majungu . Mavi yanagonga chupi mzee
Hahahaha gari ya monde ni gumzo tz nzima sababu ni moja tu
Yaani nakwambia nipo nasoma coment nacheka mwenyewe
Ayo njoo Kenya utaikuta Tesla ya kwanza Africa. Upate kumuhoji mmiliki.
Kwa nini mzituletee aina za machine za kukamua mafuta ya alzeti. Au machine za kutengeneza mafuta ya maparachichi ya nywere. Au machine ya kutengeneza viatu za ngozi.kuongelea gari za watu kunafainda gani?hizo handithi ndizo watoto watu watarithi?
Aise! Hii interview inawashusha sana.
Duuh Mond katisha sana yaani Bongo nzima ana gari ya Pekee yake
Wanawake wenzangu acheni upuuzi huu wa kuchoma nyumba nusunusu, seti mipango hakikisha ukiwasha moto hakibaki kitu zimamoto wenyewe hawana maji ni uwakika huo..🙂😗 acheni kuchoma kiboyaboya ivo
Kuwa na pesa siyo shida unatakiwa kuwa mungu kila mahar siku ya kama upate uzima milele
Yan Bongo bwana hivi maendeleo ya jamaa bado yanatesa nafsi za watu Daa
Sasa itamtesaje service akati yupo na mbongo yakushato?
Mbona mmeiandama sana gar ya mtoto wa tandale? Amafanya kosa kuileta bongo eeeh...Mwachen na gar yake, ongeleeni hata IST
😂😂😂wasenge sana hahahaha bado wanaongea tu.
Nyange kwao kigoma sio tandale
@@omaryally198 kwao kwao sio kigom kigom nikwakina mama ake🤣🤣🤣kwao ni nimorogoro
@@malakiyazidu0080 bas itakuwa matombo, Kwan mzee nyange Moro ndio kwao.
Watu wnashindwa kuelewa tu
Wanaompinga Mondi ni wenye wivu wa maendeleo na kutafuta umaarufu kupitia yey, we tazama kila media ispondika jina la Dai habar aziendi !!
Hata baskelu sina nasema mabrukin hongera nasiib
Diamond platinumz anawatesa Sana bado mnaichambua gali yake wakati hata mwenyew ameshasahau anawaza mengine
Gari sio Gali
@@selector728 sawa✌🏼
Kweli kumtaja diamond ni ajila Tz 😅😅😅🤭
Kabisaa wanajtahid vyovyote ili wa title jina la Mond
Hivi nyie mnatoka vijijini Nini? Kwahiyo msanii mkubwa Kama mondi anunue gari Kama hiyo mnataka isiongelewe? Huo ndo uchawi Sasa
Yeye ndio wa kwanza kushusha RR hapa Tz? Bakhressa na baadhi ya wengine ameimiliki RR kitambo sana tu kabla ya diamond.. model tu zinatofautiana.
sio feki ndugu zangu Rolls royce ina badge nyeusi !!!!
Kuna black badge, silver badge na gold badge ila watu weng wamekariri ile silver badge 😁😁😁😁
Gonga like Kama zote
Yan imefikia wakt hag millard ana wivu na Simba🤣🤣🤣🤣🤣
Itamtesa wapi ..aweze nunua gari mpya akose kuweza kununua spea? Wabongo bwanaa... Hongera tena brother.
Watangazaji tuelewaneni banaaa sio rose royce ni rolls royce muna feli wapi kutamka
😄😄😄😄
Wivu mbaya sana jamaa
Jamaaa anaonekana haijui kabisa hiyo gari
Huyu jamaa anajitahidi lakini hii gari haijui maelezo yake kuhusu hii gari ni mepesi sana ...hakufanya research ya kutosha amekurupuka
Cyo gari la kwanza tz,,,imetumiwa na mwl nyerere ndo Mara ya kwanza
Inawashusha wakati nawe umeongez vrwz umesha angalia tayali unafeli Sana
Kweli aisee, ukienda makumbusho ya taifa ipo aliyo tumia Nyerere kitambo hichooo
Cullinan Black badge alitumia lini wee naee
Asante simba
Rolls Royce ziko nimeziona tatu hapa mjini moja ya phantom ya family ya bakhresa na ghost nyeusi ya mchaga
Acheni hiyo huku vijiji hawajua huyo Rolly Rose sijui.nn,wanasema zoto ndio gumzo.huku tunakufa
Siyo Kama ya Diamond broo yake ni 2021
Omar Bahkresa anazo Rolls Royce mbili ( Wraith na Ghost),Na Davis Mosha anayo 1 Rolls Royce Phantom ile aliyotumia Professor Jay kwenye wimbo wake Wa UTANIAMBIA NINI
Hizo umeziona ww ila cc tunazungmzia tunachokiona public
@@ndegejr4218 ya mosha 🙌
Hajui magari kumbe huyu anauza ist tu😂😂😂😂
Huyu ni mtu wa kuagiza gari tu hajui lolote kuhusu gari
Waah one car as given TZ bloggers job over a week now... There is nothing like Rolls Royce fake in the world 🌍 hiyo ni air force shoes.
BRO WAAMBIE COZ NAONA HAWAELEWI WANACHO POST KWENYE MEDIA ZAO
There is a fake rolls royce
Am here in dubai and nimeona crestler imegeuzwa kuwa rollsroyce
@@limajblessed7132 wewe uliona body ya tractor
@@josephgitau169 😁😁😁na kweli
@@josephgitau169 😂😂😂😂😂
Kazi mnayo waandishi
Rolls Royce ni ya Daimond. Ikiwa feki or original unahusikaje? Ni ya kwake mwenyewe kwa nini tunapoteza muda kuzungumzia?
Ni aina ya wivu na kejeli. Daimond ni tajiri.Anao uwezo.
Kweli kumtaja mond ni hajira woooooote tumekuja kwajil ya kuona mond tu😂😂😂😂
Mind ni uhakika sana
Huyu jamaa hana ujuzi wa kutosha cz hiyo gari campany yake ni kubwa sn dunian na huwez kuruhusiwa kuichakachua,hii ni interview ya kisenge
Do kumbe na wew umeona hee ,huwezk kubadili injeni ya hiyo gari ukabak salama lazima iwe kituko tu
@@karimmunis8302 jamaa hana jipya ni mtu tu anayetaka kujulikana tu
Umasikini tabu sana oh kanunua viatu oh kanunua koti, oh kanunua gari, oh hana nyumba oh oh oh.sijui hizo tabia za hasada na tamaa za vitu vya watu mtaacha lini tafuteni vyenu pumbavu babako anapekua kamnunulie viatu.
Ah kazi basi sasa kama anaagiza magari sasa afanyweje,wacheni utoto kama amenunua uwezo anao wa kuimiliki
Iyo ngoma haitaji service ndo maana ni expensive!... It was built to last!...sio Chinese models
We fala kweli
Ndege yenyewe inafanyiwa Service
Uyu limbukeni kwer kuna gar au ndege au pikipiki au baisker icyofanyiwa service uyu boya kwer
@@officialelltz8533 then why iko expensive?... Kwanini material yake ni expensive?....
@@donaldmutegeki5031 kwa nini material yake ni expensive?
Jamn kazi mnayo kwan mbna ss maskini ndo mnakzi yakupekenyua mambo ya watu mwachen kaka wa watu
Ninavyo jua mie kua kila gari ikiwa latest ushuru si unapungua...cz Haina uchakavu...
Dubai haya ni gari ya kawaida Second hand kibao sana.. Diamond alinunua Second hand car at cheap price he can't afford Brand new
Kama huna hela ni wewe
Ila jaman Mungu atupe yanayo tutosha maana gubu nimzigo
why he can't and why when you comment u look like you know him more more than himself. is the same for me to say u can't get money forlife while i don't know u deeply not good u have a problem some where you need change your attidude
huyu hata mlango wa Dubai haujui itakua bei hata ya Probox 😂
Wewe na MAMAKO NA UKOO WAKO WOTE HATA PROBOX HAMUNAA!!!
Simba wakilisha tz na watu wote wanao kupiga unawapa wakiti mgumu wakufatilia vitu unavyo nunu mamm🙆🙆🙆 kila kitu anacho kinunua lazma wafatilie
Acha wateseke Mond anajua kunyooshaa
Huyu nae bize anajieleza masikn tunashida nyie achani mwez unaisha bdo watu wanamzungumzia mtoto wa watu mwenyew
tunasubri nandeg baad yamwezi itaingia waje waseme nifeki🥱🥱🥱
nguo tunazovaa wenyewe mitaani ni second hand,sioni ajabu ata mondi akifanya ivo,mi mwenyewe ata la mtumba sina,but inshaAllah naomba Mola anijalie na mm nimiliki vitu ninavyovipenda
InshaAllah mungu atakupa unavyoviomba....Na sikufahamu lakini nakuombea mungu akupe maisha bora hapa Duncan na akhera
@@abdillahimahamed1814 Ameen brother
Huyu jamaa mzito Sana kuelewa MASWALI. Hajibu ipasavyo
Tulia dawa ipenye ww 🔥RR 🔥
Hhahaha Bila Mondi Hamuna CONTENT!!!Nyau nyie😀😀😀😀Mtoto wa Tandale anawatesaa sana…Yaani munatamani adondoke leo ili mupate furaha ila MUNGU Atamlindaa
😂watakula nn
Duh nimetulia zangu hapa hata kibanda similiki, kiukweli wenzangu tupambane, muda ukifika wakati utaongea. 🤐
Safety next level that
Haipo moja acha uongo
Nimetulia zangu nawacheki tu. Njooni muone magari yangu, buggati Chiron, Lamborghini, ford mustang, Nissan Gt v12 twin turbo charged. Napatikana arusha
AA kaka aunishindi Mimi Nina laum ya milioni kuminambili nanusu 😃😃😃👍👍👍
@@mosesmwailenge5192 kwel bana uko juu nimekubali
@@markethan1899 haya lafiki yangu nimekupenda Buree 🤗🤗🤗
Mbona ya kawaida sana ,jifunze kuona kila kitu ni cha kawaida wala usihamaki sana ,katafta hela kanunua ,ht mimi nkitafuta hela ntanunua hata Starlet na kuna watu mimi nitawashika pia so duniani kila mtu aishi uwezo wake 😂
Watu kazi wanayo kumchunguza mtu maendeleo yke duh
Swali kwanini matajiri wote was tz hawajanunua hiyo gari?
Milard ayo umekuaje tena pga kaz mzee achan na habar hzo za magar ya watu nakuamn
Siuache kuangalia! Ana post kitu kinacho vutia kuangalika
Wew mtangazaji itokee uagize una pesa😂😂
😂😂😂😂
Mond kakomesha kenge, sa hv wamehamia kwenye cheni,
Huyu jamaa ana akili za kugoogle......ety "ukigoogle utaona ni gari inayopita xehem yyte"
😃😃😃😃
wa TZ upuzi hamfurahi ndugu yenu ameomoka eehhh
sauti iko powaa sanaaaa
Jamaa cjui mhaya cjui nn, kiingereza Cha nn mzee mbona kama kinakuchenga. Piga chini kizngu ongea cha kwetu
Vp naweza gari ya Bei ndogo Tena used kupitia nyie na nisikutane na matapeli?
I was expecting you to show us that Diamond's car instead unatuonesha Video za gari nyingine.
Na ulitakiwa wewe umtafute Diamond umuombe ulinganishe hiyo gari yake na hizo Genuine.
Sasa iyo inayooneshwa na ya mondi ina tofaut gani.
Mchawi uyo,we hujasanuka bado?@@fettyabiola1389
Mbona na yeye amekaa juu yake hapo unasemaje sio hilo acha tamaa
Sema diamond kaziingizia hela media maana daah amezua gumzoo
So Tanzania nzima RR ni moja tu😂🤣😂
Kwa sure Ni ivyo mo mwenyewe alikuwa nampango wa kununua akahairisha akaenda kuwekeza simba
Ayo kaanza ku upload usenge
HIYO HELA ANGEAMUA KUUNUNUA MTAA BASI BUZA YOTE INGEKUA YAKE🙈
Hahaaaaaa
Bwana unazingua Rolls Royce ni brand huwa haibadilishwi engine ama chochote...hizo ni maprado zenu bana wee
Fala wewe ..haujui chochote
Tulia umezalia TZ ujawai fika hata Nairobi
Mond kanunua gar yake kwa raha yake, maneno yatabaki kwenu na roho mbaya kwenu 🥴🥴🥴
Hey! I’m very disappointed with this guy who called him urgent. My friend there’s no fake engine for this type of car . Just do small research please. U guys wake up. Diamond is next level. This type of cars are very few in world so to track them is simple everything is recorded out there.
Jifunze kiswahili hujui hata wanasema nini hapo, we endelea kumtukuza Malkia Elizabeth na English yako
Mbna hii gari inawatesa sana s mkaze nyonga za matako izo mmb yaishe
Ila Mondi anaumiza vichwa vya watu aiseeee!!!
Bado mna discuss hiyo gari, kazi ipo
😂😂😂😂😂😂
MOND round hii kawawezaa
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Nyieeee mwabwabwaja buree Ilo gar atangia nalo kweny jeneza au ktk sanda em wazeni vityu vya msing ata angekuj na mkokoten Ni wake waja mna mno hamuish maneno
@@mwajeymajid4988 Tatzo kwnunua wanaemchukia sasa wanateseka kila namna lkn hawapati pa kujificha😂😂
Yaani Rolls Royce ya diamond do ya kwanza tz? Kenya Nairobi wazitumia kama gari za kawaida....tz kweli tuko nyuma
Kuweni waelewa"hizo ni pesa za freemason"chochote unachohitaji wao ndo wanakupangia
Nimegundua kitu ila simwambii mtu🤣🤣🤣🤣🤣
Angalieni movie inaitwa VANQUISH mtaiona gari ya mondi
kwekweli pongezi